Hakika mungu ni mwema kila wakati hapa sa ndo huwa najivunia kuwa mkatoliki kwelikweli mungu uwaongoze vyema watumishi wako uliowachagua wakutumikie sawasawa na mapenzi yako pia watuongoze vyema nasi katika njia ilio njema ya kukupendeza wewe kwa yesu ni raha tu
aki mimi hufurahi sana kuona muungano kama huu. hawa maaskofu na mapadri wengi mno jmn. mtukumbuke ki maombi jmn hili janga la corona latetemesha nchi🙏🙏🙏
hakika kuna raha kumtumikia Mungu amewaweka jaman kwa ajili ya kazi yake mmezeeka na kazi ya mwenye Mbingu na nchi nafurah hakika kuwaona sichoki kuwaangalia
the song is good and the choir is also very good ... 👍🏻👍🏻👍🏻 Greetings of peace and peace in the love of the Lord Jesus Christ With our prayers for our brothers and sisters in Tanzania from the Parish of Our Lady of Cirebon City, West Java Province, Indonesia  
Habari Admin wa channel hii ya Baraza, Vipi wazo la kuwa na TV channel ya Kanisa kuwepo katika ving'amuzi vya majumbani? Misa kama hizi tuzipate live kuliko tutegemee TBC, wakati mwingine tunalazimika kuangalia channels za makanisa na wanaojiiita mitume na manabii, huku RU-vid watakuja wenye kupata access ya mitandao tu lakini TV ndio suluhisho. Tafadhalini jamani tumechelewa sana kwenye hili. Sijui tunakwama wapi. Mwaka 2013 nilipokuwa chuo tulichangishwa fedha za kuanzisha TV channel ya Kanisa, sijui iliishia wapi. Najua mnalo wazo hili lakini please and please tunahitaji hiyo channel kuliko mnavyoweza kufikiria. Tafadhali wafikishie maaskofu ujumbe huu.
@@titokibiki4741 Hilo wazo linafanyiwa kazi na huo ni mchakato unahitaji kukamilisha vitu vingi ikiwemo kupata leseni.Tunaomba muwe wavumilivu kwa maana linafanyiwa kazi,kwa sasa endeleeni kuangalia kupitia RU-vid channel au tv tumaini
Tumsifu Yesu Kristu wapendwa, napenda tu kujua haya ni maandamano ya lini, na ilikuwa ni tukio gani, mbona raha sana. Daima huwa napenda sana misa kama hizi
Please adimini matukio haya ni mazuri sana muwe mnayaweka hata saa moja mfano maandamano tungayaona yote na matukio muhimu unayaingeza yanaongeza imani yetu ndio uinjilishaji kwa kutumi vyombo vya habari. Mfano tukio la kusimikwa askofu mkuu mbeya dakika nne tu lakini jamani duuuu hapa penyewe dk 6 tu.