Katika nchi zetu hizi Kuna raia wetu wapo kwa kushirikiana na waarifu wa nje kuvuruga nchi zetu Hata huku Tanzania wapo wengi.Sa sisi Tanzanzania akipatikana Bora afe sisi wengine tubaki salama
Why does the president care so much about wat other think and say about him after all thea entitled to thea opinion...hauwezi jibu kila mtu..as the president u got better things to do than kuliga mdomo kama mama wa kuuza mabuyu....fanya kazi acha kutafuta mchongoano
Mi ni mtanzania, kuna kitu kimenichekesha sana, yaan huku kwetu ukisema kauli ya namna hii sidhani kama kesho utasimama mbele ya watu, hahahahahaahaaaa lkn kwanini president amekasirika sana namna hii? Hata kama ni hasira hungetakiwa kuongea kihivyo, coz ni aibu kwa nchi nzima jmn, dahhhh nisiendelee, inatosha.