Тёмный

Ujue uke wenza Sehemu Ya 1 - Ukht Fatma Mdidi 

Kalamutz
Подписаться 150 тыс.
Просмотров 82 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

14 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 186   
@ayshazambia6509
@ayshazambia6509 2 года назад
Mashaallah hakika nimejinfunza mengi allah akulipe kheri fatma nimekupenda kwa hidhini ya allah
@RukiahJuma
@RukiahJuma 9 месяцев назад
Nakupenda sana ukhty kwang n kama mama kabisa na unanipa san nguvu nakuona hata kama nikiolewa naweza
@muniraame1535
@muniraame1535 2 года назад
Mashallah uhti Allah akubarik twambie ukweli maana sisi wanawake wengi hatutaki kusoma dini yetu baada ya umbea tu .
@DjumaAsha
@DjumaAsha 9 месяцев назад
Ma sha Allah Tabaarakallah Shukran ukhti fatma mdidi Kwa darsa muhim saaana lenye mazingatio makubwa🤝🤝🌹❤️
@bakarkhamis5369
@bakarkhamis5369 Год назад
Mashaallah ingawa cna mpango wa kuowa uke weza ila darsa ni zuri ❤❤❤❤
@hidayarubibi4224
@hidayarubibi4224 2 года назад
Ma shaa Allah!!! KONGOLE UKHT FATMA MDIDI! ALLAH AKUHIFADHI.
@fatmahassan4790
@fatmahassan4790 2 года назад
MaSha Allah TabarakaLlah Mungu Akuhifadhi. Swadakta Habibty. Umezungumza Mada, Muhimu. Mungu Akujaze Kila la kheri
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 2 года назад
Amiin yaarab
@khadidjasuleiman8006
@khadidjasuleiman8006 2 года назад
Mashallah tabaraka llah 👍🤗 Allah atuwezeshe Kwakwel Ukewenza unapingwa Saana ❤️❤️❤️ Shukran sana 😘
@mariamngwari8228
@mariamngwari8228 2 года назад
mashaAllah ukhty Fatma tumeipa elimu❤️❤️
@aairraahseif5648
@aairraahseif5648 2 года назад
Maashaallah ustadhat Allah amekuongoza ktk hili,ni adhimu kupata haya!,Allah atuhifadhi na atupe mwisho mwema
@najmalatiffah936
@najmalatiffah936 2 года назад
Namuomba sana Allah niwe na elimu kma yako dada🤲🤲🤲🤲🤲
@rajab2741
@rajab2741 2 года назад
Mashaallah....Allah atujalie wake wenye uelewa kuhusu dini na ukewenza ..
@nuria7223
@nuria7223 Год назад
Kama mwenyezi mungu amewakubalia sisi ni nani tukatae amri ya Allah inauma lakini tuwe na subra. Na nyinyi wanaume mumuogope mwenyezi mungu
@mayarkcollection3148
@mayarkcollection3148 2 года назад
Maa Shaa Allah ukhty,, I wish nikiolewa niwe na wenzangu au niolewe uke wenza ila nahitaji mwalimu wakunifunza SoMo Hilo. Ukhty I wish ungekuwa mwalimu wangu. I wish 😢
@ashuraidd9117
@ashuraidd9117 2 года назад
Uko z wpi my mm nataka mwenzangu
@mayarkcollection3148
@mayarkcollection3148 2 года назад
@@ashuraidd9117 dar es salaam
@hamisakamna4738
@hamisakamna4738 Год назад
Allah atujaalie kila la kheri na ww akujaalie umri mrefu
@luchibakari814
@luchibakari814 9 месяцев назад
Alhamdulillah ya Allah Allah akuzidishie umri uzid kutuelimisha akujalie khemir ya dunia na akhera amiin
@memynanji6108
@memynanji6108 2 года назад
Masha Allah ukhty umeongea vzr sana nimepata Elim kubwa sana, Allah akutunze
@aishabh7936
@aishabh7936 2 года назад
Mashallah dada fatma kwakutupa mawaidha nzuri kwa kutufunza wanawake mada ambao ni gumu sana kwa wengi kukubali
@abubakarkilabuka
@abubakarkilabuka 8 месяцев назад
Mashallah ukhty Fatma Mussa, Allah akulipe Kila kheri. Allah Amiin.
@MwatatuKhalid
@MwatatuKhalid Год назад
Mashaallah. Allah akulipe kila la kheri
@adijahmdosi5863
@adijahmdosi5863 2 года назад
Mashallah tabarakallah mwenyezi mungu akujaze kila la kheri dadaetu kipenzi nimejifuza sana kuhusu ibada hiyo
@ashaidd2912
@ashaidd2912 2 года назад
Mashaalah Allah atujaalie tuweze kutimiza mapenzi ya kweli
@zaqiamhando6522
@zaqiamhando6522 2 года назад
Nmejifunza pakubwa alhmdullah Allah akujaliee mwisho mwema inshallah
@Nasramoussa-z5d
@Nasramoussa-z5d Год назад
Manshallah Nimejufunza kitu ALLAH Akuifazi 🤗🤗😘😘
@rahamrahma6259
@rahamrahma6259 2 года назад
mashaallah TabaraqaAllah nakupenda sana ukht
@umulikhairmurenga6587
@umulikhairmurenga6587 2 года назад
Masha Allah, Jazaka lahu Khair. Umetujenga ki-imani,
@hadijagere
@hadijagere 6 месяцев назад
Shukran nimejifunza sana Allah akulinde na baba yako ampe makazi mema amin
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 2 года назад
Mashaallah mashaallah mashaallah mwenyezi Mungu akulipe bi fatma nimepata faida kubwa sanaa
@rehemamustapha364
@rehemamustapha364 2 года назад
Mungu akujalie mama
@shufaamasanja9123
@shufaamasanja9123 2 года назад
Allah akulipe kheir inshallah mwalimu wetu
@a.856
@a.856 2 года назад
Jazakallah khayran
@fatmahemed2189
@fatmahemed2189 Год назад
Asalam aleikum masha Allha Allha Akulipe kheli dunia walAkhela
@OmarOmar-wx9zg
@OmarOmar-wx9zg 2 года назад
Ukhty kwa hakika ume sema kweli na darsa nzuri sana hii. Kwa ushauri, inge pendeza zaidi unge ifunika kwa khimaar sura yako....................
@ramadhansalimu8164
@ramadhansalimu8164 Год назад
Funika USO dada usitamaniwe
@biaishaathumani5149
@biaishaathumani5149 Год назад
Masha Allah
@azzamahamdu7039
@azzamahamdu7039 Год назад
😂😂😂😂😂😂bismilah mashalaah. mawaidha mazuri sana.ALLAH AKUWEKEEE UKHTY FATMA❤❤
@abdulkareemchacha2625
@abdulkareemchacha2625 Год назад
Maashaallah..... Hongera sana Ukhty Fatma kwa weledi aliokujaalia Allah S.W.T
@aminamkumba3549
@aminamkumba3549 2 года назад
Somo zuri,mashaa Allah ukht fatma mdidi
@naiylamahmed4484
@naiylamahmed4484 2 года назад
MashaAllah....shukran kwa kutupa elimu kuhusu hili jambo
@nuria7223
@nuria7223 Год назад
Ma shaa Allah tabarakallah jazakallahu kheir
@shinayzashiraaz4588
@shinayzashiraaz4588 2 года назад
Somo zuri hili..mashaaAllah Jazakumullah kheir
@dottohami
@dottohami Год назад
Masha Allha 🔥❤️🔥
@AsmaAsma-ob9wl
@AsmaAsma-ob9wl 2 года назад
Mashaallah.uht Fatma jazaka Allah heer
@msafiribakari6322
@msafiribakari6322 2 года назад
Nakukubali sana my teacher
@Ummussalama-f4q
@Ummussalama-f4q 7 месяцев назад
Mashallah ❤❤🎉🎉🎉ukhty fatma Allah akulipe🤲
@rizikichamosi7551
@rizikichamosi7551 Год назад
Mashallah tabarakallah nimeipenda sana mada
@masoudsafia207
@masoudsafia207 2 года назад
Mashallah habibty nakupenda bure bure
@mwanakombongare1644
@mwanakombongare1644 2 года назад
Mashaallah dadangu Allah akupe umri mada tamu xna
@yusufseifu4967
@yusufseifu4967 2 года назад
Shukran jazla ustadha
@kashindyehabibu4612
@kashindyehabibu4612 2 года назад
Jazakallah khaira
@jackjeremiah4149
@jackjeremiah4149 2 года назад
Mimi Ni mkristo lkn nimejifunza kitu kikubwa Sana kupitia somo hili pia umeniponya Moyo kwa kiwango kikubwa Sana🙏 hii elim sio kwa waisilamu tu Bali hata sisi wakristo kipo chakujifunza.shukran san
@sadakhamis1261
@sadakhamis1261 2 года назад
Yaani huyo ukhty mashallah wako 4...ikiwa yeye ni mke wa kwanza.. Wanapendana saana
@اللهأكبر-ذ7ث3س
@اللهأكبر-ذ7ث3س 2 года назад
Mashallah wewe ni kijana wa dhahabu duniani karibu kujifunza dini kupitia midahalo ya masheikh mbali mbali mfano sheikh saidi kinyogali, Dr sule,salim daawa hamza mahene, Yusuf wambugu
@ashanamulya9556
@ashanamulya9556 2 года назад
Ubadilike
@zaharanbilali2022
@zaharanbilali2022 Год назад
Mashaallah Allah akipe mri mrefu
@rosemasune8404
@rosemasune8404 Год назад
Yan huyu dada ananifurahisha sana sio anaongea tu ila anayaishi anayoyaongea
@azuathamri9916
@azuathamri9916 2 года назад
Mashallah allah akuongezee inshallah
@hatimalnaamani876
@hatimalnaamani876 2 года назад
Shukurani sana mama kwa darasa zuri
@umarmwayagah773
@umarmwayagah773 Год назад
Maa Shaa Allah
@aishaomar9621
@aishaomar9621 2 года назад
Mashaa Allah tabaraka Allah
@mejumaaabuu618
@mejumaaabuu618 2 года назад
Mashaallah mungu atuwezeshe inshaallah.
@BatuliMaaoud-bg2yu
@BatuliMaaoud-bg2yu 5 месяцев назад
Mashaallah
@Zaytun-v2x
@Zaytun-v2x 7 месяцев назад
Nakupenda Kwaajili ya Allah
@shanimpenike7568
@shanimpenike7568 2 года назад
umesema vzr jazaa ya wema
@hamisakamna4738
@hamisakamna4738 Год назад
Allah atujaalie tuwe waumini wema
@hidayamanda-gk7nf
@hidayamanda-gk7nf 10 месяцев назад
Mashallah ❤❤❤❤
@neemafatu471
@neemafatu471 2 года назад
Allah atakulipa kheri inshallah .Aamiin
@fatimahasin2041
@fatimahasin2041 Год назад
Sijajutia kukuckiliza💙💙
@haleemasultan6760
@haleemasultan6760 2 года назад
Masha Allah baraka Allah 🤲
@mariamali1887
@mariamali1887 2 года назад
MashaAllah mashaAllah Allah barik ❤❤❤👌👌
@rukaiyajuma2902
@rukaiyajuma2902 2 года назад
Swadakta
@hindu5268
@hindu5268 2 года назад
Mashaallah, ustadhat
@neemafatu471
@neemafatu471 2 года назад
Maashaallah maashaallah maashaallah
@halimahbwelele694
@halimahbwelele694 Год назад
MashaAllah 🥰🥰🥰
@fatumaabbas9265
@fatumaabbas9265 2 года назад
MashaAllah sister Fatma nimejifunza mengi 🥰🥰🥰
@swaibatjawad2580
@swaibatjawad2580 2 года назад
Manshallah nimekuelewa ukhty
@NiyoyitaEric-b2v
@NiyoyitaEric-b2v 5 месяцев назад
Barakallahu fit kum
@ibrahimhategekimana6725
@ibrahimhategekimana6725 2 года назад
asalam alaikum ww nitowe shukran hajati nina ulizo wenye sio wajani hawaruhusiwi kuolewa
@mariamahmad8261
@mariamahmad8261 2 года назад
Maa shaa Allah
@ramadhansadik001
@ramadhansadik001 Год назад
Uke wenza imekua changamoto na chukizo sana kwa wanawake, ila hii yote ni kukosa elimu tu. Na pia wanaume nao hujiona shabab wanapooa wake zaidi ya mmoja. Ila katika ukwel ni kwamba sasa hivi wanaume ni wengi so mtu angebakia tu na wale wenye uwezo nao.
@FarhanZay-sb4gv
@FarhanZay-sb4gv 5 месяцев назад
Nimejifunza mengi s
@mariamsalehabdulla6825
@mariamsalehabdulla6825 2 года назад
Asnte ukhty umenifumbua macho mana mm mwenyewe npo kwenye hii sunna
@latifanyari8912
@latifanyari8912 5 месяцев назад
Shukran sana ukht nimekuelewa tupe namba zako tukiitsji ushauri inshaallah
@shanimpenike7568
@shanimpenike7568 2 года назад
Wanaume wamepewa idhin ya kuoa zaid ya mmoja ....hiyo ni kher kwao wakiwa wako kwenye tawhid
@RukayyaNassor-i9o
@RukayyaNassor-i9o 22 дня назад
Uhti nimekubali sanaa kwa mawaidha yako ila tatizo make wamwanzo ndie mwenye kuwa na dhiki Sana nakikubwa wanawake wanaofatilia wanakuwa cwazuri kwa mambo wanayowafanyia ha wanae mkuta anajiona yye zaidi naanakuwa yye ndio anajiona Zaid anakuwa hafati maamrisho ya alla anajia ugomvi naushindani hichi ndicho kinacholeta mtihani
@nhamodavid2055
@nhamodavid2055 2 года назад
Masha Allah 🥰🥰
@latifahud4336
@latifahud4336 Год назад
Aaah hapana Kwa kweli ukewenza Mimi stakiii,hata ake nan hamjaniconvice
@abdulbastwahassan7651
@abdulbastwahassan7651 2 года назад
Mashallah kwamafundisho mazuli
@alialamoudi9729
@alialamoudi9729 2 года назад
ماشاءالله تبارك الله كلام صحيح مايه بي الميه والحمدالله على نعمه الإسلام الله يبارك فيك
@sabihamakami3720
@sabihamakami3720 2 года назад
Ukhty umeongea pwenti sana 😢
@saumkisira9328
@saumkisira9328 2 года назад
Ukht naomba kuuliza km mtoto wa mama mkubwa Na mama mdogo kuolewa Na mume mmoja Je yafaa
@abuukauthar4607
@abuukauthar4607 Год назад
Mtoto wa mama mkubwa na mdogo inafaa kuolewa pamoja Tena inapendeza kweli
@oman7901
@oman7901 2 года назад
Mashaallah 😍😍😍🤲🤲
@neemafatu471
@neemafatu471 2 года назад
UKTY naomba namba yako nikupigie. inshallah
@shaymaashameem3145
@shaymaashameem3145 Год назад
Assalaam alaykum Naomba namba za ukhty Fatma mdidi tafadhali
@innocentniyizonkiza1527
@innocentniyizonkiza1527 2 года назад
Ndoa za ukee wenza zinapunguza Zina kwa upande zote kike kiume
@heyumi2340
@heyumi2340 2 года назад
subutu
@ramadhantahila9131
@ramadhantahila9131 2 года назад
kabisaa
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 года назад
Uft sahizi hamna uwadilifu ni mtihani mwaname anawatesa wanawake tu sahivi hamna kitu ni. Mtihani kula ni yashida anakolala anapeleka huku haleti hujuwi nguo ya iddi wala ramadhani na matusi tu
@zeitunkassim9352
@zeitunkassim9352 2 года назад
MashaAllah TabaraqaAllah 🌹❤️
@aishandayishimiye5127
@aishandayishimiye5127 2 года назад
MashaAllah tumpende allah kuliko chochote
@AshaMbenna-np1qe
@AshaMbenna-np1qe Год назад
Assalam alaykum warahmatullah Naomb namba ya ukhty fatma
@Garusahir
@Garusahir 3 месяца назад
1:39:04 1:39:04 1:39:04 1:39:04
@fahmacholi5754
@fahmacholi5754 2 года назад
Dada yangu naomba namba zako ninashida kuhusu huo uke wenza huenda ukanisaidia
@IbrahimWaziri-to3fl
@IbrahimWaziri-to3fl 11 месяцев назад
Assalam alaykum
@fatumajumaa8422
@fatumajumaa8422 Год назад
Tatizo ni wanaume
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 2 года назад
Mungu anisuru lakini mateso nakimbia au mwanamke mshirikina anamrongwa mke mweza namuwachiya mume mimi naondoka namuwachiya anakula raha ya mume wake
@mkasiali6956
@mkasiali6956 2 года назад
VIP.. nambayako
@taharamohd2515
@taharamohd2515 2 года назад
Mimi Nataka Namba za uyo mama nisaidien ninashida nae
@mayarkcollection3148
@mayarkcollection3148 2 года назад
Ukipata unitag na mim
@jumaomar1580
@jumaomar1580 2 года назад
Ujueukewenza
@ashasalimu5527
@ashasalimu5527 2 года назад
Kwa yule kwenye uwadilifu Ila kwa Zama hizi muadilifu ninani huyo moja shida tuu
Далее
Ujue uke wenza Sehemu Ya 2 - Ukht Fatma Mdidi
2:02:32
Просмотров 26 тыс.
Mwanamke Jifunze kunyamaza - Ukht Fatma Mdidi
1:05:20
Просмотров 6 тыс.
PUBG Mobile СТАЛ ПЛАТНЫМ! 😳
00:31
Просмотров 87 тыс.
HILI NDIO LILILOWAFELISHA WENGI KATIKA NDOA ZAO
35:26
OGOPA SIKU YA KURUDISHWA AKHERA//SHEIKH OTHMAN MAALIM
50:55
UTAPENDA MAWAIDHA YA DK SULE AKIWA MSIKITINI
49:17
Просмотров 39 тыс.
NININI NDOA
48:06
Просмотров 45 тыс.