Allah Akutilie NURU NDANI YA QABRI YAKO & AKUPE MARAFIKI WEMA & AKUEKE KARIBU NA MITUME...SHEKHE WETU....MAWAIDHA YAKO NI NURU KWA UMMAT MUHAMMAD SWALLA ALLAH ALEYHI WASALLAM...AMIIIIN..
Ewe mola wetu mlezi mlipaji wa amali zetu mlipe Malipo yanayostahiki mja wako huyu kwa sadaka yake hii aliojitolea kwa ajili yetu waislam nasi tupe mwisho mwema