Тёмный

TUNAUTANGAZA USHINDI WA YESU  

Vijana Kkkt Mlandege
Подписаться 137
Просмотров 2,3 тыс.
50% 1

Kwaya ya Vijana KKKT Mlandege ni moja kati ya Kwaya zilizojipatia umaarufu mkubwa mkoani Iringa na Nyanda za juu Kusini kutokana na uwezo wake wa kuimba na kucheza jukwaani. Wengi wameifahamu Kwaya hii kupitia Mikutano na Matamasha mbalimbali ya Kiinjili ambako imekuwa ikialikwa kumtangaza Mungu na kutumbuiza. Sasa inavuma kwa kibao kipya cha TUNAUTANGAZA USHINDI WA YESU.
MTUNZI: Meshack Mgaya
PRODUCER (Audio & Video): Rizikia Media
Mawasiliano/contact
Mwenyekiti/Chairperson +255655020419
Katibu/Secretary +255757733085
Social Media
Facebook: Kwaya ya Vijana KKKT
Baruapepe: mlandegevijanachoir@gmail.com
@vinajakkktmlandege9671

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 28   
@sarafinsamson6978
@sarafinsamson6978 11 месяцев назад
Hongereni mnoo kwa utumishi uliotukuka. Nimeipenda Sana hii nyimbo. Vocal na video vyote viko super! Mungu awainue.
@MehidaLwila-zm3de
@MehidaLwila-zm3de 11 месяцев назад
Waooo saf sanaaa kwaya ya vijana mlandege mbarikiweeeeew kwa ujumbe huu mzuriii
@kihonzagirl
@kihonzagirl 11 месяцев назад
Hongereni sana Mungu azidi kuwatunza kwa vipawa hivyo
@edenigidioni2112
@edenigidioni2112 11 месяцев назад
Hongereni sanaa kwa utumishi mbarikiwe sana kwa huduma
@BeatriceJoseph-ce9cv
@BeatriceJoseph-ce9cv 11 месяцев назад
Mungu abariki kazii hii.ni nzurii sana
@VERONIKAMBAWALA-nf3ls
@VERONIKAMBAWALA-nf3ls 11 месяцев назад
Kazi nzuri, barikiwa sana👍
@ThanhXuânMừngPhạm
@ThanhXuânMừngPhạm 7 месяцев назад
Amazing song and video. Watching from Vietnam
@faustinamoris3654
@faustinamoris3654 11 месяцев назад
Wow! Hongereni sana. Endeleeni kumtumikia Bwana
@FalsahDhahri-rd9nv
@FalsahDhahri-rd9nv 11 месяцев назад
Hongereni sana kwa kazi nzuri
@leomsombe-r9c
@leomsombe-r9c 11 месяцев назад
Nimewaelewa sanaaaa🎉🎉🎉
@AngelFriberth
@AngelFriberth 11 месяцев назад
Wawooooooo hongera sana watumishi wa bwana❤❤❤❤
@janechikapa3979
@janechikapa3979 7 месяцев назад
Watching from Malawi. Beautiful music.
@doreenbanga-ny3yu
@doreenbanga-ny3yu 10 месяцев назад
Mpo vzr sana Mungu azidi kuwainua viwango vya juu
@MagaviloUpendo-tk7ob
@MagaviloUpendo-tk7ob 11 месяцев назад
Kazi nzuri hongereni
@atupevilwenyimbo
@atupevilwenyimbo 11 месяцев назад
Na wapenda sana watumishi wa bwna ❤❤❤❤❤
@samwelmwalongo2140
@samwelmwalongo2140 11 месяцев назад
Ahsanten Na bwana asinyamaze katka Kila hitaji Sifa Na tukuzo apewe Bwana
@rizicko.nyambo9275
@rizicko.nyambo9275 11 месяцев назад
Asante sana@Samweli kwa maombi yako
@sanurangondo5160
@sanurangondo5160 11 месяцев назад
Hongeren sana
@neemamakwani9715
@neemamakwani9715 11 месяцев назад
Hongereni sana,Utukufu ni kwa Bwana.
@TysonKilowoko-fq2qf
@TysonKilowoko-fq2qf 10 месяцев назад
Mungu awabariki san
@MussaMageranga
@MussaMageranga 6 месяцев назад
Hongeleni Sana jamani namungu awabaliki Sana nimependasanaiyo sakalia ameuwakabisa Yani saluti
@elizabethbakera2533
@elizabethbakera2533 11 месяцев назад
Hongereni kwa wimbo mzuri. Mungu awabariki
@rizicko.nyambo9275
@rizicko.nyambo9275 11 месяцев назад
Asante sana Bakela kwa pongez na support yako.
@sanurangondo5160
@sanurangondo5160 11 месяцев назад
Hayelooooyaaaaaaa!
@Richard_Kilimba
@Richard_Kilimba 11 месяцев назад
Hakika YESU nmshindi
@samwelmwalongo2140
@samwelmwalongo2140 11 месяцев назад
Morning watumishi mloteuliwa Na kkutengwa Jehovah Kwa kazi maalumu ya kuihubiri injili Kwa njia ya uimbaji Na watu wanpokea uponyaji Nikiwakumbuka vile mlihubiri ,Ibofye,Image,Magulilwa,Lyamgungwe, Dodoma ,Mafinga,Makambako jogoo,Mgama,Mfyome ,Ilula, Sai Mbeya, e.t.c Mungu awakumbuke a hadi zake zote zitimie Kwa jina la Yesu.
@MehidaLwila-zm3de
@MehidaLwila-zm3de 11 месяцев назад
Ameen
@MussaMageranga
@MussaMageranga 6 месяцев назад
Hongeleni Sana jamani
Далее
Ee Israeli umtarajie Bwana - Ernestus Ogeda
7:31
Просмотров 17 тыс.
Maisha bila lengo- Mkemwema choir  (Gospel Music)
7:51
Просмотров 185 тыс.
LOLLIPOP-SCHUTZ-GADGET 🍭 DAS BRAUCHST DU!
00:28
Просмотров 10 млн
ЭТО НАСТОЯЩАЯ МАГИЯ😬😬😬
00:19
Alagbada ina
5:15
Просмотров 72
HAIWEZEKANI
7:37
Просмотров 412 тыс.