Тёмный

Tumechoka : Mgogoro wa Kanisa la Anglicana Zanzibar 

Alban Abdalla
Подписаться 35
Просмотров 2,2 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

12 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 18   
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 Год назад
✝️✝️✝️✝️❤️
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 Год назад
bora hii kuliko zote.....
@abdallaabdalla6824
@abdallaabdalla6824 Год назад
Kazeni piganieni haki zenu, tuko pamoja japokuwa japokua Imani tafauti
@zayyedsuleiman6432
@zayyedsuleiman6432 11 месяцев назад
Haya mlikuwa mnayajua znz nzima kodi zinazohusu makusanyo ya sehemu za historical zinaenda serikalini lkn makusanyo ya mkunazini yanaenda kanisa la anglican nandio zinazowasababisha wagombane kwasababu hela ni nyingi
@masoudmasoud8138
@masoudmasoud8138 Год назад
Alaaaa itakuwaje hela ziende Tanganyika msikubali na Tena msikubali ❤
@zenjizanzi5582
@zenjizanzi5582 Год назад
Kila nikifikia kwa nini mtu kutakiwi unashikilia lazima wewe zanzibar nzima hakuna mtu anaweza kuongoza
@linastinson-ali4733
@linastinson-ali4733 Год назад
Poleni!
@ElimpentekosteTunguuZanzibar
Huna sifa na umekosa sifa kweli yakuwa Askofu kwa sababu ya kauli zako harafu pia umesema unaishi America na huku Jimbo la Zanzibar linatizamwa na nani?
@jeanmusamba8448
@jeanmusamba8448 Год назад
hizo pesa mnachochea moto kweli aisee mtazikosa wote,kwa nini mlimchagua Hafidhi wakati mnajua?ukiangalia comments mtazikosa ngoja muone
@111dudi
@111dudi Год назад
Na bado, uliyataka mwenyewe. Ulifata pesa
@vicentgodda3357
@vicentgodda3357 Год назад
Huu ni ujumbe mzito wa kuzingatiwa na Viongozi wa Jimbo Anglican sasa basi. Askofu Mndolwa atafute Watu wengine NJE ya Maaskofu wa nyumba ya Maaskofu. Wapo retired bishops na Makasisi wastaafu Wakristo Watu wenye busara. Uongozi huu wa Jimbo umevuruga, umoja na historia ya Kanisa la Anglican lenye asili ya UMCA na USPG. Inatosha
@mahfoudhally2879
@mahfoudhally2879 Год назад
Kumbe maeneo ya historia Zanzibar wanaokusanya kadi ni waanglikana na sio serikali smz wako wapi
@kindi4926
@kindi4926 Год назад
Sababu hizo pesa za utalii hazistahiki kuwa mali ya Kanisa kwa vile Kanisa lilikuja baadae hapo wakati utumwa na historia ya utumwa sio mali ya Kanisa
@user-kg7lh7xh2t
@user-kg7lh7xh2t Год назад
Huyu mzee asilimu asalimike na ghazabu za Allah
@Hussein_Mustafa_Parmar
@Hussein_Mustafa_Parmar 11 месяцев назад
Hawa Wakristo wa Zanzibar ndio pekee ambao baadhi yao ni nusu waarabu wenye asili ya Oman wamechanganya na waafrika, ambao kiasili hawakuwa Wakristo kama wale waarabu kama wazungu weupe wa Lebanon, lakini walikuwa Waislamu lakini waingereza wakawaingiza kwenye Ukristo wakati wanatawala Zanzibar na waliingia hivyo kama vile Agustino Ramadhani, na Wakristo hawa wa Zanzibar wengi ni wafuasi wa Kanisa la Anglikana
@Hussein_Mustafa_Parmar
@Hussein_Mustafa_Parmar 11 месяцев назад
Kabla ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad s.a.w na kuja kwa Uislamu, waarabu walikuwa kama tulivyosoma katika historia ya Uislamu, kwamba walikuwa aidha Wayahudi, wengine Wakristo lakini wale wa zamani wengi wao yaani Orthodox na waabudu masanamu kama wale kabila la Mtume wakiitwa Quraysh lakini baadae Mtume s.a.w alifanya kazi na waarabu wengi wakawa waislamu lakini wakabaki baadhi Wayahudi na Wakristo
@Hussein_Mustafa_Parmar
@Hussein_Mustafa_Parmar 11 месяцев назад
Mtume Muhammad s.a.w alipokaribia kufariki akasema : Muwaondoe Wayahudi na Wakristo katika bara la kiarabu (yaani jazirah ya kiarabu yaani arabuni kwenyewe, yaani Saudia Arabia), hivyo zama za Khalifa Umar r.a, alipotawala, akatekeleza amri hio ili ibaki Saudia Arabia kwenye himaya ya Uislamu, hivyo alipoteka Lebanon na Syria, akaamrisha Wakristo waarabu wa Saudia Arabia wapelekwe kule wakahamishwe huku wale watu wa Lebanon na Syria waliosilimu waje Saudia Arabia na Yemen, na wakija Saudia na Yemen wachukue majumba ya wale Wayahadi na Wakristo na wale Wayahudi na Wakristo wa Saudia na Yemen wakachukue majumba ya wale waliokuwa Lebanon na Syria, na hivyo yakahamia makabila ya Kikristo ya kiarabu kama vile Bani Qahtan, Bani Ghassan kule Lebanon na Syria
Далее
Hatukubali: Maamuzi ya Kikao Batil
16:51
Просмотров 364
TAZAMA BASHE, MPINA WALIVYOKUTANA USO KWA USO
10:18
Просмотров 1,7 тыс.
BLOW TO RUTO; This is Gachagua’s THREAT
36:26
Просмотров 2,2 тыс.