Тёмный

Ujanja wa dawa ya waislamu HD 1080p 

Kokoto kwenye kiatu
Подписаться 1,2 тыс.
Просмотров 21
50% 1

Kipindi cha leo
Kuinyesha jinsi wahubiri au watetezi wa uislamu wanavyo jenga mkakati wao
Nitapitia comment ya muslamu anayedai kupinga ujumbe wa video yangu.
Na nitaonyesha jinsi anavyoshindwa kutetea imani yake na pia kunikosoa mimi.
Kwanza kabisa ninataka kuelezakwa kifupi sana kuhusu video yangu anayei comment.
Inahusu aya mbili za Qurani 9:115 na 4:157(158)
Moja inasema Allah hadanganyi na nyingine kwa tafsiri ya waislamu inasema kwamba Alah aliwadanganya wanafunzi wa Yesu kuamini kwamba Yesu aliuwawa kwa kusulubiwa.
Kudanganya maana yake ni kufanya watu kuamini kitu kisicho kwel.
Katika video ninauliza:
Allah anadanganya au hadanganyi.
Sasa tuangalie comment ya ndugu yetu..
Kwanza anasema amefuatilia na kugundua kwamba Yesu hakufa na kufufuka
Anasema ni mchezo waliyochezewa wa kristo kusudi wajiepushe na agan la kale na kuaza kufuata agano jipya.
Mwenye kufanya hiyo ni Paulo
Anauliza pia kwa nini kufa na kufufuka kwa Yesu iwe swala la imani.
Anadai kwamba ni kampeni za watu kuleta au kutunga imani hiyo.
Halafu anadai kwamba Qurani ni wazi na anajaribu kutoa mifano.
Anasema ”Ukifanya jambo usiyo na elimu nalo utapotea na utapoteza watu”
Anaema mimi sijui kiarabu, ambayo ni kweli, na pia eti sifahamu kiswahili, hiyo si kweli.
Anasema ninakuja na maneno kutoka kichwani mwangu
Eti ninadai Qurani inasema wakati mimi ndiyo ninasema.
Kwa vile neno ”kudanganya” haimo kwatika aya eti maana ya aya haiwezi kuwa udanganyifu
Anaseam mimi ndiyo nimeitia…
Ananishauri kama sijui niulize
Halafu anajaribu kutoa tafsiri ya hizo aya
Basi tuangalie mkakati sasa
Swali inayoulizwa haipati jibu
Anafungua topic mpya ya kama Yesu alikufa na kufufuka
Anasema amechunguza lakini haleti msingi hata mmoja ya uchunguzi huo, bali anasema tu yalio katika mawazo yake.
Anamtuhumu Paulo kutunga, lakini hana msingi wa hoja hiyo pia na haipo!
Anauliza kwa nini swala ya kufa na kufufuka ni jambo la imani, hapo anaonyesha kwamba hajui hata misingi ya Ukrsto wala mafundisho ya kikristo kuhusu dhambi na ukmbozi.
Anadai ni kampeni ya watu kutunga mafundisho kama hayo.
Kisha anaenda kusema Qurani ni wazi, Ila ameshindwa kuelezea aya husika…Ila atajaribu baadaye.
Anasema ukifanya jambo usiyo na elimu nayo unapotea na kupoteza watu, hiyo ni kweli na anaonyesha vizur sana katika hoja zake kwamba hana hata aidea anaongelea juu ya nini maana anapinga hata Qurani yenyewe inayothiitisha maandiko ya Injili kama sahihi
Q3:2-4, 5:46-47; 68, Ni sehemu chache katika Q inayo shuhudia ukweli wa Injili
Anaposema ”hujui kiarabu” ni njia inayotumika sana na waislamu kujaribu kukuzima. Ila kwa kauli ya Qurani sababu ya kiarabu kutumika ni kwa sababu inawahussu warabu wa eneo rasmi tu. Si eti kwa sababu lazima uijue au haiwei kutafsiriwa.
Anadai ninatoa vitu ambayo nimebuni mwenyewe, lakini katika kila video ninatoa rejea zote na video anayoicomment inayo rejea wazi ila hataki kuisoma kama ilivyo.
Anadai ni maneno yangu wakati aya za qurani zipo mbele zake….
Kwa sababu neno ”kudanganya” haipo ndani ya aya eti maana yake haiwezi pia kuwepo. Halafu anakwenda kutueleza jinsi Allah alivyowafanya watu waamini kitu ambayo si kweli. Ila wakati mwingine ni Paulo…
Na rudia ”KUDANGANYA NI KUFANYA MTU AU WATU KUAMINI KITU AMBAYO SI KWELI” ni hiyo ndiyo hata tafsiri ya aya anayotoa mwenyewe
Kweli kukosa elimu nialeta kujidanganya na kudanganya wengine.
Ananiambia wakati sijiu niulize, inaonekana ingemsaidia kufuata ushauri huo mwenyewe maana ameonyesha kutokufahau imani ya Kikristo na pia kupinga maandiko yake mwenyewe.
Anapotoa tafsiri ya aya husika nathibitisha piont ya vvideo yangu. Aya moja inasema Allah hadanganyi na ya pili kwa tafsiri yake na ya waislamu wengi inaonyesha wazi kwamba Allah aliwadanganya watu.
Mkakati unaotumika basi.
Kwanza anaondoka katika topic (kusema Yesu hakufa na kufufka)
Anadai elimu na utafiti ambayo ni wazi halikufanyika maana hoja yake inapingana na msimamo ya wataalamu wote wa maana na pia inapingana na aya nyingi na ujumbe kamili ya Qurani.
Anamuingiza Paulo…. Njia nyingine ya kujarbu kupoteza topic
Kuhusu fundisho ya dhabihu ya Yesu, pia ni nji ya kuondoka katika swali husika
Khusu kujua kiarabu… eee inatumika sana. Ni njia ya kujaribu kukufanya uonekana hujui.
Kudai rejea zanggu si za kweli wakati ninamsomea Qurani na aya zipo wazi pale… kujaribu kutia mashaka juu ya kazi yako
Kusema kama hujui uliza, pia ni jia ya kujaribu kunifanya nipate wasiwasi.
Kwa kumaliazia;
Mkakati ni kujaribu kukupeleka katika topic nyingine mbali na inayohusika
Kujaribu kukudharau kwa kusema hujui
Kuacha kutoa jibu, hoja au jambo lolote la maana na kujenga hoja kwa kutoa rejea inayoweza kufuatliwa na msomaji au mtazamaji.
Anapoleta tafsiri anaacha kutoa tafsiri ambayo inaleta maana zaidi ila inapinga msimamo wake.

Опубликовано:

 

17 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии    
Далее
Uislamu na maandiko ya Bibila   HD 1080p
27:03
Jesus was not crucified: the evidence with Dr. Ali Ataie
3:36:49
16. Miten Jeesus voi olla uusi Israel?
18:54
Ibn Ishaq kuhusu aya za shetani   HD 1080p
19:15
Maandiko yaliletwaje?   HD 1080p
18:07
Просмотров 14