YA ALLAH TUNAKUOMBA KWA NGUVU ZAKO MUWEZA MLINZI ALLAH USIOSHINDWA MPE UHAI AFYA NGUVU ULINZI HUYU SHEIKH MZIWANDA TUFAIDIKE NAE NA TUJAALIE SISI WAISLAMU TUWE KITU KIMOJA AMIN
ALLAH akujaze khery hakuna kitu kinacho niuma kama mashekh kuwekwa ndan kisa tu kuitangaza dini na mashekh ambao ndo viongoz hukaa kimya afadhal shekh ALLAH kakupa ujasiri wa kusema na ALLAH atakulipa
Kiongozi wetu ni mtume Muhammad SAW katika dini yetu ya kiislamu. Ama kuhusu uongozi wa dola basi waislamu tunatakiwa tuwe chini ya khilafa na si vyenginevyo. Mfumo mwengine wowote tutakaoufuata basi tujuwe tuko kwenye batil.Hilo swala la mshikamano ni sawa kwasababu ni amri ya Allah.
Ma sha Allah, umeongea maneno muhimu sana. Kunao wengi kati yetu wanatamka matusi bila kujua kwamba ni makosa makubwa.. Unajua kwa nini? Hata ingawa Waislamu ni wengi lakini Elimu ya Uislamu haikuenea vyema. VIJANA wapo wengi hawaelewi hata maana ya tamko la SHAHADAH. wangapi wanapotoshwa na wapotoshaji wakawa wanawaita ndugu zao eti MAWAHABI. Je hata Sheikh unamuita Wahabi? Je anayesema hivyo, anaelewa kwamba anamaanisha kwamba ati Sheikh hajui nguzo za imaan na kwamba hamfuati Mtume; Swalla Allahu alayhi wa sallam? Au ....anadhani anamaamisha nini? Basi tusifanye Dini kama kwamba ni jambo la kuwa tunazomeana, na kuongea uwongo. Allah amesema, Q 33:70 Enyi mlioamini, muogopeni Allah na muongee maneno (mazuri) sahihi (ya kweli na yenye hekima) atawatengenezea matendo (mambo) yenu (mnayoyatenda yawe mazuri) na atawasamehe madhambi yenu.
maashallah xkuwahi cucoment chochote na kila siku lazma nicklze mashekhe ila mziwanda umeongea point sana waislam sasa tumekuwa tunaish na chuki za wenywe kwa wnywe sababu kila mmoja anataka awe juu kwa mwnziwe hali ya kuwa tunatakiwa kila mmoja afate anachokiamini ila sote tujue letu ni moja na allah ndio anaejuwa zaid mana yeye nimjuzi wa yote anajuwa yupi yuko sahihi allah atuondoshee chuki za wenyw kwa wnyw
Politics,politics,politics.!!! Hao Uamsho wapo ndani tangu utawala wa Kikwete na nikwasababu ya milengo yao ya Kisiasa dhidi ya Shein na Maalim Seif na si DINI..!!! Watu pekee ambao walipinga harakati za Uamsho tangu Mwanzo ni Masalafi licha ya kutuhumiwa kuwa ni vibaraka wa Marekan. Ingekuwa Umoja huu wa kunyamaziana makosa yetu hasa ya kiAqida,zingefanikiwa sana Nchi za Kiarabu na zile zenye Waislamu wengi ikiwemo Zanzibar, lkn kufumbiana macho kwny makosa yetu na kuona ni Khilafu ndogondgo kumesababisha Allah atuadhibu kwa kutunyima Umoja na hatimaye kudhalilika..!!!
Shekhe mziwanda upeo wako mkubwa masha alah lkn maoni yangu waislam wote washauriane ufanyike uchaguzi mpya shekhe awe na ilimu zote na baraza la ulamaa wachaguliwe kutoka kwenye makundi mengine mambo yataenda
kweli sheikh watu wanafuata mwezi wa saudia wakati oman na saudia baina yao mpaka lkn oman hamfati saudia mpaka aune mwezi na kuna wakati wanawafungulisha wako kabla mwezi tatizo kupeka vijana kusoma saudia basi wakirudi hao ndio wanaleta mfarakano kwenu
@@maalimjuma10 Nadhani maalim Juma wewe huijui saudia ni mji mtakatifu lkn toka kuuwawa mfalme Faisal basi si pazuri kupeleka watoto wenu ni bora misri sudan suria kama kutafuta elimu kwanza saudia hawatakiwi wazee kwenda kusoma wanataka vijana unajua sheikh mmoja maarufu saudia anakabiliwa kifo kwa kutofautiana nao nae sheikh salum owda
@@saidalhinai1131 Hoja nyepesi sana hiyo ndugu yangu, kwan huko Misri kuna Usalama? wapo wp kina Moh'd Morsi,Qardhawiy na Muslim brotherhood? Mbona unasahau mapema hivi? Solution ya kudumu ni kurudi ktk njia ya Allah tena kwa ufahamu wa Maswahaba..!!! Ama kuwasikiliza hawa kina Mziwanda,Diwan na wachumia tumbo wengine tutasubiri sana, na wangekuwa wakweli wangekemia tabia ya Uamsho kabla hayajawakuta hayo tangu utawala wa Kikwete na kutounga mkono unyanyasaji na ubagudhi chini ya Magufuli..!!! Wanatuhadaa Waislamu
Ila mambo ya siasa waachie wanasiasa wenyewe la sivyo mtaitia Moto nchi. Huo utawala wa kikwete ambae ni muislam ndio uliojaa kila aina ya dhuluma kwa watanzania wanyonge hasa wale waislam.
Viongozi wengi hawana msimamo katika dini bali ni maslahi binafsi. Na sisi waumini kuisoma Dini yetu hatutaki bali tumeweka mbele mpira na starehe nyengine.. mtu ratiba ya mpira na miziki imejaa kichwani lakini ratiba ya swala na Darsa haipo kabisa katika akili zetu bali tutabaki kusifia tuu!! Tubadilike sote Viongozi na waumini pia..
Zanzibar inawaislamu asilimia ngapi? na wamefanikiwa kwa lipi? Uwingi wa Waislamu seeikalini hauna maana yeyote ikiwa Waislamu wnyewe hawaujui Uislamu wao..!!! Masalafi tunalingania watu kusoma dini na si kusaka vyeo serikalin ambavyo wengi wao vyeo vyao vinaathiri dini yao..!!!
MAZUNGUMZO MAZURI SANA MA'LLIM MZIWANDA LAKINI INGEKUWA NA UPANDE WA PILI NAO WANA MAONI KAMA YAKO, LAKINI KUWA NA MAONI MAZURI LAKINI UPANDE MWENGINE HAWAKO NAYO NI KUZIDI KUJIFILISI ! PIA KUWEPO KWA WAISLAMU WENGI SERIKALINI SIONI KAMA KUNA TIJA PALE AMBAPO HAO WAISLAMU WENYEWE TUNAO WAWEKA SERIKALINI HATUJA WAPATIA MALEZI YA KIDINI , HIVYO HATA TUKIPATA 90% FAIDA HAKUNA KWA SABABU HAWAJITAMBUI. MFANO NI BUNGENI WAKO WAISLAMU KIBAO LAKINI TANGU SERIKALI YA 5 HADI HII YA 6 ALO JARIBU KUPAZA SAUTI YAKE KUWAZUNGUMZIA MASHEIKH WA UAMSHO NI MMOJA TU HADI MKIRISTO GWAJIMA PIA KAINGILIA KUONGELEA SUALA HILO WAISLAMU KINA RIDHIWANI/ JANUARI/ JAFO NK.. WAKO KIMYA HIVYO KIKUBWA NI KUPATA WAAKILISHI WAZIRI TU HATA KAMA SIYO WAISLAMU.
Shkhe huwez kua kitu kimoja na hao bakwata bakwata weng wanafk tu nenda magerezan mashkhe kibao wamekamatwa lkin wao kimyaaa katufte mchungaji ama padr alo jela na mapadr wakakaa kimyaaaa, bakwata wao n ahalu toama tu