Haki Naomi, kichwa yako iko sawa? Ati unatoaga shati juu ya kushiba, Mara unatoa shati upigwe na upepo vile huogi, ngai Naomi, you make my day. Keep it up girl.
Woi Naomi nikiii, matusi na njinuu it's like ulienda havard school of rudeness then ninini huwashwa na majirani? Yani uko na beef mpaka nashika moto. Wachana na Ras. Na vile I like hairy men unefanya sasa I think twice. Eti hakai poa so? 😭😭😢😢, yani hadi unachunguza garbage. Thanks for making my day.