Тёмный

TUNAENDA KUOA 

Joti TV
Подписаться 1,1 млн
Просмотров 569 тыс.
50% 1

Vijana kuweni maakini sana kwenye shughuli zenu sio kila mnae muona njiani ni mkosi kwenu...
Wengine mnapoteza baraka kwa ujinga wenu......

Приколы

Опубликовано:

 

20 июл 2022

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 654   
@stephanmpangire4741
@stephanmpangire4741 2 года назад
Katika maisha tunatakiwa kuheshimiana kila mmoja, mkubwa kwa mdogo na zaidi wale ambao tusiowajua
@sautikaliitz934
@sautikaliitz934 2 года назад
mashabiki wa joti sema kimeumana na ugonge like
@Conshamusic
@Conshamusic 2 года назад
JOTI IS THE BEST COMEDIAN ALL THE TIME😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@innocentmarco7287
@innocentmarco7287 2 года назад
Really
@abdallahkategile
@abdallahkategile Год назад
@@innocentmarco7287 aa
@alexkalonga5323
@alexkalonga5323 2 года назад
Ubaya wa hii story mtazamaji anakuwa ameshaielewa mwisho wake kabla haijaisha!
@aishaomarry6996
@aishaomarry6996 2 года назад
Yaani Kitale tu mpaka sasa ukiangalia filamu zake unachowaza kinakuja tofauti
@alexkalonga5323
@alexkalonga5323 2 года назад
@@aishaomarry6996 Joti sometimes anazingua!
@maulididdinkamia8770
@maulididdinkamia8770 Год назад
Kabsa
@muyajuma6278
@muyajuma6278 Год назад
We ulijua kua atakuja na panchng bag
@flinchclassic1531
@flinchclassic1531 Год назад
Haki
@mahmoudaziz4717
@mahmoudaziz4717 2 года назад
Nimecheka kifala sana. Joti we ni legend dah😂😂😂😂😂😂🇹🇿.
@levinaringoma
@levinaringoma 2 года назад
Father-in-law hatari Kwa kurusha ngumi.. Jotiiiiiiii love your comedies 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mkatungu7457
@mkatungu7457 2 года назад
Duuu hizo ngumi ni Bakari. Joti unaniua
@berrymshana4686
@berrymshana4686 2 года назад
Kaka hii ya kisasa haswaaaaaaaaa ndoto yangu siku moja nifanye kazi na wewe umekua ukinishawishi tangu kitambo mnoooo kazi nzuri mnoo💥💥💥💥💥
@samiramussa2623
@samiramussa2623 Год назад
Psàf
@jameschengo1471
@jameschengo1471 2 года назад
from kenya watching the best comedian joti.rly like your creative your hot and great comedian bigup broo.! no one like you
@chrismuganwa8634
@chrismuganwa8634 2 года назад
Thank you Mr Joti I like when you act like Andunji! Love from Burundi 🇧🇮
@mickmanee
@mickmanee 2 года назад
Enel2l2l2l2l2l2l
@amedeusjoseph9178
@amedeusjoseph9178 2 года назад
Act child
@BongoZaKitambo55
@BongoZaKitambo55 2 года назад
Kuna ngoma ya insp haroun inaitwa kisa cha baba mkwe inafafana na hii ya joti big up sana
@mustaphagairo2266
@mustaphagairo2266 2 года назад
Joti ameamua kuboresha kwa huku, ile ngoma kitambo sana
@samwelignas2440
@samwelignas2440 4 месяца назад
Joti amecopy na kupaste kwa Inspector
@kennedyokumu
@kennedyokumu 2 года назад
Next time do Kiboga,I miss the character.
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 2 года назад
Joti tutakusajili katika timu yetu ya familia ya mo boxing😂
@fetykamote2856
@fetykamote2856 Год назад
Kuna atakimbia apa
@fetykamote2856
@fetykamote2856 Год назад
Kapiga mkwe
@geffreymburu4839
@geffreymburu4839 Год назад
Mko juu tu Sana big luv from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@stevekasawala2315
@stevekasawala2315 2 года назад
Master of comedy in Tanzania
@shafiikhamis2336
@shafiikhamis2336 2 года назад
Nilipoanza kusikia kua "Shughuli ni watu, na watu wenyew ndio sis' nikajua hapa hakuna ndoa ni mangumi tu ya baba harusi kw mkwe wake...🤣😄😆😁
@aronpaul2331
@aronpaul2331 Год назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@maryamconstantine2232
@maryamconstantine2232 2 года назад
Good location My bro MUNGU akutunze sana
@suleimanngare6707
@suleimanngare6707 2 года назад
Kitumbua kimeingia mchanga🤣🤣🤣🤣🤣imeweza 🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪🤝
@lilianalmas5911
@lilianalmas5911 2 года назад
😂😂😂😂 joti kafundisha kitu kimoja kikubwa kwamba usimdharau usiyemjua wamempiga kumbe Baba mkwe😂😂😂 Big up Sana Bro👏🏼👏🏼
@baloz8974
@baloz8974 Год назад
True udhaniae ndie kumbe siye
@PabloEscobar-wt1fq
@PabloEscobar-wt1fq 2 года назад
Joti ur (Goat ) greatest of all the time comedian in Tanzania u crack my ribs even before I watch ur Videos. Salute keep entertaining Tanzanian...
@donardpelladonardpella5323
@donardpelladonardpella5323 2 года назад
Hhhhh
@allyfatma7359
@allyfatma7359 2 года назад
Watu wapo active km tukio la kweli.location on point."wacha nikachukuwe vitendea kazi,nilikuwa sijawaona" Thx bro.
@emmanueloinoth
@emmanueloinoth 2 года назад
The best comedians east Africa 🌍 jotti love from 🇺🇬
@johnsagala
@johnsagala Год назад
Hahahaaaaa! Kweli jot ni Noooma! Mwenyezi Mungu akuweke miaka mia.....aisiii unachekesha Sana!
@JacksonKanzira-wp3wt
@JacksonKanzira-wp3wt 4 месяца назад
Joti is from 🇹🇿
@davidmsia4322
@davidmsia4322 2 года назад
Hii ilitakiwa kua kijijini, Ila naona wamesahau maghorofa ya makumbusho dar kule nyuma kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@suzanapangani9305
@suzanapangani9305 2 года назад
Khaaaaa wabongo siwawezi khaaaaa kumbe kijitonyama hapa daaaah!! Nimeona na mie ghorofaaa!!
@miriamkarata7495
@miriamkarata7495 2 года назад
Mnamkung'uta baba mkwe ,mtajua hamjui🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@johwilly8723
@johwilly8723 2 года назад
Mwamba unajua sana skuiz, team nzima inajua sana, Kanyinyi na Mlewa mmetisha sana.
@anordkulanga5811
@anordkulanga5811 2 года назад
Jot brother hatareee sana...you are super comedian bro...
@shammxtv5608
@shammxtv5608 2 года назад
Wapi wazaramoo🤣bt cjapetaaa waowaji hamuna heshma🤣🤣💗
@predictioneasyodds2779
@predictioneasyodds2779 2 года назад
Baunsa yupo vzr joti kampika
@mansourally91
@mansourally91 2 года назад
JOTI HE IS SO TALENTED 🔥🔥🔥🙌🙌
@mwanamisiramadhan4773
@mwanamisiramadhan4773 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣ukisikia kitumbua kimeingia mchanga ndiyo hii sasa
@benOfficial36
@benOfficial36 8 месяцев назад
😂😂😂, mama kapata Baba
@ramamsafitv1477
@ramamsafitv1477 2 года назад
Joti uko vizuri napenda kazi zako
@khaliddadi2063
@khaliddadi2063 2 года назад
Duuuh Amazing location😍 Joti hakika kwenye hii video umetisha sana suala la Location Congratulations❤
@almasseseme6830
@almasseseme6830 2 года назад
Makumbusho moja iyo
@shafiiabdallah7680
@shafiiabdallah7680 2 года назад
Makumbusho hapo
@mosesolesilas5592
@mosesolesilas5592 2 года назад
Beautiful location I love it
@hanifwari206
@hanifwari206 2 года назад
A Kenyan from Mombasa, nakuangalia nikiwa Doha-QATAR
@Jkone891
@Jkone891 2 года назад
I can predict huyo mzee ndio babu ya msichana 😂😂😂😂
@peterswai391
@peterswai391 2 года назад
Haaaa tuna enda kuoaa, nakuona CEO wa comedy TZ God bless more brother
@samuelntaconagize1445
@samuelntaconagize1445 2 года назад
Nakubali Mjomba Kazi Yako Nayikubali San Nikiwa 🇿🇦
@norbertlucas4144
@norbertlucas4144 2 года назад
Kitambo kidogo Inspector Haroun babu..alikua na ngoma yenye maudhui hayaaa..
@AsiaMkusa
@AsiaMkusa 2 года назад
Ukisikiliza wimbo ya Inspector Haroun "kisa Cha baba mkwe" ndio hii video sema joti kaicheza vizuri pia ila hiki kisa kilishaimbwa hapo miaka ya nyuma
@officialjclever9879
@officialjclever9879 2 года назад
Inaitwaje huo wimbo
@zahorjacob2730
@zahorjacob2730 2 года назад
@@officialjclever9879 inaitwa kisa cha baba mkwe
@jnote9283
@jnote9283 2 года назад
Kilichotokea hukoo tanga!
@nelsonkwalanda1559
@nelsonkwalanda1559 2 года назад
Bwana harusi kakosa mke kamwagia...
@innocentnnko2292
@innocentnnko2292 2 года назад
......kitumbua chake mchanga😆
@humphreybalalu1680
@humphreybalalu1680 2 года назад
Recent episodes from JotiTV really teaches....
@emmanuelmakindi4409
@emmanuelmakindi4409 2 года назад
Mimi natamani sana hii channel ifike 1M subscribers
@kelvinantony1358
@kelvinantony1358 Год назад
Hapo KWENYE Leo Atari nimechoka sanaaa 😂😂😂😂
@arnhemzuid8885
@arnhemzuid8885 2 года назад
😃😃 Mwamba kanywea. Ati Mpambe wa Bwana harusi kaenda kuchukua fegi, 😁😁
@Emmymajula5838
@Emmymajula5838 2 года назад
Afu baba joti😹😹 mmemtukana inafundisha bigapu joti❤️🙏🙏
@philipothomas6279
@philipothomas6279 2 года назад
best comedian of all the time...!!!🙌🙌🙌
@jacksonfocus4922
@jacksonfocus4922 2 года назад
Mwamba safi sana umemkuza jamaa yuko fresh san...👊🏻
@suleimanhabib7072
@suleimanhabib7072 2 года назад
Ah uyu mtu bhana kweli anakipaji cha kuchekesha 😁😁😁💪👌
@alifaki4651
@alifaki4651 2 года назад
Jot ww ni ni mkali wa komed mzee majuto alikutambua kwa kusema hakuna komed yoyote apa bongo alie mchekesha zaid ya joty na halina ubishi kwa ilo hongera sana hongeren kwa nyot mlio shirik umo ndani
@agnesbasistian9248
@agnesbasistian9248 2 года назад
Hahaha uwii jamani malipo ni hapa hapa duniani mbinguni hesabu tu 😂😂😂
@jay-nyeye1900
@jay-nyeye1900 2 года назад
Joti is the best comedian in Tz 🔥🤣
@edeskolojelo6116
@edeskolojelo6116 Год назад
Umetisha Kaka Mkubwa
@ibrahimadam8623
@ibrahimadam8623 2 года назад
Excellent work Joti and team, all the best while you entertain and bring joy to millions across the globe!
@salimmwabundu958
@salimmwabundu958 2 года назад
Namuona inspkt Haroun... Kisa cha Babamkwe🔥🔥
@teacherkaligodottonjigecha3328
@teacherkaligodottonjigecha3328 2 года назад
KAZI nzuri nishai kitombangile kitwango mkazo
@katotoabdallah3878
@katotoabdallah3878 2 года назад
Inspecta haroon babu"kisa cha baba mkwe"
@adammanyendi7577
@adammanyendi7577 2 года назад
Nimecheka mpaka mwisho aisee daaahhhhhhhh😄😄😄😄😄😄 umetisha mwamba
@ip_header
@ip_header 2 года назад
Joti is the Next level Comedian
@Notorias
@Notorias 2 года назад
Nchuuuuun utatuliaaa weweeee
@muhamedsaid4177
@muhamedsaid4177 2 года назад
Joti unatukosha sana
@savioursimon458
@savioursimon458 2 года назад
I love the location it's a beautiful place I wish to know where it is. 😍 Big Up my brother Joti good job
@sadockphares7304
@sadockphares7304 2 года назад
Makumbusho village, Dar es salaam.
@daddieeddie5057
@daddieeddie5057 2 года назад
@@sadockphares7304 makumbusho
@yakaramayaka1456
@yakaramayaka1456 2 года назад
@@sadockphares7304 wange edit kutoa lile ghorofa lililokua linaonekana kwenye background, otherwise location ilikua nzuri.
@heavenlightlowassa7433
@heavenlightlowassa7433 2 года назад
Makumbusho village
@zenajustus5731
@zenajustus5731 2 года назад
Very beautiful so peaceful and full of nature!love it.
@pmall8867
@pmall8867 2 года назад
Very funny... Kwanini gari ya harus Ina nembo ya wasafi au sioni vizur😳😳
@suzanapangani9305
@suzanapangani9305 2 года назад
Kwani dhambi kuwa na.hiyo nembo??
@simonandrew1489
@simonandrew1489 2 года назад
Noma Saaanaaaa
@mmassadieudonnengomoya8607
@mmassadieudonnengomoya8607 Год назад
Dah sijawai kuchek Kama leo 😂😂😂
@humphreyvidonyi253
@humphreyvidonyi253 2 года назад
Da pamoja na uhodari wa joti, ila inapofika kwenye kama hzo za kuchukua wamama wa uswahilini na kucheza ovyo huwaga kinanikera sana
@salumugidion
@salumugidion 2 года назад
Haha 😂 watching from NY thank you brother 🔥
@Karim_tz1
@Karim_tz1 2 года назад
Unyama Sana 🔥🔥🔥
@babawawili7802
@babawawili7802 Год назад
Good idear
@user-ic8mc3bd8l
@user-ic8mc3bd8l 7 месяцев назад
Good job 😂😂😂😂❤❤❤❤❤
@sasha-ri7tf
@sasha-ri7tf Год назад
Nimecheka pale Nishai alipopewa kisago cha mbwa koko🤣🤣🤣
@sarahmosessanga3195
@sarahmosessanga3195 2 года назад
Huna Kaz mbovu kaz zako zote nzuri yaan
@alexpalangyo5501
@alexpalangyo5501 2 года назад
mbona babu mgongo umenyooka fastaaa... Akatoka baruuu...😂😂😂😂
@aliomari5961
@aliomari5961 2 года назад
well done bro,,,LUCAS MHUVILE kudos,,,that a good shot.,,,love from +254
@nsbumbelele6162
@nsbumbelele6162 2 года назад
Wew joti mama zetu unawapelekesha unavyotaka eeeh
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 2 года назад
🤣🤣🤣🤣🤣 Dah nihatari sana Mwanga kageuka bondia
@escaladeokonkwo1048
@escaladeokonkwo1048 2 года назад
From Kenya Joti ni nomaaaa iseee
@mweucorg6910
@mweucorg6910 Год назад
Mwisho umeidharau sana
@hamisidumbo1568
@hamisidumbo1568 2 года назад
😀😀😀😃hatari si hatariiii....hi noma sana Mr joti big up💪
@hassanihusseni3193
@hassanihusseni3193 Год назад
Nakukubal sana kaka joty unatsha vbaya
@cosmaskabila3058
@cosmaskabila3058 2 года назад
Nakukubali sana bro Joti 😀😀😀
@nuruzebedayo7067
@nuruzebedayo7067 2 года назад
Nakukubali joti nikiwa na mawazo yanaisha
@aliabdallah4233
@aliabdallah4233 10 месяцев назад
Rasha rasha tu au sio😂😂😂
@gracekikula6279
@gracekikula6279 2 года назад
Maana halisi ya uswahili ndo hii,safi sana,I love u my Tanzania😍
@seeker_music_africa1249
@seeker_music_africa1249 2 года назад
daah joti noma kweli
@nassorhaji2637
@nassorhaji2637 2 года назад
Iko poa sana
@goustonefrancisisole2534
@goustonefrancisisole2534 2 года назад
The DOP didn't do it right in some parts, the sight with modern building ruined this setting (Actually, a primitive village)...
@mirajidrissa9139
@mirajidrissa9139 5 месяцев назад
Ukisiaa vizee waheshimiweeee😁😂🤣🤣
@melkiadesmogella6402
@melkiadesmogella6402 2 года назад
Kimeumana
@kekiplus1andonly
@kekiplus1andonly 2 года назад
Okay,nendeni....Baraka nje nje
@mwigakatumpula5695
@mwigakatumpula5695 2 года назад
Kwakweli hiyo ndio maana halisi ya kimeumana 🙆👏😃😃😃
@dennismazanda7226
@dennismazanda7226 Год назад
Best comedian ever in
@asmanphuloe6363
@asmanphuloe6363 2 года назад
#HIKIKISACHABABAMKWE Kaja leo karudi leo leo
@ahmedomar6417
@ahmedomar6417 2 года назад
Kazi nzury
@marrymenas
@marrymenas Год назад
Kaenda kuwavalia kabisa zile za Mandonga hahaa
@michaelmichael6017
@michaelmichael6017 2 года назад
Safiiii kwakaz nzuri
@kagashekimbishi9781
@kagashekimbishi9781 2 года назад
Du nimecheka sana aisee respect joti
@zubeirkhamisabdallah8090
@zubeirkhamisabdallah8090 2 года назад
Joti noma walahi
@iddysalim6331
@iddysalim6331 2 года назад
Joti Kawa #Mandonga mtu kazi
@safiasaid4563
@safiasaid4563 2 года назад
Mm napenda ukiigiza babu
@marysaituni4584
@marysaituni4584 2 года назад
Much love from Mombasa Kenya ❤️ Joti wee noma I say..
@kassimkilumile8560
@kassimkilumile8560 2 года назад
Much love form Canada
@baloz8974
@baloz8974 Год назад
Hongera bi Mary 001
@salomemwankenja8824
@salomemwankenja8824 2 года назад
Nataman namm kabla sijakufa nifanye nae kazi, sema kiunganishi sina
@samuelkironyo4352
@samuelkironyo4352 Год назад
Mad luv 4rom kenya👌
Далее
NATAKA KODI YANGU
8:46
Просмотров 505 тыс.
KIBALI CHA MJUMBE
7:46
Просмотров 282 тыс.
Qalpoq - Kichkina tabib (hajviy ko'rsatuv)
30:41
Просмотров 362 тыс.
شربت كل الماء؟ 🤣
00:31
Просмотров 14 млн
KANIONYESHE
7:36
Просмотров 369 тыс.
MADAWA
6:25
Просмотров 1 млн
MTOTO WA TAJIR
7:43
Просмотров 2,1 млн
NATAKA NDOA.
7:52
Просмотров 457 тыс.
CHEKESHA : KIKAO KIFO CHA BOSS / MASANJA / MPOKI
32:06
SHOBO
5:05
Просмотров 824 тыс.
CHAWA
10:17
Просмотров 467 тыс.
MWALIMU WA MASE
7:32
Просмотров 332 тыс.
Мама звонит, когда я гуляю
0:40
Помог🤣#сериалы #фильмы
0:28
Просмотров 2,7 млн
Отомстили ведьме😱
0:53
Просмотров 1,1 млн