Maashallah sheikh mselem allah akuhifadhi kwa mafundisho mazuri kwa wenye kukusikiliza na kufanyia kazi na mbao hawamshirikishi allah na kitu chochote na kumpwekesha yeye pekee ndio mjuzi wa yote innshaallah
MaashaaaaA (A)llaahu laa quwwata ilaa bi(A)llah !!!! Hakika sasa hivi ni meelewa vema maana ya A(L)R-Ra-H-maani na A(L)R-RaHiyyym ! Jazaaka(A)llaahu khayran yaa 'Usta'aadh ! Allaah akue khayri nyingi sana na akuruzuqu mwisho mwema !
Ahsante Sheikh kuna vitu nilikuwa sivijuwi kama kuhusu بسم الله الرحمن الرحيم kama inaisabiwa aya kwenye surat Al fatiha. Mungu akujaze kheri na umri mrefu. Amin
Hiyo ni fitna tusiiendekeze tuangalie yale yenye maslahi kwetu hayo mengineyo tuwaachie wenyewe...Kila aliyeneemeshwa hakosi wapinzani. .WABILLAHI TTAWFEEQ.
Sasa ikiwa kusema ndo kusajili mbona mambo mengine mnawafundisha watu kua haifai? Mfano kutamka nia ya hicho kitendo unachokisajili? Mfano Nawaitu swauma ghadin,nk.mnatuacha mbali sana wenye Elimu ndogo
Ni jambo la kupendeza sana kwa kila jambo jema kuanza kwa kutaja jina la M'MUNGU lakini sasa hivi tunashuhudia baadhi ya waumini wakidiriki kuanza kusoma QUR'AANI katika sala bila kusoma hii BISMILLAHI sijui hii imeanzia wapi
Sawa Sheikh wangu Jazaak Allahu Kheiraa lakini wengi wakisalisha hawaitamki hii Bissmillah ukimwambia kwanini Imamu huitamki hii Bissmillah anajibu si lazima lakini mbona ipo imeandikwa hapo anakuja juu utajuta kwanini nimemuuliza.
ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-I2qePRBbrHI.htmlsi=bwWm0C5AKhuR-Xcl MANENO MAZITO ALIOONGEA SHEIKH MSELEMU NI HAYA HAPA MTAZAME HAPA KAMA UNA MATATIZO YA KICHAWI BASI MTAFUTE