Тёмный

UNABII WA MWAKA 2024 | Mambo yatakayo ipata TANZANIA SIKU ZIJAZO |Prophetedmoundmystic 

Prophet Edmound Mystic
Подписаться 20 тыс.
Просмотров 555 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

17 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 916   
@mariamgodwin7186
@mariamgodwin7186 Месяц назад
Hii kitu kweli zanzibar saizi kumejengeka sana yaani kunazidi kujengwa majumba ya kifahari barabara nzuri na haijawahi kutokea unabii huu ni kweli kabisa ❤
@EdvinarElish
@EdvinarElish 23 дня назад
Hii nimeielewa hasa,Mwenyezi Mungu Akuweke, akupiganie, pia aibariki na kuitetea sana' Nchi yetu Amen🙏.
@MinnahMtoo-cm8dr
@MinnahMtoo-cm8dr 8 месяцев назад
For the first time i meet a real and genuine prophet in Tanzania, sina maana wengine hawapo ila sijawahi kukutana na hata mmoja kwa maana walio wengi tunaowajua na wenye majina sio watumishi wa kweli wa Mungu.. Im so grateful kukujua na kuanzia leo nitaendelea kukufuatilia na kujifunza zaidi kutoka kwako.
@agathadaudi3300
@agathadaudi3300 8 месяцев назад
Mimi pia.. hakika Mungu amejisalia manabii wake wa kweli...Damu ya Yesu imlinde
@jeremiahmasuke8375
@jeremiahmasuke8375 7 месяцев назад
Karibuni sana
@CHARLESMASANJA-h5o
@CHARLESMASANJA-h5o День назад
SC
@aaronswai3092
@aaronswai3092 6 дней назад
Ubarikiwe sana mtu na mtumishi wa Mungu, Edmund. Tunaamini kusudi la BWANA ndilo litakalosimama (Mit 19:21 & Ayu 42:2)
@Abbellll001
@Abbellll001 Месяц назад
He is very humble and calm in talking.I love him
@HAAM670
@HAAM670 9 месяцев назад
Mungu amejibu Maombi yangu ya Janary 2022. Nilipata mzigo wa Kuombea Kanisa la Tanzania na huduma 5 na kipekee sana huduma ya Kinabii. Nikamwambia Bwana fichua Manabii walioko underground waonekane na Tanzania iipokee hii huduma ya Kinabii. Napita pita zangu RU-vid kucheki kuna nini cha Kinabii for the yr 2024, mara paap Prophet Edmound. Wengi wengi mwaka huu 2024 watajulikana. Since then, I have seen the prophetic ministry in Tz, growing in an unusual way. Thank you Lord Jesus
@hajiyusuf3837
@hajiyusuf3837 8 месяцев назад
Chadema pure😂
@Juma-qd5eq
@Juma-qd5eq 8 месяцев назад
Nyie ndo manabii wa uongo ,,sasa hiv kila ,,kila nchi munatoa manabii sasa hiv hamtaki ,,tena manabii kutok ulaya 😅😅😅
@RastaSuma
@RastaSuma 8 месяцев назад
Hao ni manabii wa uongo ambao Mwenyenzi Mungu alishasema katika siku za mwisho watajitokeza sana!.pia tambueni kuwa mungu awezi kuwafanya washirikina na wazinifu na wanaotembea uchi kama wauza bar kuwa nabii. Hawa ni wasaka tonge na wezi wanaotumia biblia kujipatia kipato kwa watu maskini kwa slogans ya upako na miunjiza.hakuna nabii yeyote aliyeabudu miungu mingi yaani 1+1+1=1 where did you getting this devil worshipping? ITS really devil philosophy,while all the prophets waliabudu mungu mmoja.From the first prophet Adam and the last prophet Muhammad...
@FilipJohn-f3s
@FilipJohn-f3s 8 месяцев назад
@@Juma-qd5eq Juma jnabii waachie manabii wa Mungu. Wewe kama huamini kaa kimya. Maana haya aliyosema Nabii Edmund lazima yatatokea. Waliotoa unabii wa Raisi ajaye wa Kenya mlionaje. Acheni kuandika kwa vile mna midomo. Maana awazacho mtu ndicho kimtokacho.
@ProphetMystic
@ProphetMystic 8 месяцев назад
Joel 2:28!
@jesusiscomingback4896
@jesusiscomingback4896 7 месяцев назад
Mara ya kwanza nakuona lkn ndani yangu Roho inasisimka na unabii huu, ee bwana Yesu utusaidie
@estonmosha769
@estonmosha769 2 месяца назад
This man is a man of God
@agnesmbemba8073
@agnesmbemba8073 8 месяцев назад
Uamsho umeachiliwa Tanzania ni wakati wa Kumtafuta Mungu na nguvu zake...ni siku za Hatari.Tumuombe Mungu atupe uthabiti wa imani yetu kwake.Amen
@MinnahMtoo-cm8dr
@MinnahMtoo-cm8dr 8 месяцев назад
Mungu bado anao watumishi wake wa kweli aliojisalia.. Wewe ni mmoja wapo.
@celyne5773
@celyne5773 8 месяцев назад
huu unabii ni mkali Kuhusu Tanzania , mungu ayirehemu Tanzania
@barakamalisa7778
@barakamalisa7778 7 месяцев назад
Huu ndio unabii sasa sio kuanza kuongea maisha ya watu but hapa inareflect nchi nzima ili tuchukue tahadhari
@EdwardSemwenda
@EdwardSemwenda 7 месяцев назад
Mungu ikomboe tanzania kwel hilo janga lolote baya kwa nnchi
@petrombughi2101
@petrombughi2101 6 месяцев назад
Ashukuliwe Mungu awezae fanya mambo makubwaaa....barikiwa mtumish
@neylamaina
@neylamaina 7 месяцев назад
Nyakati za mwisho , Mungu uirehemu Tanzania
@EmmanuelVenance-r4u
@EmmanuelVenance-r4u Месяц назад
Mtumishi Mimi naitwa EMANUEL DAVID.....Kuna ndoto niliota ...niliona jeshi la nchi yetu lime kusanyika na katikati ya kusanyiko hilo kulikuwa na jukwaa lililo pambwa vizuri lakini likiwa halina msemaji likiwa tupu
@rosemkude4804
@rosemkude4804 6 дней назад
Siyo ndoto nzuri
@christopherjoyce1903
@christopherjoyce1903 8 месяцев назад
Ee Mungu wetu turehemu Tanzania! katikati ya ghadhabu kumbuka rehema
@agnessndabhalu
@agnessndabhalu 6 месяцев назад
Barikiwa mtumishi Mungu azidi kukulinda na kukuinua
@PendoNyambita
@PendoNyambita 8 месяцев назад
Nibarikiwa na unyenyekevu wako Mungu akubariki natamani kuonana nawe unapatikana wp
@OzonMwangosi
@OzonMwangosi 2 месяца назад
🙏🙏🙏🙏🙏,ee mungu zidi kumfunulia mtumishi wako uliemchagua,jina lako liinuliwe kupita majina yote,ninavyosikiliza unabii huu moyo wangu unasisimuka,mungu ibariki nchi yako Tanzania ikumbuke
@MnanilaMrsmnanila
@MnanilaMrsmnanila 2 месяца назад
Kusudi la Mungu lisimame Tanzania,kusudi la mwanadamu livunjwe milele
@PaulSibone-b7i
@PaulSibone-b7i Месяц назад
Nabii ,mungu akubariki na kuzidi kwa kuuweka wazi un abii huu ambao yehova amekufunu Lia
@KedrickMalila-lk6xh
@KedrickMalila-lk6xh 8 месяцев назад
Nimekuelewa sanaa na kila nikiingia kitambaa cheupe huwa napata mikwaluzano na wife na uharibifu wa pesa mtumishi Mungu aendelee kukutumia
@asrasanyunabadda2139
@asrasanyunabadda2139 7 месяцев назад
usiende tena
@asrasanyunabadda2139
@asrasanyunabadda2139 7 месяцев назад
usiende kakangu
@sara-os9dn
@sara-os9dn 6 месяцев назад
Usiende
@dorcasPhyuza
@dorcasPhyuza 29 дней назад
Usiend broo😊
@GoodsonJohn-qz4ic
@GoodsonJohn-qz4ic 6 месяцев назад
Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu
@evanccast6228
@evanccast6228 8 месяцев назад
Mchungaji nimekuelewa Mungu akutunze uzidi kukua jina bio🙏🙏🙏
@SprianGoye
@SprianGoye 2 месяца назад
Ee mwenyezi mungu turehem waja wako tuvushe salamaa WATANZANIA katika mabaya yote yalioko mbele yetu ammen
@marylisso2822
@marylisso2822 7 месяцев назад
Uzinzi umewaangusha watu wengi sana..na ndio siraha ya shetani kuuua ndoa za watu na nyingi zimeshaanguka....tumtafute sana MUNGU maadamu anapatikana,tumuite yeye maadamu yupo karibu
@EdyTumainieduardo
@EdyTumainieduardo Месяц назад
Ameni
@TrizerMunishi
@TrizerMunishi 3 месяца назад
Mungu Irehemu Tanzania Mungu Turehemu Barikiwa mtumishi wa Mungu.Mungu tuongoze Tujue jinsi ya kuomba kuhusu unabii huu.
@resgoldphilays1800
@resgoldphilays1800 8 месяцев назад
When God speaks, the wise listen
@kunjukomedia
@kunjukomedia 6 месяцев назад
Asante kwa Mahubiri yenye nguvu za Mungu. Ubarikiwe sana mtumishi wa Bwana.
@Berchmansngendakumana
@Berchmansngendakumana 9 месяцев назад
Ombeni Mungu musikuwe na hofu tena muache dhambi Mungu atabadili mambo
@WenelaMwasenga-hc2gf
@WenelaMwasenga-hc2gf 7 месяцев назад
@OzonMwangosi
@OzonMwangosi 2 месяца назад
Jina la mungu liinuliwe,mungu azidi kukuonye mtumishi wa mungu,mungu atukumbuke tanzania
@ericamwaisumo9174
@ericamwaisumo9174 8 месяцев назад
Prophet Edmound is a true man of God….kubali kataa but He is
@RastaSuma
@RastaSuma 8 месяцев назад
Hawa manabii wa uongo wamejazana sana Tanzania na hii ni dalili ya kiama, hii ishu kaitengeneza kiakili kwa mtu msomi ataelewa pia kuna shida ya kuabudu miungu mingi hapo ndipo mnafeli.
@aymanhusseinaslam7266
@aymanhusseinaslam7266 8 месяцев назад
According to you.
@berthabarozi
@berthabarozi 8 месяцев назад
14:39
@ameria2332
@ameria2332 8 месяцев назад
​@@RastaSumasi wanakusanya sadaka tu hawa, maana akishatamka hayo watu wanakimbilia huko kusikiliza na kutoa sadaka ndo utawaona wao wanakula na kushiba matumbo hayo yamevimba kama nini kumbe sadaka za watu😂 Tafakarini wanadamu wenzangu mi namwamini MUNGU pekee .
@RastaSuma
@RastaSuma 8 месяцев назад
Kwa watu wenye elimu ndogo watasema hivyo lakini watu wenye elimu ya Mungu wa kweli aliyeumba mbingu saba na ardhi saba na viumbe vyote kwa uwezo wake asiyehitaji msaada wa viumbe.Nasema huyo ni nabii wa uongo kama alivyosema Mwenyenzi Mungu kuwa siku za mwisho kutakua na manabii wa uongo.
@NesiasJastin
@NesiasJastin Месяц назад
Mungu atubaliki sana kwa unabii huu,unabii huu nautimiee ameeni.
@NASRAKHALFAN
@NASRAKHALFAN 8 месяцев назад
du mtumishi mungu akuzidishie maisha malefu naasante kwakunifungu macho nakunipa hofu yamungu kiloho ilasijajua kanisahili lipomaeneo gani naombanielekezeni waumini
@gifedmantv5747
@gifedmantv5747 7 месяцев назад
Amina wacha MUNGU azidi kutumia Mtumishi wa MUNGU
@priscapaulpaul6254
@priscapaulpaul6254 2 месяца назад
Ubarikiwe mtumishi tulikua na mzee wa kanisa mchawi hatukumjua ila roho wa MUNGU😢
@MwahijaAlly-wg4uj
@MwahijaAlly-wg4uj Месяц назад
Mungu akupe maono zaidi ili tupate kuyajua yajayo
@monicandengo4680
@monicandengo4680 2 месяца назад
Natamani dunia yote wayaone ha maneno unayo Nena baba najua Mungu ametupa wewe Kama taaa ya tanzania
@JosseMichael
@JosseMichael Месяц назад
Mungu akubaliki baba akupe maono zaid mtumish wa mungu
@stevensosipita
@stevensosipita 8 месяцев назад
MIKATABA YA BANDARI ZETU ZITAVUNJWA NAKUELEWA SANA TUMEDHULUMIWA SANA ILA MUNGU ATATUPIGANIA INNSHAALAH AMINA
@festinamwakipale3919
@festinamwakipale3919 8 месяцев назад
Unaesema.bandari unajichosha tu dhambi inaharibu uchumi wa nchi.Elia.alimuambia.ahabu mvua.haitanyesha isipokuwa.kwa.neno langu.jamani.kama.tunaona.dhambi inazidi tusiwafariji watu njaa kubwa.magonjwa makubwa vita uchumi wa dunia.kwa.heri
@NesiasJastin
@NesiasJastin Месяц назад
Ni OLEE kwa wapendapombe !! Muisikie sauti ya mungu, mungu anawapa angalisho.
@getrudamartine4120
@getrudamartine4120 7 месяцев назад
MUNGU pekee atusaidie sana 😭 maovu yamekua mengi sana
@flavianaephraim1521
@flavianaephraim1521 7 месяцев назад
When God speaks, the wise listen. Mafuta ya roho mtakatifu yazidi sana juu yako.
@bwizzydebway9001
@bwizzydebway9001 8 месяцев назад
Msiba wa kiongozi mkubwa aliyewahi kua waziri mkuu tayari unabii umetimia jana lowasa kafariki na Tanzania inaomboleza
@AzizaMohhamed
@AzizaMohhamed 3 месяца назад
Jamanii viongozii wabadirikee, piaa watanzaniaa viongozii tamaa,,wamekuaa makatirii hawana hurumaa na watanzania wenzaoo,,kila anachaguliwa anataka ajinufaishee yeyee,, munguu,,awadhibuu wao tu viongozii ,,tena wangekufaa wotee ,,tumechokaa ,,,
@EmsonBethson
@EmsonBethson 8 месяцев назад
Nabarikiwa sana hongera sana mtumishi.
@mossesezekiel7862
@mossesezekiel7862 8 месяцев назад
Hongera kwa huduma ya kinabii ya MUNGU iliyo ndani yako sifa na utukufu ni kwa MUNGU katika KRISTO YESU BWANA WETU
@ZabronAdrofu
@ZabronAdrofu 7 месяцев назад
Tuombe pasipo kukoma jamani,eeeh mungu tusaidie
@safiaothman5175
@safiaothman5175 3 месяца назад
Anayejua mambo yoyote yatakayotokea duniani ni Mwenyezi Mungu aliyetakasika tu na si mwingine.
@NurathYunusu
@NurathYunusu 3 месяца назад
Apana iyo ilikua kinyume alionyeshewa Kenya iyo,sisi atuna mbamba mba
@Immanuel-tb8ys
@Immanuel-tb8ys Месяц назад
Kaa apo
@taisonkalinga5711
@taisonkalinga5711 7 месяцев назад
hakika Bwana amekufanya kuwa kuhani wa mataifa. Barikiwa zaidi mtumishi wa Mungu
@evanccast6228
@evanccast6228 8 месяцев назад
Nabii wa Mungu Mungu akutunze sana na mabaya 🙏🙏🤝🤝🙏🙏
@emmykasebele-d5q
@emmykasebele-d5q 13 дней назад
ASANTE mtumishi mungu atusaidie maana bila yeye sisi hatuwwzi
@OlympiaSilvan
@OlympiaSilvan 8 месяцев назад
Mungu na ayatimize kusiwe na kizuizi chochote Amen
@lusajooden5185
@lusajooden5185 7 месяцев назад
Mtumishi, ukisikia kuupiga mwingi ndo uku,,,naliona Taifa likiomboleza kwakumpoteza kiongozi mashuuli aliewai kuwa waziri mku!!!!naliona moto mkubwa ukitanda hewani,na ukiunguza sehumu za starehe!juzi kitambaa ya tabata imeungua yote,uko vizuri mtumishi, mungu anakutumia kweli
@HassanMtindo
@HassanMtindo 7 месяцев назад
Yaan acha tu hata sijui niseme nn acha tu e mungu nistil mimi jamani na kizazi changu amina
@philipojustine2541
@philipojustine2541 8 месяцев назад
Yeremia 14:14 Ndipo Bwana akaniambia, Hao manabii wanatabiri uongo kwa jina langu mimi; mimi sikuwatuma, wala sikuwaamuru, wala sikusema nao; wanawapeni unabii wa maono ya uongo, na uaguzi, na neno la ubatili, na hadaa ya mioyo yao. 😢😢
@emanuellyatuu731
@emanuellyatuu731 8 месяцев назад
Huyu sio nabii wa uongo ni unabii wa kweli tujiweke tayari kuomba MUNGU baba yeti na mkikataa mtashangaa sana
@philipojustine2541
@philipojustine2541 8 месяцев назад
@@emanuellyatuu731 Yeremia 30:30 Na watu wangu wanapenda mambo yawe hivyo, nanyi mtafanya nini mwisho wake?
@ichicarodan6931
@ichicarodan6931 5 месяцев назад
Nabii wa kweli ni yupi?? Ww umekua Mungu kusema uyu ndie uyu sie..
@emanuelmkama1325
@emanuelmkama1325 5 месяцев назад
Mm nmpingaj Sana wa manabii Ila kwa uyu nmkwel Sion viashiria vbaya kwake
@nozesybafikege8417
@nozesybafikege8417 2 месяца назад
Ubarikiwe ndugu philipo Justine, Mathayo 24:23-24 23 Wakati huo mtu akiwaambia, Tazama, Kristo yupo hapa, au yuko kule msisadiki. 24 Kwa maana watatokea makristo wa uongo, na manabii wa uongo, nao watatoa ishara kubwa na maajabu; wapate kuwapoteza, kama yamkini, hata walio wateule.
@EsterTem
@EsterTem 27 дней назад
Asante kwakutufundisha
@JohanessNango
@JohanessNango 8 месяцев назад
Unabii huu hauna mashaka mungu atusaidie watanzania
@ShelteredKatekela
@ShelteredKatekela 8 месяцев назад
May the almighty God have mercy upon us
@Juma-qd5eq
@Juma-qd5eq 8 месяцев назад
Bongo ukisoma saikojia ,,na ukasoma hali ya hew na bible kidogo ,,ushatoboa ,, 😊😊😊
@JumaMlei-ff3rp
@JumaMlei-ff3rp 8 месяцев назад
Ni kweli kweli kab🎉
@mamyomar1241
@mamyomar1241 8 месяцев назад
😂😂😂😂😂😂 wanashindana na wanasiasa hao. Kwani hasa hivi nabii wanaijua maana yake au kukurupuka na kujiita nabii. Tumuogopesa sana Allah. Halali wa hasinzii. Hakuzaa wala hakuzaliwa. Walahakuna anayefanya naye.
@Dianamwansasudddw
@Dianamwansasudddw 8 месяцев назад
Kasome nawe hali ya hewa,saikolijia na Qur'an
@glorynguma3593
@glorynguma3593 8 месяцев назад
Nenda kasome na ww utoboe
@Juma-qd5eq
@Juma-qd5eq 8 месяцев назад
@@glorynguma3593 ,,sasa Quran ushaongea hayo yote,, ila sasa mim cwez kuongea namuogop Mungu kujitangaz mim ni Nabiii daaaah hiyo siwez ,,sabb naona kabisa napingan nae !!!
@sabinaboas6760
@sabinaboas6760 8 месяцев назад
Nakataaaaa kwa jina la Yesu (roho ya mpinga kristo)
@ericamwkyokile4681
@ericamwkyokile4681 7 месяцев назад
Bora kuomba kuliko kupinga unabii.
@ruthmuja7792
@ruthmuja7792 6 месяцев назад
Mpinga kristo lazima aje maandiko yanasema, hivyo hatuwezi kumzuia kwa kumkemea 😢
@AproniaViane
@AproniaViane 8 месяцев назад
Barikiwa mtume wa mungu nalitambua Kuwa Mungu Anatupenda Tanzania Sana TENA Sana Ee mungu tubariki Tanzania daima❤
@EvaLyamuya-ze3zp
@EvaLyamuya-ze3zp 6 месяцев назад
Bwana Yesu asifiwe baba naomba maombi yako.
@getrudaolomy9112
@getrudaolomy9112 4 месяца назад
Mungu atusaidie sana
@thevoiceofdeliverance6061
@thevoiceofdeliverance6061 8 месяцев назад
Mungu hanong'onezi Bali Huwa anasema na watu wake hajawahi nong'oneza Mtu.
@CresenciaCastor-rk2ty
@CresenciaCastor-rk2ty 8 месяцев назад
You are true man God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏
@NancySimon-dm8zp
@NancySimon-dm8zp 8 месяцев назад
Amen pastor nimebarikiwa sana baba god bless you dad
@SikujuaEmmanuel-fj4mg
@SikujuaEmmanuel-fj4mg 7 месяцев назад
Ikawe kama ilivyo tabiliwa kwa jina la yesu kristo,
@jubbymsangi
@jubbymsangi 8 месяцев назад
Napenda tuuu hapa"kusudi la Bwana litasimama" Haleluyaaah
@PraxedisMamiro
@PraxedisMamiro 9 месяцев назад
I feel blessing and peace when i listen your unabii ❤❤❤❤❤ God gives you power 🎉
@fabianbaharia465
@fabianbaharia465 8 месяцев назад
Mungu atusaidie sana! Tunahitaji kufuatilia unabii wako Mtumishi! Ubarikiwe sana!Nahitaji kusikia zaidi
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 9 месяцев назад
Hakika Mungu ni mkuu mno
@ProphetMystic
@ProphetMystic 9 месяцев назад
Tanzania tunakupenda Malkia wa Injili! Tuwasiliane
@victorkwemboi3725
@victorkwemboi3725 9 месяцев назад
Let's wait for its fulfillment if not prophet of doom
@lucystephano226
@lucystephano226 9 месяцев назад
​@@ProphetMysticuse
@EverlynKenneth
@EverlynKenneth 8 месяцев назад
Kweli MUMMY ❤❤❤ WE LOVE YOU SO MUCH ❤️
@MaryMichaelMaryMichael-i7o
@MaryMichaelMaryMichael-i7o 5 месяцев назад
Kabsaaaa.jamn😢.mm MUNGU akinionya uwa napenda sana kulko kupewa cfaaa😢.natendea kaz
@franciswillfred9763
@franciswillfred9763 7 месяцев назад
Amen Prophet, Mungu atusaidie
@zeldakahitwa7509
@zeldakahitwa7509 8 месяцев назад
Ila Watumishi wa Mungu mtambue dunia imebadilika acheni kuwatembelea hata kukutana nao mbali na eneo la huduma watu hawa hasa wasio na wanaume. Jamani kesi nyingi zimewakuta watumishi wa Mungu Mungu atusaidie. Halafu mnapogombana mkamalizaneni huko au ukipewa mafunuo kwa mtumishi mwenzako muite muonye maana maubomoa mwili wa Kristo ndio maana watu wanasema duniani hakuna manabii wala wachungaji hasa madhehebu ya Kipentekoste. Watu wameacha kuwaamini ila ni kwa sababu mnajibomoa wenyewe. Tizama Katoriki ikitokea Mpakwa mafuta akakengeuka anaitwa kwenye vikao vya siri na hata ikiwezekana vaticani hiyo yote ni kulinda mwili wa Kristo usichafuliwe. Mungu atusaidie.
@AnnaMarko-k9t
@AnnaMarko-k9t 5 месяцев назад
Nakuelewa sana Mtumishi wa Mungu
@vickysteven1172
@vickysteven1172 8 месяцев назад
Kuhusu kitambaa cheupe niliwahi sikia aliweka sadaka ya damu ya mnyama so inaweza ikawa kweli Mungu azidi kukutumia Na kuhusu Riverside inawezekana maana wanawake wanajiuza hazarani tena hadi aibu aiseee Mungu atusaidie.....
@ProphetMystic
@ProphetMystic 8 месяцев назад
Shalom! Nakili namba yetu ya huduma! Baba anahitaji kuongea na wewe🙏🏾
@Adela-g4j
@Adela-g4j 4 месяца назад
Mungu atuvushe
@MarimaDaffa
@MarimaDaffa 29 дней назад
​@@ProphetMysticNimebarkiwa snaaa.. Naomba namba ya kutuma sadaka
@josephmathayo5139
@josephmathayo5139 3 месяца назад
Mwenyezi Mungu. aendelee.kukulinda ili uweze kutuhudumia kiroho.
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 9 месяцев назад
Fillmasson. Mtihani sana Duniani.Mungu akuambie ww. Sweitwanihuyo si Mungu wetu
@miltonjohn9779
@miltonjohn9779 8 месяцев назад
Ni keli kabisa mungu wenu waislam, siyo mungu wa wakriato. Kwan nyie mnaabudi na mapepo kama majini lkn wakristo wanamwamini yesu na Kam njia pekee ya kwenda mbinguni
@LeilaWilfred-zc7gn
@LeilaWilfred-zc7gn 8 месяцев назад
@@miltonjohn9779 mbona majini waliamuliwa waingie kwa ngurue mnaokula wakristo ndio mnamapepo
@jeremiahmasuke8375
@jeremiahmasuke8375 7 месяцев назад
Njo kanisani halafu umwambie Mungu wako azuie taarifa kwa mtumishi, hapo ndo utakua who is a true God
@SallaGwimo
@SallaGwimo 6 месяцев назад
mungu atusaidie mambo nimengi makubwa namabaya nakuna watu yanawaathili ktk miji yao
@susankilimtali5025
@susankilimtali5025 8 месяцев назад
Wamekuwa wakituongoza kwa kutumia nguvu za giza hakika Yesu kristo hajawahi kukaa kimya kwa wamuombao,
@OmegaEzekiel-ty3zh
@OmegaEzekiel-ty3zh 5 месяцев назад
Mungu akubaliki nabii wakweli wa mungu tayari unabii umeanza kutimia
@SimonPeter-j3r
@SimonPeter-j3r Месяц назад
Usimlaumu nabii kwani yéyé usema anacho ambiwa namungu au ww unabishana n'a mungu
@AnnastaziaSanga-j1d
@AnnastaziaSanga-j1d 2 месяца назад
Nabalikiwa sana mungu akutunze na uzidi kutuombea
@josephbundala1475
@josephbundala1475 9 месяцев назад
Haya ni mawazo ya kawaida tu kwa kuangalia mambo yanayoendelea Zanzibar na Bara kwa sasa. Vitu hivi vinaonekana wazi ingawa kuna nyongeza ya chumvi kidogo.
@MarthaGasper-e9j
@MarthaGasper-e9j 2 месяца назад
Ubarikiwe mtumishi
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 8 месяцев назад
Wamasai . Watarudi. Msigwa katekwa, madhabahu mengi ni ya kishetani.wanaume kuoa wake wengi Raisi Kisha kishahutubia hii.
@margaretgilbertdantes1167
@margaretgilbertdantes1167 8 месяцев назад
O lord have mercy up on your Nationn of Tanzania 🇹🇿 Have mercy up Us Lord I am hurting in my spirit this is so painful to the Body of Christ I am ready to save the Living God YAHWEH in Jesus name
@HilarinaNgatimwa
@HilarinaNgatimwa 8 месяцев назад
Ubarikiwe MTU wa Mungu ninekukumbuka Sana Nabii Edimund
@ProphetMystic
@ProphetMystic 8 месяцев назад
Tuwasiliane🙏🏾
@neemamakundi6407
@neemamakundi6407 8 месяцев назад
Naomba namba yako mtumishi wa Mungu, huduma hii uko wapi
@OlaisMeyasi
@OlaisMeyasi 2 месяца назад
Naomba namba Yako Mtumishi wa Mungu unisaidie​@@ProphetMystic
@dorcasPhyuza
@dorcasPhyuza 29 дней назад
​@@ProphetMystic,mtumish shalom, mimi nina shida na maombi ,nipo nje ya nchi, bab nisadiee
@salamamwambuchi5630
@salamamwambuchi5630 6 месяцев назад
Umenena iliyo kweli Mungu tusaidie
@theresiariwa4691
@theresiariwa4691 8 месяцев назад
First time to see and hear you, may God continue to annoint and use you .
@ZaidSeifSuleiman-q9w
@ZaidSeifSuleiman-q9w 8 месяцев назад
Huu utabiri nimeupenda ila niuongo mtupu napenda itokee hivyo hivyo
@BeatriceVenance-h7w
@BeatriceVenance-h7w 7 месяцев назад
Barikiwa sana
@victorkwemboi3725
@victorkwemboi3725 9 месяцев назад
Nabii wa kweli ni yule anaye zishika amri za mungu
@VenanceMgema-xu6bq
@VenanceMgema-xu6bq 3 месяца назад
Nisaidie rafiki na mi nijue kwani huyu hazishiki amri za MUNGU ??
@MnanilaMrsmnanila
@MnanilaMrsmnanila 2 месяца назад
Pole sana
@westmanmoses541
@westmanmoses541 2 месяца назад
​@VenanceMgnamba tafadhaliema-xu6bq
@AnneyAmablique-tw5mi
@AnneyAmablique-tw5mi 8 месяцев назад
God bless you man of GOD
@jn438
@jn438 8 месяцев назад
River side madada poa wanasimama mapema sana na wanawalazimisha boda boda. Kuna baadhi ya boda boda ukiwatuma usku hawaendi
@ndayi7
@ndayi7 Месяц назад
Nimeona maono mara mbili Kwa wakati tofauti,lakini ni ndoto inayofanana..kiufupi,Watu watataharuki...Ni tafaruku ,Watu wakuu,wakikimbilia kwenye nyumba ya Maskini nakutafuta hifadhi,Watu wa meza Moja wakatengana,Maafisa wakuu walio na miguu,Sasa wako kwenye viti vya viwete,wote wakitoka katika nyumba hiyo iliyofanyika kama kimbilio,na kutafuta pa kukimbilia,...Mauaji yakifanyika kati Yao na Watu Wengi wakikimbia makazi Yao..Kisha nikaona kiongizi Fulani AKIWA ameinama kichwa Kwa masikitisho...Hayo ndiyo Mungu aliyonionyesha.....Maji yaliyo mengi yameebea juu ya nchi.Yesu atusaidie.
@farajapetit7153
@farajapetit7153 8 месяцев назад
Hacha utapeli wewe,Mungu ayuko hivyo..
@nuswemwakasala6851
@nuswemwakasala6851 7 месяцев назад
Safiiiii tz kusudi la Mungu lisimame
@madidolla
@madidolla 5 месяцев назад
Sema gwajima namuona sana kwenye hii nchi kupewa kwa mshangao mkubwa sana,kwa utabir huu namuona makonda kurud chini tena na gwajima kupanda mara dufu mmmh!
@elizabethvenans3672
@elizabethvenans3672 2 месяца назад
Acha uongo
@haroungeorge7603
@haroungeorge7603 2 месяца назад
Makonda ni bonge la mtu hata gwajima pia
@ChijajaElisha
@ChijajaElisha 5 месяцев назад
Aminaa nabii weka wazi MUNGU akoe nch yetu baba
@augustinechitemo8207
@augustinechitemo8207 9 месяцев назад
Naogopa Mungu tunusuru,kama ulivyosema tuombe mabaya haya yasituathiri hata kama yatatokea maana wananchi hazina makosa!
@EdwardSemwenda
@EdwardSemwenda 7 месяцев назад
Mungu atusaidie mabaya yasitokee
Далее
PROPHET IPM AWATAJA WANAOTAKA KUMUUA
30:26
Просмотров 6 тыс.
MAONO JUU YA MWAKA 2024
14:19
Просмотров 67 тыс.
UNABII WA BALAA KENYA NA TANZANIA WAANZA KUTIMIA
38:02