E bana eeeh mimi yuaitwa dybrownstar medyulla na nafanya mziki kutoka 2017 na nimejaribu kujingangania mara kazaa ila sijakua na mtu wakunishika mkono, na pia nakuomba cremo sana kwa heshima unisapoti kucheza ngoma yangu mpya nimefanya na Robatoz inaitwa #Chocoleti... Please cremo nimekuta nawewe mara mbili na tukifanya zile mashindano kwa road show tunachaguliwa na hadi ukanipa namba na nimejaribu kukutumia link zangu hua unalenga, lakini naelewa huenda unakua na mishemishe nyingi za kikazi na pia kimaisha.. Naomba tu wimbo wangu uusikilize na kama hujatosha kuchezwa kwenye radio basi nitatia bidii na jitihada hili kufika malengo...