Тёмный

Ufunuo Choir - Usisahau (Official Music Video) 

UFUNUO CHOIR
Подписаться 54 тыс.
Просмотров 96 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

20 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 81   
@SallyBee-q3o
@SallyBee-q3o 10 месяцев назад
Wapi like za the white guy......❤❤❤❤my crush always
@gloriousnp
@gloriousnp 10 месяцев назад
Kwamba hujamuona😂au ?
@breecagz6047
@breecagz6047 10 месяцев назад
Huyo mtu wangu jameni, I like him he makes my days😍
@mercywanjiku6989
@mercywanjiku6989 10 месяцев назад
Huyu ni my celeb namoenda bure 😂 his dancing style is on another level yaani kujuachilia tu
@fredygeofrey
@fredygeofrey 8 месяцев назад
I think the first video with white man was fire,the camera man was also good in deed
@marynyangaya-zx7sk
@marynyangaya-zx7sk 2 месяца назад
he enjoys the music like 100%
@veronicamwaura6575
@veronicamwaura6575 9 месяцев назад
Jamani bila elimu wala wazazi matajiri and signing million dollars contract 😢😢😢huu wimbo utakosaje kuwa an hourly song.namshukuru mungu❤❤
@lucymtundu3600
@lucymtundu3600 10 месяцев назад
Huu wimbo kila nikisikiliza lazima nimtafakari Mungu kwa ukubwa sana mpaka machozi hunitoka😢 sitokusahau Mungu wangu
@BenjaminMalando
@BenjaminMalando 10 месяцев назад
Wimbo mzuri sana huu...!! Mmeurudia vizuri lakini ile ya kwanza walijiamini sana kuliko hii...!!
@janetmoses2636
@janetmoses2636 10 месяцев назад
True, performance ya Huu wimbo ya kwanza is the best...wamejiamini sana but hapa,they need alot of practice...juu Kwa kuimba iko Sawa,but dance no
@HappyIrankunda
@HappyIrankunda 9 месяцев назад
Wimbo mzuri sana umenibarik sita msahau mungu wangu mungu awabariki❤
@LydiaKasongo-ln8gb
@LydiaKasongo-ln8gb 10 месяцев назад
Mungu awabariki na ipenda nyimbo ina nifariji mimi pia ni mwimbaji apa kwetu Congo youtube yangu ni Rose kapinga agape music
@rehemajingu3909
@rehemajingu3909 10 месяцев назад
Saut ya mauzo ya huyu kaka🙌
@ShangweWambua-kd7jq
@ShangweWambua-kd7jq 8 месяцев назад
Moyo wangu unajawa na furaka kila nikiusikiliza huu wimbo❤❤❤
@LinahYusto
@LinahYusto 7 месяцев назад
Jmn mbarikiwe sana hakika Mungu kawapa vipaji nabarikiwa sana na nyimbo zenu
@mon81p
@mon81p 9 месяцев назад
Love it ❤❤❤❤❤greetings from Poland 🇵🇱
@JulianaMaganga-c9i
@JulianaMaganga-c9i 9 месяцев назад
Maua yenu jaman kweli hii ni ufunuo Mungu amewapa ili tusimsahau watanzania tukumbuke kipindi Cha Corona❤❤
@wisemark9233
@wisemark9233 Месяц назад
Wale tuliosikiliza tena huu wimbo kwa mara nyingine kwa msisitizo baada ya kuagizwa na mchungaji tujuane kwa likes ❤🙏
@MarthaSimwanza-q6l
@MarthaSimwanza-q6l 9 месяцев назад
Wimbo mzuri sanaaa ❤❤❤
@ufunuochoir
@ufunuochoir 7 месяцев назад
www.boomplay.com/albums/80176278?from=search&srModel=COPYLINK&srList=WEB
@UpendoSalum-c8t
@UpendoSalum-c8t 10 месяцев назад
Huyu kaka wa mwisho kuimba anaimba vzr na wengn pia wanajua lkn yy kazidi hongera broo
@anetkileo2461
@anetkileo2461 10 месяцев назад
Wako vizuri
@naomindolo9291
@naomindolo9291 9 месяцев назад
Amazing, usisahau kumshukuru MUNGU, POWERFUL
@ReginaMasanja-ie5vz
@ReginaMasanja-ie5vz 9 месяцев назад
Wimbo unagusa sana
@EnosiAndulile
@EnosiAndulile 9 месяцев назад
Wimbo Bora duniani unanibariki sana
@nabwikekyokyo4906
@nabwikekyokyo4906 9 месяцев назад
Wimbo una upako
@lucykisolodya
@lucykisolodya 10 месяцев назад
nasikiliza huu wimbo siku nzima,mbarikiwe
@calvertnkurlu8908
@calvertnkurlu8908 10 месяцев назад
Hakika ni Wimbo unaonibariki sana!
@ObedThomson
@ObedThomson 9 месяцев назад
Nawapenda sana wimbo huu unanifariji sana waimbaji wake wameuimba kwa makini sana na kujiamini sana Mungu awabariki
@Bismark-k4b
@Bismark-k4b Месяц назад
Here from tiktok. Nice song
@sylviamombo4113
@sylviamombo4113 3 дня назад
Hallelujah 🙏🙏🎉🎉
@RojonNdunguru
@RojonNdunguru 4 месяца назад
Sitokusahau Mungu wangu
@nelsonechesa2200
@nelsonechesa2200 10 месяцев назад
Ooh hallelujah utukufu Kwa mungu tangia January mpaka disemba amenivusha changamoto zote 🙏🙏🙏🙏 be blessed 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@francischaula5827
@francischaula5827 8 месяцев назад
Amen amen good song napenda Sana mwimbo huuu!!!
@margaretkinyanjui497
@margaretkinyanjui497 9 месяцев назад
Best song ever.
@rehemajingu3909
@rehemajingu3909 10 месяцев назад
Moyo wangu usisahau matendo ya Mungu kwako🙏
@jeffmaloba5534
@jeffmaloba5534 10 месяцев назад
Mungu mwenyezi Hatubariki kabisa kwa kazi ambayo tuko naji toa kwa kumutumikia , wimbo hizi ni bendera zangu n'a inuaka kila Siku . Mimi ni PAPA JEFF hapa Congo katika taune ya Kolwezi Jimbo ya Lwalaba . N'a penda ku gawanya na nyinyi habari jema pamoja . Please kwa namna ya mimi kwandika katika lunga tukufu la swahili , nina tatizo kwandika nazoea french . Isikilivu wema .
@SelinaSelinal
@SelinaSelinal 10 месяцев назад
Hakika Mungu awabariki sana mnanibariki sana
@DonathaMlwilo
@DonathaMlwilo 4 месяца назад
Sitosahau kuwa kwenye Kila ninalipitia Mungu Yuko mbele
@beatricenjanda2465
@beatricenjanda2465 10 месяцев назад
Hakika Mungu anatuongoza katika magumu na kutuleta kwenye wepesi! Si nguvu zangu bali ni kwa uweza wake tu
@BenHook-rm5to
@BenHook-rm5to 10 месяцев назад
nzuri sanaaaaaaa
@EsterShaban-q9c
@EsterShaban-q9c 10 месяцев назад
Mbarikiwe sana mungu awainue zaidi❤
@debiproducts6696
@debiproducts6696 10 месяцев назад
Wimbo matata sana ila mngeurekodi na zilezile sare ambazo zilifanya wimbo kunana nazo
@ChristinaMbena
@ChristinaMbena 6 месяцев назад
Nzur sana
@HappyKavira-rq9ru
@HappyKavira-rq9ru 6 месяцев назад
Nyimbo zenu zinanibariki Sanaa nawa penda sana
@stellaswai439
@stellaswai439 10 месяцев назад
Wimbo mzuri mno mmetabasamu poa yaani
@laureanmugisha382
@laureanmugisha382 4 месяца назад
Mungu awabariki sana ..na awape Maisha marefu
@maryamumbua
@maryamumbua 9 месяцев назад
I love love this song
@davydtongy9046
@davydtongy9046 10 месяцев назад
Again,my favorite song, keep blessing us Ufunuo Choir🇰🇪
@fredrickmunyoki3245
@fredrickmunyoki3245 10 месяцев назад
The awesomeness in this song and the way it blesssing my heart, Glory be to God. Much love brethren.
@lucymbwaga1155
@lucymbwaga1155 10 месяцев назад
Usahau hata kidogo
@mverakazungu1714
@mverakazungu1714 10 месяцев назад
My favorite ❤❤❤
@mariahaggu1809
@mariahaggu1809 8 месяцев назад
Halleluiah! May God bless each one of you members of Ufunuo Choir; your singing is of another level! May you continue praising and worshiping the Almighty God through His Holy Word like you do. Asanteni sana sana sana kwa kunibariki kwa nyimbo zenu nzuri na zenye jumbe maridhawa! Mungu aendelee kuwainua kutoka utukufu hadi utukufu mnapoeneza Injili yake!🙏
@marynyangaya-zx7sk
@marynyangaya-zx7sk 2 месяца назад
this song made me know this group and nikawapenda buretu❤❤❤❤
@dennispeterson2881
@dennispeterson2881 4 месяца назад
Bass 🔥🔥🔥
@doreenmuthoni8803
@doreenmuthoni8803 6 месяцев назад
I can never get enough of this song. I listen to it over and over. God bless you Ufunuo
@fredygeofrey
@fredygeofrey 8 месяцев назад
Dah,the first one with white man was fire,this is 10th times I look the video,you nailed it
@grolyqueen5833
@grolyqueen5833 10 месяцев назад
Huu wimbo SI una video yake mmeu record upyaa Tena kale kasale kako pambe sanaaa
@maryamumbua
@maryamumbua 9 месяцев назад
Kwanza hio part ya ‘katika mema yako.....
@prosperjoseph3267
@prosperjoseph3267 Месяц назад
❤❤❤
@jephonaplatinumz8475
@jephonaplatinumz8475 10 месяцев назад
Nabarikiwa sana nyimbo zenu wapendwa
@NathanaelIlunda
@NathanaelIlunda 10 месяцев назад
Wimbo mzuri sana
@devdelias9390
@devdelias9390 10 месяцев назад
Mbalikiw sana
@AloyceAssenga-z4o
@AloyceAssenga-z4o 10 месяцев назад
Tunzeni Siri iliyowapa Neema hii na ufunuo wa kina Kama huu
@LinnetNafula
@LinnetNafula 10 месяцев назад
You guys are on 🔥🔥🔥
@momylaviel
@momylaviel 10 месяцев назад
My favorite
@adelaj.k5920
@adelaj.k5920 10 месяцев назад
hongereni kwa ujumbe, ila we should remember that God likes a clear difference between a man and a woman. Barikiweni sana
@LinahYusto
@LinahYusto 7 месяцев назад
❤❤❤❤🎉
@barakamfilinge6943
@barakamfilinge6943 10 месяцев назад
Bora mmerudia na kutengeneza vizuri video ya huu wimbo❤
@florajerry9376
@florajerry9376 10 месяцев назад
I like yjis song be blessed ufunuo
@furahishajerry7832
@furahishajerry7832 10 месяцев назад
😊😊❤❤❤ 🔥 🔥 🔥
@aikamichael5945
@aikamichael5945 9 месяцев назад
I love this song 🙏
@EuniferGee
@EuniferGee 10 месяцев назад
I just heard this song a few minutes ago and am in love.
@ChristinaMbena
@ChristinaMbena 6 месяцев назад
😮😅😊😊
@donathageorge6551
@donathageorge6551 6 месяцев назад
Wekeni apple music tafadhali
@ChristinaMbena
@ChristinaMbena 6 месяцев назад
.😅😊😊😊😊😅😊
@gloryfreight9057
@gloryfreight9057 7 месяцев назад
Please , kindly help me the contract
@ufunuochoir
@ufunuochoir 7 месяцев назад
Phone. +255 684 479 638
@peterkituu
@peterkituu 9 месяцев назад
The 1st version was better
@ChristinaMbena
@ChristinaMbena 6 месяцев назад
.😅😊😊😊😊😅
Далее
Ufunuo Choir  - Usisahau ( Live Performance )
9:33
Ufunuo Choir - Mwanamke Tasa (Official Video
7:47
Просмотров 182 тыс.
#kikakim
00:17
Просмотров 6 млн
Ufunuo Choir -  Maisha Yangu  (Live Performance )
8:20
Patrick Kubuya - Ni Yesu (Official Music Video)
7:29
Ufunuo Choir - Malaika (Official Music Video)
8:54
Просмотров 84 тыс.
Ufunuo Choir - Tangatanga (Official Music Video)
7:48
Просмотров 118 тыс.
#kikakim
00:17
Просмотров 6 млн