Тёмный

UJASILIAMALI ; VIPIMO SAHII VYA KUTENGENEZEA SABUNI YA MCHE 

MWANGA 1 TV
Подписаться 2,9 тыс.
Просмотров 16 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

27 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 48   
@claudejamar6843
@claudejamar6843 10 дней назад
Si c'était en français sa devrait être mieux merci
@AnethMchomvu
@AnethMchomvu 5 месяцев назад
Kazi nzur san naomba kujua pafyum naweka kiac gan
@mwanga1tv698
@mwanga1tv698 4 месяца назад
Nitafute WhatsApp 0768852151
@innocentkibwa3992
@innocentkibwa3992 3 месяца назад
Nimeipenda sana hii. Ngoja naifanyia kazi.
@mwanga1tv698
@mwanga1tv698 3 месяца назад
Sawa
@SalumuMtimbinya
@SalumuMtimbinya Месяц назад
Sodium ciliget kiaai, glycerin na pafyumu havina vipimo na Kama vp kiasi gani???
@mwanga1tv698
@mwanga1tv698 Месяц назад
@@SalumuMtimbinya WhatsApp +255 768 85 21 51
@mwanga1tv698
@mwanga1tv698 Месяц назад
Tazama hadi mwisho Kuna vipimo
@Halima-zx4pg
@Halima-zx4pg 2 года назад
Shukrani kwakujitoleya kutufundisha
@mwanga1tv698
@mwanga1tv698 2 года назад
Amina
@voiletshikuku8020
@voiletshikuku8020 Год назад
Hey niko Kenya nimeizi kama ninataka kutengenesa hiso sabuni likini nawesa nikapatahaje hixo vifaa
@naheedaluche1731
@naheedaluche1731 2 года назад
Shukrani kwakutufundisha. Ila Nina swali? Je glycerine haina kipimo? Unaweza weka kipimo chochote?
@mwanga1tv698
@mwanga1tv698 2 года назад
Kunavipimo pia
@mwanga1tv698
@mwanga1tv698 2 года назад
0768-852151 WhatsApp
@ndishajoseph9107
@ndishajoseph9107 2 года назад
Hiyo ni kilainishi tu. Waweza hata kukadiria tu. Swali la msingi kwa Mwl tunapataje faida hapa? Maana miche inayopatikana hairidhishi hata gharama za mafuta..!!
@pierrebarutwanayo7818
@pierrebarutwanayo7818 Год назад
Asanteni.swali langu,hii glycérine ni ipi hasua? Sijaelewa hapa
@mwanga1tv698
@mwanga1tv698 Год назад
Sijaelewa swali lako ulipo sema hasua unamaana ya haswaa au
@princessHeviness
@princessHeviness Год назад
mim nahitaji dalasa la online ujasiliamali
@adamousalifououmaroufoutio9110
Sir Please help us to write the chemicals and their quantities in English
@MAGEMBEGONZI-l7x
@MAGEMBEGONZI-l7x 27 дней назад
Hiyo maligafi naipataje
@mwanga1tv698
@mwanga1tv698 22 дня назад
@@MAGEMBEGONZI-l7x Katika maduka ya wajasiliamali
@Hayman_Graphics
@Hayman_Graphics 2 года назад
Unapatikana maeneo gani kakaa Kwa anaehitaji KUJIFUNZA kwa VITENDO!??
@mwanga1tv698
@mwanga1tv698 2 года назад
Ok nitafute WhatsApp 0768852151
@mwanga1tv698
@mwanga1tv698 2 года назад
Mwanza
@gracesingano7667
@gracesingano7667 2 года назад
Sir kwa nini ukimimina mchanganyiko wako kweye box au mould maji yananwagika
@mwanga1tv698
@mwanga1tv698 2 года назад
Vipimo hukulinganisha endelea kufatilia video hijayo utaelewa vizuri shida yako ni vipimo kati maji na mafuta unachanganya
@ndishajoseph9107
@ndishajoseph9107 2 года назад
Mkuu kwa vipimo hivi bado nina swali kwako. Napataje faida kwa formula hii? Mbona nimejaribu nikajikuta nimeangukia pua Mkuu? Naomba kama kuna namna ya kuboost ili nijikwamue nielekezwe
@mwanga1tv698
@mwanga1tv698 2 года назад
Sawa WhatsApp no 0768852151
@Kilimanjaro_motors
@Kilimanjaro_motors Год назад
Mambo vp Ndisha Joseph
@Kilimanjaro_motors
@Kilimanjaro_motors Год назад
Oi
@estherbony3251
@estherbony3251 Месяц назад
Yaan ili upate faida apo lazma upate vitu kwa bei ya jumla na utengeneze vitu ving ila kwa kutumia vitu kidg ningum kuona faida masna unanunuwa kwa bei ya reja reja
@GladiesRimmer
@GladiesRimmer 11 месяцев назад
Je ninaweza tumia mafuta ya maji
@mwanga1tv698
@mwanga1tv698 11 месяцев назад
Pambanua swali vizur sijaelewa swali lako
@justerkaregi8044
@justerkaregi8044 2 года назад
Sir sijaelewa kabisa. Caustic soda 1kg mafuta 3lita na maji?
@mwanga1tv698
@mwanga1tv698 2 года назад
Umechanganya vipimo tazama vizuri video hii huku ukiandika pembeni Kisha fanya tena itakaa sawa
@dorcasfaith6215
@dorcasfaith6215 2 года назад
Unapo acha kwa masaa ishirini na nne unafunika mchanganyiko ama utaacha wazi
@mwanga1tv698
@mwanga1tv698 2 года назад
Funika
@heroine2117
@heroine2117 2 года назад
Hyo glycerine tunawek kias gani
@mwanga1tv698
@mwanga1tv698 2 года назад
Robo rita
@princessHeviness
@princessHeviness Год назад
tearch mtaji unaazia shingapi? niwez kufany mazoez yakutengeneza pil naweza kuvipatawapi ivyo vitu vyakutengenezea nip mbeya usang
@mwanga1tv698
@mwanga1tv698 Год назад
Mtaji kiasi chochote ulicho nacho na pakupata malighafi nenda katika maduka yanayo uza vifaa vya wajasiliamali yanapatikana Kila mkoa
@jeladtasiano4586
@jeladtasiano4586 Год назад
Mafut unapim kias gan ya mawes
@mwanga1tv698
@mwanga1tv698 Год назад
1kg ya caustic soda mafuta yake ni lita 5
@gracesingano7667
@gracesingano7667 2 года назад
Naomba unisaidie hapo
@mwanga1tv698
@mwanga1tv698 2 года назад
Pambanua swali lako niweze kukusaidia pale unaposhidwa
@mwanga1tv698
@mwanga1tv698 2 года назад
Nitafute WhatsApp 0768852151 nami nitakusaidia
@mwanaidinoni7208
@mwanaidinoni7208 Год назад
Naomba niwe mwanafunzi wako nibei gani? nipo musoma
@mwanga1tv698
@mwanga1tv698 Год назад
Sawa wasiliana nami kwa WhatsApp 0768852151
Далее
JINSI YA KUTENGENEZA SABUNI YA KIPANDE.. SIR WILSON
18:59
Ванька пошел!!!! 🥰
00:18
Просмотров 681 тыс.
THE SCIENCE BEHIND QUALITY SOAP PRODUCTION.
13:58
Просмотров 41 тыс.
Jifunze namna ya kutengeneza sabuni ya kipande
8:05
Просмотров 40 тыс.
utengenezaji wa #sabuni ya #magadi #Miche #gwanji
9:15
SOAP MAKING DURING LESSONS CONDUCTED AT KISA PROJECTS.
25:07