Тёмный

TUSIKUFULU 

Joti TV
Подписаться 1,1 млн
Просмотров 284 тыс.
50% 1

Mungu anapomchukuwa mja wake hapa duniani yeye ndio anajua kila kitu,sio jukumu letu kumfundisha Mungu cha kufanya,TUSIKUFULU yatakukuta Makubwa..

Опубликовано:

 

15 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 536   
@Hiphop_tz
@Hiphop_tz Год назад
Ogopa mtu anatunga story kila week ❤❤
@maxwellkongoman781
@maxwellkongoman781 Год назад
Leo wa kwanza kutoka CONGO 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 nipeni likes zangu🙏
@kombakomba7922
@kombakomba7922 Год назад
Joti team hongereni sana kwa kazi nzuri,mbavu zangu jamani :🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
@Waytozanzibar
@Waytozanzibar Год назад
One of the best comedians in East Africa 🫶❤ Namkubali sana huyu mwamba 🔥💯 Karibuni sana Zanzibar muje mufanye utalii wandani 🌊🌊⛵🐢🐢🏝️🏝️
@newswireKenya
@newswireKenya Год назад
This guys makes a lot sense on matter thats touches our daily lives. for sure He is the GOAT of real live comedy
@arnhemzuid8885
@arnhemzuid8885 Год назад
Very true. Lesson learnt. Kwa kila jambo Mwisho ni kumshukuru Mwenyezi Mungu.
@henrynuhu2557
@henrynuhu2557 Год назад
Sema brother ulieigiza mchungaji Nmekuelewa sana sana uko vzr mno
@abdulmrisho21
@abdulmrisho21 Год назад
Wanangu naomba na mm mnipe like😢
@rajabusaidi6692
@rajabusaidi6692 Год назад
Joti muhun sana
@frankvianey2438
@frankvianey2438 Год назад
Kama unaamini joti ndio mrithi wa mzee king majuto ,weka like hapa
@ibrahimuselemani4076
@ibrahimuselemani4076 Год назад
Sio kwel,Mzee majuto hana mrithi yule alkuwa master kwel kwel | Ila joti n Best comedian wa muda wote🫡
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 Год назад
Yes
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 Год назад
​@@ibrahimuselemani4076kweli Majuto alikuwa special hana mrithi
@mkapaleo571
@mkapaleo571 Год назад
😂
@prosperaugustino5292
@prosperaugustino5292 Год назад
Yes
@kilasibashari8931
@kilasibashari8931 Год назад
Joti ni 🔥🔥🔥🔥leo nipeni like zangu Kwa niaba ya kaka mkubwa joti.
@officialkamdudu
@officialkamdudu Год назад
like unazipeleka wapi kenge wewe? acha ushamba 😏
@almaarifonlinetv
@almaarifonlinetv Год назад
Yaani tuache kuLike video husika ili iende mbali unataka tuLike comment lako ili iweje? Wabongo washamba kweli yaani.
@officialkamdudu
@officialkamdudu Год назад
@@almaarifonlinetv haya mashamba yako mengi kweli youtube na tiktok
@starjay3052
@starjay3052 Год назад
sawa nasikiliza lakini uyu kashaondoka aludi tena 😂😂😂 ila joti 💫
@khalilbakari802
@khalilbakari802 Год назад
Wimbo kupokezana mchungaj nisikilize mimi...uyu kaenda harudiii😂😂😂😂😂
@RozaliaJoseph-cg8he
@RozaliaJoseph-cg8he Год назад
😅😅😅😅😅😅mbona wewe ndo unyamaze
@meshackaloyce9662
@meshackaloyce9662 Год назад
Jott utafika mbinguni ukiwa umeshachoka sanaaaaaaa😂😂😂😂
@lvanyDaniel_pw7kk
@lvanyDaniel_pw7kk Год назад
Mashabiki wote wa jot naomba tujuane 🙏🏿
@athmanywaomary3204
@athmanywaomary3204 Год назад
Aaaah! Hatukuwezi Bwana Joti...🙌🙌🙌💣💥💥💥
@bestkingdom8006
@bestkingdom8006 Год назад
Somo zuri mno. Congratulations Joti your so creative in ideas
@zebedemirambi3067
@zebedemirambi3067 Год назад
You are a GOAT comedian ❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩 we love you kakaangu
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Год назад
Walio rudia kipande cha jot kushikwa na zombie tujuane 😂😂😂😂😂😂
@zenaahmedi8857
@zenaahmedi8857 Год назад
🤣🤣🤣
@hassanicheik5262
@hassanicheik5262 Год назад
😂😂😂😂
@maskartedu2422
@maskartedu2422 Год назад
Lovin it straight outter 254🇰🇪🇰🇪
@georgenshashi1308
@georgenshashi1308 Год назад
Jotiiiiii my comedian❤
@prosperkisumbe5612
@prosperkisumbe5612 Год назад
Hahahaaaaaaaàa joti ni fundi sema nimewahi sanaaa wa 12 kuona Zombie🤣🤣😂
@gelardbalalu9119
@gelardbalalu9119 Год назад
@joti wewe ndo comed wangu bora siku zote baada ya kumpoteza mzee majuto
@mikechali1052
@mikechali1052 Год назад
Dha joti eti sitaki kunjikaza sitaki Roho ya ufumirivu Mungu wangu we😂😂😂😂😂
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 Год назад
Joti mbishi tena mbishi tena 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂bora ningeenda Mimi 😂😂😂😂MUNGU kakujubu maombi yako 😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
@dullywa9973
@dullywa9973 Год назад
a part from ubora wa nushai, hapo kuna a character ambae anaez igiza kama polisi, kama boss, kama mchungaji, Uyo jamaa is good sana
@kingzito31
@kingzito31 Год назад
Thanks a lot blood,we made it as team in good way😁🔥,be blessed for appreciate 🔥🙏🏾
@latifamchekenje6718
@latifamchekenje6718 Год назад
Kafunga milango yote😂😂😂😂😂😂
@sayhaanqudqud5799
@sayhaanqudqud5799 Год назад
Subhaanallah. Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa. Wote mitume tu
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Год назад
Huyu jot mshenzi kwanza tu utangulizi anafika msibani na mshangazi kaaja mkuubwa kama kahamia pili kafika makaburini nakuvuruga ibada kila anachohubiri mchungaji anapinga 😂😂😂😂 sasa alikuwa anataka bora afee yeye marehemu kafufuka afe sasa yeye ndo kwani anatafuta msaada na Mungu aliye kuwa ana mpinga ndo wa kwanza kumwomba msaada Zito unajua baba huna baya ila hapo mwisho mmenivunja mbavu 😂😂😂😂😂😂
@eddy_wannaman
@eddy_wannaman Год назад
nami jaman npeni like nione radhaaa yakeee
@issayajumanne2710
@issayajumanne2710 Год назад
😂😂😂😂😂😂 daaah ,eti kumkimbilia mungu litachelewa kaah
@RozaliaJoseph-cg8he
@RozaliaJoseph-cg8he Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nimecheka mpaka
@lilianalmas5911
@lilianalmas5911 Год назад
😂😂😂😂Narudia kwa Mara nyingne bora ningeondoka Mimi Bora ningeondoka Mimi 🤣🤣🤣🤣
@aminajuma-p8k
@aminajuma-p8k Год назад
😂😂uwii mbavu zangu..joti anasema hapa kafunga milango yote
@fahadomar5809
@fahadomar5809 Год назад
Joti upo vizuri katika tasnia ya uchekeshaji na ktk nchi yetu ya Tanzania 🇹🇿 na Zanzibar 🇹🇿 visiwani ww ni wa kwanza ila tatizo lako moja wale uliokuwa ukicheza pamoja umewatoa wakina kipande na yule jamaa uliyeact nae mtoto wa tajiri yaani yule alikuwa akikuinua katika tasnia hii ya uchekeshaji yule anacheza part ya tajiri
@nicodemozacharia8710
@nicodemozacharia8710 Год назад
Kabisa yaani akina kipande na sopa walikuwa wanafiti sana wale jamaa
@mashramadhani1989
@mashramadhani1989 Год назад
Sana tu ila hatuwezi kujua kulitokea nini pengine ni zaidi hayavumiliki tena
@EwaldAntony-n3e
@EwaldAntony-n3e Год назад
Sopa
@mzungutz5585
@mzungutz5585 Год назад
Joti😂 ni boya sana yaan anatuchekesha mpaka tunaonakana machoko mtaani 😂😂
@Steven-kz3qj
@Steven-kz3qj Год назад
Katika mtyu anajuw kumaliza mb zang bas ni Nishai
@wilsonjonas5481
@wilsonjonas5481 Год назад
Kwa Joti Kafunga mlango yote🤪🤪🤪😄
@sulaymanwaziri4455
@sulaymanwaziri4455 Год назад
Kwangu mimi kafunga milango yote,, 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@zeddymourice4249
@zeddymourice4249 Год назад
Bwana ametoa,bwana ametoa jina la bwana lihimidiweee....😂😂😂😂😂
@Ndayishimiyeismail-cz9wh
@Ndayishimiyeismail-cz9wh Год назад
😂😂😂😂😂 Mbona Anakimbia 🏃🏃
@sampart2669
@sampart2669 Год назад
The greatest ever in comedian
@nobodyttouch8157
@nobodyttouch8157 Год назад
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂njia hujaona 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@juniorndambalilo66
@juniorndambalilo66 Год назад
😀😀hapa namuona Baba levo jinsi atakavyokufulu akitangulia mbele za haki mwambino
@totoclass2470
@totoclass2470 Год назад
😂😂😂😂 joti unajua tena zaidi ya kujua kwenyewe mzee majuto mtupu
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Год назад
😂😂😂😂😂😂 Mungu wangu ee ya nini siulisema bora ufe wewe😂😂😂😂😂😂😂
@azizally5283
@azizally5283 Год назад
Aiseee joti we ni noma balaaaa😅😅😅😅
@agnesjohn9382
@agnesjohn9382 Год назад
Mkimbilie Mungu ndiye suluhisho la mambo yote,jot hapana nitachelewa 😂😂😂😂😂
@user-vp4nq4gg9o
@user-vp4nq4gg9o 8 месяцев назад
😂😂
@cheff778
@cheff778 Год назад
Maua yangu mapema tuu kwa uyu mkuu 🔥
@luthakyando8881
@luthakyando8881 Год назад
Wa sita ku coment wapi like za joti from Japan 🇯🇵🇯🇵
@dicksonrevocatus9711
@dicksonrevocatus9711 Год назад
😅😅😂😂😂😂😂 Akudadek nimecheka sana yaan
@Ndayishimiyeismail-cz9wh
@Ndayishimiyeismail-cz9wh Год назад
😂😂😂😂😂 Respect JOTI nimecheka saana! 🇧🇮🇧🇮
@Dansadii-um1cv
@Dansadii-um1cv Год назад
Joti Ni Wa kipekee sana
@solkysolangi346
@solkysolangi346 Год назад
Mkali wao 😂😂😂 Joti ni mkali pia Kenya tuna tambua
@jojigeorige1056
@jojigeorige1056 Год назад
Bwana ametoa......jina la bwana lihimidiwee😂😂😂😂 nduki mbaya
@leonardmariano8335
@leonardmariano8335 Год назад
Ujumbe wake upo mwisho Tunamkumbuka Mungu wakati wa magumu tu Tumuombe atujalie tuwe tunamtegemea yy maana ndie kila kitu kwetu....@Joti umetisha
@starlonejadamskp8224
@starlonejadamskp8224 Год назад
Never disappoint jotiiii😂😂😂😂
@user-iw6qz5kr6p
@user-iw6qz5kr6p Год назад
Joti katukuza kwenye komedi ndio maana hatuzeeki❤❤❤
@fredyezekiel252
@fredyezekiel252 Год назад
Mwamba jotiii😂😂😂🎉
@mosesjohnswilla9926
@mosesjohnswilla9926 Год назад
Waliofurahishwa na padri jinsi alivyokimbia mlike comment yangu
@araphergonge4209
@araphergonge4209 Год назад
Hakuna sehemu ilionichekesha,Kama hiyo ya Padri kuubalasaaa!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣,jina la Bwana lihimudiweeee ndukiiiiiiiii...... Hahaaaaaaaaa
@AthmansalimSaid
@AthmansalimSaid 5 месяцев назад
Safi sana kijana
@mwactmlela3319
@mwactmlela3319 Год назад
Kuimba kupokezana nsikilize mimi😅😅😅😅😅
@amanimusa5744
@amanimusa5744 Год назад
😂😂😂Milango yote imeshafunga😂😂😂
@antidiusegbert5562
@antidiusegbert5562 Год назад
Chawa unamkimbia tajiri tena
@jumamadala3849
@jumamadala3849 Год назад
Ugebaki ukaona 😮😂😂suna jifanya mjaja 😂😂😂iyo moja kali 😅😅
@mohdkhamis3857
@mohdkhamis3857 5 месяцев назад
Every week,every minute compose a story,, respect guy
@rodgersmwagu239
@rodgersmwagu239 Год назад
hujawai toa Kaz mbovu , ushindi sanaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@theblackaraab5019
@theblackaraab5019 Год назад
😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪Button
@BoscoNchembo-js7nh
@BoscoNchembo-js7nh Год назад
Hakuna kazi rahisi ndo hii sasa
@seiflugendo7141
@seiflugendo7141 Год назад
Nimecheka kwanguvu mpaka niliokaanae karibu wamenishangaa😃😃😃😃
@TALLUBOY
@TALLUBOY Год назад
Ih kari hapa kwenye Zombie haaaa kari
@user-zj9eu2ld8j
@user-zj9eu2ld8j Год назад
Some Zuri sana
@adamumbise4584
@adamumbise4584 Год назад
Wa kwanza leo jmn
@mkambamaulid447
@mkambamaulid447 Год назад
😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣 Uwiiiiiiiii siulisema bola unge tangulia ww ss kelele za nn 🙏🏼 Uko vzr saaana Joti nimecheka mpaka nimepata U.T.I
@IssaothmanSliman
@IssaothmanSliman Год назад
Umetishaass mwamba jotiiiiiiiiu
@georgenshashi1308
@georgenshashi1308 Год назад
Kiatu ,koti tai,havibadilishwii
@samwelimoshi5614
@samwelimoshi5614 Год назад
Ndy mana n komedy muimu zinafuliwa
@user-ty2kc5jy7s
@user-ty2kc5jy7s 5 месяцев назад
Bwanaa ametwaa na bwana ametoa jina la bwana lihimidiwe mchungaji mbiooo 😂😂
@user-fx5gu6xs5o
@user-fx5gu6xs5o Год назад
Joti nimtu nanusu tisha sana joti😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@modestmayega5576
@modestmayega5576 Год назад
Me nimeshindwa kuwa na uvumilivu Padri nielewe😂😂😂😂😂
@simonandrew1489
@simonandrew1489 Год назад
Good job Mr. Joti with your Team
@neemaclement
@neemaclement Год назад
Uvumilivu umenishinda padri nielewee🤣🤣🤣🤣 aah joti kiboko mbon ntachelewa
@robertkatunzi6674
@robertkatunzi6674 Год назад
Bola ningekufa mimi sasa kilichomkibiza nini ku😂😂😂😂😂😂siangeenda nae😂😂😂😂
@lvanyDaniel_pw7kk
@lvanyDaniel_pw7kk Год назад
ila kwenda ningeenda mimi Mungu wangu eeeeeee😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@nurdinmfamau3493
@nurdinmfamau3493 Год назад
Bwana Ametwaaa. Bwana Ametwaaa. Bwana Ametwaaa. Huku Unasogea. Khatare Nanusu. Padreeee
@neemaboniphace
@neemaboniphace Год назад
Sasa iyo shangaz kaja mbon imejaa nguo😂😂😂😂😂😂😂
@braysonmtewele2283
@braysonmtewele2283 Год назад
Fireee
@georgebeny12
@georgebeny12 Год назад
Motion...
@alphamwanamtulekenya5390
@alphamwanamtulekenya5390 11 месяцев назад
Bwana ametoa 😂😂😂😂😂😂😂😂
@LameckSamson-s4p
@LameckSamson-s4p Год назад
Nakubali
@queenandchill91
@queenandchill91 Год назад
Jina la Bwana Lihimidiwe. 😂😂😂😂Nduki🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽🏃🏽
@user-hl7lx3oj2p
@user-hl7lx3oj2p Год назад
🤣🤣🤣🤣, yaani nacheka mpaka machoz yananitoka mixer mbavu kuuma
@janifajani8875
@janifajani8875 Год назад
Waislamu wangesha sema unachezea dini
@edywritertz4814
@edywritertz4814 Год назад
Noma
@carolbenny3302
@carolbenny3302 Год назад
Dah narudia kila mara bora ningeondoka mimi😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kwanza hizo kelele , alafu uzae watoto wengi atasomesha, nimeliwa kete😂😂😂😂
@ayubusenyagwa-pl8xz
@ayubusenyagwa-pl8xz 10 месяцев назад
Hahahahhaj duuuuh joti hatari
@aminatanzanya7475
@aminatanzanya7475 Год назад
🤣🤣🤣Hakuna tena kukutan nae mm ndio nishampotez 😂😂 baad yakufufuk....! Mbav zinanium jamn
@florencejohn6427
@florencejohn6427 Год назад
Aleluya tena msibani!!!
@RajabuAlly-h3n
@RajabuAlly-h3n Год назад
Jotti bhana ni kipengere
@knourisgalis199
@knourisgalis199 Год назад
😂😂😂😂 joti spare my ribs plz😂😂😂
@chakalao
@chakalao Год назад
Uko vizuri
@user-xi6ld4ol4m
@user-xi6ld4ol4m 3 месяца назад
We noma😅😅😂
@edithajohn9600
@edithajohn9600 Год назад
😂😂nimecheka sana,adi mkojo umenitoka😂😂😂
@MCNgakungaJunior
@MCNgakungaJunior Год назад
HUYU JAMAA NI MBUNIFU SANA HANA MPINZANI.HONGERA SANA JOTI.
@shahanajash8449
@shahanajash8449 Год назад
That reaction of Preacher, after seeing a ghost 🔥🔥🔥
@JudithDaniel-sw4og
@JudithDaniel-sw4og 3 месяца назад
Andunje wangu uyooo😂
Далее
WAMEYATIMBA
7:45
Просмотров 365 тыс.
KATAPELIWA
9:40
Просмотров 684 тыс.
УГОСТИЛ БЕЛКУ МОРОЖЕНЫМ#cat #cats
00:14
TUTAFIKA WAPI?
10:05
Просмотров 290 тыс.
MWALIMU WA MASE
7:32
Просмотров 341 тыс.
LEO STEVE NA NDARO MNIGERIA KAWAKOMESHA
9:01
Просмотров 349 тыс.
KANIONYESHE
7:36
Просмотров 381 тыс.
NAMTAKA HUYU
10:37
Просмотров 788 тыс.
USTADHI RAJABU FINAL
13:38
Просмотров 176