Nakuona mbali sana dada witness,wew na official dating assistance na kaka Ebm..,Mungu awabariki mim binafsi sina matarajio yakuapply chochote ila huwa napenda tu kuwasikiliza
Wewe kupata ni sahihi tu dada kwani hiyo ni lottery ilikuwa bahati yako tu sio sababu kuwa uliwahi enda America bali umepata kwa sababu vigezo ni high school au form 4 with work experience hivyo ndivyo walivyosema kwa hiyo amini kuwa umebahatika na form 4 yako plus hiyo work experience no more
Alipiga Picha studio ipi ? Atuambie jina la studio, na sehemu ya studio aliotumia kupiga Picha ya dv lottery. Atuambie studio aliotumia kupiga Picha ili na sisi ikibidi tuitafute tupige Picha huko.
Hapana dada ukishinda green card ni lazima wakupe viza kama huna for six.ukiwa na week Experience.yeyote lazima upewe viza Mimi Nina jamaa kashinda DV lottery 2022.kaondoka na Ebm June mwaka huu
Mungu awabariki najifunza kitu huwenda siku za mbeleni nikiwa na mwanangu labda ataenda kuishi huko nje😂though napenda labda niende kutembea tu nakurudi
Dada Witness unaupiga mwingi kiukweli ubarikiwe na Bwana Yesu binafsi umeniletea mtu sahihi kwa wakati sahihi mimi pia msimuhuu dv 2024_2025 nimeomba ila vigezo vya elimu kwangu vinanikaba kama dadaangu Stela ila nasubiri Mpango wa Mungu utimie
Nimeongea niliyoyapitia kama unaona kunauongo ndani yake hongera kwa kuujua ukweli😅 experience yangu ndio hiyo take it or leave it! Unaweza kuona nadanganya ila kuna mwingine itamsadia kwa namna moja au nyingine. NB dv lottery haina formula kila mtu na experience yake usiforce tufanane. 😊
Hello Stella nimefrai sana kusikia upo uku American na mimi nipo uku Wilmington Delaware hongera sana nimeshangaa ata sisi tulipata Visa bila kucheleweshwa wala Kusumbuliwa .asante Dada witness kwa kazi nzuri
Hakuna mtu atakae kaa akusaidie maisha. Wewe ndio mtu wa kwanza kabisa kujisaidia. Hii ni bahati na sibu kila mtu ana nafasi Sawa ya kushinda hivyo nakutia moyo jaribu. Ya Mungu ni mengi