Тёмный

UBAYA | FULL MOVIE 

MBWELA MEDIA
Подписаться 33 тыс.
Просмотров 82 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 146   
@Zeldaommy
@Zeldaommy 5 месяцев назад
Wahenga wanasema usikosee kuoa lakini kaka mbwela umekosea kuoa sijui wanawake wanataka nn kwakweli hili ni somo wanawake tulieni bc mmmmh 😮😮😂😂❤❤❤🎉🎉🎉😢
@JanetRiziki-ut2is
@JanetRiziki-ut2is 3 месяца назад
Waah nimejifunza kitu kaka mbwela big up sana broo ❤❤❤❤
@Mkuu-u8k
@Mkuu-u8k 5 месяцев назад
Big kaka Mungu akupe nguvu kaka na kupenda bur❤❤
@RukiaMbarak-s2k
@RukiaMbarak-s2k 5 месяцев назад
Mafundisho mazuri hongera sana Bwela 🎉🎉🎉
@zenakioga6567
@zenakioga6567 5 месяцев назад
Mbwela ana plani B ambayo wanaume wengi hawana dàah hongera sana kaka ni zaidi ya mwànaume sahihi
@Bisativa
@Bisativa 5 месяцев назад
Wa kwanz jaman...naomben likes km unamkubali mbwela❤❤❤
@sharleenrubby9214
@sharleenrubby9214 4 месяца назад
Toweni maoni acheni mambo na like hapa...kwani mnataka like za nini😮😮😮
@MonnaclassicFashion
@MonnaclassicFashion 12 дней назад
Upewe like umeigiza cini gani ujinga tu
@Muhsin-d3u
@Muhsin-d3u 5 месяцев назад
Mbwela uko vzr mola akuzidishie 🎉🎉🎉❤ natizama nkiwa Saudi Arabia
@jemimahmwa8849
@jemimahmwa8849 5 месяцев назад
Jamani naipenda movi zako mbwela ila sipendi nywele zako Zina kukomaza zikate basi
@MaryamNurru
@MaryamNurru 5 месяцев назад
nime kukubali sana kaka mbwela imetupa mafunzo mazuri ❤❤❤❤
@JoyceWaweru-ng9hk
@JoyceWaweru-ng9hk Месяц назад
Usaliti unauma sana😢😢, hongera kwa mafundisho
@Zeldaommy
@Zeldaommy 5 месяцев назад
Big kaka pia mm huyo msemo wako sijauelewa na kwa sahii sina akili ya kufafanua naomba unifafanulie😢😂❤❤❤🎉🎉
@realrzzocmg485
@realrzzocmg485 5 месяцев назад
Kaka mbwela unatumia akili nyingi sana movie zako mjingaa awezi kukuelewa❤❤❤
@mwalisuleih1164
@mwalisuleih1164 4 месяца назад
❤❤❤Nkxel kbxa ak mm namuelewa xan uyu kaka Masha'Allah mafunzo mazuri xan mbwela endlea kutufunza kaka
@mwalisuleih1164
@mwalisuleih1164 4 месяца назад
❤❤❤❤❤❤❤Much love to you mbwela 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉Masha'Allah yan apo mwisho mwisho ndo patamu zaid ak unanifunza xan kaka asante xan ❤❤❤❤❤ napenda movie zako yan zinauhalisia wa maisha laeima tue na msimamo kwnye mapenzi hongera xan mbwela
@fatumakushonda4277
@fatumakushonda4277 5 месяцев назад
Kwa kweli mbwela uko sawa bwana🎉❤
@Mkuu-u8k
@Mkuu-u8k 5 месяцев назад
Kazi nzuri 🎉🎉🎉
@aishaomar2287
@aishaomar2287 5 месяцев назад
Hongera big kaka🎉🎉🎉ni wanaume kidogo sana wangefanya maamuzi kama yako#wengi ni wale wakisikia tetesi tu uamuzi ni kuacha au kufukuza mke!
@officialbhaddierozalia4945
@officialbhaddierozalia4945 Месяц назад
Nice movie ❤❤
@shamsiyasalim6866
@shamsiyasalim6866 5 месяцев назад
Wewe ni mnafiki umefurahi Sana kusikia mbwela amekufa ujuwe mwisho wa ubaya aibu
@mwalisuleih1164
@mwalisuleih1164 4 месяца назад
Kabxa ❤❤❤❤😂😂😂😂
@ESTERMREMA-v2q
@ESTERMREMA-v2q 5 месяцев назад
Ya moto sana 👊
@StephenLukangu-sc8km
@StephenLukangu-sc8km 5 месяцев назад
Hata nami nipewe like natoka Nairobi
@J23976
@J23976 5 месяцев назад
Movie kaliiiii 🔥🔥🔥
@MarthaMkasi
@MarthaMkasi 5 месяцев назад
Kweli Rafiki sio MTU mzuri kbs yn anaweza kukuua
@mwalisuleih1164
@mwalisuleih1164 4 месяца назад
❤❤❤❤Kabxa rafiki yako ni adui yako tuu
@kachalemielias3683
@kachalemielias3683 5 месяцев назад
Safi sana mbwela mambo ya kulazimisha sio mazuri
@halemasuliman-js8ug
@halemasuliman-js8ug 5 месяцев назад
Kaka mbwela uko vizuri
@AzungoNgolongo
@AzungoNgolongo 5 месяцев назад
Big up sana
@ubahamisi431
@ubahamisi431 5 месяцев назад
Mbwela una moyo wako,kazi njema from kenya 🇰🇪
@rehema-lg5cl
@rehema-lg5cl 5 месяцев назад
Nakupa hongera mbwela kabla sijamaliza kuangalia mna move zako ni ndefu vizuri halafu za mafunzo
@WardaKhalid-f2n
@WardaKhalid-f2n 5 месяцев назад
I love your work,keep it up mbwela👍
@HawaSaid-u7o
@HawaSaid-u7o 5 месяцев назад
Hongera kaka kazi nzuri ila sio vizuri kusingizia kifo, naona ata kwenye big kaka umefanya hivyo
@nurusaid4698
@nurusaid4698 5 месяцев назад
Tem Bwela Tuko Bega Kwa Bega Na Wwe Love From Qatar❤❤❤❤❤❤
@zeinabuAchiengOkara
@zeinabuAchiengOkara 5 месяцев назад
❤❤❤❤
@margaretnamubi4565
@margaretnamubi4565 4 месяца назад
😢😢😢😢nice movie..msaliti jina mzuri ya hii movie
@nadzuamrema5837
@nadzuamrema5837 5 месяцев назад
Bwelaa umefanya mpka nimetamani Embe akii😋😋
@Awoshy
@Awoshy 5 месяцев назад
Nzuri 🙌👏👏😍😍
@Pclaver12
@Pclaver12 5 месяцев назад
Kali sana
@MwanaidiZawadi
@MwanaidiZawadi 5 месяцев назад
Kaz nzur
@GervaisbituAkili
@GervaisbituAkili 5 месяцев назад
Ongeza bidi kaka
@mwanakheri-c5u
@mwanakheri-c5u 5 месяцев назад
Dah shida kweli
@mudygii4002
@mudygii4002 5 месяцев назад
Mbela anajuwa sana
@salmah9908
@salmah9908 5 месяцев назад
🔥🔥
@MakaiLukumayi
@MakaiLukumayi 5 месяцев назад
😅😅😅😅apo powa muache uyo tafuta akupendae
@HidayaMbopa
@HidayaMbopa 5 месяцев назад
Kaka ommy unaupiga mwingi🎉🎉🎉
@bramwelmunialo5075
@bramwelmunialo5075 5 месяцев назад
Good work🎉🎉🎉
@BukuruAlexander
@BukuruAlexander 4 месяца назад
Mbwela bwana nimuingizaji mzuli sana nanaweza sana
@dinabilemanga1703
@dinabilemanga1703 5 месяцев назад
Kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉 mungu akusahidie ufike malengo yako kaka mbwela ❤❤
@MariamAlly-j2g
@MariamAlly-j2g 5 месяцев назад
Kazi nzuri ila mziki upo juu kuliko maongezi
@ramadhaniselemani7368
@ramadhaniselemani7368 5 месяцев назад
Like
@افلينافلين-ي9ك
@افلينافلين-ي9ك 5 месяцев назад
Kazi nzuri sana bwela duhh
@Katuni862
@Katuni862 5 месяцев назад
Sauti inakera sana iwekeni ya chini isizidi sauti y mazungumzo
@mwanakheri-c5u
@mwanakheri-c5u 5 месяцев назад
Dah shida dada uliomba duwa mwenyeo mme wako apate ajali kashaipata walia nn
@TuyishimeMakounmussa
@TuyishimeMakounmussa 5 месяцев назад
Big up sana Mbwela
@Kuyu-f2k
@Kuyu-f2k 5 месяцев назад
Kaz saf n uwa nkupendea roho saf n mawazo saf sn,,, Allah akuongoze ktk kaz zko zjayo inshallah
@HalimaOmar-n8t
@HalimaOmar-n8t 5 месяцев назад
Kama unaona mbwela ana tufatiji kwa movie zake..tujuane😊
@mwalisuleih1164
@mwalisuleih1164 4 месяца назад
❤❤❤❤❤❤Xan tuu ak
@Professor.Irene95
@Professor.Irene95 5 месяцев назад
Kazi nzuli bwela ❤❤❤❤❤❤❤ 🎉🎉🎉 jaman mie nampendaga jamani ❤❤❤ aitaki tuingiliane nshamwai
@RizikiZiki
@RizikiZiki 5 месяцев назад
Haya twakuaciya usigombe😂😂😂😂😂
@paustephano
@paustephano 5 месяцев назад
N nzuri hongera Sana kaka mbwela, Ila ushauri wangu punguza muziki hasa wakat mnaongea
@luckylucky7153
@luckylucky7153 5 месяцев назад
Bwele nakukubali sana
@haythamkhamis-d4p
@haythamkhamis-d4p 5 месяцев назад
Honger san nataman sku moj nifny kaz na wew
@naomnyamoitaosiangochannel5552
@naomnyamoitaosiangochannel5552 5 месяцев назад
Keep going 💪
@Pili-n3l
@Pili-n3l 4 месяца назад
Kwn kijijin pia watu wanaitana baby👌
@RoseOenga
@RoseOenga 29 дней назад
Never give up,i love you always big kaka ❤❤
@AminaAthman-g7n
@AminaAthman-g7n 5 месяцев назад
Brother Mbwela Masha Allah I always love your movies
@GHgh-hq3zj
@GHgh-hq3zj 5 месяцев назад
Safi sana kbs ❤❤❤❤
@MariamMariam-h8h
@MariamMariam-h8h 3 месяца назад
Jamani wenye wakiona moves za mbwela hawaezi pita bila kuangalia kama mm weka commenty yko hapa❤pamoja likes
@thamratysuleiman3053
@thamratysuleiman3053 5 месяцев назад
Mimi kilio changu kwa waigizaji ,wanatukela na miziki kwenye cinema zao
@GravitTaboi
@GravitTaboi 5 месяцев назад
Kazi safi kaka Mbwela ila tu hujai like my comments sijui shida wapi ila mm penda ww sana❤❤❤❤❤
@mbwelamedia3469
@mbwelamedia3469 5 месяцев назад
Duh mbn mm Nalike comments zote kila movie nikiachia Na wakat mwengne najibu comment. Ndg yng
@abubakarndegwa4835
@abubakarndegwa4835 5 месяцев назад
Good work mbwela...
@saidahmed9688
@saidahmed9688 5 месяцев назад
good movie
@AmenaMm-r5t
@AmenaMm-r5t 5 месяцев назад
Saf san kk mbwela mung akubarik
@badmanmo5856
@badmanmo5856 5 месяцев назад
Nimekuwa wa 8 ila so mbaya nipe like 1 tu
@sharleenrubby9214
@sharleenrubby9214 4 месяца назад
Toweni maoni acheni kuomba like hapa
@marrialmary3510
@marrialmary3510 5 месяцев назад
Jaman uyu kaka ako na sauti nzuri❤
@mbwelamedia3469
@mbwelamedia3469 5 месяцев назад
Kaka yup? Huyo
@marrialmary3510
@marrialmary3510 5 месяцев назад
@@mbwelamedia3469 mbwela
@femidayahaya4882
@femidayahaya4882 5 месяцев назад
KAKA MBWELA KARIBIA MESSAGE ZOTE...ZOTE NI SIFA JUU YAKO...HII YOTE NI JINSI MUNGU ANAVYOKUPENDA NA KUKUOA MAARIFA..KATIKA KAZI ZAKO. KIPAJI CHAKO KAKA KIWEKE MIKONONI MWA MUNGU ILI AKUWEKE JUU ZAIDI YA KILELE. BIG UP BROTHER.
@ashamwanganzi6400
@ashamwanganzi6400 5 месяцев назад
Big kaka much love wallah❤❤
@SaleheMaulidi-nv9kw
@SaleheMaulidi-nv9kw 5 месяцев назад
Unajuwa mbwela
@MarthaMartha-tz6rl
@MarthaMartha-tz6rl 3 месяца назад
Mbwela sai nsipo angalia movie zake sijihisi kamili uko sawa
@RizikiZiki
@RizikiZiki 5 месяцев назад
Subhanalah we dada unamuciti mmeo alafu unamuombea nakifo juu😢iyo nizaidi ya unyama kama humpendi siubora umuace tu pakumuombea kifo🤭
@BintmohamedNasiri
@BintmohamedNasiri 5 месяцев назад
Movie nzuri sana yenye mafunzo ❤ila weeeh nimechukua masaa 2 kuiyangalia sijui nyie wenzangu 😂😂😂😂
@RizikiZiki
@RizikiZiki 5 месяцев назад
😂😂😂😂nishida hadi uvivu ju niubora aigawe marambili kama Donta TV wanavyofanya ndo powa
@arafaramadan6234
@arafaramadan6234 5 месяцев назад
My Man miss you and good Job 😢 love you mbwela
@domysulley1887
@domysulley1887 2 месяца назад
Big up kaka mbwela
@benjaminegurth6788
@benjaminegurth6788 3 месяца назад
Mbwela namkubali
@Ummykassimtz
@Ummykassimtz 5 месяцев назад
Yan mie ni shabiki wa mbwela lakini hajawai nipa ata like 😢😢
@Professor.Irene95
@Professor.Irene95 5 месяцев назад
Like Yanni bwana mie nataka anioe😅😅😅😅 nanimemwai sitaki tuingiliane 😂😂😂❤❤❤
@Ummykassimtz
@Ummykassimtz 5 месяцев назад
@@Professor.Irene95 🤣🤣🤣 oyi mbwela ukuje bas harusi tunayo mbona
@mamakenajma3257
@mamakenajma3257 5 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂​@@Professor.Irene95
@RizikiZiki
@RizikiZiki 5 месяцев назад
Jamani nyiye😂😂😂😂😂
@Ummykassimtz
@Ummykassimtz 5 месяцев назад
@@RizikiZiki mie ndie na shika pesa ya mchango ya mwanangu mbwela oyi bibi harusi mwanangu mbwela kama muhindi mahari una lila wewe imeisha iyo
@Zeldaommy
@Zeldaommy 5 месяцев назад
Mwanamke mnafiki ww sijui watu wa you tube wanaruhusu kucomment mara ngapi kwasababu mm najihisi kucomment tu leo😂😂😂😂😂
@mwajumasaid7306
@mwajumasaid7306 4 месяца назад
Yaan hii move somo tosha kwakwel
@AnnaLea-lq6ob
@AnnaLea-lq6ob 2 месяца назад
Chukua m🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉yako kaka
@koperawasona9551
@koperawasona9551 5 месяцев назад
Wamaume wote duniani wanaakili yaziada joomana Mungu akasema tuumbe mtu kwa mfano wetu mwana mke sio mtu kwamfano wa Mungu mwanamke ni binadamu ametoka mbavuni mwamwanaume awezi kuwa naujaja kuzidi mfano wa Mungu
@FatumaJumanne-p4d
@FatumaJumanne-p4d 5 месяцев назад
Yaan cjamalza kuangalia lakn nahc huo wema ndio fimbo yako 😢
@MakaiLukumayi
@MakaiLukumayi 5 месяцев назад
💕😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@HassanMkina
@HassanMkina 4 месяца назад
Ila mbwela unajua kutunga muvis we jamaa unajua mpaka unajua tena ila cjui Sasa apa umejitoa kwa madebe
@ashambarouk9135
@ashambarouk9135 5 месяцев назад
Nzuurrr
@umaima1178
@umaima1178 5 месяцев назад
Kweli sisi wanawake walimu wetu vipofu 😢
@SaraphinaFundi-rl2hx
@SaraphinaFundi-rl2hx 5 месяцев назад
Mbwela ni mmoja tu
@MwavitaOngea
@MwavitaOngea 5 месяцев назад
Niurumasana kwa sisi wanawake tunazindi kuwa waongo
@fiakizi
@fiakizi 4 месяца назад
Uyo mdada alokuw anachota maji saut yake kama ya Riyama
@zuqkazii
@zuqkazii 5 месяцев назад
Mbwela kama mbwela
@MariamMwaronga
@MariamMwaronga 2 месяца назад
Mbwela balance sauti inayocheza inakuwa juu mnaongea tunapitwa,mnapoongea sauti ya muziki iwe chini tafadhal lkn uko juu hongera shabiki wako kutoka kenya
@HlmS-y5l
@HlmS-y5l 5 месяцев назад
Mbwela Onqera Cna From Oman naitwa somoe kaka mbwe la apo ni wapi kilwa au mlandizi
@MwanakheriAbdallah
@MwanakheriAbdallah 5 месяцев назад
Jamani Ebu Toeni Mziki Bhana Unaboaa Tunakuwa Atusikiii Mnachoongea Mnatuumiza Masikiooo😢
@rehema-lg5cl
@rehema-lg5cl 5 месяцев назад
Ila mbwela wakati wa mazungumzo zima mziki plz move tamu
@CherieCherish-kw2ij
@CherieCherish-kw2ij 4 месяца назад
Alafu waomba like ni wasukuma
@Pili-n3l
@Pili-n3l 4 месяца назад
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@AshfainaNyakunga
@AshfainaNyakunga 3 месяца назад
Analia kama kachoka😂 jmn mwanamke nyoka huyuu
Далее
WHO AM I? [FULL MOVIE]#clamvevo #kiparabrand
3:23:53
Просмотров 56 тыс.
KIPELE ;  FULL MOVIE
1:00:18
Просмотров 48 тыс.
Cool Parenting Gadget Against Mosquitos! 🦟👶
00:21
PETE FULL​
2:10:32
Просмотров 102 тыс.
MY LOVE  EP 1- 10
3:49:50
Просмотров 217 тыс.
AMEYATIMBA SO2 FULL MOVIE
2:00:31
Просмотров 3,7 тыс.
KUFULI  / FULL MOVIE
53:01
Просмотров 46 тыс.
MAMA WA KAMBO FULL MOVIE
2:04:05
Просмотров 144 тыс.
Helleristerne - Stenristarna. 2t 54m
2:54:43
Просмотров 3 тыс.
MKE JINA FULL MOVIE #directorgozi
3:32:09
Просмотров 72 тыс.