Тёмный

UCHAMBUZI WASAFI FM,CROWN FM | JEMEDARI,OSCAR,KITENGE,EDO GOLI LA SIMBA SIO OFFSIDE,SIMBA HII YAMOTO 

BM NEWS Tz
Подписаться 23 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

kigooco #africa #africa #africa #afrobeat #afrobeat #news #news #middlesimba #middlesimba #middlesimba #africanfootballleague #africanfootballleague #africanfootballleague #simba #simba #numeroyapastorntambakigooco #kigooco #africa #africa #africa #afrobeat #afrobeat #news #news #middlesimba #middlesimba #middlesimba #africanfootballleague #africanfootballleague #africanfootballleague #simba #gt #numeroyapastorntambabazi0788554028 #uchambuzi #uchambuz #uchambuzi #sports #sports#afrobeat #afrobeat #news #news #middlesimba #middlesimba #middlesimba #africanfootballleague ##afrobeat #afrtobeat #news #news #middlesimba #middlesimba #middlesimbatg #africanfootballleaguebazi0788554028 #uchambuzi #uchambuzi #uchambuzi #uchambuzi #sports #sports#afrobeat #afrobeat #news #news #middlesimba #middlesimba #middlesimba #africanfootballleague #africanfootballleague #africanfootballleague #simba #simba #numeroyapastorntambabazi0788554028 #news #numeroyapastorntambabazi0788554028 #uchambuzi #uchambuzi #jdg #utchambuzi #sports #sports #sports #sports #kigooco #middlesi#afcon2025morocco sports #sports #sports #sports #kigooco #kigooco #kigooco #africa #africa #africa #afrobeat #afrobeat #news #news #middlesimba #middlesimba #middlesimba #africanfootballleague #africanfootballleague #africanfootballleague #simba #simba #numeroyapastorntambakigooco #kigooco #africa #africa #africa #afrobeat #afrobeat #news #news #middlesimba #middlesimba #middlesimba #africanfootballleague #africanfootballleague #africanfootballleague #simba #gt #numeroyapastorntambabazi0788554028 #uchambuzi #uchambuz #uchambuzi #sports #sports#afrobeat #afrobeat #news #g

Опубликовано:

 

26 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 37   
@yasiniSebarua
@yasiniSebarua 2 часа назад
Jemedali na kama tunge kua na kamera za juu tungeona Lile goli alifunga kibu mana Melinda mlango alitolea mpila ukiwa umeisha vuka goli line
@IddyyFumbwe
@IddyyFumbwe 41 минуту назад
Hizo sheria za chandimu, ngoma alikus of side ndio kipa kaucheza angefunga kibu ingekua hakuna of side, yaani ukae kwa kipa ukifunga ni goli, ngoma alikua na mikimbio wakati mpira uko hewani, hiyo ni of side.
@saydkassim5742
@saydkassim5742 Час назад
Hans kuna muda unapenda kuwa tofauti ila sio kila jmbo uwe tofauti ata kama liko sawa unafeli mzee unabowa now 😂😂
@lonesomekabora5547
@lonesomekabora5547 40 минут назад
Kama kipa kaucheza na umerudi mchezoni inakuaje offside?
@KessyOmary-cr9pg
@KessyOmary-cr9pg Час назад
Ila bongo hatuna wachambuz wa mpira kwel xx apo kuna shda ya kutumia akil nying sana ukwel uwekwe waz mshika kibendela kateleza
@SaidJumanne-j1e
@SaidJumanne-j1e Час назад
Unateleza wewe kwa kutokuwa na uelewa juu ya hilo au ushabki uliokujaa unasingizia referee
@BarkeAliy
@BarkeAliy Час назад
Mpira umetoka kwa kipeer ndo ukaenda kwa Ngoma ,haujatoka kwa kib ukaenda kwa Ngoma ,goli ni halali
@shabanimwinjaka1427
@shabanimwinjaka1427 Час назад
Q ,8 ally The u ue😂
@charleskuyeko1660
@charleskuyeko1660 2 часа назад
Mpira wa Kibu haukwenda kwa Ngoma. Alikwenda kwa Kipa akautema Ngoma akafunga. Kipa kutema ule mpira kuliivunja offside ya Ngoma.
@vascombembela3632
@vascombembela3632 Час назад
Kinachomsumbua Hans Rafael ni ushabiki wa timu yake ya kijani. Na ndo maana juzi Keen Gold wamefunga goli halali kabisa yeye amebisha na leo anataka abalance story kuwa kila timu imeshinda goli moja, timu yake ilipocheza aliyegemea wafunge goli nyingi Ila ikawa tofauti, na pia Jana alijua Simba itafungwa matokeo yake ikawa tofauti sasa anaumia sana
@nasrimohamed7556
@nasrimohamed7556 30 минут назад
Km unaenda kchwa kchwa tu na matokeo yko kchwani na mahaba yako huwezi muelewa Hans ndo sbb utaishia tu kusema kipa kaucheza ila Hans yupo sahihi clear offside
@jacksonmtenga1276
@jacksonmtenga1276 4 минуты назад
Hivi wewe Hans unajithitishiaje kuwa wewe ndio mkweli, toa tu kama maoni yako usouthibithibitishie uma kwamba wewe ndio mkweli
@fatherjaytz
@fatherjaytz Час назад
Hans nawebnu msenge sasa Ngoma alifunga mpira kutoka kwa Kibu ama kipa??
@JumabJumamkuula
@JumabJumamkuula Час назад
Mpira wa kibu haukuenda kwa Ngoma ulienda kwa golkipa akautema wewe mbona muongo
@hassanabdala7383
@hassanabdala7383 2 часа назад
Hans mpira keeper aliuchezaa ndio alivunja offside
@AbdallaAli-dn6xp
@AbdallaAli-dn6xp 2 часа назад
Yanga utafunga simba subutu.hapana maduka yenu pale.vijana wanapambana na ata bd.
@abubakarbajun3503
@abubakarbajun3503 48 минут назад
Huyu hans hakupaswa kuitwa mwanaumee huyu ni halimaaa kengeee huyuu
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn 51 минуту назад
Tatizo ni mshika kibe ndera na refa😂😂😂😂😂😂😂aibu
@patrickkaite3822
@patrickkaite3822 26 минут назад
Uyo Hans shoga limuona Kwa p ddy
@fanmuzikiindustryentertain3211
Hans kweli ni mchambuzi maandazi...
@HusseinHussein-f7n
@HusseinHussein-f7n 2 часа назад
kocha wa Azam ameiva maan amekaangwa
@MusaMkembela-ex6ev
@MusaMkembela-ex6ev 2 часа назад
Na lile goli kipa aliokolea ndani
@BrunoNamanga
@BrunoNamanga 12 минут назад
Poleni sana
@SalvatoryMtunga
@SalvatoryMtunga 2 часа назад
Tunzeni kauli zenu.
@reginaldnyinge8802
@reginaldnyinge8802 48 минут назад
Hans anatimiza maelekezo ansyopewa na hao utoronyo fc kupinga kila mchezo ambao Simba inacheza. Shame on you little boy acha uchawa wa kijinga be realistic ili uwe mchambuzi mzuri siku zijazo. Toka lini rebound ikawa off side??
@vaxminja9053
@vaxminja9053 46 минут назад
Goli la pili ni offside clear, Geofrey na Jemedari wote ni mashabiki wa Simba.
@PauloAlfayo-qi1gn
@PauloAlfayo-qi1gn 54 минуты назад
😂😂😂😂😂😂😂off sedi bao la pili
@mpekuzimedia-xw1rb
@mpekuzimedia-xw1rb 2 часа назад
Nyie kenge Simba endeleeni kuwapa waandishi hela ili wawasifie subirini tukikutana tena msipo mfukuza uyo kocha wenu sijui jana Simba mlibebwa kenge nyie
@simonzelote5998
@simonzelote5998 2 часа назад
😮Ila kiukweli yanga ya msimu huu haipo sawa angalia walivyoanza ligi hawajachangamka ligi Ni ngumu sana
@makindimarco560
@makindimarco560 2 часа назад
Yanga itapigika sana 😂
@MusaMkembela-ex6ev
@MusaMkembela-ex6ev 2 часа назад
Hiyo yanga itapigwa sana
@piusmwakyembe4545
@piusmwakyembe4545 Час назад
Kwa mpila upi ule unaocheza na pamba au endelea kukalili
@MusaMkembela-ex6ev
@MusaMkembela-ex6ev Час назад
@@mpekuzimedia-xw1rb Kwa butua butua mliyocheza na ken gold
Далее
CORTE DE CABELO RADICAL
00:59
Просмотров 907 тыс.
CORTE DE CABELO RADICAL
00:59
Просмотров 907 тыс.