Тёмный

THUBUTU UONE: PUTIN amuonya MACRON kwa kauli kuwa UKRAINE itumie silaha anazopewa kuipiga URUSI 

Simulizi Na Sauti
Подписаться 1,4 млн
Просмотров 27 тыс.
50% 1

Tembelea sns.co.tz/ kwa taarifa zaidi

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 168   
@imanuelnguya9277
@imanuelnguya9277 4 месяца назад
Asante sana ndg mtangazaji
@hassangaddafi2347
@hassangaddafi2347 4 месяца назад
Putin baba lao ❤❤🇷🇺🇷🇺🇷🇺 Free Palestinian ❤❤🇵🇸🇵🇸🇵🇸🇰🇪
@husseinhemedi9314
@husseinhemedi9314 4 месяца назад
Watapigwa kama ngoma yetu macho Putin piga mashoga hao🇷🇺
@adamkapolo8817
@adamkapolo8817 4 месяца назад
Mmeshindwa kumpiga kwa vikwazo miaka miwili vikwazo vimedunda kwa vita ndo mtachemka kabisa
@jumabuckary7698
@jumabuckary7698 4 месяца назад
Hawa wazungu wanajifurahisha tuu na maneno Yao Hawana kitu kipya mbele ya baba mtakitifu wa vita mwamba vladil putin 🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺Russia for life❤
@sonnyr1899
@sonnyr1899 4 месяца назад
Putin ni aina flani wale wazazi ukizira chakula yeye anakufukuza kabisa. Sio mchezomchezo
@AbubakarAlly-th6op
@AbubakarAlly-th6op 4 месяца назад
Macro anahasira na putin kwasababu ameporwa bukinafaso nk
@jerryndondole1965
@jerryndondole1965 4 месяца назад
Mapinduzi ya Sahel region yanamchanganya Macron wa watu
@russia1253
@russia1253 4 месяца назад
Uraaaaaaa uraaaaaaa uraaaaaaa 🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺
@ebengapierre8826
@ebengapierre8826 4 месяца назад
Ni ujinga ufaranca kupiga urusi 😂😂😂😂
@aishaarusha894
@aishaarusha894 4 месяца назад
Mvua nyesha tuone kunapo vuja tenaaaaaa😂😂😂😂😂
@dullahabdallah-nu1py
@dullahabdallah-nu1py 4 месяца назад
Kisasi ndio hicho kinasukwa tu subirie muda tu,chanzo ni Sahel Regen
@LangxSheby
@LangxSheby 4 месяца назад
Wavulana wataomba like wanaume tutatoa comment zapoint
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@LangxSheby
@LangxSheby 4 месяца назад
@@MiriamAbdallah kumamake wanakeraa awawa like 😂😂
@abdulyabdunuru1476
@abdulyabdunuru1476 4 месяца назад
Hahaha pa1 sana mwamba putin azimishe atomic moja watu wafyate mkia
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 4 месяца назад
Yap
@sautisevarino1656
@sautisevarino1656 4 месяца назад
Putin lete Mziki
@RaibebeBebe
@RaibebeBebe 4 месяца назад
Kisa chá ugomvi ni nato kujitanua na lengo lao ni zidi ya urus isiendelee inawauma
@RaymondPaul-bs7su
@RaymondPaul-bs7su 4 месяца назад
Mh. Rais Putin kwa muda mrefu amekua akiwaonya NATO juu ya kuchochea vita Ukraine Lakini haya maonyo yamekua yakipuuzwa mara nyingi sana na Magharibi....Matamshi Rais wa ufaransa yasipofikiriwa mara mbili na kuzuiwa basi Wataingia kwenye mgogoro mkubwa sana wa kibinadamu ambao hautasahaulikaa
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 4 месяца назад
Izo nyukilia anazo jivunia kila mtu izo inchi kubwa pia wanazo
@ce-08
@ce-08 4 месяца назад
@@hamidamussa-sy4fm shida ufaransa ilivyo ndogo nyuklia 3 tu nchi Zima hawataelewana tofaut na urusi yeye anaaridh kubwa mpaka kuwavuruga nchi nzima inatakiwa utumie mabomu mengi na mda ambapo katika huo mda lazma na yy atakujibu tu
@clementsabuni75
@clementsabuni75 4 месяца назад
Putini hana cha kupoteza akifa anakufa nao wote.
@clementsabuni75
@clementsabuni75 4 месяца назад
​@@hamidamussa-sy4fmtatizo urusi hana cha kupoteza watakaopoteza ni marekani na washirika wake yaani sio urusi sio marekani sio Nato watakufa wote maana urusi ana makombora ya kisasa sio kama yale ya marekani yaani kwake yamesukwa yakasukika moja tuu linasambaratisha ulaya yote ya marekani ni ya zamani hayana uharibifu kama ya mrusi.
@clementsabuni75
@clementsabuni75 4 месяца назад
Anajivunia nyuklia zake kwasababu anajua zina uwezo gani kwenye vita za Nato ni cha mtoto za kwake ni nzito ikipigwa moja hapa Africa mnakuwa majivu afrika nzima.
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 4 месяца назад
Wanayatafuta lkn watayapata. Wametosheka na maisha.
@MsangoDiesel
@MsangoDiesel 4 месяца назад
Mziki wa Kwanza Africa mangaribi wa pili tuone singeri
@mwawekomiuda9779
@mwawekomiuda9779 4 месяца назад
@@MsangoDiesel M'mungu atawashinda inshaAllah. Wao pia wako chini ya M'mungu. Mwisho wao umefika wanaanza kutapatapa.
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 месяца назад
​@mwawekomiuda9779Amina yaarabi
@jogoomohamed2652
@jogoomohamed2652 4 месяца назад
Mkuu.Putin.Hao sio wanaume kamili,so wala wasikusumbue.Coz hamna nguvu kamili,maana mwanaume akipoteza hali ya kuwa kamili huyo wala hamna kitu.Piga kazi kiongozi sahihi kwa wanadamu
@kherisalum6304
@kherisalum6304 4 месяца назад
Dunia si sehemu salama tena inasikitisha sana kwa Hii Hali inavyokwenda
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 4 месяца назад
Upo Africa tulia uone
@ngoyaboy1590
@ngoyaboy1590 4 месяца назад
Sema yatokee mataifaa kama urusi manne hao ulaya na ushoga wao watanyokaa
@japhetjoseph1772
@japhetjoseph1772 4 месяца назад
hata uko russia wako
@ngoyaboy1590
@ngoyaboy1590 4 месяца назад
@@japhetjoseph1772 ilaa sheria ni kali dhid ya ushoga
@davidsika5292
@davidsika5292 4 месяца назад
Ushoga upo hata urusi hata kwenu upoo hata kwa waarabu upo
@babubabz4507
@babubabz4507 4 месяца назад
Vitisho va kazi gani hawa watu wote wachangia sana maskini kufaa sahi waache wapingane wawo wenyewe tuangalie dunia itakua vipi
@MohamedRaudha
@MohamedRaudha 4 месяца назад
Piga uwa huyo mpaka atowe talaka 😂
@jerryndondole1965
@jerryndondole1965 4 месяца назад
Shout out Ali
@josepheriah5977
@josepheriah5977 4 месяца назад
Marekan ufaransa imetuuruusu tuna anza kulipua urus
@maisarirajab4846
@maisarirajab4846 4 месяца назад
Mimi nadhani Putin angalimuua Zeleski tu pengine mambo yangaliisha kuliko kumuacha
@ibrackibrahim6909
@ibrackibrahim6909 4 месяца назад
Huyu mtangazaji akarudi shule anakera😁😁😂😂😂
@selestinokazumba
@selestinokazumba 4 месяца назад
Subili wajae kama ndo huyo macron ana mdomo sana manina zake
@DaudFataki
@DaudFataki 4 месяца назад
Inatakiwa Englnd iungwe namaji liwebahali tu mungu ajaaliehichokitu
@jumaseif7514
@jumaseif7514 4 месяца назад
Nanukuu maneno ya mtu asiependa vita.. Yapaswa wayafikirie maneno wanayo ongea kwan wao wananchi ndogo japokuwa inawatu wengi.. Amemaliza sasa ikiwa ufaransa haitafikiria anachokisema atajisonya naapa kuwa atajisonya
@KurusumuMatola
@KurusumuMatola 4 месяца назад
Sanaaaaaa😂😂😂 urus mchezo bwanaaaaaa...?😢😢
@valentinesyekeye6846
@valentinesyekeye6846 4 месяца назад
Baba yao mwenyewe hataki kabisa kusikia siraha zake zimeingia mpaka Urusi
@Binja4
@Binja4 4 месяца назад
like
@rickiefisher1085
@rickiefisher1085 4 месяца назад
Dunia sio sehemu salama ya kuishi tenA
@Sidrasidra636
@Sidrasidra636 4 месяца назад
Acha wajichanganye 😊
@AlexChonanga
@AlexChonanga 4 месяца назад
Good job Russia ❤❤❤❤❤
@HappyAlbatross-us3bg
@HappyAlbatross-us3bg 4 месяца назад
Kwa mawazo yangu naamini zelensky hatumii akili kabisa ameamua kuwatoa wananchi wake kafara kisa marekani me naona wengi watakao PATA madhara ni raia WA Ukraine
@SuhailaAbdallah-w1f
@SuhailaAbdallah-w1f 4 месяца назад
Kwa misimamo ya puttin nato wakijicha ganya watapotea
@josepheriah5977
@josepheriah5977 4 месяца назад
Tumelipua meli 4 za urusi
@godfreyalphonce5646
@godfreyalphonce5646 4 месяца назад
Putin drop that shit😂😂
@brianbaltazar6198
@brianbaltazar6198 4 месяца назад
Uraaaaaaaaaaa🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺
@24mixnews6
@24mixnews6 4 месяца назад
Kama marekani anaogopa kumwambia Ukraine 🇺🇦 atumie Siraha zake kupiga moja kwa moja urusi wakijimix wataona moto
@madjidfine4295
@madjidfine4295 4 месяца назад
Uyo ni mkwala atapigwa na inci yake kubwa. Ukraine lazima asaidiwe coz anapigwa ndani kwake na miaka inazidi kwenda anapiga ncii jirani ilo nikosa kubwa sana lazima mataifa ya simame
@anthonmoses1200
@anthonmoses1200 4 месяца назад
❤❤❤
@BenMamadou-w9e
@BenMamadou-w9e 4 месяца назад
Hapo nato soon wanaimaliza Russia 🇷🇺 maana haina uwezo wakupigana na nato
@JÉSUSISLORDFOREVER-z1e
@JÉSUSISLORDFOREVER-z1e 4 месяца назад
Huu ni mupango wa kubeba watu kwenye New World older vita yote ina beba dunia kuwa umoja watasema tufanye amani
@IsmailJafary-ir8cv
@IsmailJafary-ir8cv 4 месяца назад
Wamemmaliza rais wa iran wanamtafta putin sasa hawa wataukoga moto
@BenMamadou-w9e
@BenMamadou-w9e 4 месяца назад
France 🇫🇷 upo kwenye nato na usa 🇺🇸 na inch nyingi so Russia 🇷🇺 haiwezi kuipiga nato hata kwa ndoto ya msazi
@EmanuelMkongwi
@EmanuelMkongwi 4 месяца назад
Vita ya tatu ya dunia inakujaa sas ivii
@husseinkonz5192
@husseinkonz5192 4 месяца назад
Wacha wajichanganye wasije kulaumu mtu
@AliAbdallah-yo8dx
@AliAbdallah-yo8dx 4 месяца назад
Western hali yao imezidi kuwa mbaya , Walifanya mahesabu ya sio sahihi , ni lazima wataingia vitani , na ndio wataisha kabisa🫡🫶🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🫶
@hamismaulid270
@hamismaulid270 4 месяца назад
Sio njuklia" WA", sema "WO" MBONA HUELEWI KAKAA.
@abdulyabdunuru1476
@abdulyabdunuru1476 4 месяца назад
nyuklia 1 kwa ukrain tu watu wafyate mkia nyau hawa
@GeorgeAkasha-zx2rj
@GeorgeAkasha-zx2rj 4 месяца назад
Siku ulaya(Nato) ikiingia vitani na urusi, basi china ndo itakua economic superpower duniani.Uwingi wa NATO kumshinda urusi upo ila changamoto ni china ambaye ni mshirika wa karibu wa urusi na taifa la pili kiuchumi duniani.
@stevensosipita
@stevensosipita 4 месяца назад
MWANA KULITAFUTA MWANA KULIPATA OLE YAKO EMMANUEL MACRON
@salehehassan2553
@salehehassan2553 4 месяца назад
Hapa nishaona tunaenda kusomwa kwenye historia mda si mrefu
@mohamedmzeemohammed3739
@mohamedmzeemohammed3739 4 месяца назад
😂😂😂😂
@toymadebho7048
@toymadebho7048 4 месяца назад
kvp sas
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 4 месяца назад
😂😂😂 Usijali upo mbali sana
@Tanganyika-w5p
@Tanganyika-w5p 4 месяца назад
Mimi nipo na President Putin
@josepheriah5977
@josepheriah5977 4 месяца назад
Ukraine ma liza baba
@BunzarMarco
@BunzarMarco 4 месяца назад
Mm naona Ni vita ya 3 kwani inchi za magaribi zimesha weka ramani zuri pakuazia nahapo unamuona Putin ana haha kila neno kwake Ni nyukiria acha tuone nani ataoba poa sio kwa mambilion ya mangaribi ya hera kwa Ukraine
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 4 месяца назад
Hv ww unafkir Russia ni Tanzania eeeh hapo anatoa onyo Kwa maneno ikitokea urus ikashumbuliwa bac kitakachokuja kutokea hatak lawama
@peteremmanuelymatwimatwiem3258
@peteremmanuelymatwimatwiem3258 4 месяца назад
😅😅😅😅Ww una utoto mwingi Alisha sema dunia bila Moscow ni upuzi watu hua mkoje😅😅
@michaelmisana650
@michaelmisana650 4 месяца назад
Sio kweli Kwan ptin ni MUNGU
@josepheriah5977
@josepheriah5977 4 месяца назад
Sas tuna lipua urusi yote
@Brianlopez-kw1vr
@Brianlopez-kw1vr 4 месяца назад
We baba unajua kila kitu
@kdloon2030
@kdloon2030 4 месяца назад
Macaroni yapidi apikwe na aliwe
@YamunguMuha
@YamunguMuha 4 месяца назад
Macron anavurugwa na mapinduzi ya Sahal regional
@hamidamussa-sy4fm
@hamidamussa-sy4fm 4 месяца назад
Wote nyukilia za kimbunu wanazo
@minanifreddy6969
@minanifreddy6969 4 месяца назад
Uingerza ilishindikana kupigika kwenye vita vya pili vya dunia
@g_forcemusician4242
@g_forcemusician4242 4 месяца назад
Saizi itapigwa kama ngoma
@toymadebho7048
@toymadebho7048 4 месяца назад
PUTIN PIGA NUCLEAR DUNIA NZIMA 2LIPOISH PANATOSH
@paschalsafari9747
@paschalsafari9747 4 месяца назад
😂😂😂
@lameckraphael3743
@lameckraphael3743 4 месяца назад
😂😂 hakka
@carmp3
@carmp3 4 месяца назад
Hahaha
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw 4 месяца назад
Kama umetosheka kuish jinyonge
@Muharram-c5n
@Muharram-c5n 4 месяца назад
Nimekukubali
@JaphetJairos-n4l
@JaphetJairos-n4l 4 месяца назад
Urusi hawez tumia nyukiria kamwe siku atakapo tumia nyukiria bc habar yake itaishia apo na kwake
@MirajiMiraji-v2j
@MirajiMiraji-v2j 4 месяца назад
Unaijua nyukilia lakini wewe ? Au unaongea ujinga
@malkiawagiza1327
@malkiawagiza1327 4 месяца назад
Ufaransa nchi ya mashoga.
@ElijahOwino-xe2cd
@ElijahOwino-xe2cd 4 месяца назад
Yanikumbusha unabii wa Prophet David Owuor kuhusu hii vita... Alisema kuwa Urusi itamlipua ufaransa Kisha uingereza halafu marekani Kisha na hizo nchi ndogondogo kama vile Norway... Unabii wa vita vya Nuclear vya Tatu unakaribia
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 4 месяца назад
Awalipue tuu hakuna tatzo
@arriyamistamp4945
@arriyamistamp4945 4 месяца назад
Wacha mvua inyeshe tuone panapo vuja
@mancholotrasco8350
@mancholotrasco8350 4 месяца назад
Kwangu Mimi ufaransa ikishambuliwa na ikipotea ktk dunian nitafurah .. ask me why
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 4 месяца назад
🇹🇿❣️🇷🇺
@josepheriah5977
@josepheriah5977 4 месяца назад
Putin afe
@clearancekimambo7927
@clearancekimambo7927 4 месяца назад
Sikuelewagi Ally,,vielelezo vya picha tunavionaga kwa Netanyau,,acha kutudanganya, ,uingerereza ,ufaransa, ujerumani sio ndogo,,,, alimaanisha baltik countries, mkuuu unatowaga wapi days zako au kingereza kigumu mkuu
@clearancekimambo7927
@clearancekimambo7927 4 месяца назад
Unatowaga wapi days zako wee jamaa
@clearancekimambo7927
@clearancekimambo7927 4 месяца назад
Data l mean
@thefactbook...1607
@thefactbook...1607 4 месяца назад
Najua kingereza kuliko unakivyojua.putin hajataja nchi nimesema kaongea kwa mafumbo we umejuaje kama ni baltics isitoshe poland nmeitaja hapo.usitangulize chuki mbele sikiliza kwa makini utaelewa.sns ni taasisi ambayo taarifa yoyote inahaririwa na kuhakikiwa usahihi wake kabla ya kuwekwa hewani na wahariri kazi yangu ni kutafuta habari na kuriport kwa urahisi zaidi kwa watu.kushindwa kuielewa habari sababu ya chuki hyo sio shida yangu.
@godfreyfrugence4176
@godfreyfrugence4176 4 месяца назад
Nafurah sana hasa kuona majesh ya Afrika kati yalivyoitimua majeshi ya Ufaransa mim nasema mfarasa atakipata atakachokitaka
@hamzafishten9560
@hamzafishten9560 4 месяца назад
Waca wajicanganye
@ShaibuMkullu-ck6sl
@ShaibuMkullu-ck6sl 4 месяца назад
𝕨𝕒𝕜𝕨𝕒𝕟𝕫𝕒 𝕝𝕖𝕠
@yusafbayu7016
@yusafbayu7016 4 месяца назад
Sawa bana
@asingizibwejacobkalokola7351
@asingizibwejacobkalokola7351 4 месяца назад
Du hayo mataifa Wana Viongozi wapumbavu.
@r14kgroup68
@r14kgroup68 4 месяца назад
Puting asemagi mchezo
@CrevasonSambo
@CrevasonSambo 4 месяца назад
Daah putin piga mashoga hao
@ce-08
@ce-08 4 месяца назад
Na Safar hii wakipigana vita ya tatu ya dunia ni zamu yetu Africa kutajiri SISI tutawauzia chakula tu unga wa Dona kilo dollar 5 😂😂😂
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 месяца назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@mohamedmzeemohammed3739
@mohamedmzeemohammed3739 4 месяца назад
😂😂😂
@jotafungo4622
@jotafungo4622 4 месяца назад
Putin piga hao
@noelnjementi8511
@noelnjementi8511 4 месяца назад
Uyu mchambuzi nafikili ana akili naomba mjalibu kumchinguza au kifo charaisi wairani mpaka reo mchambuzi haliamini😂😂😂😂😂
@timothzullu4665
@timothzullu4665 4 месяца назад
Sasa wanatak kuwapiga wenzao tu
@peteremmanuelymatwimatwiem3258
@peteremmanuelymatwimatwiem3258 4 месяца назад
Acha waingie waingie sasa ndo una chotaka😅😅😅
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108 4 месяца назад
Babalao puti boy,piga hao
@BimHamdi
@BimHamdi 4 месяца назад
Putin nae anajiona mwamba hatari😅😅😅
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 4 месяца назад
Wanamchokoz mwamba wasijal watakipat wanachohitj. Viva PUTTIN
@josepheriah5977
@josepheriah5977 4 месяца назад
Putin ni bata
@Maxpaul-oi8pw
@Maxpaul-oi8pw 4 месяца назад
Mkristo puttin yaan mpaka waislamu wanamkubali huyu mkristo
@Awatee
@Awatee 4 месяца назад
Kikubwa Heshima ukiristo wa kwake mwenyewe kila mtu atabeba mzigo wak wakati wa Mtume sw kulikua na makabila hayakua waislam na walishirikiana ktk mambo muhimu na ya Amani wakiristo ndio huleta chuki ktk uislam
@GodfreyOsward
@GodfreyOsward 4 месяца назад
Vita vya ukabila vya makabila ya ulaya vikipiganwa tunaita vita ya Dunia.
@BarakaAkech-r9q
@BarakaAkech-r9q 4 месяца назад
Mvamizi anaeua mpaka wapinzani mjinga sana ladmir
@allykirunginyamka9171
@allykirunginyamka9171 4 месяца назад
Wajina (Ally) acha nikujibu kana jinsi nilivyo kua namjibu djsmaa: for so long since hii vita ianze Germany 🇩🇪 ilivyo kataa kutoa silaha, imeenda m'vutano ukawa mkubwa ya kua haitoii ushirikiano katika vita hii but today wanairuhusu Ukraine 🇺🇦 ishambulie, Bro ninyi wawili kwenye uchambuzi wenu lazima mjifikirie, kwa nini hivi?? Huko nyuma Russia 🇷🇺 iliwahi kuonyesha ya kua inauwezo wakurusha mibomu yake hadi Paris miaka mingi kidogo so leo anajitoa na hali ya kua anajua treat zipo pale pale?? Hii vita hamna taaluma ya kuichambua. Jueni wamejiona wapo tayari ndipo wametoa ruhsa hio. Nipo huku ukweli naujua.
@hamimhassan9354
@hamimhassan9354 4 месяца назад
Wwe unaongela mazingira yako, unafikiri Putin yupo peke yake, Hilo ni kosa kubwa la kiufundi Kwa magharibi aamini. Kuwa huko ni sawa na kusema near the church far from God, pia hao nduguzo ni watu wa propaganda believe it or not ulaya itaumia zaidi kuna silaha gani mpya haijaenda Ukraine? That's y America hatoi jibu la wazi anafahamu ni janga la Dunia litakuwa.
@clearancekimambo7927
@clearancekimambo7927 4 месяца назад
Ila Ally bado yupo shallow sana wazee,,,hatadhmini chakuongea,,kwamfano Putin reality alimaanisha nchi ndogo ndogo za ulaya zenye demographic kubwa,nikimaanisha population,,sasa UK, GERMANY, FRANCE, hizi sio ndogo bingwa,, alimaanisha baltik Amazon zimekuwa namidomo alafu population nikubwa,then akipiga bas ataleta madhara makubwa,,sasa nishakwambia Ally hio GPS hatuskizi maana your not digging enough,,,huku sisi twawaskiza retired general kama wakina Scott Ritter,ambao walishakuwa masenior in the US military na bado hawaegemei upande wowote,,,unavyodanganya watanzania hapo kwa uchambuzi wako mbovu tunakushangaa Sana
@clearancekimambo7927
@clearancekimambo7927 4 месяца назад
Baltic countries,,sio Amazon sorry,,,am working in Amazon that's why,, sorry guys
@Muharram-c5n
@Muharram-c5n 4 месяца назад
Unadhani tangu kipindikile mpaka leo Putin hajadevelop military weapons zake,au ulichokijua ww yeye hajagundua na intelligence yake,au unamuona boya,wenyewe wanamfaham,jua kuwa kitawaka kisawasawa na shughuli zote duniani zitasimama kwa miaka na mikaka,tusiombee itokee
@thefactbook...1607
@thefactbook...1607 4 месяца назад
Kuwa ujerumani au urusi sio kujua kinachiendelea hiyo futa kwanza.then tuendelee na hoja. 1. Vita hii ni verry complex kutegemea we unaamua kuichambua kwa engo gani.silaha zinazoongelewa hapa ni zile zenye uwezo wa kupiga mbali zaidi ndani ya urusi(range to 300Km) kama vile storm shadow,atacams,excalibur istoshe huyo ujerumani unaemsema ww hata bado hajazitoa Taurus missiles ambazo ndo zaeza piga ndani ya urusi.on top of that wako tayari kvp ilihali ukiongelea uzalishaji wa silaha wa utusi kwa sasa uko juu mno. *nato ina 5% tu ya uwezo wa kujilinda na mashambulizi ya anga yaani airdefence ya makombora ya urusi * hizi details zote ziko verry accurate kingine tu kama ikitokea nuclear war nchi uerope ndyo itakayoanza kupotea mapema sana.kingine mimi na sma kila mmoja ana aproach yake ya uchambuzi so don't compare us bro.
@mpjozzegalvanize4926
@mpjozzegalvanize4926 4 месяца назад
Putin mwamba
@ezekiambise2595
@ezekiambise2595 4 месяца назад
God bless russia 🇷🇺
@jabalimikechi7750
@jabalimikechi7750 4 месяца назад
Urusi Ana uchimi wakupigana na nato guys stop this propaganda of yours, look what happened since that war start every goes up fuel and food, we want peace enough is enough.
@noelnjementi8511
@noelnjementi8511 4 месяца назад
Pili nimegunduwa udini unamsumbuwa kama dj smar nimdini uwa simsikilizi kbs
@GeorgeElias-p5o
@GeorgeElias-p5o 4 месяца назад
Hata Sadam alikuwa na mikwara!Urusi ana miaka 2 sasa na Ukrain e hatawaweza NATO
@davidsika5292
@davidsika5292 4 месяца назад
Mchambuzi hajui huyu
@noelnjementi8511
@noelnjementi8511 4 месяца назад
Naisi uyu mchambuzi kire kifo Cha Ibrahim raisi wairani kilimchanganya adi reo ubongo wake auja tulia
@timothzullu4665
@timothzullu4665 4 месяца назад
Uyu Putin yeye Kawa MUNGU MTU AU
@sultanbakary4292
@sultanbakary4292 4 месяца назад
Mungu mtu ni marekan na washirika wake nato
@toyimwamedi6460
@toyimwamedi6460 4 месяца назад
KAMA NIMANENO WAPIME TUHONE .PUTI ATAFANYA NINI.APO NDIPO PUTINI ATAGEHUKA ITLA NAMBA MBILI
@allymatilda7519
@allymatilda7519 4 месяца назад
Viva Putin viva Russia 🇷🇺
Далее
Слушали бы такое на повторе?
01:00
Part 5. Roblox trend☠️
00:13
Просмотров 2,7 млн
ТИПИЧНОЕ ПОВЕДЕНИЕ МАМЫ
00:21
Просмотров 1,3 млн