Тёмный

TIMIZA NDOTO VIDEO OFFICIAL VISUAL PASCHAL CASSIAN 

PASCHAL CASSIAN OFFICIAL  YOUTUBE
Подписаться 165 тыс.
Просмотров 13 тыс.
50% 1

0766998994WIMBO HUU NI SEHEM YA MAPITO YANGU AMBAYO NIME YA PITA NIKIWA KAMA MTUMISHI LAKINI NAAMINI INAFIKA SEHEM HATUNA NJIA NYINGINE ZAIDI YA KUMTUMAINIA MUNGU HIVYO NAAMINI
KUNA WATU WANA PITIA MAPITO MAGUM HIVYO HAKUNA AWEZAE KUJIOKOA MWENYEWE NI KUMWAMBIA MUNGU AINGILIE KATI KATIKA KILA TUOMBALO ATUTIMIZIE HAJA ZA MYOYO YETU MUNGU AWAKUMBUKE WOTE MNAO PITIA MAGUM MUNGU AWARE HAJA YA MYO YENU

Опубликовано:

 

23 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 116   
@josephinewere4007
@josephinewere4007 3 дня назад
Finally 🧎🧎🧎🧎 very powerful song timiza Jehovah naomba
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire 3 дня назад
Wooo! How a wonderful 🎵 the voice is amazing 👏 keep up I like it. Mungu atakutimizia kwa sababu unatii sheria zake. Kizuri hakiitaji haraka.
@GEOFLEYFREENIELLUKA-id7tl
@GEOFLEYFREENIELLUKA-id7tl 2 дня назад
We mtumishi u wimbo sio mawazo yako ila nimungu mwenyewe alitaka useme na dunia nataman kuliya 😭😭 bada yakusikiliza wimbo huu umenifanya nisogee msalaban mungu akubaliki Sana ASANTE YESU NITIE NGUVU 🔥🔥🔥🔥
@irinenanciebarasa5566
@irinenanciebarasa5566 День назад
Hallelujah 🙌 Amen Amen MUNGU wangu 2025😢😢😢😢😢nipokea ndoto yangu mm MUNGU mtoto wako 😭😭😭😭😭🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️🙇‍♂️
@EzekiaSanga-d7o
@EzekiaSanga-d7o 2 дня назад
Mungu hutoa kwa wakati wake usipozimia moyo ewe ulie mteule wa Mungu,, tusichoke kuomba na kumuamini huyu alie mkuu kuliko kitu chochote.. Asante Mungu kwakua unasikia maombi ya watu wako ameni...
@MariamSenga-xn2dc
@MariamSenga-xn2dc 3 дня назад
Amen🙏Mungu mtakatifu akutimizie ndoto yako ili watoto wetu wapone kwa kuwafu ndisha misingi mizuri😭ambayo inawasaidia kumjua Mungu wa kweli🙏
@clareotuba4777
@clareotuba4777 3 дня назад
From tiktok this song is powerful messege be blessed man of God 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@EuniceDaniel-l8f
@EuniceDaniel-l8f 2 дня назад
Mungu unaemtumikia na akutimizie ndoto zako katikaJina la Yesu. Akuponye na kukua wa kufanana nae. TUNAMWAMINI ATAFANYA KWAKO.
@JohnAlagwa
@JohnAlagwa 3 дня назад
Mungu timiza ndoto zangu. Ingawa Kuna ugumu lakn nakuamini ww MUNGU. Utatimiza. Nakuamini
@HsjjDdj-s4c
@HsjjDdj-s4c 2 дня назад
Mungu ni mwaminifu atatimiza ndoto zetu 🙏🙏🙇🙇 Mungu akubariki sana mtumishi nyimbo zako ni nzuri sanaa Mungu akutendee mema maishaini mwako bila kutusahau na sisi
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire 2 дня назад
Nashukuru sana dadaagu mdogo Mungu atukumbuke. Ubarikiwe kwa kutii. Ubofye kengele tu ndio nyimbo nzuri na Neno la kweli ulipate hapa
@Rashid-vm1fk
@Rashid-vm1fk 3 дня назад
Ee Mungu timiza ndoto zangu, Amina Mtumishi wa Bwana ubarikiwe sana kwa wimbo huu.
@MuhadiaSheila
@MuhadiaSheila День назад
From Kenya man of God be blessed with wonderfully songs keep it up ❤
@lazarodaudi1689
@lazarodaudi1689 3 дня назад
Amen Mtumishi Mungu akuwekee ULINZI DHIDI ya muovu shetani na kundi lake 🙏🙏🙏🙏🙏
@Lucyiminza
@Lucyiminza 3 дня назад
Baba timiza ndoto zangu Mungu wangu 🙏 🙏 Be blessed Servant of God 🙏
@fatumaminyeko1875
@fatumaminyeko1875 3 дня назад
MUNGU akupe aja ya moyo wako katika jina la YESU KRISTO
@MusyokaJoseph-r4v
@MusyokaJoseph-r4v 3 дня назад
Amen Mungu atimize ndoto zangu ❤❤
@devotaminga9352
@devotaminga9352 15 часов назад
Wimbo mzuriiii mtumishi Mungu akubariki kwa kututia moyo🙏
@jerusalemsuccess4562
@jerusalemsuccess4562 3 дня назад
Amen Amen Padscal nasikiliza u tube natokea Mkoa wa Pwani Njia Nne Visiga Madafu naelekea Mbezi Kwa Magufuli Dar
@evodiusbandio8041
@evodiusbandio8041 2 дня назад
Mungu azidi kuinuliwa kwako na kizazi chako kwa uimbaji wako
@EliaMwashibanda
@EliaMwashibanda 3 дня назад
Nimeomba miaka mingi nipate mke timiza Ee Bwana
@kizachristine
@kizachristine 3 дня назад
Baba katika jina la Yesu timiza ndoto zangu nakuomba baba
@modestermurunga4667
@modestermurunga4667 2 дня назад
Hata nami timiza ndoto zangu.barikiwa sana Mtumishi
@Moses-Modekai
@Moses-Modekai 3 дня назад
Vile umevaaa ndivyo waimbaji WA injili wanafaa kuvaaa, your blessed May God timiza ndoto zetu
@loyjoywambani178
@loyjoywambani178 2 дня назад
Which verse says so?😅
@benjaminwafula
@benjaminwafula 3 дня назад
eishi mtumishi ww n moto kubwa mda sio mda mazuri yanazidi kuja tu nasemaje tangu nianze kukujua hadi sasa hujawaikosea uko fire ww n moto mkubwa na mungu yupo nawe lazima ndoto zako na zangu hapa mungu azitimize
@paschalcassianoriginal9411
@paschalcassianoriginal9411 3 дня назад
❤❤
@ArubinaChimuli
@ArubinaChimuli 15 часов назад
Hallelujah.Baba timiza Doto zangu🙏🙏
@maglindaanyango
@maglindaanyango 3 дня назад
😢😢😢 pia mimi MUNGU timiza ndoto zangu.amen
@monicaawino3916
@monicaawino3916 3 дня назад
Powerful message amen 🙏 timiza ndoto zetu Mungu wetu
@MizeriaConstancioAntonio-t4s
@MizeriaConstancioAntonio-t4s 3 дня назад
Asant sn from Mozambique my name mizeria Naomba lik jmn
@Josephmakokha-nn5dh
@Josephmakokha-nn5dh 3 дня назад
Mungu ni roho nko Kenya
@KenvesKabwe-k9e
@KenvesKabwe-k9e 3 дня назад
Amen 🙏🙏 umbarikiwe mutumishi Pascal cassian
@protasdmassawe
@protasdmassawe 3 дня назад
Barikiwa MTUMISHI kwa nyimbo NZURI yenye UJUMBE MZITO!
@LilyanNyagaka
@LilyanNyagaka 2 дня назад
Mungu timiza ndoto zangu amen 🙏 🙌
@gastonamnon7005
@gastonamnon7005 2 часа назад
Umebarikiwa Kipaji kaka 🎉
@patrickkazembe2591
@patrickkazembe2591 3 дня назад
bravo mtu wa Mungu ndiyo na maombi Mungu ajura
@IreneNabutiti
@IreneNabutiti 2 дня назад
Amen 🙏🙌 hallelujah good job Sir
@jovettedenise2591
@jovettedenise2591 3 дня назад
Mungu timiza ndoto zangu .Mungu atimize ndoto zako❤❤❤❤❤
@juliusjoseph6320
@juliusjoseph6320 День назад
Mungu asikiagi HATA ukimwita kwa sabàbu hasikii kamwe na hata Huta kutananae😂😂😂 upuzii TU
@DesmondStewart-d9h
@DesmondStewart-d9h День назад
You've high sign of mediocrity kwani ww ni shetani ama? Bna una wivu
@MGALILAYABillionaire
@MGALILAYABillionaire 2 часа назад
Sikio la Mungu liko kuwasikiliza ambao wanaongozwa na roho wake. Bali kama unaongozwa na mwili hakusikii. Hivyo basi ukifa kwa mambo ya dunia hii, (ya mwilini Mungu anakusikiliza na kukujibu wasiwasi hajajificha mpaka sasa anaoneka kwa wale wanaoongozwa na roho. Anasema nitafute kwa bidii na utanipata. Nduguyangu sio wewe bali ni kile kilitupwa ndani yako ndio kinaongea. Ukikiri Yesu ni Bwana na kutembea kwa shauri lake basi utamuona kabisa kwa kila jambo.
@GraceKamene-bw3ds
@GraceKamene-bw3ds 2 дня назад
Huu wimbo ni mzuri na umengusa moyo Wangu
@WinbrodaMachengo
@WinbrodaMachengo 3 часа назад
Eee mwenyezi mungu niokoe
@martinahlighare6495
@martinahlighare6495 3 дня назад
Kwa mapenzi yako Mungu naomba, utimize ndoto zangu na kuokoa maisha yangu ili wanaonitegemea wasiangaike kamwe.
@anner8120
@anner8120 День назад
Timiza ndoto zangu Mungu 🙏🙏🙏
@alexandrekiza3051
@alexandrekiza3051 3 дня назад
MUNGU timiza ndoto zete. Amin 🙏
@JoelCharles-mv4zb
@JoelCharles-mv4zb 3 дня назад
Huu wimbo niliusubiri Kwa hamu sana tu nimeupost clip zake kama 3 hivi TikTok nikiutangaza
@jerusalemsuccess4562
@jerusalemsuccess4562 3 дня назад
Wimbo wako huu unafanans na wimbo wa Kifaransa ameimba Narcisse Bade JE NE pas avoir haunte. Sitaki kupata aibu
@emmanuelmogela5871
@emmanuelmogela5871 2 дня назад
Timiza ndoto zangu Mungu nisibaki nilipo
@TwomainTumain
@TwomainTumain 2 дня назад
Utafamikiwa mbinguni,hizi nisiku za mwisho achana nayadunia
@rabecanthambi8026
@rabecanthambi8026 2 дня назад
Mungu timiza ndoto zangu 🙏🙏🙏🙏
@BORNCITYCHENGULA
@BORNCITYCHENGULA 3 дня назад
Amina mtumishi mungu akubaliki sana mtumishi
@nursechunga4470
@nursechunga4470 День назад
Timiza ndoto zangu baba🙏😭🙌
@JohnYustace
@JohnYustace 2 дня назад
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu
@MbobociRehani
@MbobociRehani Час назад
Amen Ubarikiwe✋✋✋✋✋✋
@BNM-ob6uc
@BNM-ob6uc 3 дня назад
🎉KAZI IMENYOOKA KAKA ❤
@josephleonard2415
@josephleonard2415 3 дня назад
Wimbo bora kabisa.
@IsackLucas-rm4nk
@IsackLucas-rm4nk 3 дня назад
Amina sana nakukubari sana mtumishi
@ABRAHAMJakisa
@ABRAHAMJakisa 2 дня назад
Wow Pascal, very good song please I wanted to download it but it can not allow me to download the song please what can I do?
@mesendja
@mesendja 2 дня назад
My brother keep it up and knew this song reminded me that song about your marriage if i'm not wrong the title was SAWA , so when you will release it man of living God? It's @Mesendja from United States.
@haningtonmusah742
@haningtonmusah742 3 дня назад
😢😢 😢 amen barikiwa kaka
@StephenKariuki-s9y
@StephenKariuki-s9y 3 дня назад
Nice one❤❤❤❤
@Moses-Modekai
@Moses-Modekai 3 дня назад
That's nice song
@aviosilona316
@aviosilona316 3 дня назад
Mungu hata nipitie magumu zaidi nipe nguvu na neema zaidi ili nitimize ndoto yangu....bariki uzao, bariki marafiki, na kila mtu anaye soma hii comment.... Wote wanao pitia shida Mungu awakumbuke awe kibali zaidi Mchungaji barikiwa sana......kutoka Kenya 🇰🇪 😍 ❤
@aureliajoseph8518
@aureliajoseph8518 3 дня назад
Ubarikiwe sana kwa uinjilishaji huu !! Eeee Mungu baba Naomba Timiza ndoto zangu... mpito ni meeeengi sana.. Timiza Baba ndoto zangu na watoto wangu...🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@NicodemusSiwatum-zz8lh
@NicodemusSiwatum-zz8lh День назад
Timiza ndoto zangu mungu
@MercyBona-f1y
@MercyBona-f1y 3 дня назад
I will never give up ❤❤❤❤❤
@gggghhhbh5755
@gggghhhbh5755 3 дня назад
Hakika nyimbo zako huwa zinanijenga sana mungu akubariki sana mtumishi wa mungu
@simonIbrahim-hc8vm
@simonIbrahim-hc8vm 18 часов назад
Aminaaaaa
@maryowino-kh6ub
@maryowino-kh6ub День назад
nyimbo nsuri atatimiza
@Elishaponde
@Elishaponde 2 дня назад
Ubarikiwe sana
@asminmakoha6889
@asminmakoha6889 3 дня назад
Amen Hallelujah
@jemskefa
@jemskefa 3 дня назад
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu mungu atatuvuta mashozi sote
@iyaamoding8945
@iyaamoding8945 2 дня назад
🙏🙏🙏🙏🙏 timiza baba
@IsaacNgalama-lj6gf
@IsaacNgalama-lj6gf 3 дня назад
Amen mtumishi
@sheillahwairai4691
@sheillahwairai4691 3 дня назад
umebarikiwa kuwaliko wote
@QueenNyondo-h1m
@QueenNyondo-h1m 3 дня назад
Amen 🙏🙏🙏 Amen
@ThomasNgelata-sd5hk
@ThomasNgelata-sd5hk 3 дня назад
Amen 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@TheofridahChigumbi
@TheofridahChigumbi 3 дня назад
Amen Amen
@mhinamanmagazine
@mhinamanmagazine 3 дня назад
Wimbo mkubwa sana
@protasdmassawe
@protasdmassawe 3 дня назад
Amina ni Maombi yetu kila Day🙏👏
@AndrewSteve-r4k
@AndrewSteve-r4k 3 дня назад
Amina naiwe hivyo kama baba yetuwa mbinguni apendavyo
@Michaelamschel
@Michaelamschel 18 часов назад
Umeanza kuvaa kiarabu
@ChristophKito
@ChristophKito 2 дня назад
Asante 🇨🇩🇨🇩🇨🇩sana👍
@PrinceMbwana-i5o
@PrinceMbwana-i5o 3 дня назад
ameni ameni ameni
@esthermurunga3659
@esthermurunga3659 4 часа назад
Amen
@ruthkhalayi5097
@ruthkhalayi5097 3 дня назад
Amen 🙏
@AdamuTobias
@AdamuTobias 3 дня назад
Amina
@lucasvenance5175
@lucasvenance5175 2 дня назад
Huyu mtu ana kitu cha ziada
@mwaupinailejeyetu
@mwaupinailejeyetu 2 дня назад
Natamani kuimba nawewe basi tuu
@alexandrekiza3051
@alexandrekiza3051 3 дня назад
Namba zako mchungaji plz ❤
@frankmanyama5979
@frankmanyama5979 3 дня назад
Wimbo wenye uvuvio kiroho, nasikia sauti ya mamlaka.
@LABANREVOCATUS-v9v
@LABANREVOCATUS-v9v 2 дня назад
AMINA
@JastiniElishawaokoke
@JastiniElishawaokoke 3 дня назад
Mtumishi wa mungu unapatikana wap
@GideonLenard
@GideonLenard 3 дня назад
❤❤❤
@linaxkavaya3235
@linaxkavaya3235 3 дня назад
Wonderful song ❤❤
@bridgeofGodskingdom
@bridgeofGodskingdom 2 дня назад
@tuyishimelyvan1207
@tuyishimelyvan1207 3 часа назад
Asant
@remigioushofa2817
@remigioushofa2817 3 дня назад
Amina,amina Mtumishi
@kassebo
@kassebo 3 дня назад
Ameee
@Pendopasilika
@Pendopasilika 3 дня назад
Ee MUNGU sikia kilio cha mwanao mtimizie kwa hitaji lake
@AdamMinistries
@AdamMinistries День назад
Magu Icon Mungu Akutunze 🎉🎉🎉
@haningtonmusah742
@haningtonmusah742 3 дня назад
😢😢 😢 amen barikiwa kaka
@KambuaMulunde
@KambuaMulunde 3 дня назад
Amen Amen
@GastoMwalyaje
@GastoMwalyaje 3 дня назад
Amina
@KennedyLyanda-ez1kw
@KennedyLyanda-ez1kw 3 дня назад
Amen
Далее
( NEW VIDEO NIMEZIDIWA NEW) ( PASCHAL) CASSIAN
7:19
Просмотров 13 тыс.
повтори звуки животного 😱
00:52
Ничего не делаю всё видео 😴
00:33
MISSION IMPOSSIBLE [43]
23:50
Просмотров 11 тыс.
AHMED ALLY AFUNGUKA YOTE KUHUSU FEITOTO KWENDA SIMBA
9:09
повтори звуки животного 😱
00:52