Тёмный

Truth about JOBS in QATAR, bebefe coming please consider this!?🥰🙏... 

JACKSON 254TV
Подписаться 58 тыс.
Просмотров 6 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 140   
@KabijSaib
@KabijSaib Год назад
Jaman kaksoni 😂😂😂😂😂😂😂 waniua mbavu,,,,kiswahili chako,nafurahia mnooo,ukiongea,mimi mtanzania ,,,wote ni ndugu,,,nakuelewa ukiongea,unafundisha mnooo❤❤❤❤❤❤
@KhadijahMohammed-si2bk
@KhadijahMohammed-si2bk Год назад
Woow woow amazing nifanyiye connection nije nikuwe nakushikia camera tukitembea then end month unilipe 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@rrff5897
@rrff5897 Год назад
Thank you for goodnews.lakini story ya huyu guy imenishtua tu.waah!very terrible
@susanthiya4399
@susanthiya4399 Год назад
I second you Jackson..am here in Doha but it's good country to be.
@carolinetalam5832
@carolinetalam5832 Год назад
Sawa Jackson nipe Agent mzuri mwenye unajua
@jonesgisemba
@jonesgisemba Год назад
Jackson,, Mimi nilikuja Qatar last year mwezi wa tiza mwenye alinileta alinipereka kwa supply company tukaenda medical,,tukatolewa vidole angalau tupate I'd,,bahati mbaya hiyo kampuni haikuwa na job but nikatoka hiyo kampuni nikaenda kampuni ngine,,hakunipea id although nilienda ulikuwa instaka kuchange kampuni haina Visa za Kenya,,nilimrudia anipe I'd anasema nilipe penalty ZA hizo id,,mimi ndio ninafaa nilipe penalty ama ni kampuni yenye ilinileta
@MelvinBarongo-u6s
@MelvinBarongo-u6s Год назад
Thats my next country in Jesus Name 🙏🙏
@ruthmwangi3199
@ruthmwangi3199 Год назад
Watching from Saudi Arabia 🇸🇦🇸🇦🇸🇦. agood job.my.son
@phibiantowett4785
@phibiantowett4785 Год назад
Alisema yeye ni Sudan Kwan amekuwa mwarabu 😮
@Joannekesa-cc2ib
@Joannekesa-cc2ib Год назад
Am sorry brother Jackson I think this boy is a Bangladesh and not an Arab ........but ist so painful our sisters now aki wamesahau kilichotutoa nyumbani.......
@JACKSON254TV-kp1kw
@JACKSON254TV-kp1kw Год назад
Continue thinking my dear is allowed🥺🤔
@Mary-gw3hb
@Mary-gw3hb Год назад
​@@JACKSON254TV-kp1kw ❤
@ruu6592
@ruu6592 Год назад
He is Ethiopian
@met-sheryl840
@met-sheryl840 Год назад
He's a Sudanese,,Hadi nliskia akisema mwenyewe
@milderd4495
@milderd4495 Год назад
Ni msudanese wale walilelewa saudi bt sudan origin
@eunicekwamboka5103
@eunicekwamboka5103 Год назад
Si unitafutie job uko please 🙏 ata kama ni ya nyumba
@KabijSaib
@KabijSaib Год назад
Niko oman sasa mwaka wa 6,alhamdulilah,naweka subra,,,,na nimezoea mungu ananiwekea wepes
@aishasaidi1784
@aishasaidi1784 Год назад
Ameambiwa ni msudan kemboi kemboi waki kuyuu kale wameuwa
@MariamHassan-nv4ue
@MariamHassan-nv4ue Год назад
Wenye wanataka connection ya qatar for women house to house follow me na mjue commission ni lazima but kama unajua utafika uku ukemboi don't try to text me please
@maureenkalama4029
@maureenkalama4029 Год назад
Yes nahutaji plz
@maisarah6819
@maisarah6819 Год назад
Commission n ngapi nataka
@KINARA-047
@KINARA-047 Год назад
Qatar 🇶🇦 is very peaceful I was working there for 4yrs.
@CATHERINEMUSAVI-e7i
@CATHERINEMUSAVI-e7i 10 месяцев назад
Point taken
@marcymary1560
@marcymary1560 Год назад
Nauliza napanga kukam uko unaeza nikonnect na ajent mpoa Yule mwaminifu pliz
@royamani
@royamani Год назад
Eti,,kuingizaa kichwaaa nakumwaga😅😅😅😅manzee unanifurahishaaa sanaaa more and more content zikam brooo
@KINARA-047
@KINARA-047 Год назад
Hapo kwa dryspell inakuaga ngori bila mushikaji
@Gesairo
@Gesairo Месяц назад
Thanks bro
@KhadijahMohammed-si2bk
@KhadijahMohammed-si2bk Год назад
Thank you very important habibi good work keep moving i salute you😘😘😘😘🙏
@JACKSON254TV-kp1kw
@JACKSON254TV-kp1kw Год назад
Most welcome keep pushing sweetheart🥰🙏
@LydiaKenyan
@LydiaKenyan Год назад
​@@JACKSON254TV-kp1kw hy me naomba no yko
@miriamvihenda7408
@miriamvihenda7408 Год назад
But uwa unasema ukweli Kabisa
@Caroldiana-f4f
@Caroldiana-f4f Год назад
Aky jackson umefanya nikajuwa Qatar inakaa poa,sana but utanisaidia no plz naitaji kazi plz kama cleaner
@JACKSON254TV-kp1kw
@JACKSON254TV-kp1kw Год назад
Search Lilianjosphat kwa tiktok ama Eamal Agency kuna number yake hapo ako nazo mingi sana👍🙏
@Caroldiana-f4f
@Caroldiana-f4f Год назад
@@JACKSON254TV-kp1kw Asante sana
@JACKSON254TV-kp1kw
@JACKSON254TV-kp1kw Год назад
@@Caroldiana-f4f welcome
@magdalinembithe3842
@magdalinembithe3842 Год назад
Very informative thankyou
@JACKSON254TV-kp1kw
@JACKSON254TV-kp1kw Год назад
Most welcome dear 🥰🥰🙏
@barakakalume5584
@barakakalume5584 Год назад
Mazeee nfanyie mipango natakuta job brother
@carolinanduku573
@carolinanduku573 Год назад
It's true Qatar ni kupoa am also here in Qatar and life is good
@puritykenya8096
@puritykenya8096 Год назад
Am thinking 1abt coming here how is the job on side of cleaner
@gloriaamase9764
@gloriaamase9764 Год назад
Ni kweli kabisa mimi niko side ya al sakhama😊
@JosphineNakhumicha
@JosphineNakhumicha Год назад
Nifanyia connection nikuja
@AnaAna-rn5tx
@AnaAna-rn5tx Год назад
Nko na kijana lakini pasprt noma haitoki yawa ikitoka unisaidie pls
@melvineodari
@melvineodari Год назад
Kenya there are more prositute but sijawai ona vituko ka hizi i pity the innocent who are going to die wrongly😢
@alice-sd1sv
@alice-sd1sv Год назад
Hello bro mambo please how can my son get a job,he did ICT na link ni hipi
@mugesigen5129
@mugesigen5129 Год назад
Very nice place thanks for showing us. Kindly pls jackson how can i get work over their .niconnect haki
@estherkavula9992
@estherkavula9992 Год назад
Enyewe kufika hapo ni mungu tu
@lindashagala9767
@lindashagala9767 Год назад
Am working as a housemaid in Saudi Arabia 🇸🇦 as well am a medical student 💉💊
@estherkavula9992
@estherkavula9992 Год назад
Very nice vedio
@robertwachira7075
@robertwachira7075 Год назад
Mushaeleb av been there several times nice place
@emmaotieno6242
@emmaotieno6242 Год назад
Jackson Natamani kuja huko Qatar job yeyote..Niko Lebanon nimechoka nakufungiwa kwa Nyumba.tafadhali nisaidie nipate kazi huko plz Jack...l like ur Chanel
@pracxedismathias5555
@pracxedismathias5555 Год назад
Jac nisaidie kijana wangu apate kazi yakusafisha kwenye maofis au hosii. Ana miaka 20 kijana wa kiume
@MerolyneMakau
@MerolyneMakau Год назад
Jackson nisaidie no. Yako y whpp tuogee unisadie kupata agent poa plz nataka job uko
@alice-sd1sv
@alice-sd1sv Год назад
Mimi nataka job ya security
@cosmasnzai9120
@cosmasnzai9120 Год назад
That's nice
@estherkavula9992
@estherkavula9992 Год назад
Mr Jackson naomba connection ya huko tafadhali niko Kenya
@NyabokRuth-bw9ld
@NyabokRuth-bw9ld Год назад
Waow waow nice,nitafutie job please
@stephen-S7n
@stephen-S7n Год назад
Jackson waambie ukweli qatar is a peaceful state but kazi mtu anaenda ndio inafanya uishi vile unataka. Watu kwa room n 4 to 6 double deckers.
@annemacharia1496
@annemacharia1496 Год назад
Plz Jackson help us reach the agent nisaidie number yake
@sheemaryam
@sheemaryam Год назад
Tusaindie na agent geniune ama utupe hio Link hio ya kazi
@lindashagala9767
@lindashagala9767 Год назад
Let him rest in peace 🕊️ I thought is something else this is prostitution to hell all of them
@samwelbutiko4153
@samwelbutiko4153 Год назад
Hi Jackson,my is Samuel, good driver ! can get job from Qatar.
@janeachieng5898
@janeachieng5898 Год назад
Asante sana jackson umefanya Nimeona Qatar ni place poa
@aishasaidi1784
@aishasaidi1784 Год назад
Nko na video full jaman wanyongwe washindwa kuza Kuma Kenya umaski na Kuma zao wanauwa mtoto wamtu
@lunakimayo5804
@lunakimayo5804 Год назад
💥💥💥💥💯💯💯💯
@daniah9312
@daniah9312 Год назад
Aki brother Jackson kuna brother angu ako kenya unaeza muconnect akuje afanye kazi
@EstherMuso
@EstherMuso Год назад
Can you help us with the right agents please
@daviousd8511
@daviousd8511 Год назад
Izo gari tunaeza pewa Jackson zikiarbika tu tire badala wabadilishe
@KabijSaib
@KabijSaib Год назад
Yan hilo soooo nikal mnooo duuuuuu,kuua !!!!!!!!!!!!!!😢
@Hylinekemunto-j1m
@Hylinekemunto-j1m Год назад
Niapie vile naeza mbata ya kazi bro
@wangagirl3508
@wangagirl3508 Год назад
Hiii video imefanya sasa ni subscribe leo loe kazi safi sana my brother 👏👏👏👏👏👏tunataka contact kama hizi si zile za kila saa kulia lia to
@JACKSON254TV-kp1kw
@JACKSON254TV-kp1kw Год назад
Asante sana😅👍🙏🥰🥰
@lindashagala9767
@lindashagala9767 Год назад
I have the video but didn't get the all information let me listen to you
@cycalacycala5115
@cycalacycala5115 Год назад
Nitakupate Jackson nisaidie namba simu please
@NaomiWambui-rn4hs
@NaomiWambui-rn4hs Год назад
Mtu wa maana saana
@awadhabdallah-dc9ml
@awadhabdallah-dc9ml Год назад
THE BOY IS FROM SUDAN IS NOT A SAUDI BOY
@aishasaidi1784
@aishasaidi1784 Год назад
Wa Kenya wame haribu wacha wacheke TU online ila kemboi wata tabu sana
@Saidsalim-xk3qs
@Saidsalim-xk3qs Год назад
jamani Kenya Dubai sio kwetu hyo ni shida tabu
@lindashagala9767
@lindashagala9767 Год назад
Mimi naona tu umenona hauna stress
@elizabethnyabuto5502
@elizabethnyabuto5502 Год назад
Hi bro pia m nataka kuja hapo niko Saudia nahome soon hiyo connection nataka aki
@patiencemasudi-dr2ur
@patiencemasudi-dr2ur Год назад
Aki mmi s ntaka bt ssa kumeharibika
@NafulaWanjala
@NafulaWanjala Год назад
So sad 😢😢haingefika hapo
@PastorleahSiro
@PastorleahSiro Год назад
Nisaidie no yako Jackson tuongee unikoneck na kasi ya nyumba nikitoka Saudi after one month
@PastorleahSiro
@PastorleahSiro Год назад
Bongesi kwa kasi unafanya,mungu akukumbuke kupitia kasi yako ya bidii amen
@miriamvihenda7408
@miriamvihenda7408 Год назад
sinanga mbavu ya kucheka 🤣🤣🤣🤣
@KabijSaib
@KabijSaib Год назад
Gari nzitooooo,pesaaaa
@OwenMwangi-i5s
@OwenMwangi-i5s Год назад
Jackson waambie ukweli kwamba Qatar job hazijafunguka wengi wako jobless tangu world cup ianze
@zenajimmy6603
@zenajimmy6603 Год назад
😂😂😂😂😂😂 agent wanapeleka watu now ni NINI BAYA the agency are active now
@susanmachayo8845
@susanmachayo8845 Год назад
​@@zenajimmy6603 niconect na mmoja plz the agent
@imolokwase7446
@imolokwase7446 Год назад
Am in saudi bt ii story imetetemesha dunia
@zenajimmy6603
@zenajimmy6603 Год назад
THANK you GOD kama imefikia gavaa am happy they have to face the best music 🎵🎶🎵🎶🎵🎶 wait we will dance soon
@sheemaryam
@sheemaryam Год назад
​@@zenajimmy6603 innocent kemboi like us ndio tuko kw shida I can't remember when nilienda off yanii niko kama niko kw contract
@CynthiaTairaObama
@CynthiaTairaObama Год назад
Aki brother Jackson Niko n plan ya kukam uko please nisaidie number yko
@KabijSaib
@KabijSaib Год назад
Hata oman wanaita ikama
@sylvia3999
@sylvia3999 Год назад
Jackson nipe connection
@zubedadayo871
@zubedadayo871 Год назад
Bro' how did you succeed? Indeed I paid money for my 23 year old nephew in mbsa and passport but we've waited for a year now mpaka nimeshindwa what to do. And now am n 🇸🇦 I don't know how I can sue this lady
@JACKSON254TV-kp1kw
@JACKSON254TV-kp1kw Год назад
Kenya passport unaskuma na anatoka hapo hapo😂
@LilianMoraa-e4q
@LilianMoraa-e4q Год назад
si uniconnect yawah
@janekavere
@janekavere Год назад
😮😮😮😮
@princessnaomi5644
@princessnaomi5644 Год назад
Ni connect na agent mzuri ntka kuja qatar
@eunicekashort-pl6ts
@eunicekashort-pl6ts Год назад
Nipe connection
@carinej4388
@carinej4388 Год назад
Niko lebanon saa hii nataka job
@eunicekashort-pl6ts
@eunicekashort-pl6ts Год назад
Nipe hio ya direct
@MichaelNdambuki-jt5ys
@MichaelNdambuki-jt5ys Год назад
Hello Jackson.Could you please assist with a contact of genuine agent,thanks
@aishasaidi1784
@aishasaidi1784 Год назад
😢😢😢😢😢
@wangagirl3508
@wangagirl3508 Год назад
Jackson 254 plz nime namba yako
@imolokwase7446
@imolokwase7446 Год назад
Bt walisema qatar imefungwa
@eunicegachuru7023
@eunicegachuru7023 Год назад
Sir Jackson kindly ,would you mind to connect my brother to a genuine agency?? He's a good driver and as well he can work in any post available. Kindly help, thanks in advance.
@JACKSON254TV-kp1kw
@JACKSON254TV-kp1kw Год назад
Search Lilianjosphat1 kwa tiktok ama Eamal gency numbers zao ziko hapo na na location 🤝👍🙏
@eunicegachuru7023
@eunicegachuru7023 Год назад
Thank you so much my brother, God bless you for your concern.
@carloskarisaqatar123
@carloskarisaqatar123 Год назад
@@JACKSON254TV-kp1kwam good driver bro and am also here in Qatar bt for now i have no job so please kindly attach me with agent if possible 🙏
@JACKSON254TV-kp1kw
@JACKSON254TV-kp1kw Год назад
@@carloskarisaqatar123 check online for available jobs for drivers, najua autakosa babaa, ukiwa qatar ni rahisi sana😅🥰
@Rose-hy3kc
@Rose-hy3kc Год назад
Sir Jack how are you kindly connect my sister to a good agencies please..
@Alithoya-qr7di
@Alithoya-qr7di Год назад
Bro kazi hazija funguka Qatar bado
@zenajimmy6603
@zenajimmy6603 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂Are you sure of that
@SchollahMutisya-xl6uk
@SchollahMutisya-xl6uk Год назад
Nimtumie link ya job ya driver ex qatar
@Zenah-r2w
@Zenah-r2w Год назад
Wow please nitafutie job Qatar bro
@zulekhamwansa750
@zulekhamwansa750 Год назад
Samaani naomba naomba yako nataka kazi
@freemanamusalah912
@freemanamusalah912 Год назад
Kuko poa sana
@stephen-S7n
@stephen-S7n Год назад
Qr 200 meaning unakula kamande na kuboos baba😂😂😂😂. 200 iyo talabat umetacha uwezi weka order be frank and give clear picture
@dorriskimathi8571
@dorriskimathi8571 Год назад
Wakenya ni Wale wale😢
@puriemuriuki
@puriemuriuki Год назад
Jackson mi nataka number yako Niko na plans za kukam uko
@emmaotieno6242
@emmaotieno6242 Год назад
Nisaidie n No yako y WhatsApp tuonge.Niko karibu kumaliza Contract plz Bro Jack Hellp Friend....
@saumumwenje1200
@saumumwenje1200 Год назад
By naskia job akuna
@gladyssugut8589
@gladyssugut8589 Год назад
Niko quatar uko side gani niku salamie
@SchollahMutisya-xl6uk
@SchollahMutisya-xl6uk Год назад
Bro naomba unitumie no yako tuongee kiasi mm nko saudi
@puriemuriuki
@puriemuriuki Год назад
Jackson naeza pata number yako
@margaretnyambura-bh3tq
@margaretnyambura-bh3tq Год назад
Tupe no
@mrs_shii
@mrs_shii Год назад
Wakenya ni wale wale tu
@phylliswatau7671
@phylliswatau7671 Год назад
Nipe number whattup nataka connect ya job Qatar with good agent pliz
@JACKSON254TV-kp1kw
@JACKSON254TV-kp1kw Год назад
Eamal agency kwa tiktok, ama you search Lilianjosphat1 number iko hapo show tu umetumwa na JACKSON 🤝👍🙏🥰
@phylliswatau7671
@phylliswatau7671 Год назад
Thank u 🙏
@ireneobara-s7l
@ireneobara-s7l Год назад
Ahsante sana jackson nimeona qatar
@JACKSON254TV-kp1kw
@JACKSON254TV-kp1kw Год назад
@@ireneobara-s7l most welcome 🥰🙏
Далее
A KENYAN S*EX WORKER GOT STRANDED IN INDIA
43:33
Просмотров 7 тыс.
Скинь той самой ❤️‍🔥
00:15
Просмотров 17 тыс.
Только ЕМУ это удалось
01:00
Просмотров 455 тыс.
SECURITY SALARY IN QATAR...
16:22
Просмотров 14 тыс.
Qatar on a Budget: What Can $10 Get You?!
25:41
Просмотров 480 тыс.
MOST POPULAR JOBS OPPORTUNITIES IN QATAR
18:34
Просмотров 9 тыс.