Тёмный

TOFAUTI YA TAHAJJUD NA QIYAMUL LEIL 

Izudin Alwy Ahmed
Подписаться 176 тыс.
Просмотров 150 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 185   
@mariamhamisi598
@mariamhamisi598 5 месяцев назад
Mashaallah Shukuran sheikh wetu Allah atujaaliy umr mrefu na mwisho mwem nimefurah kupata darasa zur san nilikuwa sijui leo ndo najua ❤❤❤
@jumahamad3723
@jumahamad3723 5 месяцев назад
Baraka llahu fiiq maashallah Huyu sheikh anafahamisha vizur Allah amzidishie elimu yenye manufaa
@husseinrashid6222
@husseinrashid6222 6 лет назад
Allah amuweke huyu mwanazuoni wetu IN SHA ALLAH n wewe muunganisha Habari ALLAH akuweke pia n awajalie mwishomwema . Wallahi nawapenda kwa ajili y Allah
@mamapelyekelye9799
@mamapelyekelye9799 2 года назад
Mashallah hii rai ya maspika nimekuelewa sana na ni maoni na maisha tuliuonayo.. Nayaelewa sana mafundisho yako.. Allah akulinde utufunze mengi zaid inshallah
@MaryA-yf4cq
@MaryA-yf4cq 6 лет назад
Shukran. Jazaka ALLAH kheir. Hilo ndilo nilokua nalitarajia kulijua. Kwa sababu kitabu nilonacho hakielezei vizuri. Kinataja tu sala za usiku Tahajud na qiyaummu leyli hakitaji mambo ya kulala na kuamka. Hakielezi kama kuna tafauti ya Tahajud na Qiyaummu leyl. Na wengi wetu hawajui tafauti yake. Nimewahi kuulizia tafauti yake nikaambiwa yote ni sawa hakuna tafauti. Umenipa manufaa makubwa sana sheikh. Mwenye ezi Mungu akupe umri mrefu wa kutuelemisha tutoke ujingani na sisi tukiulizwa masuala kama hayo tupate kujibu bila ya khofu.
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 5 лет назад
Kweli kabisa
@MohammedSalum-wi3yk
@MohammedSalum-wi3yk 5 месяцев назад
Allah amlipe heri kwa elimu anayoitoa kwa ufafanuzi wa kina
@kingoman7895
@kingoman7895 6 лет назад
Nimekuelewa sana sheikh lzudin shukran sana Allah azidi kukujaalia uwezo uweze kutufundisha zaidi Amin
@mesalimrashid6312
@mesalimrashid6312 4 года назад
Unafahamika vzr sana huku digo twakupenda sana kwa ajili y Allah.
@saudakibanda9239
@saudakibanda9239 4 года назад
Asante Sanaa shekh nilikuwa ninajiuliza hili swali kila siku nashukuru umenielewesha vzurii
@mwanamisaomar346
@mwanamisaomar346 5 лет назад
Shukran sheikh.. nimejifunza xana tahajud..na qiyamulel..namengine pia yamenigusa xanaa ..thawilik umri ya sheikh
@faizhamad2006
@faizhamad2006 6 лет назад
Sheikh wallahy wafahamisha vizuri sana asiefahamu basi ana mushkeli kidogo uko fasaha sana nayapenda mawadha yako Mungu akupe baraka Insha allah
@saidomary7880
@saidomary7880 4 года назад
Sana
@abassking8296
@abassking8296 4 года назад
Kuna masheikh na maustadh na sio kila sheikh ni ustadh huyu ni ustaadh anafahamisha km ustadh wa madrasa chuoni
@cpasalma1532
@cpasalma1532 4 года назад
@@abassking8296 yaani hadi raha
@mimukenya1075
@mimukenya1075 6 лет назад
Allah Akujaalie kila lenye Kher Duniani na Akherah Sheikh
@ahmadnyidad2050
@ahmadnyidad2050 6 лет назад
Shukran kwa Darsa nzuri yenye kueleweka vizuri,JaaZaKAllahu kheyr.
@saidokendrick3023
@saidokendrick3023 5 лет назад
Asalam alaykum warahmatullhahi wabarakatuhu haji shukran kwamawaiza yako napenda San a nikikusikiya ukitowadawa nakupenda Sana
@mohamedhamadi227
@mohamedhamadi227 4 года назад
ALHAMDULINLAH,Shekh hakika kila anaesikiliza kwaufasaha anaelewa nakujijenga,Allah atujalie tue miongoni mwa waliobora
@keissramadhankeiss4546
@keissramadhankeiss4546 4 года назад
Amini
@hshshsshjdjejjejejejej9823
@hshshsshjdjejjejejejej9823 Год назад
Amee 🤲
@abudharsaidy3748
@abudharsaidy3748 3 года назад
ALLAH akupe kila kher sheikh izuddin Umen fungua ubongo kwakwer
@eshabjorkholm1614
@eshabjorkholm1614 6 лет назад
Shukran kwa kutuelimisha Sheikh Izudin.
@user-wr7ss9tj2b
@user-wr7ss9tj2b 5 месяцев назад
Shukrani jazila kweli sheikh maspika uck wamanane yanakera
@user-we4ko2zf8w
@user-we4ko2zf8w 4 месяца назад
Allah akujalie kheir shk izudin
@hemedjumaa390
@hemedjumaa390 5 лет назад
Sheikh kwa hakika nakuelewa sana M/Mungu akupe umri mrefu na Afya salama katika kutufunza Elimu ya Kiislamu
@barkanassir2528
@barkanassir2528 5 месяцев назад
Niukwikabisa ustadh wangu mashaa Allah ❤
@AshouHumaid
@AshouHumaid 4 месяца назад
Mashaaa Allah
@mwajumabakari3730
@mwajumabakari3730 4 года назад
Shukran shehe nimepata Darasa la kutosha Allha amwalipe mashehe wetu nyinyi .
@OfficialMutrah
@OfficialMutrah 5 месяцев назад
Shukran sana sheikh kwa kutufunza
@wachugypsumtz5089
@wachugypsumtz5089 3 года назад
Allah akustir na kila baya sheikh...Unajua sana MashaAllah
@HudhaimaZubeirAli
@HudhaimaZubeirAli 3 месяца назад
Alhamdulillah 🤲🤲🤲
@shariffakeniya1431
@shariffakeniya1431 5 лет назад
Alhamdulillah ...shukran sheikh kwa ilmu maana nilikuwa natatizika haswaa hapa kwa nia na tofauti....jazaka Allahu kheir
@kamariamtemvu4744
@kamariamtemvu4744 4 года назад
Allahu kheir akhi I wasn't even know those sharia ........ may allah solve ur problems
@mohdomar6760
@mohdomar6760 6 лет назад
مشاء الله.....شكرا للك
@hassanimikidadi1254
@hassanimikidadi1254 6 лет назад
rai yako nzuri imepitiliza uzuri juu ya cpika
@ramadhanmwangi9399
@ramadhanmwangi9399 4 года назад
Mashaa Allah Mungu akulinde akupe umri mrefu uendelee kutupa vitu kama hivi muhimu shekhe
@sakinat2527
@sakinat2527 3 года назад
Shukran sheikh wetu nimeelewa vzr Alhamdulilahi
@athumanhussen2692
@athumanhussen2692 2 года назад
Alhamdulillah Mashaallah umenipa darsa lenye kueleweka Mashaallah.nimepata nilichokuwa nahitaji kufaham
@supertal2943
@supertal2943 6 лет назад
Allah barik yaa sheikh
@dumuu3many276
@dumuu3many276 6 лет назад
Jazaakaallahu kheir💯💯💯
@rehematawalani7472
@rehematawalani7472 5 лет назад
In shaa Allah Allah tazidi kufuatilia darsa zako bi 'idhni llah
@issrahayattv1356
@issrahayattv1356 3 года назад
Shukran nimeelewa sheikh barakalafkkum🙏
@abrarabgao
@abrarabgao 6 лет назад
MASHAALLAH TABARAKALLAH JAZAKALLAHU KHAIR SHEIKH
@salmahassan7581
@salmahassan7581 6 лет назад
Abrar Abgao is
@abrarabgao
@abrarabgao 6 лет назад
???
@madinahemed3650
@madinahemed3650 4 года назад
Jazzak Allah kheyr
@nurdnkhamis9610
@nurdnkhamis9610 4 года назад
Shukran maalim
@samirhassanlau1473
@samirhassanlau1473 6 лет назад
Jazaka lhahu kheyri sheikh mola akulipe kwa ukumbusho wako
@mwajoma1373
@mwajoma1373 5 месяцев назад
Sheikh anafahamisha vizur san hata tusio jua tunaeliwa vizur kabisa shukuran san 🙏
@stevewanga957
@stevewanga957 6 лет назад
Shukran Ustadh kwa ukumbusho
@husnashaibu6312
@husnashaibu6312 4 года назад
Jazakah Allah kher ......mwenyezmung akuzidishie
@22kaariye80
@22kaariye80 4 года назад
Ramadan2020 Masha Allah
@ayshaayshaabdulrahman6143
@ayshaayshaabdulrahman6143 4 года назад
Shukran jazakallahu kheir
@hamisidumbo1568
@hamisidumbo1568 Год назад
Shukran jazilah Allah baarik wa ne'ma wa swaiha wa umri thwawil insha allah.
@fathiyaali6171
@fathiyaali6171 4 года назад
Shukran sana sheikh, ama kwa hakika umetufahamisha vizuri sana tumekuelewa sana, Alhamdulilah
@rehemashebanikasenge5138
@rehemashebanikasenge5138 3 года назад
Alhamdulillah nashukuru sheikh nimeelewa. Nilikuwa sifa hamu hivi Allah akupe umri na afya uzidi kutupa elmu
@inabikorwaneema8815
@inabikorwaneema8815 6 лет назад
Barak'Allahu fiiq
@mariamyoyote8172
@mariamyoyote8172 4 года назад
Shukran jazira shekh hakika tumeelewa tofaut waraah nilikuwa sifaham tofaut yake Allah akujalie kila lenye kher dunian na akhera Amin ya'allab 🙏
@shabanmbajo3938
@shabanmbajo3938 6 лет назад
ما شاء اللّه، و بارك اللّه فيك الحبيب.
@umeekulsom4655
@umeekulsom4655 5 лет назад
Shukran shekhe...Jazakallah kheir kwakutuelimisha
@ashamussa5129
@ashamussa5129 10 месяцев назад
mashallah jazakallah kher
@ammoahmed2561
@ammoahmed2561 2 года назад
MashaAllah tabarakaAllah. Hayo mambo ya swala kwa sauti yatukera sana. Masekhe na maimamu waogopa kufanya sawa. Keep up Sheikh. Allah akujazi kheri
@kuluthummohamed8706
@kuluthummohamed8706 5 лет назад
Ahsnt sana Allah akupe afya bora na mwisho mwema ahsantee
@ashurasaid4165
@ashurasaid4165 3 года назад
Jazaakarahu khairan shukran kwa darsa maa shaallah
@khalidaothman6315
@khalidaothman6315 4 года назад
Shukran sheikh nimekufaham sannna nimependa asanteeee
@amneally8118
@amneally8118 3 года назад
Inshallah
@mbelawazambi5323
@mbelawazambi5323 3 года назад
Jazakallah kheir
@mesalimgumma1486
@mesalimgumma1486 2 года назад
Shukran sheikh umeelezea kitu chenye ilikua natamani sana kujua 🙏🙏🙏
@aminalibondo7507
@aminalibondo7507 4 года назад
Shukran xn jazka Allahu kheri umenifunza haki ya mungu
@khairatkheir7776
@khairatkheir7776 8 месяцев назад
Allahu barik,,,
@arafakiloli749
@arafakiloli749 2 года назад
Mashaa Allah Allah akuhifadhi
@hfhffg7819
@hfhffg7819 6 лет назад
Shukran sheikh..
@ninjaman4670
@ninjaman4670 4 года назад
Swaswa Ustaadh
@norrismalechela7685
@norrismalechela7685 3 года назад
Mashallah sheikh
@abdallasaid5593
@abdallasaid5593 6 лет назад
Shukran habeeb
@samiraali5505
@samiraali5505 4 года назад
Jazakallahu kheir
@salmashahib-en9jw
@salmashahib-en9jw Год назад
MashaAllah umenifahamisha vyema sanaa
@saidahamisi6404
@saidahamisi6404 4 года назад
MashaAllah jazzakallahu kher
@aminajuma5664
@aminajuma5664 4 года назад
Asantee sheikh Allah akujalie kher Leo na kesho kiama
@bestoftiktok4436
@bestoftiktok4436 2 года назад
Shukran ushaadh
@AminaEsmail-mw3xu
@AminaEsmail-mw3xu 5 месяцев назад
Allah barik shekh napenda mawaidha yako
@salhahaidary404
@salhahaidary404 4 года назад
Jazzakka LLAHU KHEIR
@mussahashimu4593
@mussahashimu4593 4 года назад
Jazaka allahu l-khair
@abdirazaaqhussein3318
@abdirazaaqhussein3318 4 года назад
Jazakumullah kheyr
@radhiambwana3353
@radhiambwana3353 Год назад
Alhamdulilah Allah akuzidishie.
@rubbymusa1971
@rubbymusa1971 5 лет назад
Hongera ustadhi mawaidha yanaeleweka sana,
@shebebajaber
@shebebajaber 4 года назад
MaashaaAllah. tabaarakAllah. Sheikhuna. Ningeomba ueleze linalotakikana katika Eid wakati huu wa wabaa (pandemic).
@salatbonaya4975
@salatbonaya4975 5 месяцев назад
@omarymziray381
@omarymziray381 4 года назад
maashaAllah Darsa nzur
@mwanaishambili241
@mwanaishambili241 5 лет назад
Shukran jazzak Allah khery
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 Год назад
Allah_akupe_pepo_kwa_kutuelimisha
@fatumamazul4411
@fatumamazul4411 5 месяцев назад
Mashallah 💞
@mishisaidi8696
@mishisaidi8696 6 лет назад
shukran ya sheikh
@hafidhkhamis478
@hafidhkhamis478 4 года назад
Masha Allah
@samoocoolingsystem93
@samoocoolingsystem93 4 года назад
Asante Sheikh Izudin
@abdullahihashim9926
@abdullahihashim9926 5 лет назад
Jazaka allah
@mustafaismail5622
@mustafaismail5622 4 года назад
Mashaallwah
@musamwinyimsa62
@musamwinyimsa62 2 года назад
Shukran sana
@Zanha582
@Zanha582 5 месяцев назад
Hakika nakupenda Kwa ajili ya ALLAH
@thumakajo4814
@thumakajo4814 6 лет назад
Allah izak kheir fi dunia wal akhera inshallah
@marysamsalim1555
@marysamsalim1555 5 лет назад
Asalam alaykum shekh usichoke kutuelimisha hizi swalaa mbili ilikua hatuzijui namna yake sasa umetufungua macho na masikio na usichoke kutuelimisha nisha wauliza watu wengi lakini si kama ww ulivo tufahamisha vizuri nakuombea allah azidi kukupa ufahamu na umri twawiil uzidi kutuelimishaa
@fatumaabdallah9768
@fatumaabdallah9768 4 года назад
Je inafaa nkaswali tahajud nikafunga kwa witiri nkimaliza nikaludia kulala alafu sa kumi na moja nikaamka tena nikaswali subuhi je inaswihi
@mirajiissa4603
@mirajiissa4603 4 года назад
Yafaa ndio.
@halimaalso8896
@halimaalso8896 4 года назад
@@mirajiissa4603 jee inafaa mm nikicherewa kulala yaani nilale saa5 au6 halafu nijeniamke saa8 nisali tahajudi vp inawezekana .au lazima ulale mida iyo ya saa2
@mirajiissa4603
@mirajiissa4603 4 года назад
@@halimaalso8896 ,,,, naam inafaa na ili iitwe tahajud lazima ulale kwanza baada ya swala ya isha ,,, ila ukiswali isha kisha ukavuta adhikar kisha ukaamua kuswali sunnah hapa unanuia kuwa waswali qiyam-layl
@mirajiissa4603
@mirajiissa4603 4 года назад
Muhim ni kulala baada ya swala ya isha
@fatumamazul4411
@fatumamazul4411 5 месяцев назад
Je nisawa kuswali na taa usiku wakati wakuswali suna iwe tahajudi au sunnat lhaja??
@rehematawalani7472
@rehematawalani7472 5 лет назад
MASHA'LLAH shukran sana sheikh maana hizi swala za witri na tahjudi zilikuwa zinaniuma kichwa sana leo nimetozhelezeka na maelekezo yalo Allah azidi kukupa umri mrefu
@christopherwarutere3489
@christopherwarutere3489 5 лет назад
Well explained
@husseinmaingo5009
@husseinmaingo5009 Год назад
Shukran 🤲 Amiin Thuma Amiin 🙏
@idayanuru2499
@idayanuru2499 5 лет назад
Mashallah
@alwihussein6888
@alwihussein6888 4 года назад
Allahu baarik kwa kutuelimisha
@saumuseif9189
@saumuseif9189 4 года назад
Shukran saana tumejifunza
@jumashokashoka4264
@jumashokashoka4264 4 года назад
Sheikh Samahan naomba kujuw tofauty ya qudra na qadari ya Allah
@sihamabdalla541
@sihamabdalla541 2 года назад
Alhamdullilah
Далее
DUA ZINAZOTAKIWA KUOMBWA BAADA YA SWALA
1:15:07
Просмотров 212 тыс.
JE TAHAJUD NA QIYAMULLEIL ZINA SURA MAALUM
10:50
Просмотров 32 тыс.
UMUHIMU WA SWALA YA TAHAJJUD
1:02:23
Просмотров 21 тыс.
VIPI UTAOGA JANABA
17:27
Просмотров 289 тыс.
IJUE SALA YA TAHAJJUD
2:55
Просмотров 10 тыс.
ULIZA UJIBIWE NO  21 ( 2024)
55:15
Просмотров 7 тыс.
FAIDA YA SWALA YA TAHAJJUD
1:11:29
Просмотров 65 тыс.