SASA KWA TAARIFA YAKO, BBC Swahili tangu wapo kina Salim Kikeke, HUYU MWAMBA NDIO WALIKUWA WANAMTEGEMEA KUCHAMBUA SIASA NA UCHUMI WA AMERICA NA ULAYA, japo jamaa ni Engineer wa ndege, lkn kwenye uchambuzi wa SIASA za America namkubali sana
Wabongo wajinga wengi ndio maana Mwijaku anasema amefanya Shopping ya #4000, Wabongo wote wamemuamini kqa vile hamjui kitu.anawabeba ujinga akikaa pembeni anawaita wapumbavu.sisi tunajua hapa kuwa Store aliyokwenda kufanya Shopping ni Cheapest store in America lakini wabongo wote wamemuamini kqa ajili ya Upumbavu wao😊
Huyu jamaa sio mchambuzi wakweli bali yupo hapa sns kuutangazia uma yeye ni team kamala tena hajifichi, kawaida mchambuzi mzuri hachagui upande. Sns tafuteni mchambuzi mwengine mwenye ujuzi achana na huu shabiki. Sns tunaikubali, huu niushauri tu.
Kama harris atashinda uchaguzi wa marekani basi nitajua hakuna kitu kinaitwa uchaguzi huru duniani haiwezekani aanze kampeni juzi na uchumi wa marekani umeyumba mfumuko wa bei umekuwa mkubwa na yuko madarakani na mfumuko huo umesababishwa na vita ambavyo havina faida kwa watu wengi wakiwepo hao wamarekani wenyewe ila kwa wachache tu.
so kwel trump jana alishinda vyombo kama fox na bloomberg wameonyesha taqwim shida yako umeweka rangi mbele kama mwandishi umekosea umeweka mapenz mbele
@@juniorjotham1524 Acha uongo Haris ndio aliongoza kwa paint 63 na Trup 37 pole sana tatizo lenu amuelewi Trump hawataki nyie watu weusi kabisa kwan amedaii mnaibia watu wao pets mnakula mbwa na paka na isitoshe mnachukua kazi za Black American na ujambazi unaongezeka muwe na akili hilo dude mnalolishobokea haliwahitaji nyie kabisaa
Kwa Debate ipi???? TRUMP ni mshindi yani Champion even though ilikuwa ni 3vs1 guy wewe ni fans mwingine wa Radical Left Wing na unaifanya SNS ionekane kama CNN or CBS. Trump said things that Kamala didn’t respond to. She lied 25 times and she did not get fact checked wile Trump lied 3 times and got fact checked on both. Genius people with no feelings understand what Trump did and what he wanted. He wanted her to get a confidence so she can ask for a second debate. Go Back and watch the debate Sir
Fact,huyo mchambuz wa Radical left wing yuko biased,Tumefuatlia Debate asijifanye anajua sana ya nyumban hapa ameufyata, 3 vs 1 na bado Trump amewamudu fact checked kwa trump tu ila kwa kamala hakuna hata moja while amesanganya zaid ya mara 20, sky umemta wap huyu saivi watu aware sana na geopolitics na siasa za kimataifa
Trump katoboa ila media za magharibi wanamponda sana ila ukweli ni kwamba Harris akishinda vitu vitapanda bei mara dufu zaidi. Na vita zitaendelea kuwa nyingi Na ugasho utaongezeka zaidi kote duniani