Nyinyi Shia mnawatakia Abubakar(AS) na Umar(AS) Moto wa Jahanamu!!! Mtume Muhammad aliwatabiria hawa Pepo katika wale Aashara Mubashara. Ina maana nyinyi Shi'a mnakanusha maneno ya Rassuli. Ukikanusha maneno ya Mtume wewe umeasi. Yafaa Shi'a wasilimu kisha watubu kwa Allah.
Unajua kuna watu siku ya kiama watachukua dhimma kubwa sana kuugawa uislam wallah nakwambia,kwa nn wasingefuata misingi ya Mtume alivyofundisha? Kama mtume S A.W kabla ya kufa hakuacha Sunni wala ushia.wameona mtume kafa kila mtu kaja na lake hili watakuja kulijibu wale ambao walilianzisha kama litakuwa bora Allah anajua likiwa limeupoteza umma Allah yeye anajua.Na hichi ndiyo chanzo cha ulimwengu wa kiislam kugawanyika.kama wao walitaka waunde madhehebu kwa nn hawakuanzisha mtume S.A.W yupo hai ehhh? Mara hawa sunni maana sunni ni wenye kufuata sunna za mtume mara hawa mashia shia maana yake ni kundi.kwani zama yupo Mtume S.A.W waislam hawakuwa wanafuata sunna? Leo hii Mtume kafa musifuate muongozo ule ule?.au hawa nao wanajiita shia huyu aliyeanzisha hii kwa nn asianzishe huo ushia Mtume yupo hai?. Kwa kweli hili lote wa kuwalaumu wale chimbuko na siyo hawa wa leo.kama unawapata wao wawili unakaa nao huyu aliyeanzisha ushia akasema sisi ni shia na huyu wa sunni ukawaweka pamoja lazima swali langu ningewauliza wote wawili kwa nn msingeuacha uislam kama alivyoufundiaha Mtume nyinyi mkaamua kuuleta kwa madhehebu ehh?.hata Mtume leo angekuwepo asingekubali kuona waislam wakijigawa hivi.mbona wanaouchukia uislam hawasemi mashia ndiyo magaidi au wasuni ndiyo magaidi? Wanasema waislm ni magaidi.eti sisi wenyewe leo tunagawana.hili mimi nasema lazima watabeba mizigo hao tu kama mtu wa mwanzo kuua na mtu wa mwanzo kuchonga sanamu.Na sisi waislam hatutakuwa kitu kimoja mpaka kiama kwa sababu tumetengana tayari na maadui zetu watatuweza vizuri.
Nyinyi si waislam, 1, Adhana yenu tofauti na waisla 2, swala yenu pia ni tofauti, Dini yenu imeletwa khumeni na sasa inashikiliwa na khamenei, nyinyi ni Iraniiiiiiiiiiii
Wewe ndio unaleta fitna, hivo vitabu venu vya unafiki hakuna anoviamini ktk sunni, mbona unaruka mada unakuja kwa omar hiyo sio jazba? wacha unafiki na uzushi, matabu makubwa ya uzushi na unafiki tu.