Тёмный

UNABII UNAZIDI KUTIMIA. VIFO VINAZIDI KUONGEZEKA. MSIPOTIBU NA KUACHA HIZI DAMU ZINAKWENDA KUWARUDIA 

huduma ya kristo
Подписаться 18 тыс.
Просмотров 7 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

24 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 23   
@GraceDeo-g1n
@GraceDeo-g1n 2 дня назад
Nikweli damu yenye haki humulilia mungu na mungu hujibu
@usembiphonedar5632
@usembiphonedar5632 2 дня назад
Hawa mashetani wa kijani ccm na awamu yao ya dhuluma wamekataliwa na Mungu! Hivyo wapo kulazimisha mambo yaende kwa kutumia nguvu ya dola! Mungu awalaani ninyi watawala viongozi waovu na vizazi vyenu! Ameni.
@AlbertKilinga
@AlbertKilinga 2 дня назад
Umechanganya mambo Kuoa na kuacha. ushauri wako mbovu na wa kishetani mwisho wake jehanamu.
@reginaruta3249
@reginaruta3249 3 дня назад
Acha kupingana na watumishi wa Mungu Kuna mengine wanapewa ili wayasema ili watu wajirekebishe Kuna mengine wanapewa ya Siri. Suruhisho ni kurekebisha sio kukosoa watumishi.
@sophiamalinga18
@sophiamalinga18 3 дня назад
Mungu akikupa ufunuo unatakiwa uombe ili mabaya yasitokee ss nyie wenyewe mkifunuliwa hamuombi mnasubiri yatokee ili muonekane nyie watumishi wa Mungu
@blessingcharles-lc1rr
@blessingcharles-lc1rr 20 часов назад
Yaan hata mim ndio kinachonishangaza ajabu sana
@consolatamairi3862
@consolatamairi3862 2 дня назад
Tatizo kubwa ni roho za wivu, Mungu atusaidie
@eliasilwimba187
@eliasilwimba187 2 дня назад
Kwa hiyo unayushauri tusimchague siyo
@rweumbizalugaimukamu4905
@rweumbizalugaimukamu4905 2 дня назад
Komboa kwanza nchi yako Mtumishi
@japhetlukumay2778
@japhetlukumay2778 2 дня назад
Mungu aliyemkuu aturehemu
@pennymahombo9528
@pennymahombo9528 2 дня назад
Mume mmoja Mke mmoja hadi kifo,hakuna divorce kwenye Kweli.
@mwambaimara1950
@mwambaimara1950 3 дня назад
Sema tutaona maana hata wewe utakuwemo katika utawala wake, kama ni kuomba na wewe pia omba!! toa suluhisho wote tufanye nini?
@knight6757
@knight6757 3 дня назад
🇹🇿😪
@japhetlukumay2778
@japhetlukumay2778 2 дня назад
Ibilisi yuko kazini mnoooo
@elizabethbrown6748
@elizabethbrown6748 2 дня назад
Mimi naamini kama umepewa unabii na Mungu unatakiwa uombe wewe haswa. Wengi yakishstokea mabaya ndio wanaanza kusema tuliona. Kwa nini usiiombee nchi wewe mwenye huo ufunuo??
@durangobasics6195
@durangobasics6195 2 дня назад
Tupe maandiko ya kusupport hivyo unavyoona. Au unaamini kivipi?
@BenjaminSaimon-l2d
@BenjaminSaimon-l2d 3 дня назад
Mmh
@RAMADHANIMTEMI
@RAMADHANIMTEMI 2 дня назад
Kila mmoja hawa watu ni matapeli kila alijisikia kusema lazima ameoteshwa na Mungu hapana hao ni mashahidi wa shetani
@jamesjahasa3348
@jamesjahasa3348 2 дня назад
Acha uwongo wewe usitafute umaarufu tutabilie mambo ya Gaza na Israel wewe mbona hujazuia watu kutenda dhambi kanisani kwako acheni ushabiki mkisikia mitandaoni mnashika mic mnatabili chukua kadi ya chadema uingie kwenye siasa
@ObeidChamila
@ObeidChamila 2 дня назад
Vifo vimeanza Leo ww?? Una lako jambo liseme tu na onyesha rangi zako
@jonathankayigili8490
@jonathankayigili8490 2 дня назад
Jambazi wewe achana na magufuli paka shume wewe
Далее
Каха понты
00:40
Просмотров 289 тыс.
Каха понты
00:40
Просмотров 289 тыс.