Mwenyezi mungu mwingi Wa rehema mwenye kurehemu Nakuomba yarabi tusaidie sisi wana yanga siku ya juma mosi timu yetu ya Dar yanga Africa ishinde magoli 6 au 7 Kwa bila zidi ya Cbe, bariki wacheziji wetu wote viongozi na timu nzima kiujumla ewe mwenyezi mungu Nakuomba tupe ushindi mnono wana yanga amin
Mungu awalindie wachezaji wetu afya njema pamoja na viongozi wetu na benchi la ufundi Mungu awatangulie awapiganie tuweze kuvuka na kupata matokeo mazuri
Wachezaji wa yanga haturidhishwi na kosa kosa ya magori ktk mashindano makubwa kama haya naomba zinapopatikana nafasi za kufunga zitumieni jamani mnatuumiza sana
@@abdunnurahmedsilim7456 Mimi ni mwanachama wa young African miaka acha ujinga wewe huna lolote mmebakiza matusi tu sisi ndio tulioichangia yanga kwenye Hali ngumu ,na ukweli ndio mafanikio yetu leo