Тёмный
No video :(

UKIOTA NJOZI YA AYA ZA QUR'AN IKIWA AYA HIZO ZINAASHIRIA VITU HIVI. UNARAHA DUNIAN || SHEIKH KHAMIS 

MASJID MTORO ONLINE TV
Подписаться 426 тыс.
Просмотров 17 тыс.
50% 1

Ulimwengu Wa Njozi Na Maana Zake
#MasjidMtoroTv #Ulimwengu_Wa_Njozi

Опубликовано:

 

5 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 66   
@SHALIFUSHALIFU-id9ku
@SHALIFUSHALIFU-id9ku 6 дней назад
Shukrani shekh wetu
@amussaRajabo
@amussaRajabo 3 месяца назад
Asalam alaiko shehe mimi nimeota nimepata juu nimenyoosha mikono juu nikisoma izaja nasurullah walfatuhu mara tatu na juu nikaona mionzi ya ajabu inaingia mikononi mwangu sasa nifanyaje shehe wangu
@mayedmohammed5554
@mayedmohammed5554 4 года назад
Asallam allaykum manshallah sheikh allah atujalie wote tue minnal fahidhina mbele ya allah nilimuta dada yangu alitangulia akherah muda akiwa katika hafla ya watu nililisikia sauti yake ndio ikisoma quroan ila sikujua ni sura gani
@f.w.z2446
@f.w.z2446 2 года назад
Shekhe you talkative inngia kwnye point
@nduwimanahafsa2967
@nduwimanahafsa2967 Год назад
Shukra nisana shekh wetu Allah Kutuhifadhie insha Alla
@nahyanhareb4053
@nahyanhareb4053 4 года назад
Ma shaa llah .tabaraka Allah
@troubleabhat2190
@troubleabhat2190 2 года назад
Hasbunallah Waneemal Wakil
@butoyiamidou3022
@butoyiamidou3022 Год назад
Aww. In naota ayatul kursiyu.Nnasii.falaq na yabya mwisho ya suratul baquara..inaamaana gani
@Saidamwaka1
@Saidamwaka1 2 года назад
MashaAllahu tabataka Allahu .shukran aheikh
@samiaalriyami3488
@samiaalriyami3488 4 года назад
Bismillah masha Allah tabarrak Allah napenda unavosoma qur.aan
@mtitimtiti376
@mtitimtiti376 4 года назад
Vp huipendei kofia yake pi a
@troubleabhat2190
@troubleabhat2190 2 года назад
Alhamdhulillah
@hanashhanash535
@hanashhanash535 3 года назад
MashaAllah
@mariammuscat4300
@mariammuscat4300 2 года назад
Mashallaah
@azizamfundo7718
@azizamfundo7718 3 года назад
Asante Hustadhi
@halimasaidi3058
@halimasaidi3058 3 месяца назад
nimeota nasoma yasin na ayat kulsiu baada ya kuona watu wa baya wamenifata baada ya kusoma wakaondoka.
@groliarafaeli7232
@groliarafaeli7232 Год назад
Mmi ni mkiristo ila nimeota nasoma quroan kila aya nitakayo isoma naijua ata bila kufundiswa nasoma vizuli tu maan yake nni
@JumaEmily-mg8hl
@JumaEmily-mg8hl 21 день назад
Njoo kwenye dini ya haki
@mrithitv4423
@mrithitv4423 Год назад
Mie naomb niulize😢 swali mimi niliota nikiwa nasema an_nnur na siku ingine pia nilisoma quran pia inashiria nn hiz ndoto
@stingagency1748
@stingagency1748 3 года назад
Ukiota wamuomba mungu ukisema ashhadu alailahhailala nastakafiru al nasaluka janata wanaudhubika minanar......
@troubleabhat2190
@troubleabhat2190 2 года назад
Bc utaingia peponi lamsingi uswali na kumdhikiri Allahu Subhana Wataallah uachane na Maovu yote ubaki ukimsjudia Allah nakumuomba kila wakati
@yusramchande6503
@yusramchande6503 28 дней назад
Ukiota mwili mzito kesha ukahisi kunamtu kakukali au kakuzuhia ukapata kusema adhubilah minal shetwan rajim
@hamidaabdallah7191
@hamidaabdallah7191 4 года назад
Aslm alyekum mie mara nyingi naota kunakitu kibaya kinataka kinifike kisha nataja majina ya Allah kwenye usingizi hatimae nashinda mie katika hiyo ndoto
@dab8859
@dab8859 4 года назад
Kma mm pia
@afandenoonyofficial6547
@afandenoonyofficial6547 3 года назад
Sheke enda direct to the points,unaongea saana
@marymusi8235
@marymusi8235 4 года назад
Sheikh vipindi vyako muda ni mdogo sana vinakosesha raha
@greatiq4649
@greatiq4649 4 года назад
Sawa, Sheikh. Ila, ungetufasiria hizo aya za Qur'an tukapata elmu kamili. Hadithi za Mtume pia. Umefasiri moja tu!
@bintihamisimumbwe9364
@bintihamisimumbwe9364 2 года назад
Asalamu alakumu warahatullah wabarakatu
@bintihamisimumbwe9364
@bintihamisimumbwe9364 2 года назад
Shekhe Mimi kunamaneno matatu ya Aya zakuruani Dio uyaota na ujirudia mara Kwa mara lakwanza ni Laila haila llah muhamada rasulu llah ni nikitaka ivyo uwa naona kitu chashuka kutoka mbinguni mfanowake nikkama msikiti neno lapili utamka usingizini hasbiallau wakafa Laila haila llah muhamada rasulu llah hilineno nililitamka majuzi nikiwa usingizini chanzo chakulitamka niliona msikiti wadhabu unashuka kutoka magharibi nakuja kusimama jaribu yangu neno latatu ni subuhana llah hii nimeitamka Leo usingizini nimeota Niko namimba kubwa na Niko mama mzazi ambae amefariki namtoto wadadaangu nilikua namtumia vitu yule mtoto wadada kabila sijamaliza nikamuona Jini nikatamka ilineno subuhana llah Jini akapotea Sasa naomba ufatanuzi wako shekhe sinaamani kwakweli
@mamsmariam6670
@mamsmariam6670 3 года назад
Ukiota unafua au umevaa chupi mpya nyeusi maana take nini she he mungu akujalie kila LA heri
@SelemaniAbdulMadjid
@SelemaniAbdulMadjid 2 месяца назад
Asalam alayqum warakhmatullah wabarakatuh,shekh mimi nimeota surat-maida aya ya 44,ina ashiria Nini ? mana nimeisoma lakini sijaielewa,naomba unieleweshe
@user-hz4bk8bn4e
@user-hz4bk8bn4e Месяц назад
Sheikh ndoto ya kusoma ayatul kurisiyu
@furahandabadugitse2659
@furahandabadugitse2659 3 года назад
Na ukiota masjidi al aqsa maqa
@hadijaramadhani3553
@hadijaramadhani3553 3 года назад
Nimeota nasoma watamati
@pilimusa7770
@pilimusa7770 3 года назад
Kalimati?
@user-xv9jh7mc9x
@user-xv9jh7mc9x 7 месяцев назад
Sasa ntajuaje kama ayannazosoma sujuiibtafsiri nilisoma alhamdu
@Ms-zuuuh001
@Ms-zuuuh001 4 месяца назад
Hahahaha apo kwanza nicheke yeye angetoa maana moja tu tujue kuota nasoma Quran ama watu wanasoma nini maana yake
@bbb6nnn561
@bbb6nnn561 3 года назад
Mimi nimeota aya hii inamalii yusir yusura nikipande hicho tu
@djyondergigi1027
@djyondergigi1027 2 года назад
A aleikum Kama nimeota sura yasin na aliflamim . Na pia kuona Jina la Allah hapo pia katika ndoto Ndiyo nini maaanake ?
@djyondergigi1027
@djyondergigi1027 2 года назад
A aleikum na ukiota qurani sura Yasin ama aliflamim Ndiyo nini maana yake pia ukaona Jina la Allah latika ndoto
@abdallamwinyikombo6557
@abdallamwinyikombo6557 2 года назад
Assalam alykum warhamtullah,,,je kuota aya tul qursyu ,,tutaieka kundi gany,??.. Masalam
@troubleabhat2190
@troubleabhat2190 2 года назад
Mja huyo yuko kwa rehma zake Allah lamsingi uzidi kumdhikiri uzidi kuipata rehma yake na pia ujiepushe na maovu
@fatmaabdallah7709
@fatmaabdallah7709 3 года назад
Tatizo sheikh ukiulizwa swali hujibu sijui kwanini?
@fififidia3552
@fififidia3552 4 года назад
Assalam alaikum warahmatullah wabarakatuh.Nina ndugu yangu aliye ota myaka 15iloyo pita kila aliye uliza hakipata jibu hadi leo.Aliota yuko barabarani mtaani kwao akaona kitabu ca Coran kiko chini karatasi Zina jifumgu Zingine ziki peperuka ,palikuwa upepo na matonya yamvua yalikuwa ya kidondoka akawa amepita zake.
@swaphiatysaid5332
@swaphiatysaid5332 2 года назад
Mbona hii iko wazi maana yake
@minaniabdul8974
@minaniabdul8974 3 года назад
Ukiota unasoma surat Fatiha?
@troubleabhat2190
@troubleabhat2190 2 года назад
MUNGU anataka umshkuru kwa Neema anazokupatia uwe na Amani ju yake na yeye ndio umuabudu ALLAH (AS) Muunba wa Mbingu na Ardhi wala Usimshirikishe na Chochote na yeye ALLAH ndo atakupitisha kwa njia yake ngumu na yenye mitihani mizito yakuingia Peponi ila kwa wale watakao muabudu na kumuomba Halas
@greatiq4649
@greatiq4649 4 года назад
Je, kuota unaombwa kupiga fat-ha(kuombea marehem)?
@mwanaidishibe9275
@mwanaidishibe9275 4 года назад
Je ukiota wasoma suratul yasin..kwa maana nliota nasoma yasin
@basdsa8398
@basdsa8398 4 года назад
0758990
@djyondergigi1027
@djyondergigi1027 3 года назад
A aleikum ukiota umepatiwa msahafu Kama zawadi ndiyo Nini
@troubleabhat2190
@troubleabhat2190 2 года назад
Maana yake umearifiwa na Allahu Subhana Wataallah uisome dini yake usipotoshwe na yaduniani uisome Quran na umdhiri yeye Allah na uamini kua ukitakacho kiko ndani ya Quran tukufu na uifate Quran tukufu basi utaongoka na yote yanayokuhadaa na shida za duniani
@nduwimanahafsa2967
@nduwimanahafsa2967 Год назад
Naomba unijuze maana yake
@rehemasalim1440
@rehemasalim1440 Год назад
Ukiota umebeba bango l qurah huku umati w watu unakufuata
@shabamrukerabahizi2483
@shabamrukerabahizi2483 Год назад
Swww nimeota nasoma suratul kurusiyu mbele ya mutu anasema nisamee inamanish Nini? Ninawungonjwa ya stroke myaka mne n'a marapili naota ndoto hio
@djyondergigi1027
@djyondergigi1027 3 года назад
A aleikum ukiota mtu amekupa msahafu Kama zawadi ndiyo Nini maana yake alikupa siye sheikh wala siye Mwaimu ni msichana tuu Kama mimi
@nyabintuissa4853
@nyabintuissa4853 3 года назад
Tumia mdamchache wakushelehesha ili uanze mada husika
@sebbymwajuma3853
@sebbymwajuma3853 4 года назад
Asalaam Aleikum sheikh...he ukiota maiti wa kike akiadhini...maanake nini
@troubleabhat2190
@troubleabhat2190 2 года назад
Inategemea huenda akawa anakuadhinia akikukumbusha swala kwahio mrudie Allahu subhana wataallah akuongoe na maovu yote unayoyapitia
@hamidaabdallah7191
@hamidaabdallah7191 4 года назад
Inamanisha nini?
@mamsmariam6670
@mamsmariam6670 3 года назад
Nimeota maiti anaandika dual ameshika msahafu mini maana yake
@troubleabhat2190
@troubleabhat2190 2 года назад
Maana yake maiti huyo yuko katika rehma zake Allah anamuomba Allah kwa kushkuru rehma zake
@fzafza6746
@fzafza6746 3 года назад
Nini maana ya kuota unasoma Ayatul qursiyu???
@abdallamwinyikombo6557
@abdallamwinyikombo6557 2 года назад
Jamanii natamani kupata jibu pia
@mamsmariam6670
@mamsmariam6670 3 года назад
Nimeota maandishi ya oraani imeandikwa kwa maandishi mekundu nini tafsiri take shehe
@troubleabhat2190
@troubleabhat2190 2 года назад
Inamaanisha Quran iko ndani ya damu yako uisome na umuombe Allah Aleyhi wasalam naye atakuongoa na yote ya duniani na atakufariji furaha duniani na kesho Akhera
Далее
UKIOTA NDOTO HIZI UJUE DUA ZAKO ZISHAJIBIWA
13:07
Просмотров 8 тыс.
TAFSIR YA NDOTO: MWENEYE KUOTA PERIOD USINGIZINI
11:30
Aliyeona nguo /mavazi Ndotoni Skh :Jafari Mtavassy
30:17