Тёмный

Ubaya wa picha sheikh Abdallah humeid 

Muslim Massoud
Подписаться 1,4 тыс.
Просмотров 10 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 37   
@muhammadmjara6776
@muhammadmjara6776 2 года назад
jazakamllahu khara hakika watu wabida hawezi kupambana nawew
@muslimmassoud2673
@muslimmassoud2673 2 года назад
Amiin waiyyaka akhy
@KarneMpambaike
@KarneMpambaike 3 дня назад
Kwel
@tanzaniaonmzamiloon8627
@tanzaniaonmzamiloon8627 Год назад
Wewe ndo mjinga wamwisho
@daudimohamedi4508
@daudimohamedi4508 2 года назад
Mashaallah
@shafisaggaf1889
@shafisaggaf1889 2 года назад
Mumebarikiwa matusi nakejeli
@AmaniKepa-s9c
@AmaniKepa-s9c 8 месяцев назад
Huwezi elewa wewe ni punda kwahiyo punda hawezi kua na akili wewe tu ndio umewazidi punda wenzio unamiliki simu
@AmaniKepa-s9c
@AmaniKepa-s9c 8 месяцев назад
Huwezi elewa chizi wa kisufi wewe waza dufu na kula Wala na kupatiliza utupu Kisha laza kiwiliwili ukiota kunya
@swahibually8349
@swahibually8349 Год назад
Wapuuzi nyinyi, mbona huko kwa waalimu wenu Saudia kila wakiswali ktk msikiti mtukufu wa maka na Madina twawaona kwenye Runinga,hivi zile sio Picha?
@AmaniKepa-s9c
@AmaniKepa-s9c 8 месяцев назад
Wewe ni punda huwezi elewa chizi wewe
@shariffhabshy6770
@shariffhabshy6770 2 года назад
Kwanza mjibu yule kijana wa bahero kisha ndio uwonge mengine.
@masoudmohammed4258
@masoudmohammed4258 2 года назад
Si huyo kijana wa bahero ni hizby tu si kilakitu atajibiwa
@مبغضالبدع-ع9ص
@مبغضالبدع-ع9ص 2 года назад
Ukiona mashekhe hawakujibu ujue umepuuzwa, halafu maa shaa Allah sheriff Habshy wewe ni khurafi na huyo ni hizby, lakini kumbe ni kweli mumeungana dhidi ya watu wa haki! الكلب ينبح والقافلة تسير! فاسكتوا يا هؤلاء فاتتكم القطار!
@Dr-ubaida965
@Dr-ubaida965 2 года назад
Hahahah mawahabi mkishindwa kwa hoja bhn,,, kaaeni kimya hivyohivyo,, jibuni mnayo yaweza
@abuuaminah
@abuuaminah 2 года назад
Mohamad Bahero na Mohamad Bachu ndio kiboko cha majadida
@abunusrat3016
@abunusrat3016 2 года назад
Sio Kila anaye ropoka porojo hujibiwa. Makhurafi na masufi ambao ni ubadul kubur Wanachuki dhidi ya Ahlu Sunnah Salafiyin.
@shafisaggaf1889
@shafisaggaf1889 2 года назад
Maake hapo kwanza ncheke
@مبغضالبدع-ع9ص
@مبغضالبدع-ع9ص Год назад
Maaake 😂😂😂😂😂 mnachapwa jamani mpaka nacheka sana nikisoma comment za makhurafi
@swahibually8349
@swahibually8349 Год назад
Wapuuzi nyinyi mbona huko kwa waalimu wenu Saudia kila wakiswali ktk msikiti mtukufu wa maka na Madina twawaona kwenye Runinga hivi zile sio Picha?
@AmaniKepa-s9c
@AmaniKepa-s9c 8 месяцев назад
Wewe ni matako upo baina ya najisi mbili kama sio mbwa wewe ni ngurue
@nabilnice4014
@nabilnice4014 Год назад
Dharura gani nayo kwenu niharamu mutlaq musilete talbisi zenu
@مبغضالبدع-ع9ص
@مبغضالبدع-ع9ص Год назад
Njoo upige goti usome kwa masalafy utaelewa kijana.
@AmaniKepa-s9c
@AmaniKepa-s9c 8 месяцев назад
Wewe ni fisi huwezi elewa unafuata matamanio
@khalifaahmed5232
@khalifaahmed5232 Год назад
Uyu sheikh mbn yy kejeli tuu kwa masheikh wengn au ndio huo usalafy Hua uko ivo subir sheikh aseme ukate clip umradd dooohh yaani 90% ya clip zake ni matusi tuu na kukejeli masheikh
@AmaniKepa-s9c
@AmaniKepa-s9c 8 месяцев назад
Huwezi elewa wewe ni punda huna akili ukipata akili utaelewa chiizi wee
@abdallahsaid4997
@abdallahsaid4997 2 года назад
Nyinyi mbona masheikh ambao wako kwenye raddi zenyu mnaweka picha zao kuna dharura gani hapo majina yao yanajulikana .
@husnamohamed9448
@husnamohamed9448 2 года назад
Hapo pia mimi panishangaza sana.Hili kundi nimelifuatilia na nimeliona lina shida fulani na hii dini japo mimi nilikuwa pamoja nao lakini kwa sasa nafuata dini sifuati kundi.
@abuuaminah
@abuuaminah 2 года назад
Wakataze camera, waachane na smart phones.
@mohamedsalimaljahdhamy1436
@mohamedsalimaljahdhamy1436 2 года назад
Hahahaha mtihani mkubwa huu wallahi Allah atuongoze. Suali zuri sana wakiwapiga radd masheikh wanaweka picha watuambie dharura gani ile.
@abunusrat3016
@abunusrat3016 2 года назад
@@husnamohamed9448 Hapa hapana kundi wala hujakuwa ktk Manhaj ya Salaf. Maana ungeliewa unachokisema.
@abunusrat3016
@abunusrat3016 2 года назад
@@mohamedsalimaljahdhamy1436 kuhusu picha hakuna Sheikh yuwaeka picha wakati wa Raddi. Lkn wenye kuweka hizo clip ktk You tube ndiyo wanaweka picha pungufu. Zisizo kamili. Jambo hili maulamaa wakubwa wamelielezea. Natumai akhiy umelewa. Shukran
@swahibually8349
@swahibually8349 Год назад
Wewe Mpuuzi kweli, Wewe si umesomea Saudia,mbona wao wapiga picha,Imaamu wa Saudia,na wanawachuoni wa kisaudia twawaona kwenye Runinga,wakiswali ktk msikiti mtukufu wa maka na Madina, kwahiyo wao hawajailewa Hadithi kuliko nyinyi?Ama kweli njaa itawapeleka pabaya
@tamatama1136
@tamatama1136 2 года назад
Hivi nyinyi mnaojiita masalafi masahaba kwenu hawana nafasi? Kila jambo la dini mnawanukuu masheikh wa suudia tu nikamavile masahaba hawakufanya chochpte katika uislam ila masheikh wenu ndio waliopigania hii dini ikatufikia????????????????
@abunusrat3016
@abunusrat3016 2 года назад
Lete hoja ya madai yako. Usifanye dhulma ya kusingizia. Manhaj ya Salaf ni kitabu na Sunnah kwa ufahamu MASWAHABA na Tabiyn na atbau Tabiyn. Allaah atuongoze
@AmaniKepa-s9c
@AmaniKepa-s9c 8 месяцев назад
Acha matamanio
Далее
Nasaha Nzuri MNOO Kwa Anaetaka Kuongeza Mke
13:26
Просмотров 2,5 тыс.
小丑调戏黑天使的后果#short #angel #clown
00:16
WHICH SODA CAN FLY THE HIGHEST?
00:48
Просмотров 8 млн
GENIUS FOOD HACKS 🍰 #shorts
00:36
Просмотров 17 млн
PICHA KATIKA UISLAMU? SHEIKH ALI ABUBAKAR@device00
12:30
KUSIMAMA MAAMUMA KABLA YA IQAMA KWA AJILI YA KUSWALI
6:28
𝗣𝗶𝗰𝗵𝗮 || Uharamu Wa Kupiga Picha 📸
17:59
Abdallah Humeid - Heart Soothing Quran Recitations
2:00:16