Leo ndio nimeamini mvumilivu hula mbivu, Asante Dogo. Hapa ilikua nitume laptop zaidi ya 500km niliponunulia ili irekebishwe. Kumbe ni swala la kubonyeza tu.
Oya kaka 😂😂😂😂😂😂😂😂 daaaah oa nimetoa mpaka machoz laptop yangi ni touch screen sasa nlijchanganya sasa nmeangaika sana nmeona niingie youtube labda leo hatimae umenisaidia daaah🤣🤣🤣🤣 Barikiwa sana
Japo umezunguka sana ila video yako imenisaidia sana baada ya kuvumilia kuisikiliza mpaka mwisho maana wengine wanakuzungusha hivi halafu hawakupi suluhisho