Тёмный

Tujadiliane Tanzania na Zitto Kabwe 

UTPC
Подписаться 3,2 тыс.
Просмотров 149 тыс.
50% 1

TUJADILIANE TANZANIA
2018
Karibu katika sehemu ya nne ya kipindi cha Tujadiliane, ambapo hii leo tume mualika Mbunge wa jimbo la Kigoma mjini na Kiongozi wa chama cha ACT- Wazalendo Zitto Kabwe.
Kipindi hiki kina andaliwa na vituo vya Radio vyenye masikani yake katika mkoa wa Mwanza (Radio Free Africa, Radio SAUT Fm, Kiss Fm, Metro FM, Mkombozi Fm, Radio Afya, Kwa Neema Fm, Living water Fm, HHC Alive, Sengerema Fm, City Fm, Iqra Fm, Mwananchi, Habari leo, Daily News, Star Tv) kwaku shirikiana na Umoja wa klabu za waandishi wa habari Tanzania (UTPC).
Waandaji: Vyombo vya habari kutoka Mkoa wa Mwanza na UTPC
Walio rekodi: Power of media production
Maneno Muhimu: ACT- Wazalendo, Bunge, jimbo, Upinzania, Azimio la Tabora, Azimio la Arusha, Miiko ya uongozi, Utawala bora, Wakulima, Ilani ya chama,Kigoma, Mipango miji, Michikichi, Tujadiliane, Waziri, Tanzania, Tamisemi, Miundombinu, Wanafunzi, OGP, Ujiji, Reli, Ujenzi wa miundo mbinu, Mimba kwa wanafunzi, Ujenzi wa miundo mambweni, Zahanati, Mikopo, Milioni hamsini kila kijiji, Waziri Mkuu, Ofisi ya rais, Baraza la mawaziri, Halimashauri, Fedha, Elimu, Elimu bure.
#utpc2017
#tujadilianetanzania
#tujadiliane

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 112   
@khalfanibona3120
@khalfanibona3120 Год назад
Hongera sana kwa kuongea maneno ya kweli yasiyokuwa namihemko.mwenyezi mungu AKULINDE na shali
@BYAUNDA
@BYAUNDA 6 лет назад
Safi sana Zitto Huyu ni mfanya siasa nzuri baada ya Mwalim Nyerere
@bernarddaudi9657
@bernarddaudi9657 6 лет назад
Hongera!! Sana Zito Zuberi Kabwe.Umeonyesha umahili wako. We we ni mchumi uliyebobea.
@professamuddy5407
@professamuddy5407 4 года назад
Kwa waelewa wanamuelewa. Ni mambo ya msingi sana yanayoongelewa hapa. Wasioyaelewa itabidi waulize ili waelewe sio kushabikia.
@quavohuncho6475
@quavohuncho6475 4 года назад
Zitto unajua bana
@shindanosingi266
@shindanosingi266 5 лет назад
Mungu akubariki Zitto Kabwe. Napenda mawazo yako ya kutia addresses kwenye GPS.
@esthernsami7732
@esthernsami7732 4 года назад
Rais wetu anafanya vizuri sana. Mungu ampe nguvu
@wiza2309
@wiza2309 6 лет назад
Mungu aendelee kukubariki, uwe na maisha marefu
@emanuelmwanga4
@emanuelmwanga4 4 года назад
Zitto uyo mganga wako nitampataje maana dahhh
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 года назад
Nchi yetu inafuata katiba na sera za muendelezo tena zito funga mdomo mlikuwa mnamtukana sana MHE Rais kikwete mstafu kivuruge wee
@petercosmas4376
@petercosmas4376 6 лет назад
Dotto Bulendu nakuamini sana unaendesha mijadala ya kisomi sana
@abuuaboubakary7460
@abuuaboubakary7460 6 лет назад
Zitto nakupenda sana inshaallah nitaungana nawe siku moja
@johnsonjerome9837
@johnsonjerome9837 4 года назад
Leo.zt
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 года назад
Hupati kitu hapo abuu kwa zito kaa utulie
@titomwashuya6460
@titomwashuya6460 4 года назад
Zito yupo vizuri mno
@kasomaiddy5062
@kasomaiddy5062 6 лет назад
Nakuelewa sana mbunge wetu wa kgma mjn
@josephmarosha3002
@josephmarosha3002 6 лет назад
Good nice mambo ndohayo sasa
@husseingahete1272
@husseingahete1272 4 года назад
Hongera saana muheshimiwa bwana zuberi zito kabwe ila ushauri wangu ni kwamba usikati tamaa katka mapambano yako maana yawezekana hata watoto wetu wakaja nufaika ila ushauri mungine wajenge wanao wawe na misimamo kama yako
@mhandyeyoo6591
@mhandyeyoo6591 6 лет назад
2020 ZITO 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾Nakuombeaaa kk 2020 👏🏾👏🏾👏🏾
@manjoriwakunesa7006
@manjoriwakunesa7006 4 года назад
Nimekuelewa zito
@abujamalaalghammawiy7470
@abujamalaalghammawiy7470 6 лет назад
Nakuelewa sanaaa mzee wa KUTEMA NONDO. nikweli tuweke akiba maana tumeshaanza kuona mambo ya Trilioni 1.5 hazijulikani
@donartkilimila1443
@donartkilimila1443 6 лет назад
Alo uko vzr Zito kiuchumi
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 года назад
Huna akili nazo
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 года назад
Na huna uhakika na hizo tirioni 1napointi tano paka wee
@wiza2309
@wiza2309 6 лет назад
Hongera sana waandishi. Mmekitendea haki kipindi, maswali ni ya msingi yenye references inaonyesha mnafuatiliankauli na mambo mengi kumhusu. Bjg Up
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 6 лет назад
kabisa!
@farihiayusuph6405
@farihiayusuph6405 6 лет назад
Nakupenda zitto kabweee mbunge wa taifa raisi ajaeee
@johnbernardmwakipesile4934
@johnbernardmwakipesile4934 6 лет назад
Juma Isl
@farihiayusuph6405
@farihiayusuph6405 5 лет назад
nambie
@dawdahewabora7788
@dawdahewabora7788 5 лет назад
Wazungu wana uza nje nivitu ambavyo wanatengenezea nje ya nchizaho.
@amanikwanza597
@amanikwanza597 4 года назад
0687139525 /mm napenda kua mfanya biashara mkubwa naomba ushauri vipi nitapata mikopo isio nariba,nabeashara niitakayo ni kilimo cha ndizi,ili nije uza baada ya mazao yake.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 года назад
Pole juma wewe unategemea anaweza kuwa Rais umekwenda shule kweli wewe
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 года назад
Hana kitu huyo nae anapigania ridhiki mantashalla
@kibilawazebanga7455
@kibilawazebanga7455 6 лет назад
Hatuwezibkusubiri kiwanda cha chuma eti ndoo tujenge reli, km wawekezaji hawajawa tayari kuwekeza kwenye chuma utawalazimisha?
@kibilawazebanga7455
@kibilawazebanga7455 6 лет назад
Zitto unatumia principle ya "Kupanga ni kuchagua"(trade offs) kupotosha umma. Uchumi una namna nyingi sahihi za kuupanga na hivyo unapopanga unachagua namna mojawapo. Kila namna ina faida na hasara zake. Ndo zitto unacheza na hizo kupotosha. Sisi tuliosoma uchumi tunaelewa unavyopotosha. Kila serikali unaipinga, lkn hii utaaibika.
@mataamiry6720
@mataamiry6720 4 года назад
We hujasoma mambo ya uchumo nakujua nikilaza tu wewe muache mtaalam aongee
@quavohuncho6475
@quavohuncho6475 4 года назад
Ulifundishwa ukaweka kichwani ila ukutafakari bro
@gataonyango9294
@gataonyango9294 6 лет назад
Uko sawa bro
@mchunosafari8892
@mchunosafari8892 6 лет назад
Gody
@phenyotedmakgekgenene8381
@phenyotedmakgekgenene8381 6 лет назад
Jazz
@alphoncekachira6414
@alphoncekachira6414 4 года назад
Kaka kweri unatoa ushauri mzuri wa kiuchumi, je mnakikundi ambacho mmekiunda kwa ajiri ya kuishauri serikari? Ili tuweze kusonga mbele!
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 года назад
Zito tafuta kazi achana na mambo ya vyama vya upinzani sasa hivi hamna nguvu sana Nhc kulikuwa na wapigaji wengi tunajua siri zote
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 года назад
Mie naomba nielemishwe huyu zito ni muha au ni mkongo maana musiba kasema huyu siyo muha ni kweli
@seiflitonela494
@seiflitonela494 6 лет назад
Hakika zitto wewe ni mzalendo wa kweli nakuelewa sana
@kipokendirangu2572
@kipokendirangu2572 Год назад
Zitto hana maana ni mlamba matako ya wazungu.
@joojombi2341
@joojombi2341 3 года назад
Wanini huyo FATANI MKUBWA HUYO kaa nae mwenywe
@oswardfata4461
@oswardfata4461 6 лет назад
Nakukubali San Mbunge wangu una akili san
@kibilawazebanga7455
@kibilawazebanga7455 6 лет назад
Mturuki n doo alikiri vigezo, hela za reli tulikuwa nazo
@bernardbenedicto1373
@bernardbenedicto1373 6 лет назад
Tukopamoja
@deusfrancisco6994
@deusfrancisco6994 6 лет назад
Zito tunakupenda sana na ulipaswa kua mshauli wa selikari.
@thabitngangila8562
@thabitngangila8562 4 года назад
Anaongea material tupu
@kfastak
@kfastak 6 лет назад
Dah. Safi sana . Natamanj ingewafikia watu wote..Ila huyu jamaa mzinguajia kimtindo
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 6 лет назад
kivipi kaka
@amirikiaba4597
@amirikiaba4597 4 года назад
ZITO UPO VIZURI SANA MAMBUMBU HAWAJUI
@martinjoseph7387
@martinjoseph7387 4 года назад
Zito moto
@barksserio6857
@barksserio6857 4 года назад
Hii kichwa ni extra intelligent
@alphoncekachira6414
@alphoncekachira6414 4 года назад
Kaka nikuombe kama hutojari uwe unapitia comets zina ushauri juu yako kutokana na hoja zako
@dawdahewabora7788
@dawdahewabora7788 5 лет назад
Wazungu wanahuza nje nivituambavyo wanatengenezea nje ya nchi zaho.
@kizitototo8923
@kizitototo8923 4 года назад
Kila mmojawetu inapendeza angejiuliza anaifanyia nini tanzania. Siasa za midomoni zilishapitwa na wakati kwa sasa siasa nzuri ni kuulizana ulichofanya. Baadh ya watanzania wanapenda sana polojo. Na ubogo wa wengi upenda kusifia bila kutumia kujifikilisha mwenyewe. Mweshimiwa ziti kabwe alipopiga kelele juu ya madini walimpa jukumu afwatilie ila tu baadae baada ya kuanza kufwatilia gafra hile jitiada yake ikatoweka sasa ni lazima kujiuliza Je tunaifanyia nini Tanzania
@shabanikibana4279
@shabanikibana4279 6 лет назад
Zitto wewe ni kichwa kweli
@quavohuncho6475
@quavohuncho6475 4 года назад
Umefafanua vzur kwene michezo ila serikali iliyopo madarakani aioni mwaga IQ baba
@Focusm-se2sd
@Focusm-se2sd Год назад
Kweli zitto
@patrickmwakifyogo8529
@patrickmwakifyogo8529 6 лет назад
Umoja uho unaoutaka leo si ndio ule ule wa watu uliowakataa mwanzo ila leo unawakubali kwa kubadilisha jina la umoja nini Maana yako?
@farihiayusuph6405
@farihiayusuph6405 6 лет назад
ivi kwanini nilizaliwa nchi hiii ni tatizo
@kibilawazebanga7455
@kibilawazebanga7455 6 лет назад
Gharama za uzalishaji sio umeme tu, kuna rasilimali watu, kuna mali gafi, kuna gharama za kusafirisha, gharama za utafiti (Research and Development). Haya yote serikali haina controls nayo ni ya mashiriki binafsi
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 года назад
Yeye ni serikali au ana ngonjera tu tunaomba tujue ofisi zake maana musiba amesema ofisi yake act wazalendo ni ya mfukoni
@esthernsami7732
@esthernsami7732 4 года назад
Zitto Kabwe yote unayoeleza ni maneno kama Southafrika.Tulikuwa tumekama kwa makali na wala rushwa nawatu wa nje wamekamata mpini.Huwezi kufanya lolote kama uchumi umekamatwa na wala rushwa na watu wa nje. Rais wetu anakamata kwanza uchumi, na ndipo yote unayosema yatatekelezwa. Amerudisha elimu afya, na mawasiliano. Nakuomba ueleze wanachi yote anayofanya rais wetu ungeyatekelezaje kama ungekuwa rais leo
@sultanaljabri5109
@sultanaljabri5109 6 лет назад
Pasua kichwa
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165 4 года назад
Ndugu mtangazaji sisi Wazaramo huwa tunawaita Kalimila dole akienda shamba na chupa yake ya chai akifika shamga kazi yeke anaonesha kidol akisema na kuonesha kidole nianza kulima hapa mpaka hapa mpakaa kuleee kisha anakunywa chai yake akimaliza tu basi anaondoka na kusema nitaanza kesho. Zitto mzushi hana lolote
@manjoriwakunesa7006
@manjoriwakunesa7006 4 года назад
Chakwanza unatakiwa usomeyote unayosema hafu utajua
@almasjuma6872
@almasjuma6872 3 года назад
Huyotume mnyima Kura anazani nilazima yeyeawe mbunge hayonimawazo mgando.hakaikigoma huyo
@kibilawazebanga7455
@kibilawazebanga7455 6 лет назад
Tutaona kati ya magufuli anayezungumza kwa maneno michikichi na magufuli anayezungumza kwa matendo nani atafanikiwa. Zitto utaumbuka.
@quavohuncho6475
@quavohuncho6475 4 года назад
We n kubwa jinga coz uyu sio mwehu kuongea apa nchi nzima adi viongozi wanamuona
@andereadominico6878
@andereadominico6878 4 года назад
Domi chirambo
@ashapearubart2624
@ashapearubart2624 5 лет назад
Kama kikwete miaka 10 katuacha bado tuko maskini. itakuaje magufuri kwa muda mfipi hatufanye tuwe matajiri. Hacha unafiki wenu.
@EzekielTipaa
@EzekielTipaa 3 месяца назад
OMBI LETU WAFUGAJI WA KIJIJI KWEDIGOLE KATA KWEDIBOMA WILAYA KILINDI .MKOA TANGA KWA WANDISHI WA BARI AWATUZAIDIYE KUWASEMEYA KATIKA WAZIRI MMUJ WA 7 JAMUHURI WA .MUNGANO WA TANZANIA KUHUDHU UFAMISI WA ENEO WA M!ALISHO KWEDIGOLE AMBAO TUNAMILIKI KISHERIA
@mataamiry6720
@mataamiry6720 4 года назад
Apo wamekutana watalam maana doto ni nyoko
@bahiyalumelezy3016
@bahiyalumelezy3016 4 года назад
Ujanja mwingi mbele kiza haya ubunge huna tena wewe kazurule tu kusambaza umbeya na ushambenga kwa tumbo lako binafsi.umefeli na umefuliya na bado utakomaaa
@bakarimngazija6672
@bakarimngazija6672 6 лет назад
zitto uko makini tunahitaji michango ambayo wananchi watakuwa na mtazamo katika maisha.
@chabakakilumanga2206
@chabakakilumanga2206 6 лет назад
Angekuwa CCM angefika mbali sana. Correction trade liberalisation ilianza na Mwalimu siyo Mwinyi
@azizbilal1790
@azizbilal1790 6 лет назад
Hello Chilumanga sio Mzee Kambarage aliyoleta trade liberisation ni mzee Ruksa ndiye aliyekuja na trade liberisation sio Nyerere ,angalia kumbukumbu vizuri aliweza kumleta the late professor Abdulrahman Mohamed Babu kuja zungumza kuhusu trade liberisation nafikiri alizungumza pale university of Dar Mlimani nafikiri ilikuwa ktk Nkrumah hall.Babu alikuja kumpatia back up Mzee Ruksa.Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni Ruksa deserve all kind of credits.
@karanjakamau57
@karanjakamau57 6 лет назад
You mean of all people zitto kambwe to join the most evil and corrupt regime ccm. i better stay without a party rather than join ccm, ccm are murderers
@mnzavachris5423
@mnzavachris5423 6 лет назад
...
@saidlenbe5065
@saidlenbe5065 6 лет назад
Nakukubali baba wa kigoma one
@andrewnyasigo8205
@andrewnyasigo8205 6 лет назад
Ukiwa ccm hata kama una akili itabidi tu utmie ya mtu mmoja bora uko aliko zitto anatoa mawazo yake kwa ufasaha zaidi
@simonmanyelezi628
@simonmanyelezi628 4 года назад
Zito umechelewa ndo maana sometime huwa nawambia kama vile hamjitambui,mlichelewa kumwandama rais,muda ulioupoteza kumwandama raisi ungekuwa upo bisy unatekeleza mipango yako ungekua na kitu cha kutuambia,tunaenda kwenye uchaguzi huyo uliyekua unamwandama alikuwa yuko bisy kuwatumikia wananchi na anajambo la kutuambia sasa wewe unakuja kunadi mipango,tutakuelewa kweli?. Mipango ni mipango na utekelezaji ni kitu kingine. Kwahiyo umeshtuka muda umesepa.
@kibilawazebanga7455
@kibilawazebanga7455 6 лет назад
Che hata siyo mtanzania bado unaonyesha kuwa na akili za kitumwa. Runyamila ni sawa
@linusjohn4400
@linusjohn4400 6 лет назад
wewe no mwanadplomasia umebobea sana siasa kaza buti na viongozi wako mnashirikiana vizuri kama DC .Rc .Rpc ocd
@ezekielmwadomba4675
@ezekielmwadomba4675 5 лет назад
ccm HAKUNA WA BUNGE WA MAANA KAMA WA BUNGE WA UPINZANI .LABDA NAPE NA BASHE TU! LAKINI WALIYO BAKI WOTE , NIWA NUWA ZIDUMU FIKRA ZAMA MAKOMEO!
@stevenlyando1801
@stevenlyando1801 6 лет назад
hivi ndo vichwa vya upinzani,,,,vichwa hivi data zinaongea
@joshuanyonyi8820
@joshuanyonyi8820 6 лет назад
STEVEBAGGER TV
@agneschrispher3117
@agneschrispher3117 6 лет назад
STE VEBAGGER TV
@kibilawazebanga7455
@kibilawazebanga7455 6 лет назад
Magufuli ndio anajenga uadilifu
@quavohuncho6475
@quavohuncho6475 4 года назад
Ndio uadilifu ila wa kibabe kila kitu kina mipango ww
@kibilawazebanga7455
@kibilawazebanga7455 6 лет назад
Sasa nani alisimamia uuzaji km mlibinafsisha mashirika bila taasisi za usimamizi. Ilikuwa ni rushwa tu, mwache magufuli ayarudishe ajenge uchumi.
@galusmtewele1806
@galusmtewele1806 5 лет назад
Safi saña
@shindapapaya9194
@shindapapaya9194 6 лет назад
😂😂😂 mimi huyu huwa simuelewi kabisaaa yaani hayo anayoongea na uki angalia mkoa wa Kigoma ulivyo na jimbo lake😂😂😂😂😂 nabaki 😂 😂 😂 😂 nazani msha nielewa ni bora tu niseme Shikamoooo awamu ya 5 pigeni kazi huku mkiweka pamba masikioni
@hamidudongo1879
@hamidudongo1879 6 лет назад
Hauwezi kumuelewa kwa sababu ya level tu. Ni vision tu yako ni ndogo.
@adamukimwerikibanga5448
@adamukimwerikibanga5448 6 лет назад
Mwenye akili ndo awezae muelewa kinyume chake utabaki mbumbu
@enockmihila767
@enockmihila767 4 года назад
@@adamukimwerikibanga5448 njo uone rami alizojenga zakisasa
@quavohuncho6475
@quavohuncho6475 4 года назад
Kwasababu ufungui mawazo na kuchanganua magu akikwambia lamba chini utalamba coz akili yako ndo ilivyo
@ramamarambo4930
@ramamarambo4930 6 лет назад
H
@mymama1434
@mymama1434 6 лет назад
tema nondooooo babaaa.. mwenyezi mungu akulinde kijana wetu.. pigana kiume.
@mymama1434
@mymama1434 6 лет назад
hata maji ya kunywa jamani.. mmekusudia kumuua a😂😂
@moraray2616
@moraray2616 6 лет назад
kama ni kichwa kwanini chadema walifukuza
@quavohuncho6475
@quavohuncho6475 4 года назад
Alitoka wala akujitoa
@hasanramadhani4902
@hasanramadhani4902 4 года назад
Ata wao chadema wanajutia
Далее
TUJADILIANE  TANZANIA NA MAALIM SEIF
2:05:41
Просмотров 24 тыс.
TUJADILIANE  Tanzania
52:17
Просмотров 865
MAKAMBAKO YA SASA VS MAKAMBAKO TUNAYOITARAJIA
13:36
Просмотров 9 тыс.