ujumbe mkuu katika wimbo huu ni kwamba , tutembee katika njia iliyo sahii maana zipo njia mbili : Ya uzima na mauti , dunia iko kwenye uterezi... song written by Marehemu Mwalim rashidi Minos fils . (rest in peace teacher).
Ni kweli. The video is Quality and the song as well., ila tu watmaji walionesha ka hali kidogo ka mauzo. Ifaamike kua nyimbo ni ili kubariki sio kuonekana👏👏
Ngyéla cibélé Maha ômbele nobe... , ya búlamu t'ahētanaka wa mabé. If a song was a drug, then I'm addicted to this one. Walahi 'abèca ahelele lúnú lú'ú.🙏
It gives me joy to see how far I’ve came with this choir. Thank you so much for the messages, may God continue to use you and give all of you strength. Can’t wait for more 😍. Love you guys.😘
NJia mbili mbele yako mama unaambiwa uchangue ya uzima au ya mauti mashart ya njia izo ya uzima achana na dhambi na ya mauti aisemagi iyo nikifo tu ya uzima awapitagi mwenye dhambi mama kama unafanya dhambi iache duniani chagua NJia ya uzima kama alivyo chagua mama Maria kipindi kile alivyo kaa na yesu
Jamani Mimi ni ni journalist namtafuta neema nataka nifanye interview naye hivo Kila mwenye namba yake anipe au anicheki wasap+255757306201 Naomba tafadhal