Тёмный

TUMWEPUSHE RAIS SAMIA NA KUFURU HIZI ZA KIJINGA 

SK Media Online TV
Подписаться 58 тыс.
Просмотров 75 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 296   
@delingowi
@delingowi 2 года назад
Well said baba, God bless you, HAKUNA KAMA MUNGU NA MUNGU HADHIHAKIWI, TUNATAKIWA KUMUOGOPA MUNGU PEKE YAKE MWENYE UWEZO WA KUUWA MWILI NA ROHO. SIFA, UTUKUFU, MAMLAKA NI YA MUNGU PEKE YAKE, HAKUNA KAMA MUNGU. NIMEBARIKIWA SANA NA USHAURI WAKO NA COMMENT YAKO BABA
@ammarruwehy
@ammarruwehy 2 года назад
Kiongozi wa Dini Sheikh Alhaad alianzia mbali sana, na alisema kua ukitaka upendwe basi utakua zaidi ya Mungu, maana hata Mungu hapendwi. Hapa Mkuu ulimkatishia maneno Sheikh Alhaad. Hakusema kua Magufuli ni Zaidi ya Mungu.
@hamzarijal5333
@hamzarijal5333 2 года назад
Itafute Clip yake ili iwezekane kufahamika kinyume chake tutayaona Sheikh Alhadi ndivyo alivyosema.
@msafirimpendu7077
@msafirimpendu7077 2 года назад
Ni kweli hiyo clip imekatwa hapo mwanzoni
@mohamedkibao7482
@mohamedkibao7482 2 года назад
Asiye Jua maana haambiwi maana huyu jamaa amekata hio clip Kwa makusudi kukebehi Islam. Anajua anachokifanya. Stupidity, huu ni udini kutukuza dini yako na kukebehi dini nyengine, hopeless, watu kama Hawa baada ya kuwasikiliza ni kuwapuuza tu!
@tadeojohn9691
@tadeojohn9691 2 года назад
@@mohamedkibao7482 umeelewa mada
@ammarruwehy
@ammarruwehy 2 года назад
Full video hii hapa. Ingia RU-vid uujue ukweli. Tusiwe wajanja wajanja wa kuedit, Video zinahifadhika na tunazo. ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-SCFVfQSP1-s.html
@husseinmillans3794
@husseinmillans3794 2 года назад
Swadaktaaa big brother!What you say it's absolutely correct!Be blessed and may Allah protect you.
@orgeneslema9464
@orgeneslema9464 2 года назад
Absolutely correct
@nzeyyunus5990
@nzeyyunus5990 2 года назад
Umenena vizuri Mtumishi. Ubarikiriwe Sana Kaka Ansbert
@eliasgimirey9774
@eliasgimirey9774 2 года назад
I Will you to contact
@eliasgimirey9774
@eliasgimirey9774 2 года назад
you're not
@eliasgimirey9774
@eliasgimirey9774 2 года назад
.yy. Y6.y
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 2 года назад
@@eliasgimirey9774 atabarikiwa na shetani kwakujifanya hakimu we ni Binadamu una dhambi km wengine
@elibarikimeela2761
@elibarikimeela2761 9 месяцев назад
Kaka Ngurumo,, you are a Tz grand analyst
@yonabilshan6424
@yonabilshan6424 2 года назад
You are very speculative indeed may God bless you petpetually
@yahyarashid8038
@yahyarashid8038 2 года назад
Mm niseme kaka kamtahadharisha mama samia asikubali kupewa sifa ambazo hazimstahikii yy na ss wasifiaji tuwacheni kusifia tumsifie allah ndie alie wapa hadhi hawo wanaosifia ukitaka kukusifia kitu msifu alie kitengeneza ndio itakuwa umetenda haki ahsanten
@V24hrs
@V24hrs 2 года назад
mungu akubariki kaka ..
@gililwise
@gililwise 2 года назад
mungu afananishwi na mwanadamu awaye yote ombeni Mungu awasamehe.
@zubedasoud9204
@zubedasoud9204 Год назад
Heeeee Tobaaaaa shekh anasema ivo SUBHANALLAH
@majormajomjohn3775
@majormajomjohn3775 2 года назад
Asante kwa kusema kweli
@rashidmohammed4887
@rashidmohammed4887 2 года назад
Hiyo haikuwa kauli ya waislamu wa Daresalam ila ilikuwa kauli ya huyo Shehe Ahadi
@coolruler6820
@coolruler6820 2 года назад
Mwanri alikosea tuu ktk uwakilkishaji sahihi wa maneno yake....mtumaini bwana kwa moyo wako wote, wala usizitegemee akili mwenyewe, ktk njia zako zote mkiri yeye, naye atayanyoosha mapito yako.......Nionavyo ni kweli pale unapomtumaini Mungu,,,Mungu hushusha baraka zake kwako,,,,,kuna namna tu Mwanri naona ulimi ulimteleza Kama ilivyo ulimi kiungo kdogo matatizo yake makubwa. Hata wewe unayezungumza hapo kuna mengi sana umemkosea Mungu na jua kuishi kwako labda ni vile tu Mungu anakupa wakati utubu na kumrudia....unapomnyooshea kidole mwezako kwanza hakiki usafi wa mikono yako
@fransisoroni9903
@fransisoroni9903 2 года назад
Mimi nimemfahamu Bwana ngurumo muda mrefu sana ,wakati wa vuguvugu la vijana wakatoliko kutaka kujua ufundi wa utunzi au uimbaji wa nita au muziki miaka hiyo ya 92hadi 98,wakati huo ,baadae yakutoka makoko seminary sijui kwa shida gani,alivuma sana nimtunzi mzuri sana wantimbo za Litrugia miaka hiyo ,nimwanamuziki mzuri sana wakikatoliki ,Huwa ana misimamo yake huwa anaamini like anachokijua yeye ,mara nyingi Huwa hakubaliani na mawazo hadi ya wengine,
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo 2 года назад
Asante ndugu. Ni kweli nimekuwa mtunzi wa nyimbo za dini tangu 1985. Ni kweli nimeishi Musoma tangu 1991 hadi 97. Ni kweli nilisoma Seminari na nilikuwa frateri wa Musoma. Lakini sikuwahi kusomea Makoko. Ni kweli kwamba nina msimamo, lakini nikipata hoja nzito kuliko yangu, naifuata. Ninachokataa ni kulazimishwa au kulaghaiwa kirahisi rahisi tu. Ukitaka kunivuta upande wako, nishawishi kwa hoja. Usinitishe, usinidanganye. Sifuati mkumbo, nafuata hoja, nafuata mantiki. Napenda kuwajibika kwa maoni yangu ili nisisingizie wengine kwa makosa yangu mwenyewe.. Nilitaka kuweka hilo sawa tu.
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 2 года назад
Huyu Ni mshamba tuuu .SS hatuangalii sifa za watu wa hovyo wenye mihemuko tunaangalia kazi alizozifanya Magu.kama weweni kipofu Kama Batholomeo tutakuombea
@asacconlinemedia5343
@asacconlinemedia5343 2 года назад
Kuna Jambo umesahau kuandika.Mimi pia namfahamu vizuri sana Ansbert Ngurumo ni Mpenda Ukweli,hapendi ujanja ujanja.Ni mtu mwenye Afya njema ya Akili,Huwa hapendi kuongozwa Na tumbo, Anapenda sana kutumia zaidi akili kupambanua Mambo. Huwa hakurupuki katika maamuzi.
@josephwilliammnyune5464
@josephwilliammnyune5464 2 года назад
@@beatricehenry6776 Kazi alizofanya ni kubwa na ni nzuri, lakini hazikumgeuza awe Mungu.
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 2 года назад
@@beatricehenry6776 alifanya mazuri lakini alikuwa na mapungufu pia huenda yalikuwa mengi ambayo wewe hukuyagundua katika ufahamu wako
@magwaza8904
@magwaza8904 2 года назад
Nimekuelewa vzr alitakiwa awakemee na kuwaambia Mungu ni Mungu tu. Mimi nibinadamu tu. Ila tatizo la Magufuri alikua hapendi kushauriwa na kusahihishwa.
@ahmedalbalooshi8518
@ahmedalbalooshi8518 2 года назад
Tatizo kubwa ni KITUMBUWA. Viongozi wengi huwa wako tayari kutoa kauli au kufanya kitendo ili kumfurahisha MKUU,Mradi Kitumbuwa kisiigie mchanga.
@pauloalfayo1868
@pauloalfayo1868 2 года назад
Mtumishi wa mungu Mimi nimeogopa mno.na utukufu wa mungu hauguzwi,tufunge na kuomba mzamaha.asante sana mungu akubariki
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 2 года назад
Atoe kwanza Boriti kwenye jicho lake ndipo ataona kibanzi Cha mfalme wetu magu
@yahayamwinyiwaziri3789
@yahayamwinyiwaziri3789 2 года назад
Subuhannallah Allah aqbar jaman vyeo ivi inalilah wainaihirajiun
@jelasnkoma4240
@jelasnkoma4240 2 года назад
Aisee Kabudi kamaliza yote.."Muheshimiwa Mungu"
@maalimkhamis4600
@maalimkhamis4600 2 года назад
Very good you are good man
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 года назад
Unafiki umetawala sana mungu ibariki Tanzania tunaomba amani
@allyjumakukulo4972
@allyjumakukulo4972 2 года назад
Bro ahsante sana kikubwa zaidi huye shekh wa dar ndo alitumaliza kbs
@frankfidelis8421
@frankfidelis8421 2 года назад
Kweli mungu anaipenda Tanzania mama waepuke washauri wa kukupa sifa za kimungu
@othmanmapunda2310
@othmanmapunda2310 2 года назад
Iko vizuri sana
@noelbryson7840
@noelbryson7840 Год назад
Ile awamu tulikuwa na majitu mapumbavu sana.. Walikufuru sana sana..
@saidal-rawahi4564
@saidal-rawahi4564 2 года назад
Brother upo sahihi kabisa.
@nasembakihara3024
@nasembakihara3024 2 года назад
Mungu ni mwenye wivu Hana mfanano wowore ghazabu ya Mungu Mungu jamani
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 2 года назад
Msihukumu msije hukumiwa
@chalresmabubu7625
@chalresmabubu7625 2 года назад
Nikweli bro
@SimonMaregge
@SimonMaregge Год назад
Unachambua vzr sana hupendelei ila usije ukawa Kama mhuni kuzalilisha viongozi tutakupiga faini😊 nakutania mtani wangu
@salhaisrael8265
@salhaisrael8265 2 года назад
Duh kweli twapotezwa na watu wasiojua dini Asante paster
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 2 года назад
Paster mnafiki Kama Yuda msariti kuwaongelea waliotangulia we ni Nani?!?!?! Eti msafi!!msafi Ni Baba yaani Aba.
@hamisihamisi1596
@hamisihamisi1596 Год назад
Mungu hatusamee,we ndugu uko making sana,mama Samia jitaid kuepuka jina la mungu
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 2 года назад
Mungu ibariki Tanzania tunaomba amani
@Worldunite
@Worldunite Год назад
Ni kweli lkn baadhi ya viongozi wa kiserikali na dini huwa wanajipendekeza kwa maraisi
@kamwenemnogage3791
@kamwenemnogage3791 2 года назад
Samia yeye ni zaidi ya hao yeye anajisemea wenyewe eti rais hakosei. Hii haina tofauti na kujifananisha na Mungu, alaaniwe
@yussuffadhil1396
@yussuffadhil1396 2 года назад
Acha ngongo ww...samia hawezi kujifananisha na Mungu
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 года назад
ULIMSIKIA SAMIA MWENYEWE AKISEMA HIVYO??? WACHA UWONGO USIJE UKALANIKA KAMA MAGUFULI.
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm 2 года назад
@@salimmalaka256 Fungua link hii umsikie wewe mwenyewe rais Samia akisema kuwa "rais hakosei". ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-KDnY6BZsyx4.html
@deusrobart8181
@deusrobart8181 2 года назад
@@yussuffadhil1396 kwani magufuli aliji fanasha na Mungu lini
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm 2 года назад
@@deusrobart8181 Wapambe wake walimfananisha na Mungu mbele yake na yeye hajakemea bali alifurahia hilo na wegine kuwapandisha vyeo kwa sababu ya kumpa sifa za kiungu. Sikiliza baadhi yao katika link hii: ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-SpCfLyeK7DY.html
@adamruhusa5771
@adamruhusa5771 2 года назад
Ni dhambi kubwa na nikufuru kwa mwanadamu kufikwa jiji la Mungu kumbuka Mungu hafananishwi na kitu chochote na Mungu ni uwezo isio kifani tumuogope Mungu ni kweli
@salhaisrael8265
@salhaisrael8265 2 года назад
Kabisa 👍
@EliasKasomajr
@EliasKasomajr 2 года назад
Its real annoying and shameful sana kuwa na viongozi wa namna hii....what worries zaidi ni viongozi hawa kukubali hizi sifa za kipumbavu sana.
@babumnyagane8091
@babumnyagane8091 2 года назад
Mama yetu samia nakuomba rudisha heshima ya viongozi wa juu, mfano henzi Ya magufuli mtu kama mbunge kukamatwa kama mwizi wa kuku badala ya kuitwa kistaharabu sio vizuri,
@onesmokamili2968
@onesmokamili2968 2 года назад
Hapo ndipo MUNGU alipochukia na akakasirika
@frankmnale1900
@frankmnale1900 2 года назад
Endelea kukumbusha wanadamu.... Tunajisahau hasa zaidi tunapokuwa tunapewa madaraka
@cydehashim9410
@cydehashim9410 2 года назад
real talks.
@kindysuleiman5935
@kindysuleiman5935 2 года назад
Msemaji umesema kweli wa kujilaumu sisi sababu tunaogopa na kutishwa
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 2 года назад
Duuu uyo sio shekheeee uyo ni ibilisiii
@jamals.mbarak8638
@jamals.mbarak8638 2 года назад
Umefikisha vizuri sana
@emmanuelmasalu5465
@emmanuelmasalu5465 2 года назад
hata hivyo mzee, elewa tu kuwa hata wewe hapo una lako si bule. kila kitu ni IMANI kwa kila wakati wa inalokujia kwa wakati ulio nao. maana mapokeo wa wa hayo unayoongea leo unajua kwanini uongee leo na sio kipindi kile. japo RAIS wa sasa mmemzalau wengi wenu kwa kujifichia eti anademokrasia. wale mgando wakuone jiniazi.
@herculesthepower1544
@herculesthepower1544 2 года назад
Hii comment yako haieleweki kabisa sijui labda kwa kiswahili uchokitumia. Na labda humjui huyu mtoa hii mada. Kiufupi, tusijaribu kumlinganisha binadamu na Mungu hata awe na uzuri wa kila kitu. Mungu ni Mungu pekee yake hakuna mfano wake na hakuna alie juu yake.
@mosesfaustine8835
@mosesfaustine8835 5 месяцев назад
Mungu ndiye ahukumuye. Kama walifanya makosa au la. Na anajua namna ya kuwahukum
@edwinimezza2471
@edwinimezza2471 2 года назад
Wote wana matatizo,,Anaye sifiwa anamatatizo na, wanao msifu pia wana Matatizo.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 года назад
KWELI KABISAA.
@minjagas1343
@minjagas1343 Год назад
Tuache ubishi jamani lipo lakujifunza.kukiri makosa hakutuondolei heshima yoyote.tunakushukuru kutukumbusha. Mungu uliye hai uliye popote tusamehe.tukutukuze wewe peke yako.mpe kiongozi wetu hekima na maisha marefu.Asante Mungu wetu kwa kuwa kiongozi huyu ametoka kwako.tuomba toba na rehema kwa taifa letu.
@christemba5028
@christemba5028 2 года назад
Mkuu umesahau na yeye alisema akifika Mbinguni atawaongoza Malaika kidogo kidogo
@methuselamisana4115
@methuselamisana4115 2 года назад
Hahah😂🤣🤣
@wozanawewoz979
@wozanawewoz979 2 года назад
😄😄😄
@wilsonsikahanga1761
@wilsonsikahanga1761 Год назад
😁😁
@goodluckshayo2593
@goodluckshayo2593 Год назад
Pongezi nyingi sana mwanahabari nguli Ngurumo. Hukuanza leo, wewe ni mkongwe.
@allyhassan2973
@allyhassan2973 2 года назад
Aisee japo hata wengine wamekosea sana Ila huyu SHEKHE duh sidhani kama atapona vinginevyo amuombe mungu msamaha sana, sana, sana, sana tena sana!!!. Na kw mfano nikiingia msikini nikakuta huyu jamaa ni imamu ntatoka
@joycemagessa350
@joycemagessa350 2 года назад
😂😂😂
@thomasmseli3046
@thomasmseli3046 2 года назад
Unaongea injili iliyo hai. Hawa walafi wa madaraka wana kiburi kupitiliza hawatakusikiliza watakushambulia. Hawtaki kujifunza kwa mfalme Herodi alifananishwa na Mungu akafurahi akauwawa na chango palepa. Hawa wa sasa ni kansa itawala na aibu tele wapokeyaji na watoaji wa sifa za Mungu kwa binadamu
@sk-wj9or
@sk-wj9or 2 года назад
Nakubaliana nawe 100%
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 года назад
HIYO SIYO KAULI YA WAISILAM WA DAR ESSA LAAM, HUYO KAKUFURU PEKE YAKE,AOMBE TOBA KABLA YA KUFA KWAKE,
@RichardLyamuya
@RichardLyamuya 26 дней назад
Hayo ndio yaliyomponza Magufuli
@Lifeeofemmy
@Lifeeofemmy 2 года назад
Binadamu yeyote anae mwita binadam mwenzake Mungu kwaajili ya cheo ,njaa au kuwania madaraka ni mpumbavu wakwanza katika Dunia hii
@marcokaroje8980
@marcokaroje8980 2 года назад
Safi sana
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 2 года назад
Watawala wamaccm niwanafiki wanapenda kupambamapambio kwaunafiki tu kwasabbu yakujipendekeza ili apewe/apandishwe cheo!!!
@daudicharles1711
@daudicharles1711 2 года назад
Mungu ni mwema
@joshuaeliya8559
@joshuaeliya8559 2 года назад
Isaya 42:8. Aliyetuumba hataki utani ndo maana alikufa.
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 2 года назад
Kwa hiyo wote wanaokufa walimtania Mungu wetu.?!?!
@alfredinarwegasira4821
@alfredinarwegasira4821 2 года назад
@@beatricehenry6776 Si ndio apo? Na ayo maneno aliyasema yeye? Jamani msimpangie Mungu yeye ndiye anajua maisha ya kila mtu.Kwa hiyo waliokufa wrote wana madhambi? Msikufuru jamani ila Chanda chema uvikwa pete.
@monicamwita7865
@monicamwita7865 3 месяца назад
Exactly
@jifahamuyouthtalentssports3091
@jifahamuyouthtalentssports3091 2 года назад
It's different
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 2 года назад
Duuh Apo sio poa wale waliokuwa wakimsifia ila kwakweli Mugufuli mwenyewe hakuwahi jisifiya ivyo nakwanza aliimiza watu wamtangulize Mungu mbele... to cut long story short Magufuli alikuwa mtu mzuri saana asa kwa watu wa hali yachini na huo ndio ukweli sema kuna viongozi tu waliokuwa wanajipendekeza
@geofreymongi5403
@geofreymongi5403 Год назад
Ni hekima njema Mungu anaipenda Tanzania na huyu muungwana hana makuu amezungumza kama nabii ingekuwa wale manabii kanjanja nisingeshangaa kusikia wakimtaka Raisi na watanzania wapeleke sadaka ya ukombozi kwake
@jwilliamngeleja6548
@jwilliamngeleja6548 2 года назад
Mzee mda ukifka utakufa tu kwahyo hata maguufuli haktaka kusifiwa ivo Kama kweli unacho kisema mbona kunawachungaji wanajisfu tena wao wenyewe na hawafi
@deusrobart8181
@deusrobart8181 2 года назад
Mimi apo sijaelewa kosa la magufuli apo nilipi sasa
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 2 года назад
Ngereja Asante kwa kumuelimisha maana Hawa watumishi ndo wanajionaga Bora ila nyuma ya pazia wameoza
@machibyajeremia9650
@machibyajeremia9650 2 года назад
Duuuh hatari
@c.r.mtechnology2322
@c.r.mtechnology2322 10 месяцев назад
Allahu Akbar, 3
@benedictmrisho5947
@benedictmrisho5947 2 года назад
"Wewe unayeishi utambue ukuu na uweza wa Mwenyezi Mungu"
@edsonisrael8996
@edsonisrael8996 2 года назад
Ebu sema ma ma.zuri aliyo yatanya Magufuri...au unataka kutwambia hakuna chochote alichokifanya kizuri kwenye hii ardhi!? Mungu anakuona mzee..hubiri injiri Mambo ya ngoswe mwachie ngoswe mwenyewee
@deusrobart8181
@deusrobart8181 2 года назад
Mimi apo sijaelewa kosa la magufuli nilipi sasa
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 2 года назад
Mema Ni mengi kuliko mabaya ila mwenye chuki binafsi hata Kama yapo atayageuza mabaya hakuna watu wa hovyo km watumishi uchwara type neno acha kuhukumu
@marthaswai1185
@marthaswai1185 2 года назад
Asante sana.Sauti inatosha
@sagoaking2904
@sagoaking2904 2 года назад
Kwasababu Mungu alikuwa ndani yake
@farouqsilvester9918
@farouqsilvester9918 2 года назад
Dah astaghfillulah huyu sheikh mkuu wa mkoa wa dar inabidi amuombe mwenyeezimungu msamaha dah astaghfillulah yaani magufuli ni zaidi ya mungu dah 😭😭😭😭
@hamidaalhabsi8568
@hamidaalhabsi8568 Год назад
Subhanaallah tunaambiwa kwenye dini zetu kuwa tusiweke chukii mbele ila tunaambiwa tuweke imani na undugu mbele ili tupate kheri yake mwenyezi mungu lakini binadamu ufitina na chuki binafsi sio Vizuri watazania hakuna mjinga ila tutakase roho zetu tu bro
@thelonewolf4429
@thelonewolf4429 2 года назад
Apo kwenye clip ya shekh kama vile unai cut hakuwa na maanisha hivyo unaonekana unapotosha hakuna sifa aliopewa magufuli sema wale walikuwa wakimaanisha kingine.MAGUFULI MWENYEWE HAJAWAHI JISIFU IVYO AU KUJIITA MUNGU KWANZA ALIIMIZA WATU KUMTEGEMEA MUNGU JUST ADMIT THAT YOU HATED JPM
@magdalenabenard4208
@magdalenabenard4208 2 года назад
Utukufu ni wa mungu peke take tatizo la viongozi ama baadhi wanapenda kutukuzwa sijajua hata nemo mheshimiwa mtukufu kama kwa mungu lina kibari aielewi ila ni hatari sana kumcheZea mungu maana eye ni mungu anaetisha hazihakiwi atakomrsha viburi
@yussufpandu1852
@yussufpandu1852 2 года назад
ALHADI MUSSA LAZIMA UTUBU KWA KAULI ULIYOITOWA
@salama1113
@salama1113 24 дня назад
Hikweli kufuru kupitiliza 😢😢😢😢😢
@minjagas1343
@minjagas1343 Год назад
Mungu atusamehe.
@deodatusmagagura6793
@deodatusmagagura6793 2 года назад
YESU KRISTO TUREHEMU
@BIGBOSS-hl3bu
@BIGBOSS-hl3bu 2 года назад
Hao wote hawana dini
@allanngowi9015
@allanngowi9015 2 года назад
Huwezi amini hawa wanaosema sema haya ni watu wanaoitwa viongozi tena wasomi mbaya zaidi hata viongozi wa dini nao ????😭😭😭😭
@bayekefarijala5042
@bayekefarijala5042 2 года назад
Huyu ni mwongo anatumia maandiko vibaya. Biblia yenyewe inasema tiini wenye mamlaka kama kumtii Kristo. Tena inaongeza anayestahili heshima mpe heshima, mana viongozi wa Serikali ni watumishi wa Mungu ikiwa wanatenda haki. Tena inasema mkipigwa makofi kwasababu ya kutokutii iliyohaki mkipigwa hampati sawabu lakini mkipigwa Kwa kutenda haki mna sawabu. Hakunaga kumsema anayestahili kuogopwa ni Mungu tu, Mungu unayemtaja ambaye haonekani yupo Kila mahali, Serikalini Mungu anawakilishwa na viongozi watenda haki, kwenye familia wazazi, hata mke anapaswa kumtii Mine kama anamtii Mungu. Kusema mbona mume ni mtu tu hicho hi kiburi na ukipigwa usifikiri Mungu atakuhurumia, kwakuwa Mungu anafanya kazi ndani ya wanadamu. Hujui chochote Acha kudanganya watu. Kwa Mungu hakunaga usawa. Kuna mamlaka na unapaswa uzitii. Yaani wewe unasema haki Sawa huo ni ushetani na ndicho alichokifanya Lusifa kutaka kuwa Sawa na Mungu. Mugufuli hakujifanaya Mungu, Ila alinunyenyekea Kwa Mungu, mara ngapi aliita viongozi wa dini wamwombee? Ni raisi gani unayemjua wewe aliyewahi kumtukuza Mungu hadharani hata wakati Mungu anaonekana si kitu Kwa wenye akili za dunia hii kama Magufuli. Hakuona aibu kusema Jambo hili tumuombe Mungu, kuna watu wameingia madarakani tu wamejifanya sayansi sayansi, wakati yeye akisisitiza taifa kumwomba Mungu na tukashinda vitavingi hata ya korona. Acha kuwahadaa watu wasio na ufahamu7
@monicamwita7865
@monicamwita7865 3 месяца назад
Ni kweli tuii mamlaka, lkn wasichukue nafasi ya Mungu Baba. Ielewe2 vizuri biblia.
@johnmwapili137
@johnmwapili137 2 года назад
Kataa wanafiki mama !
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 11 месяцев назад
Mimi naona kuna vitu wanakubaliana watakuwa wanavisema come rain, come sunshine. 😅😅😅
@isacklameck1748
@isacklameck1748 Год назад
magufuli alimuheshimu mungu sana, walio ropoka Hao niwatu tu usimzodoe magu
@abdallahhamisi45
@abdallahhamisi45 2 года назад
Huyo sheikh alisha kufuru muda mrefu sana
@brightluvanda2795
@brightluvanda2795 2 года назад
Kwahiyo bado uko umemkalia magufuli kooni ,,mpaka leo??? Una laana wewe!!! hebu muache magifuli wetu apumzike!"!,,,,,huna jipya zaidi ya kumuongelea magufuli ndio usikike??chefuuuuu! Kama uliumia kipindi hicho ulikuwa wewe sio sisi watanzania wa kawaida! Ukome kutusemea!!"
@joaneskailembo4485
@joaneskailembo4485 2 года назад
Akili kubwa saana
@SEMANKA97
@SEMANKA97 2 года назад
Hatari sana
@kennyrogers4734
@kennyrogers4734 2 года назад
Hata mimi nilielewa Mungu anaipenda Tanzania maana yake ametambua maumivu ya watanzania amewaponya kwa hili
@gataonyango9294
@gataonyango9294 2 года назад
Ulikuwa upumbavu wa hali ya juu sana
@abdalakombo1595
@abdalakombo1595 2 года назад
Kufuru ingezidi angekuwa hai
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 года назад
TANZANIA INGE ANGAMIA BORA KAFA FIRAUNI WA TANZANIA YULE
@asacconlinemedia5343
@asacconlinemedia5343 2 года назад
Ngurumo namfahamu ni mtu mwenye Afya njema ya Akili. Anapenda sana Ukweli.
@Shemandia
@Shemandia Месяц назад
Hawa wote pamoja na shekh Wa daresam Wazamani na hao viongozi.wate wamejiamdalia moto wajahanam.wakiongozwa shekh kiongozi dini
@ibel4lf
@ibel4lf 2 года назад
Take Magufuli away from your basket mouth
@AnsbertNgurumo
@AnsbertNgurumo 2 года назад
Historia haifutiki bali hurejewa kwa ajili ya mafunzo - kwa wenye akili ya kujifunza. Tunajadili historia ya miaka 2000 iliyopita, sembuse miaka mitano iliyopita!!
@beatricehenry6776
@beatricehenry6776 2 года назад
Liambie
@gabrielsanya3278
@gabrielsanya3278 2 месяца назад
Hivi Rais Samia anavua utu wake na kukubali kusifiwa na kutukizwa? Kama WAFUASI wake ni MAPOYOYO basi NI Bora awakemee mapema na kuwaeleza ukweli kuwa Hana HAKI wala hasitahili kusifiwa na kutwa Mtukufu Rais Samia. Hakuna binadamu ambaye NI kiongozi awe Mtukufu kwa sababu za wazi Tu kuwa wanayo makosa na dhambi nyingi za Utekaji, Kupotezwa maisha ya watu, Wizi na ubadhilifu wa Mali za Umma, haya machache yanatosha kuthibitisha wazi kuwa hakuna kiongozi mwenye Mtukufu. Na kama NI kweli basi ikubalike kuwa anasitajili KUHESHIMIWA na sio KUTUKUZWA NA KUABUDIWA,
@bennymochiwa4800
@bennymochiwa4800 2 года назад
Huyo samia mwenyewe ndio walewale, Tanzania hakuna viongozi bali ni wanafiki tu ndio wanatuongoza, we really need a change
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 года назад
WEWE UNA FUNZA KICHWANI
@rosinasenzota6546
@rosinasenzota6546 2 года назад
Tumwombee kwa mungu mama yetu raisi SSH apokee ushauri wako uliotukuka na kuufanyia kazi Ndugu yetu Ansbert Ngurumo Mungu akubariki sana,na tunaelewa kuwa UKWELI HUWA UNAUMA SANA
@bayekefarijala5042
@bayekefarijala5042 2 года назад
Yaani natamani tupate rais aliye mara mbili ya Magufuli ili kufidia miaka hii inayopotea. Huyu kiwavi anajaribu kuharibu ukweli Kwa kumchafua Magufuli. Ningekuwa Mimi ndo rais, hawa wahuni wangenikoma nisingewahurumia hata mmoja wangeenda kuchumba chima Egypt na south Africa
@johnsinyinza7450
@johnsinyinza7450 Год назад
Proffesa mavi.
@LathamCap
@LathamCap Год назад
Nawewe upo wapi?
@mumuomar5541
@mumuomar5541 6 месяцев назад
Zaidi ya Mungu,wakati Mungu hafanabishwi,huyu kweli ni shekh?
@zainabmaulid9637
@zainabmaulid9637 11 месяцев назад
Sema ukweli dah tunaenda wapi jamani mungu afananishwi na kitu chochote % mungu ndo mueza wa kila kitu%
@lwicheworkshoplimited305
@lwicheworkshoplimited305 2 года назад
Sidhani kama walikuwa na maana ya kumdharau Mungu Jehova Alfa na Omega!! Huo ni uchochezi tu!! Magufuli alikuwa mcha Mungu.
@majaliwawilson9372
@majaliwawilson9372 2 года назад
Hakumaanisha hivo bwana tafsili vyema luga Ile lakini viongoz wadini ndio wanaogoza kupenda kutukuzwa Zaid ya Mola usitowe kibaz kwamwezio ukaacha boliti lililoko jichoni mwako
@gracekagoma3231
@gracekagoma3231 2 года назад
NI matumaini yangu kuwa wewew siyo Chadema.Kama wewe NI Chadema basi wewe NI bonge ya hatari ktka Nchi Hii.Kama Wewe NI mtu mzuri na mstarabu Lazima utakuwae inajua namna ya kuufikisha ujumbe huu kwa wahusika bila ya kutupotosha Na kutuchanganya akili
@simonmalegesi414
@simonmalegesi414 2 года назад
Ata mie nimeshindwa kumuelewa anaungaunga vikilipu kijingajinga mnafiki TU
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 года назад
USILETE UVYAMA HAPA WAHUSIKA NI WEWE NA WA TZ HAIHUSIANI NA UCHAMA YULE MAGU HANA TOFAUTI NA FIRAUNI KUJIFANYA MUNGU MTU KWQ SASA MAGU MZOGA YEYE KA LAANIKA BADO WEWE ENDELEA KUMTETEA.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 года назад
@@simonmalegesi414 UTAMUELEWA 2 KIFUPI MAGU KAJIFANYA MUNGU SASA HIVI KAGEUKA MZOGA KALANIKA BADO WEWE ULANIKE KWA KUJIFANYA MJINGA.
@ammarruwehy
@ammarruwehy 2 года назад
Full video hii hapa. Ingia RU-vid uujue ukweli. Tusidanganyane kwa kuunga unga vivideo tuu ru-vid.com/video/%D0%B2%D0%B8%D0%B4%D0%B5%D0%BE-SCFVfQSP1-s.html
Далее
MASWALI YAIBUKA KUHUSU KIFO CHA MEMBE
19:08
Просмотров 66 тыс.
ДУБАЙСКАЯ ШОКОЛАДКА 🍫
00:55
Просмотров 1,2 млн
SATIVA AMSHIKA UCHUKU KAMANDA MULIRO
31:58
Просмотров 25 тыс.