Тёмный

UCHAMBUZI: JUSTIN KESSY | GAMOND AMEBAGULIWA KIMATAIFA | YANGA 

MATOLE TV
Подписаться 35 тыс.
Просмотров 30 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

3 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 36   
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn 3 дня назад
Mr kesy nakukubali sana,🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@AmusedJackalope-zj9vw
@AmusedJackalope-zj9vw 3 дня назад
Naipenda yanga kivyovyote
@AminaTapwale-e5t
@AminaTapwale-e5t 2 дня назад
Mr.kess❤❤❤❤unajua kuchambua mpira wengine wanachambua mchele yani ni usimba na uyanga ndo wanaojua
@KagomaMoses
@KagomaMoses 2 дня назад
Hapo kwa pacome nakuunga mkono , kwasababu unapocheza na timu yeyote inayokaa nyuma lazima uwe na mtu ambaye anaweza kuvunja ukuta kwa kudrive na kupiga danger penetration pass, sasa mimi kinachonishangaza sijui kwanini kocha ana opt kwwnda na azizi Ki na chama wakati playing style yao ni kama inafanana. Tukicheza na timu inayokaa nyuma PACOME ni muhimu mnoo kuliko mtu muhimu sana kwenye kutafuta matokeoo
@saltechnologiesco.ltd.2377
@saltechnologiesco.ltd.2377 2 дня назад
Gamond ana akili sana dhidi ya wapinzani wake. Ni mtu mjinga anaweza kutoa silaha zake zote vita inapoanza
@bakarially253
@bakarially253 2 дня назад
Wewe unajua kuchambua mpira keep it up l get you from München German
@perepetuajohn
@perepetuajohn 2 часа назад
Waooo safi sana kaka, wasiokuelewa unachoongea hao hawajui mpiraaa😂😂😂
@FrancisNkwera-vo2tj
@FrancisNkwera-vo2tj 2 дня назад
Kess unaro sema nikweli bila pakome yanga haindi vile tunavyo taka
@AngelinaHassan-fe3jp
@AngelinaHassan-fe3jp 2 дня назад
Hapo nimekuelewa kbs pacome anaumuhimu sana kwenye kuchambua watu nakutengeneza nafas
@AminoKhalif
@AminoKhalif 2 дня назад
Yanga ni hatari sana yanga bingwa inshallah watasema makolo watachoka tabu iko palepale
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 2 дня назад
Kesy ni kinyesi fc maana anawasifia sana vinyesi fc
@Yassirjuma-i1c
@Yassirjuma-i1c 2 дня назад
Kaka pcome ni muhimu hata ktk kuleta mabao mengi ksha chama au aziz atakja kpindi cha 2 maan nmeona aziz anakuw mzur pale anapoingia kpndi cha 2
@georgeotete8970
@georgeotete8970 2 дня назад
Uko sahihi hundreds percent
@AmecChee
@AmecChee День назад
Nachopenda kwako ni tone Yako ya uchambuzi
@AdolophinaShawa-pd8yo
@AdolophinaShawa-pd8yo 2 дня назад
Upo vizuri baba
@FrankMichael-t7q
@FrankMichael-t7q 3 дня назад
Hujamtaja itutu kigi
@mengowilliam8683
@mengowilliam8683 2 дня назад
Bro Kessy Simba hii haikai nyuma kama unavyosema...moto utawaka daaaaadeki nipo hapa
@KalenjeMasoud-vg3om
@KalenjeMasoud-vg3om 13 часов назад
This analylist is compitent enought in football matters
@abdunnurahmedsilim7456
@abdunnurahmedsilim7456 2 дня назад
MTANGAZAJI JITAHIDI UONDOE VIASHIRIA VYA UKOLO KWENYE MASWALI YAKO, ZINGATIA TAALUMA
@VedastinaVedarian
@VedastinaVedarian 2 дня назад
😂😂😂😂😂😂 anahatibu content
@abdunnurahmedsilim7456
@abdunnurahmedsilim7456 2 дня назад
@@VedastinaVedarian Yeah 👍 Absolutely
@babupiza641
@babupiza641 2 дня назад
We jamaa upo sahh Sana kwenye uchambuz unanyooka
@WilfredChomo
@WilfredChomo 2 дня назад
Kongole kwako gentleman Kessy J.
@YusuphJilala-r4e
@YusuphJilala-r4e 2 дня назад
Unaweza kuchambuaaaa
@JumaKitutu-t4s
@JumaKitutu-t4s 2 дня назад
Usitoe password Waache aje na tisini zitaeleza
@silvamsophe4392
@silvamsophe4392 День назад
We ni jinga kama jinga wengine
@frankmsigwa8017
@frankmsigwa8017 2 дня назад
ni kweli bloo sema ukweli
@GodfreyJames-zt6ig
@GodfreyJames-zt6ig 21 час назад
Acha uongo Kuma wwe saiz imebki ni majina tu akuna Tim hapo acheni usenge kama wwe ni msenge kweli jsm Alisha kufila sana Tena sana wwe ni muza mkundu
@abdallahakida7908
@abdallahakida7908 2 дня назад
Simba pia ilikua bora na mkaisema sasa hayo yalipita
@winfredkaroli5065
@winfredkaroli5065 2 дня назад
Kess nakukubali ila huyo mtangazaji hana chochote anaongea kiushabiki
@yohanarobert1781
@yohanarobert1781 День назад
Kweli
@PineTree-n9y
@PineTree-n9y 2 дня назад
Hata me nilijua atatoka chama au Aziz k mana wote wanacheza mpira unaofanana nashangaa wanamtoa mudathir wasikalili wachezaji wakutoka
@abdallahakida7908
@abdallahakida7908 2 дня назад
Hizo ni hadithi zilizopita simba pia aliyafanya hayo
@bisejulius4100
@bisejulius4100 2 дня назад
Usiwashutue acha waje wafunguke
@JosephDololo
@JosephDololo 2 дня назад
Siyo zwazwa, zuzwa
Далее
I Built a SECRET Lamborghini Dealership!
33:02
Просмотров 8 млн