By the way Kwa wakikuyu huwa tunaeleze hivo kama ni story za kuskia sauti ya bunduki,sijui kwanini mnaleta mana ya hayo maneno vile mnajua that is petty thinking
Afadthali angekaa kwako juu ata kutahili wewe hungekuwa wa kwanza kuliko kuacha bwana yako... sasa ulienda kuteseka bule...mm sikuona sababu muhimu hapo ya kuacha bwana yako