Тёмный

UKWELI ULIOFICHIKA NA IRENE UWOYA EPSD 2 

Irene Uwoya
Подписаться 35 тыс.
Просмотров 47 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

26 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 552   
@gracekakore293
@gracekakore293 2 месяца назад
Ushuhuda wako kama wakwangu I was once like you and everyone was telling me that i have to serve God lakini nilikua mkaidi sana ilifika wakati Mungu aliblock kila kitu kwenye maisha yangu hapo ndipo niliamua kumrejelea Mungu nikafunga na kuomba seven days baada ya hapo Mungu aliniambia kuwa sitakiwi kumtegemea yoyote yule isipokuwa yeye tu tangu hapo Mungu alianza ku repair maisha yangu kidogo kidogo and am growing na ninamtumikia Mungu na kumtumikia Mungu haimanishi kuwa lazima uwe mchungaji nabii au muinjilisti lakini unaweza kumtumikia Mungu kwenye eneo lolote lililo halali na kila mtu aliyempa Yesu maisha ni mtumishi mtangaze Yesu dada Irene kumjua Yesu ndo ujanja sasa yani hapo ndo umekua mjanja
@lovenessmallya816
@lovenessmallya816 2 месяца назад
Amen
@Jerie-q1c
@Jerie-q1c 2 месяца назад
Baada ya kusikiliza nimetambua Irene is truly a Living Testimony. Mungu wa Mbinguni azidi kukuinua viwango vya juu zaidi dada
@niymaedwin4297
@niymaedwin4297 2 месяца назад
Mungu aliyekuonekania kwenye maisha yako akaonekane na kwangu Amen 🙏♥️
@RachelChitute
@RachelChitute 2 месяца назад
Amen 🙏
@jonsonigwakisa1162
@jonsonigwakisa1162 2 месяца назад
Amen sana
@tinahmashaka4355
@tinahmashaka4355 2 месяца назад
🙏
@zainaekyamba
@zainaekyamba 2 месяца назад
Amen 🙏🏾 😔
@Swabrah-fey
@Swabrah-fey 2 месяца назад
🙏🏾 amen
@veeJesus
@veeJesus 2 месяца назад
Pastor Tony is a blessing to Many of us. Mungu amtunze sana
@neemalambo9790
@neemalambo9790 2 месяца назад
Daaah mpk nimetoa machozi, hongera sana Irene, kwa kweli umeupiga mwingi, nakutamani sanaa❤
@mc_mrope
@mc_mrope 2 месяца назад
Hongera sana Irene Uwoya, MUNGU ameamua kukuchagua usiache njia hiyo ni sahihi! Keep it up💌
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 2 месяца назад
Na Irene kweli umebadilika,yani umekuwa mzuri zaidi❤❤❤🙏
@eliadamwandumbya734
@eliadamwandumbya734 2 месяца назад
Limeinuliwa jina lake Yesu 🙌 Halellujah Hakika wew ni ushuhuda tosha kwa ajili ya ufalme wa Mungu. Na hii ndio maana ya kusema Mungu anawatu wengi sana hajawahi ishiwa🙌. Mungu aendelee kukutunza na ukafanyike baraka ya kuvuta watu wengi sana kwenye tasinia ya sanaa kupitia wew dada. And u will be among the richest women of God in Tanzania in Jesus name🙌
@winniemlula2784
@winniemlula2784 2 месяца назад
Amen
@edwardnaanita
@edwardnaanita Месяц назад
Glory to God, Glory be to the most highest God forever and ever AMEN 🙏 🙏 🙏 YESU azidi kukutunza na kukupa nguvu ya kumtumikia.❤
@noelaabbas
@noelaabbas 2 месяца назад
Hakika nimebarikiwa sana na huu ushuhuda!! Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu. Ninatamani sisi tulio elewa huu ushuhuda tumuishi Yesu kwa aşılımia 💯 kuna raha na amani ndani ya Yesu!!
@AsiaAsia-sv6ok
@AsiaAsia-sv6ok 2 месяца назад
Umeongea maneno yamenigusa sana we dada 😭eeh Mungu tusamehe waja wako 🤲😭
@Salamabarbie
@Salamabarbie 2 месяца назад
Hakuna neema kubwa kama hii aliopata irene neema na kusali kuomba kufunga na kua karibu na Mungu ni neema kubwa mnooo kuliko neema yoyote ile
@hawababy120
@hawababy120 2 месяца назад
Mungu Akuwezeshe sanaa Irene maana kama ni bata umelila lakutosha umepitia vikwazo vingi dunia tunapita dada kua na mwisho mwema ndo kizuri zaidi.🥰🥰
@EmmanuelChangula
@EmmanuelChangula Месяц назад
Heshima na utukufu wotee tumpe Bwana Yesu,Dada Irene ushuhuda wako umeniongezea nguvu sana ktk imani na kuendelea kunyenyekea sana mbele za Mungu
@sylviadanford9138
@sylviadanford9138 2 месяца назад
Hakuna raha kama Mungu akikupenda jamn,its a honour in this universe, your blessed dia so blessed ,sijui kama unanielewa,Hongera n never give up n go back,keep moving Cz God will give u a backup
@NancyCMjema
@NancyCMjema 2 месяца назад
God bless you Irene❤️ Uzidi kusonga mbele tupo tunaokutazama kuanzia leo 🙏🏾🙏🏾 He will never Leave you nor Forsake you🥰
@bonifacebwamahoro1733
@bonifacebwamahoro1733 2 месяца назад
Niko Burundi.Habari ya kuokoka kwa Irene Uwoya yanifurahisha mno.Kama ni Mungu aliyemwita aendelee kumtumia ili wengine mfano wake waokoke
@blessed3726
@blessed3726 2 месяца назад
Waoh huyu ndo Mungu wangu naemjua , Mungu si wa watu fulani fulani bali ni wa wote anawaita unqualified na kuwa fanya qualified to His kingdom.hallelujah.i love you ❤
@Mchiwalalatz
@Mchiwalalatz Месяц назад
Kabisa huyu ndio Mungu wetu❤
@mastajabufailasignorita633
@mastajabufailasignorita633 2 месяца назад
Jina la Yesu Christo liinuliwe milele na milele Amen 🙌🏽🙌🏽🙌🏽 IRENE nakupenda kuanzia leo na Mungu atuimize katika safari ya kwenda mbinguni😭😭🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@agnesNdonde
@agnesNdonde 2 месяца назад
Asante sana Irene wewe ni role model wa mabint wengi sana Mungu na azidi kukutumia kuokoa wengi. Ubarikiwe mno
@jamilanyatuka4614
@jamilanyatuka4614 2 месяца назад
Neema iliyokushukia ni kubwa mno.Amani ya Bwana iwe rohoni mwako daima.Umechagua fungu lililo jema sanaaa.I really learn and proud of God for His chosen person Irene.Endelea kuwa mtendaji kwenye mavuno ndani ya shamba la Bwana.
@Hairbyfabiola
@Hairbyfabiola 2 месяца назад
Iyo nikweri
@mbisychristian2325
@mbisychristian2325 2 месяца назад
Mungu aliyekuita ana sababu kubwa na maisha yako Irene Uwoya Sifa na Utukufu kwa Mungu
@poshsmith4268
@poshsmith4268 2 месяца назад
Mungu akubariki Irene ,umenitia moyo sana
@isacktesha6659
@isacktesha6659 2 месяца назад
Hongera sana mtumishi, karibu kwenye ufalme wa Mungu aliye hai ,ushuhuda wako unagusa sana ,na Kwa ushuhuda huu wengi wataokoka ,hicho ndicho ulichitiwa
@MonicaSamson-q4j
@MonicaSamson-q4j Месяц назад
Endelea Mbele hajalishi kutakuwa na changamoto Gani ,hata Mungu alimwambia Musa awambie Wana wa Israel waendelee mbele wasitazame nyumba,najifunza vitu vingi sana inanifanya kumuona Mungu hatuwezi kumuweekea mipaka,yeye anauwezo wa kufanya chochote kama apendavyo,sisi ni vyombo vya Mungu anaweza kutumia chombo chochote akipendacho yeye,Ireni nakupenda sana
@elogeniyomwungere9114
@elogeniyomwungere9114 2 месяца назад
I'm from Burundi nafurahi sana kuskia testimony yako Irene umeichagua njia nzuri endelea kumtumikia Mungu 🎉🎉🎉🎉
@florabuzoya3948
@florabuzoya3948 2 месяца назад
😭😭😭Your blessed ,Umebariki wengi kupitia huu Ushuhuda.Endelea Mbele Songa Mbele Mwenyezi Mungu hawezi kumuacha Mtumishi wake aibike,Endelea kumtumikia Mungu njia uliyochagua ndio nzuri kuliko vitu vyote Duniani.
@EuphrasiaNtawatawa
@EuphrasiaNtawatawa 2 месяца назад
Haleluyaa,yaani nakuonea wivu sana, MUNGU amekupendelea sana wewe ni chanzo cha wadada wengi kumrejea MUNGU ubarikiwe sana wewe na uzao wako kwa kusimama ktk nafasi aliokuitia Mungu,hakuna tena utumwa wala ukimbizi peperusha bendera. ya YESU matokeo yake ni makubwa mno,karibu sana kwenye fungu Jema, God protect you
@EuphrasiaNtawatawa
@EuphrasiaNtawatawa 2 месяца назад
Wengi wataingia FOG ministry
@neemalauwo1603
@neemalauwo1603 Месяц назад
Mwenyezi Mungu azidi kukuinua Irene, ni maombi yangu kwa Mungu kwamba asikuache na wala usirudi nyuma, roho mtakatifu azidi kukuongoza uzidi kumtumikia, kupitia wewe Wengi wapate kumjua Mungu, Haleluya.
@ibrahimukapaya4955
@ibrahimukapaya4955 2 месяца назад
Ongera sana huyo ndiyo Bwana Yesu anavyo badilisha watoto wake wependwao sana Dada keep moving on in life Christ in the way
@tagomshana4032
@tagomshana4032 8 дней назад
Barikiwa dada erini ushuhuda wako umeniliza sana mungu anakupenda sana hakutaka akuache upotee umepata neema kubwa sana usiipoteze ata kidogo atazidi kukufungua❤️❤️
@MamyLily-f2i
@MamyLily-f2i 2 месяца назад
Ushuhuda huu unaenda kuokoa watu wengi mno ktk dhambi
@MariamKichawele
@MariamKichawele Месяц назад
Mm mweyewe najiona kama irene ntafuata moyo wng ktk kuwa mwema kwangu ,Wallah nimejiona mm kupitia huyu dada ,ngoja sasa nkatafute panadol nimeze mana si kwa kulia huku mwanzo hadi mwisho wa interview yk,Mungu atuongoze wote
@glorymamkwe4360
@glorymamkwe4360 Месяц назад
Sana sanaa pamoja na mimi
@mercyesrom8618
@mercyesrom8618 2 месяца назад
God bless you Mtumishi Irene,with this na amini umegusa maisha ya wengi,Gods time is the best,God bless you
@ibrahimukapaya4955
@ibrahimukapaya4955 2 месяца назад
Wow unakumbusha jinsi yesu alivyo badilisha maisha yangu toka 2006 Bwana hajawai kushindwa keep moving forward in Christ
@rosemaryluhwago
@rosemaryluhwago Месяц назад
Umenitia moyo sana dada Irene mungu azidi kukuinua sana katika huduma yako
@BetisebaLuoga
@BetisebaLuoga 7 дней назад
Asantee sana dada irene umebadilisha maisha yangu sanaa mungu akubariki
@DivineIrera
@DivineIrera 2 месяца назад
Im from burundi🇧🇮nafurahi kumuona Irene mpya 😭😭😭❤❤❤Mungu azidi kukubariki sana dadangu Irene umenikumbusha upendo wa Mungu lakini testimony yako itawasaidia wengii ....Mungu azidi kukutia nguvu ya kumtumikia🙏
@Blessing32162
@Blessing32162 2 месяца назад
Karibu sana Irene Uwoya kwenye injili ya Yesu Kristo na nina wimbo mahususi inayogusa maisha ya watu natamani nikushirikishe wimbo unaitwa MY SERVIOR
@neemapeter7779
@neemapeter7779 2 месяца назад
Glory to God, nimebarikiwa mno, nimeguswa
@subisekelamwisa5275
@subisekelamwisa5275 23 дня назад
❤ Njia za Mungu hazichunguziki, honger San Dad Irene keep it up
@maureenlilykiwia1515
@maureenlilykiwia1515 2 месяца назад
Yule mama aliyepiga kelele na safari ya Irene aje kusiliza huu ushuhuda wake ...kasema hana kanisa na yeye bado sio mchungaji lakini an kitu cha kuwaleta wengi kwa Kristo hasa mabinti...ana kitu cha kuwaambia na wakawa na ile hamu au hari ya kuja kwa Yesu ...Mungu ana njia zake za kuwafanya watu wamtumikie sio mpaka uoge uoshwe sijui ujitakase ndio utumike...Mungu anajua namna gani anavyorehemu amtakaye ili aweze kuwa wake..hongera sana Irene songa mbele mwanangu kwa ulichoamua ni cha thamani kuliko ulivyowahi kuvimiliki maishani kwako
@doreenpondamali
@doreenpondamali Месяц назад
After so much crying, Point taken "Ni Mungu Tuu"
@EstherLulah
@EstherLulah 2 месяца назад
Hongera kwa neema hongera kwa kuchaguliwa na Mungu hongera kwa ushindi hongera Irene Mungu ameshindaaa Ameeen
@berthamataba5489
@berthamataba5489 Месяц назад
Hakika Irene umejua kunifurahisha. Mungu akuimarishe zaidi.
@AzaAzamhmod
@AzaAzamhmod 2 месяца назад
KWAKWELI NMEKUPENDA BURE IRENE WANGU.ALLAH AKUONGOZE.MIMI NI MWISLAM NINA IMAN YANGU LKN NMEKUSIKILIZA KWA MAKINI WW NI MKRISTO ULIOSHIBA YA DUNIA.UENDELEE KUKINAI YA DUNIANI.MANA DUNIA NI MAPITO.UBAKI KUMTUMIKIA MUNGU.NI KWELI TUMELETWA ILI TUMUABUDU MUNGU ❤. MUNGU AKUTUNZE❤❤❤❤❤POLE KWA MAPITO.HUJACHELEWA
@JacquelineJanuary-ll8oz
@JacquelineJanuary-ll8oz 2 месяца назад
Be blessed Irene Mungu akusimamie kwa msaada wa Roho Mtakatifu utashinda. Roho Mtakatifu akuongize daima🙏
@christinanoel5554
@christinanoel5554 2 месяца назад
Thank you for saying YES to our LORD JESUS CHRIST ❤️❤️ we love you ireen and we are praying for you and the ministry
@florabuzoya3948
@florabuzoya3948 2 месяца назад
I Love You Irene👏🏼Hongera sana kwa Kumtumikia Mwenyezi Mungu ushuhuda wako umezidi kunibariki sana sana sana your Blessed God Loves you so Much🙏🏿songa Mbele Endelea kusonga mbele
@mbaisiirene
@mbaisiirene 2 месяца назад
Its called restoration may the Lord of restoration continue restoring you in your entire journey Irene Uwoya blessing from 🇰🇪
@margarethernesto
@margarethernesto 2 месяца назад
Hongera Irene ,Mungu aendelee kukisimamia hakika umekuwa ushuhuda kwa wengi, nashauri uweke namba ya simu kwa ajili ya michango kwa watakaoguswa kuchangia huduma. Binafsi nimeguswa mno na ushuhuda wako na naamini Mungu aliyetenda kwako atatenda kwangu pia ,Amina.
@chobamumba9441
@chobamumba9441 2 месяца назад
Irene Mungu akubariki sana, kupitia wewe uta okoa wengi mnoo, endelea na usirudi nyuma kabisa.
@marthamic7218
@marthamic7218 2 месяца назад
Hongera sana mtumishi Irene umechagua fungu lililo jema.
@cynthiapwani1383
@cynthiapwani1383 Месяц назад
🙌hongera sana sana sis Mungu akujalie kusonga mbele usirudi nyuma Mungu ni wa wote wenye mwili na humchagua yy amtakaye ili amtumikie songa mbele kazana umenivutia jambo limenigusa sana kweli Mungu hana special🥰🙏tuombe ndugu zako ktk Kristo🙏
@gloryfungo9362
@gloryfungo9362 Месяц назад
Dada irene mungu akubariki sanaa hata mm nilisha kuona sana kwenye ndoto nikawa nawaza nakupataje je utanielewa hatanikikuona lakini nashukuru mungu amekuokoa.andelee kukutetea.
@sarakasuga2938
@sarakasuga2938 Месяц назад
Alellujah madam Irene mungu aliekuita kumtumikia nq Mimi aniweke katika nafasi hii kwa jina LA yesu mungu akuzidishe weww uwe mfano kwetu na kwa watoto wetu Amen❤❤🎉🙏🙏
@Rogathe-Rogathe
@Rogathe-Rogathe 2 месяца назад
Barikiwe mnooo Sisy Irine binafsi nimepokea jambo kubwa lakujifunza kuhusu habari ya Mungu...Ninatamani mnoo niliishi kusudi lake... Aminaaa
@salomenashon5864
@salomenashon5864 2 месяца назад
Ubarikiwe sana Irene nimejifunza kitu kwa ushuhuda huu Mungu akutunze❤
@neemaluge6114
@neemaluge6114 2 месяца назад
Wewe ni ushuhuda halisi wa Mungu anamchagua yeyote kwa kazi yake, na kila kitu kina kusudi kinapotokea kwenye maisha ya mtu,ulitengeneza njia ili na wengine tuzidi kuamini na tuache kujihukumu na tumuamini Mungu kwa ajili ya kazi yake. Hongera kwa kuwa taa ya mabinti wengi wanaotakiwa kutumika katika ufalme wa mbinguni, barikiwa sana mtumishi wa Mungu, keep pressing on.
@ClementNombo
@ClementNombo Месяц назад
Amina dada irene asante umeniongezea kiwango cha imani
@joffrey238
@joffrey238 Месяц назад
Glory to the most high God... Hakika Kwa hichi Mungu Atakuzidisha Sana, Maana this is how GOD Can Be Explain and be seen Kwa jamii... GodBlessYou🙏 SisIRENE, (WOMANOFGOD). #FRIENDSOFGOD💪
@bulaasiywez7014
@bulaasiywez7014 2 месяца назад
Barikiwa sana mtumishi Bwana Yesu akufikishe kilele cha mapenzi yake aliyoyakusudia kwako
@kaizajr8991
@kaizajr8991 2 месяца назад
Asante sana IRENE, ushuhuda wako umenisidia sana. Mungu akubariki na akupe haja ya moyo wako. ❤❤❤❤❤
@veeJesus
@veeJesus 2 месяца назад
What an encounter 👏 Wow Glory to Jesus. You even had a chance to meet Prophettes Bebe Angel wow. Kwa kweli Mungu akimbiwi. Me ata ukianzisha kanisha sishangai. God can do all things
@olivemwamengonakilimombeya6951
@olivemwamengonakilimombeya6951 2 месяца назад
Bebe angel sijaelewa
@veeJesus
@veeJesus 2 месяца назад
@@olivemwamengonakilimombeya6951 Kuna mtumishi wa Mungu alikutana nae kipindi huyo mtumishi amekuja Dar
@SarafinaMuyinga
@SarafinaMuyinga Месяц назад
Nimebarokiwa sana naushuhuda wako Namuomba Mungu anitendee pia ubarikiwe ❤
@nicolekibashimba558
@nicolekibashimba558 Месяц назад
Mwenyezi Mungu akubariki na akuwezeshe uendele mbele
@Isabella-ww8ks
@Isabella-ww8ks 2 месяца назад
Umechagua fungu njema sana my dear Endelea kunyenyekea chini ya mkono wa Mungu hata kuacha kamwe hakuna mtu aliemtumikia Mungu Mungu akamuacha
@dominickjobalexander
@dominickjobalexander 2 месяца назад
Amen God bless na azidi kukuonekania katika safari yako hii ya wokovu uliyoianza na azidi kukupa ujasiri wa kuzidi kusonga mbele......I pray for you in this journey uliyoianza ya Huduma na wokovu
@winfridapatrickmayengo2588
@winfridapatrickmayengo2588 2 месяца назад
I love you Irene❤. Moyo wangu unakufurahia sanaaaaa
@hilarynjau895
@hilarynjau895 Месяц назад
I tap into this anointing testimony in Jesus' Name. Amen
@olivabutoyi434
@olivabutoyi434 2 месяца назад
Mungu akubariki sana Iene kwa kuitikia wito wa Mungu ili uwe daraja kwa wengi. With God, surely you are going far girl 🙌 . Asante kwa ushuhuda mzuri na very inspirational
@linusmajaliwa4947
@linusmajaliwa4947 2 месяца назад
Dada irene! Daah!!! Songa mbele kipenzi, ww ni funzo sana yaani mfano unaonekana
@rithakiondo1099
@rithakiondo1099 2 месяца назад
Barikiwa Mtumishi Ushuhuda wako umenibariki...Kwa Mungu kuna faida kubwa songa mbele
@mrsseanbrian4213
@mrsseanbrian4213 2 месяца назад
Irene mapenzi ya Mungu yatimizwe kwenye maisha yako.Amina
@beatricemwakalinga4140
@beatricemwakalinga4140 2 месяца назад
The chosen one Huyo ndo Mungu tunaemjua
@estherlabanghuliku4668
@estherlabanghuliku4668 2 месяца назад
Hallelujah Hongera Sn Huyo Ndie Mungu ambae haangalii kama Wanadamu tunavyoangalia.Ubarikiwe Dear
@IvethaDeus
@IvethaDeus Месяц назад
Mungu akubariki sana yaan mm hata kwenda kanisani moyo wangu huwa mzito saaaana siwez sjui kwann yan roho yangu inaniuma sana sanaaa
@pinaphilly2629
@pinaphilly2629 25 дней назад
Dada Irene,ushuhuda huu mrefu,lakini nimeusikiliza..Mungu akusaidie Una kitu Cha kusaidia wengine,Fanya kama ulivyomaanisha,Bwana Yesu anatukuzwa.
@veronicaliana7274
@veronicaliana7274 2 месяца назад
😢😢😢 Bwana Yesu ni mzuri sanaaaa, Namemuona Mungu tena na tena kupitia huu ushuhuda. Bwana Yesu Asante Kwa haya matendo yako Makuu. Bwana Yesu aendelee kutukuzwa kwenye maisha yako mapya ya wokovu mwana wa Mungu
@graciesamuel7680
@graciesamuel7680 2 месяца назад
Mwacheni Mungu aitwe Mungu. Wengi watakubeza, watakucheka, watakudharau, watakukashifu na mengi mengineyo. Ila njia uliyochagua ni njema na sahihi. Mungu aendelee kukutunza na mwisho wa siku tukutane paradiso
@nursechunga4470
@nursechunga4470 2 месяца назад
Hiiii ni nguvu ya kukutana na Mungu uso kwa uso🙌Yesu wetu mzuri akutunze🙏
@hopekhin8348
@hopekhin8348 2 месяца назад
Ireen umechagua jambo jema sana,sitamani hata kidogo urudie yakale uliyo yaishi kabla ya kuitwa na Mungu.Mungu akutunze sana asikuache hata hatua yako moja awe na wewe daima.Sijajuta kukusikiliza mtumishi wa Bwana.Barikiwa sana.
@EvelynLubuva
@EvelynLubuva 2 месяца назад
Umeniponya sana sis wangu naona vile Mungu amekutumia kunivusha sehem niliopo kwenda sehem nyingine.kwa Mungu yote yanawezekana
@rolitakaswamila9152
@rolitakaswamila9152 Месяц назад
Powerful testimony Irene,He that started a good work in you shall accomplish it for his own glory,keep soaring higher,Jesus is proud of you,Sisterhood is proud of you❤
@vickyitenyo.
@vickyitenyo. Месяц назад
Such a beautiful testimony Irene. Sending you love from Kenya❤❤❤ God's faithfulness is evident in your story. More grace to you Sis.
@farajangogo9125
@farajangogo9125 2 месяца назад
Jamani Mimi nashukuru Mungu juu ya maisha yako Nakupenda Sana dada Irene since way back hakika Mungu anawajua walio wake naalikujua kabla haujazaliwa Mungu akubariki mnoo
@mwalimuselemankasangani2074
@mwalimuselemankasangani2074 Месяц назад
Mungu akutie nguvu iren uwoya na neema ya Mungu iwe juu yako daima❤ nimependa sana na ninafuraha kubwa sana kwa ajili yako
@uiptv365
@uiptv365 2 месяца назад
“Ni bora nikose vingine vyote lakini nisi kukose wewe” Amen to that 🙌🏽🙌🏽🙌🏽😭❤️
@GloriaFaizi
@GloriaFaizi Месяц назад
Mungu akubariki dd angu sijawai saidiwa na weye lakini kila siku nakuombea irene nakupenda kutokea congo
@kerrykabelege3393
@kerrykabelege3393 2 месяца назад
Mungu akubariki sana irene,fanyika baraka kwa wengine.
@pracksedachrispine5504
@pracksedachrispine5504 Месяц назад
Hongera sana mtumwa wa Mungu,lipo kundi kubwa la vijana wataokoka kupitia wewe,,Mungu aendelee kukubadilisha uishi utakatifu wa ndani na nje,uwe natural natural kwa kila kitu.Mungu Akutie nguvu.
@jacquelinecharles4790
@jacquelinecharles4790 Месяц назад
Am really blessed by your testimony na nakutamania.
@elenbahaya1444
@elenbahaya1444 2 месяца назад
God loves you so much sister IRENE❤ Jesus is the way, the truth and life 🙌🙏
@sophiamwita7485
@sophiamwita7485 2 месяца назад
Am happy for u dear, uhakika Mungu ni wa wote wenye mwili... Bwana Yesu ninayemjua hatakuacha amekuchagua katika wengi, songa mbele kwa imani thabiti!
@patriciacarlo7236
@patriciacarlo7236 2 месяца назад
Mungu akusaidie usikengeuke❤❤❤God is your strength
@Edencitytv81
@Edencitytv81 Месяц назад
God bless you so much. This is very strong testimony.
@SeraphineWamikombe-il2vm
@SeraphineWamikombe-il2vm Месяц назад
Huyo ndiye Mungu ariyemtokeya pauro songambere binti wa BWANA YESU karibu kwenye shamba la BWANA YESU
@carolinetandaika8273
@carolinetandaika8273 2 месяца назад
Nyieee mwachen Mungu aitwe Mungu,nmelia machiz ya furaha na kujifunza meng kupitia hili, Mungu akutie nguvu usirud nyumaaa thanks God kwa ajili yako❤❤❤
@munachausimbiro9991
@munachausimbiro9991 2 месяца назад
❤❤❤❤❤❤ mungu aniongoze nami nakupenda sana dada Irene mungu azidi kukulinda
@AsiaAsia-sv6ok
@AsiaAsia-sv6ok 2 месяца назад
Hongera sana irene.mungu wetu ni mwema sana wallah nimejikuta machozi yananidondoka 😭
@SekelaMwaipopo-iv6we
@SekelaMwaipopo-iv6we 2 месяца назад
Hongera Irene hongera sana. Nimejifunza mengi sana kupitia hii
@GiftAbduly
@GiftAbduly 2 месяца назад
Hongera sna mungu ni mwema sna alhmdulilah umemsikia bado mapema mungu atupe mwisho ulio mwema .....
@vickiemerere4056
@vickiemerere4056 2 месяца назад
Im happy for you Irene na umenipa nguvu ya kusonga mbele❤❤❤
@Officialeinothlekasio
@Officialeinothlekasio Месяц назад
Am blessed with your testimony,God is Soo loving jmn🥺🙌
@DannyLabelle-l3l
@DannyLabelle-l3l Месяц назад
God is Good All the time nirikuwa nakupenda ivi sasa nakupenda zayidi na zayidi maman Krish wangu❤❤❤❤kuwa kwa Yesu ni raha sana
Далее
UKWELI ULIOFICHIKA NA IRENE UWOYA EPSD1
25:14
Просмотров 100 тыс.
Wait for it 😂
00:19
Просмотров 4,1 млн