My friend is an eye witness who works in a best lady close to rng plaza,alisema at 6pm kulikua na goons wachafu walikua wanaiba vitu za watu. It is not Gen-Z,Hao watu walitumwa
Ukweli ndio itatuweka uhuru bt viongozi wetu wametuzoea this time ni vle Julie's mlema amesema sisi ndio tutakomboa inchi ytu iwe mahali pazuri ya kuishi...
Wakenya punguzeni hasira kwa sababu haiwezekani jambo mnatuhumu Raisi wenu mnasababisha hasara kwa watu wasio na hatia.ndugu zetu wakenya wakati mwingine mjitahidi kucontrol hasira zenu.
Ruto akileta majeshi kutoka nje ili kuua wakenya basi safari yake ndo imeisha kina mzee jomo kenyatta walipigania uhuru kwa hivyo hatutababaishwa na ruto walikuwepo wakapigania uhuru kwa hivyo hazitunyimwa uhuru tusiendemane na katiba inaruhusu maandamano ya amani polisi ndio wenye fujo
Citizen TV shame on u mpona hamusemi innocent Kenyans who lost there lives when Ur reporting nyumba imeshika Moto gani muhimu na Roho ya MTU shame on u taka taka