Jazzakallah Kheir Sheikh wetu, Allah akujaalie mema Duniani na Akhera🙏🙏..... Namuomba Allah atujaalie na sisi tuwe miongoni mwa wenye Radhi za Allah na familia yangu na ndgu/jamaa na waislamu wenzangu🤲🤲❤
Alhamdulillah Walllah nakupenda Sheikh Hassan Ahmed kwa ajili ya Allah na nakutakia umri mrefu wewe na sisi ili tuwaidhike na mawaidha yako na ninamuomba Allah (SW) atupe msamaha wake na atupe radhi zake aamiin Aamiin YaaRab .
Masha Allah! 🤲Allah akujalie uhai mrefu wenye manufa akuepushe namaradhi khatari akuwekee wepesi kwenye maisha yako uondoke duniani Allah akiwa radhi na ww sheikh wangu
Maashaallah Tabarakaallah Allah akujaazie Kheiry na akupandishie faraja sheikh .Shukran kwa Hutba yenye manufaa na elimu kamili.Allah akupe Afya njema na Umri Taweel lnshaa Allah.🤲🏼🤲🏼🤲🏼.
Ma sha Allah ,barakallah fik,,Allah akupe kila lenye kheri,Akuhifadhi popote unapoenda ,napenda sana lecture zako ,zailimisha na visa vizur va kutubadilisha kwenye njia bora anaoitaka Allah❤