nilikua sina google ac lakini hii nyimbo imenifanya nifungue ili mradi nitoe maneno yang,hii nyimbo walah angeimba diamond au kiba ingekuwa ringtone kwenye radio za bongo sad kaimba timbulo watu watasema ya kawaida,ila for real tangia mwaka uanze hii ndo nyimbo inayogusa hadi ndani ya moyo kama umepitia haya mambo ya mapenzi,timbulo na baraka for real u kill it this song
nicasius nicholaus ,,temana nae no need to back again,,,,LeAnn akuache then akurdie kisa wimbo,,,,,!! akiondoka utamrudishaje?? au kutakuwa na wimbo mwngne????
Hapana Baraka hapana Baraka sasa naweza kusema ndio umeamua kuonesha maufundi yako.sasa kwann kwenye wimbo huuu umenimaliza kabisa.Good music for gud artist well done Baraka na Timbulo
Ila jaman kusema ukweli pamoja na mashauz yote ya baraka da prince ila jamaa anaimba sana mistar yake ndo inanikoshaga..ukimuweka na Timbulo ndo kabisa ngoma kali sana...Hit song
This song is just super amazing with a true message.Currently most people love each other but they ain't together.Takes me back to back olden days.I Love the song with all my heart.
ngoma Kali sana tu lina ladha ya nyumbni kabisa hongera Sana #timbulo vs baraka da Prince. nimeipnda sana hyo nyimbo pia imenigusa na naipnda nyimbo . peace & love. God bless u all
Immaculate Ndinda. They are not Kenyan. The artists Timbulo and Barakah the Prince are Tanzanian. There is a Kenyan guy (Otile Brown who appears in the video) but it is not his song and he is not even singing.
Immaculate Ndinda I do not need to google. Barakah the Prince and Timbulo are Tanzanians because I know them. They live in Tanzania although sometimes Barakah records some of his music in Kenya. The only Kenyan guy is Otile Brown. But this is not Otile's song, he only appeared in the video.
Siwezi choka tazama hii nyimbo na kusikiliza,inanikumbusha mbali sana,niliachana na mpenzi wangu ambae mpaka Leo bado nampenda ila ashapata bwana mwingine,hii nyimbo ina ujumbe mkali sana inanifanya nakumbuka mbali sana,namkumbuka ila naomba anitunzie siri zangu
Hii nyimbo inatoka ndio siku na mm mpenzi wangu nilie mpenda kunisalit na kuniambia tuachane kila napoisikiliza hua naumia sana asee daaaaah ni ngoma kali sana..
Lord i heal from every love that wasn't mine Any love that hurt me Lord dont make fall in the same trap again Guard my heart if they aint for me kick them off pit of my life
Chupa kali na la kisasa zaidi. Big up sana bro #timbulo na #barakadeprince kwa kitu fulani hivi chenye ladha ya nyumbani kabisa, hii sasa ndo bongo flava
Hii ngoma nilikuwa ndo nimetok kuachan na dem wangu baad ya yey kupata kazi kule kariakoo kwa wauza vipodoz mimi nikiwa kidato cha sita tukiwa na ndoto kibao zikayeyuka 🙌🙏🏾