Ubarikiwe na mungu pia tutatekeleza Ombi lako Cha msingi endelea kufuatilia channel yetu pia subscribe na bonyeza alama ya kengele Ile tukipost Epsode inafuata ikufikia Moja Kwa Moja kwaiy fanya ivyo kama ujafanya ,Fanya now 👏👏👏👏
Asante kaka Kwa upendo wako na poa Swahili movies endelea kufuatilia channel hii mambo mazur yanakuja Karibu SANA KWENYE familia ya POA SWAHILI MOVIES 🇹🇿
Nadhani Tangu nianze kuangalia Movies za Sikonge, hii ndio movie yangu Bora sana kuanzia Script, sauti, uhusika katika kuigiza lakini pia kisa ni kizuri na kinasisimua pia. Hongereni Sana Kwa kazi nzuri nawapata vyema kutokea Karjikistan