Huyu jamaa mwanzoni alikua anaongea vizuri lakini hizi gari zipo model kibao hapa kwetu UK Kuna Rolls Royce Dawn,phantom,wraith,cullinan,swifttails,ghost na boat tail..n.k
Naanza kukamata uongo Dk ya 4.20 anasema rolls royse ina uzito wa tani 6 mpumbavu muongo ina uzito wa 2660kg (2.66 ton) watu wa media tutafuteni tunao yajua magari walimtafuta yule magari mtaani akaongopa pia.
How about bugatti,lamborghin,pagani zonda,ferarri,koessineegg,mclaren,aston martin,hennessey if rolls royce is top 3? But it's big up bro platnumz, you deserved 2 get it 4 sucsess your dream.
Watanzania tuna kasumba sanaaaa...gari ndo iwe agenda usiku na mchana. Hivi nini ndo ajabu..!? Ulaya gari hununuliwa kwa crédit yaani mkataba na kulipia kidogo2...kwa zaidi ya miaka. Mnapumbazwa sana nyinyi, poleni sana
@@afterfull-time1348 hujui ulaya ndo zinatoka na wengi wanazo hata Africa..!? ila hazipigiwi tarumbeta/vuvuzela 👀... Tatizo sisi tz tuna limbukeni, vitu vya kawaida imekuwa kama kilio cha raisi 🙉. Dai akirudi safari anajua afanyeje ili awazezeteshe wasiovuka boda ya tz toka kuzaliwa🙈
@@afterfull-time1348 ina maana dai kununua kisa watu wamemdisi eti hawezi nunua...🙊!? Kama hiyo ndo sababu kanunua, basi Aendelee tuuu...ila atanyooka sana tu kwa sauti za watu Maana sisi wengine hatujarizika hadi ashushe Lamborghini 🚘
Old car ulongo New rolly royce huwezi oder kwa mwaka na ukanunua.but hioyo ni mzee ,second München mwaka huu wametoa gray gari na White Colour .nyinyi Watanzania walongo. Mwambie atuonyeshe aki oder hiyo gari cuz ni Hand made. Wapumbavu.
Binadamu hawana jema ndugu zangu kabla mondi hajaleta hili gari walisema hataweza kununua saivi amenunua utasikia tena maneno mengine duh walimwengu siyo powa kabisa
You are lying bro... Gasper Nyevest hana R R... mwenye anamiliki Hilo gari kwa sanihi wa south Africa Ni Black coffee pekeyake tu.... Master KG anamiliki Ferrari vilevile. Na basi
Hiyo 1.5 b haifiki utawadanganya wanaoishi tz inagemea na modern inaweza kufika gari dolar laki moja na nusu hadi laki 2 alafu pia hawa wasanii ni free ishuru naona hawalipi ukiniambia modern 2021 inafika hiyo 1.5 b lkn hiyo haifiki bei hiyo sio 2021
Naona hapo kiswahili kimekuwa kigumu kwenu nimeandika kama 2021 inawezakufika bei hiyo ila tofauti na modern 2014 au 2015 inakuwa kwenye range ya dollar laki 1 hadi laki 2