Тёмный

Uongezeke Yesu | Boaz Danken 

Lucas Kaaya
Подписаться 37 тыс.
Просмотров 2,6 млн
50% 1

Опубликовано:

 

28 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 872   
@Christine-qg4op
@Christine-qg4op 4 месяца назад
Acha mwenyezi mungu uongezeke maishani mwangu pamoja na familia yetu tuondelee aibu ,kudharauliwa, umaskini na utubadilishie maisha yetu tuache kuchekwa mungu baba maana yote yawezekana katika jina kuu la bwana Yesu kristo 🙏🙏🙏
@carolyokwaro9548
@carolyokwaro9548 3 месяца назад
Bwana shuka katika maisha ya Christine. Ameteseka ya kutosha, Amina.
@uriodavid6882
@uriodavid6882 3 месяца назад
Amen
@moseskapama2805
@moseskapama2805 3 месяца назад
Amen🙏
@enockkibet4340
@enockkibet4340 2 месяца назад
Amen
@mildred8121
@mildred8121 Месяц назад
Amen
@stellahmarriswambuwah9919
@stellahmarriswambuwah9919 Месяц назад
MIMI NIPUNGUE WEWE UINULIWE YESU HALLELUJAH 🌹 2024 AND FOREVER 🙏
@Jorskatediana-uf3gk
@Jorskatediana-uf3gk 3 месяца назад
Nipungue mmi Mungu ongezeka kwenye masomo yangu level yangu nimake it to C2 from B1 . 🙏🙏🙏🙏Pia mambo ya dunia abortion 😔 nipungue ongezeka kwenye roho yangu Mola 🙏🙏kila mtu ananiona kwa kosa moja .🙏🙏kwako naomba msamaha na baraka .Nimepungua 🙏🙏❣️❤️🙏🫂🫂🫂moyo wangu umevunjika .Am only 19yrs 🙏🙏🙏take over my life Christ 🎉🙏🙏🙏🙏🫂🫂🫂🫂🫂change me
@philipkamau6761
@philipkamau6761 2 месяца назад
Are you still in christ?ama yesu alipungua
@stellamwangi6883
@stellamwangi6883 2 месяца назад
There is no sin that God cannot forgive, if He forgave Saul who killed Christians ruthlessly converted him to Paul and made him one of the mightiest apostles, even that which you think He can't forgive He forgives, just go to Him with an honest, repentant heart and sin no more. He says, if my people who are called by my name shall humble themselves, pray and seek my face and turn from their wicked ways, then I will hear from heaven, forgive their sins and will heal their land (2 Chronicles 7:14), God is a rewarder of those who diligently seek Him (Hebrews 11:6) and He makes everything to work together for good for them that love Him and are called according to His purpose Romans 8:28, I know exactly how you feel❤, I've been there, done that but I went to Him with all my sin, pain and guilt and asked Him to forgive me, heal me, restore me and use me for His glory. He has made a beautiful story out of my brokenness; He has made everything to work together for good🥺. Don't loathe and isolate yourself in self-pity and guilt, go to Him, cry to Him, repent ask Him to make His strength perfect in your weakness, I pray that He may use you for His glory and you'll come back here to give your testimony🙏. God sees your heart, faith and courage, keep striving🫂
@vickielisa2618
@vickielisa2618 2 месяца назад
God loves you baby ❤❤may he show up in your life 😊keep trusting him.
@caxtonyshiro3222
@caxtonyshiro3222 8 месяцев назад
In 2024 mungu uongezeke maisha mwangu mimi nipungue mungu wangu🙏🙏🙏👏👏
@danielotieno4396
@danielotieno4396 7 месяцев назад
🙏
@selinamideva459
@selinamideva459 Месяц назад
Mungu wangu mimi nipungue, wewe Uongezeke katia maisha ya ndugu yangu Rasto Alusa, Mungu ongezeka katoka afya ya Rasto Alusa. Uinuliwe katika afya ya Rasto Alusa 🙏🙏
@beibyamore931
@beibyamore931 Год назад
UONGEZEKA BABA KWA MAISHA YANGU NA WATOTO WANGU NA MAMANGU YESU😭😭😭❤️❤️🙏🙏🙏🙏
@paulojkivuyo8964
@paulojkivuyo8964 Год назад
Mungu aongezeke kwenye maisha yangu na Kwa mke wangu na watoto wangu na Kwa mama yangu na kwa families yangu yote
@EdinaShaban-gm6mp
@EdinaShaban-gm6mp 5 месяцев назад
Uongezeke zaidi Yesu mimi nipungue kiburi kisitajwe kwangu wala kwenye maisha ya mtoto wangu
@victoriaremmy3772
@victoriaremmy3772 Год назад
Amina , Yesu Kristo ww ni tumain langu naomba uongezeke ktk maisha yangu ya kiroho na kimwili, nisionekane mm bali ww YESU KRISTO 🙏
@awesomelyblessed6156
@awesomelyblessed6156 11 месяцев назад
Mungu ongezeka katika Maisha ya wote walingilia ndoa yangu ...Wabariki Yesu wangu
@veronicamtungakoa593
@veronicamtungakoa593 Год назад
Mungu wangu uongezeke sana kwenye maisha ya mwanangu, uongezeke katika elimu yake, afya yake , Mungu uongezeke katika imani yangu nami nipungue Yesu wangu hata milele na milele Yehova
@carolinemakaya4120
@carolinemakaya4120 Год назад
Leo tarehe 29/11/22 Mungu mimi nipungue,wewe uongezeke katika maisha yangu,katika matumaini yangu,unaniinua vyema yesu, Give me strength Lord, Give me the right Man for Me. Hallelujah!
@marynakutwa277
@marynakutwa277 Год назад
My God increase as I decrease
@glorysangei5387
@glorysangei5387 Год назад
Nipe unyenyekevu zaidi Yesu ....kila nilichonacho ni Kwa neema Yako tu ....Mimi nipungue,wewe uongezeke.
@anithakeneth2104
@anithakeneth2104 Год назад
MUNGU MKUU atupe utulivu ndani ya mioyo yetu atupoze majivuno atupoze usisii tumuishi na turuhusu atawale ndani ya maisha yetu 🙏❤️ajae yeye alie MUNGU MKUU ndani ya maisha yetu
@LizzVicky-hw9up
@LizzVicky-hw9up 8 месяцев назад
God may you increase as I decrease in everything I do. In my house Lord you are above everything 🙏🙏
@JamesChengwali
@JamesChengwali 9 месяцев назад
Heavenly master may I decrease as u increase in each situation down the son I came across it ,may u increase as I decrease I glorify ur name amen
@nshimirimanamonique4564
@nshimirimanamonique4564 Год назад
Hacha Mungu wangu uongezeke ndani ya maisha yangu.ndani ya uzawo wangu ndani ya jamaa yangu sisi tuwe chini Yako baba.asante mana utatuwezesha katika yote ndani ya maisha yetu🙏🙏
@louangeangali787
@louangeangali787 Год назад
Ndiyo Mungu ongezeke na inuliwe sana katika maisha yetu ya kila siku
@officialMissme
@officialMissme 3 месяца назад
Lord may you increase as i decrease....lord i need your intervention in my life,my family...lord I'm tired of being employed,,Lord i need a business i can call mine🙏.. please God hear my cry .. increase in my family, may you increase in my business...God of jacob hear out my cry🙏🙏
@veronicakipande4026
@veronicakipande4026 Год назад
Mungu mm nipungue ww uongezeke kwenye maisha ya wanangu na WA wazazi wangu . Mungu ongezeka juu ya maisha ya Mume wangu Kila atokapo na aingiapo🙏🙏
@alicemjomba2644
@alicemjomba2644 Год назад
Nipitapo kwenye majaribu Makali wacha nipungue uongezeke Mungu Wangu maishani mwangu, Hallelujah 🙌🙌🙌🙏
@isaacmutamale9295
@isaacmutamale9295 Год назад
Zidi kuongezeka katika maisha Adonai.Nakupenda Yesu Kristo.
@marymwikali632
@marymwikali632 4 месяца назад
Almost delivering with no hopes of money anywhere my husband is jobless milango yake ilifungwa,nimebeba twins sina pesa ya cs ama ya kununua ata nguo moja but I trust God😭😭😭
@williamkamadi4307
@williamkamadi4307 3 месяца назад
Jipe Imani mungu anaweza
@josephmwirisia4627
@josephmwirisia4627 3 месяца назад
The lord is faithful en he will never let you to be ashamed
@nana-qi9xx
@nana-qi9xx 3 месяца назад
God will provide
@mercykamau6434
@mercykamau6434 3 месяца назад
May the way maker make away for you Lord locate your son in need send help from your Holy mountain. Hope in the Lord help is on the way.....
@Irene-tu7ou
@Irene-tu7ou 3 месяца назад
Don't worry my sister there's a God in heaven already you you have adouble blessing all shall be well
@VennessaOmangi
@VennessaOmangi 2 месяца назад
Uongezeke mungu wakati huu wa shida mungu nisaidie mm ni pungue wewe uongezeke sanaaaaa
@monicahmuhia2035
@monicahmuhia2035 3 месяца назад
Lord ongezeka maishani mwangu Yahweh..I need you Lord 😢
@monicagicheru7812
@monicagicheru7812 Год назад
Wewe yesu uongezeke kwa kila jambo uongezeke sanaa
@euphemiatracy5677
@euphemiatracy5677 5 месяцев назад
God give me grace ooh my father nipungue na wewe uongezeke sana kwa maisha yangu Kila saa na Kila wakati
@maikovineventscompany1180
@maikovineventscompany1180 Год назад
Ongezeka kwenye maisha yangu kwenye ndoa yangu. Watoto wangu ongezeka kwao na kwa mke wangu nae ongezeka kwake akutambue wewe ndie unae ongeza. Uinuliwe sanaaaa🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@charlesotieno9608
@charlesotieno9608 Год назад
He must increase but I must decrease. Lord help us trust and have faith in you because in your presence we're safe. May the blood of our Lord Jesus Christ be upon your people
@Joyce-d9h
@Joyce-d9h 2 месяца назад
Mungu ongezeka kwa maisha yangu na unipee mume mwema pia nami niwe na familia
@kenyasiyenu004
@kenyasiyenu004 Месяц назад
Uongezeke yesu kila saa waaibike in all angles uuuuuh Amen!
@samidaud1799
@samidaud1799 5 месяцев назад
Amina😊😊😊 nami Mungu uongezeke kwenye moyo wang na familia yang
@veronicamtungakoa593
@veronicamtungakoa593 Год назад
Uongezeke sana Yesu wangu katika maisha yangu yote , hakuna wa kuabudiwa ila ni wewe tu
@mitchellewesonga7786
@mitchellewesonga7786 Год назад
Uongezeke kwa maisha yangu Yesu,uongezeke nyumbani kwangu,kazi zangu na wanangu. Mimi nipungue wewe uiniliwe Mungu. Amen
@lucymachunia2789
@lucymachunia2789 Год назад
I decrease you increase oh Lord its by your Grace am alive today.
@lucythoya8626
@lucythoya8626 2 месяца назад
LET THE LIVING GOD INCREASSE IN MY LIFE IN JESUS NAME.
@margaretwanjiru3146
@margaretwanjiru3146 5 месяцев назад
Uongezeka zaidi Yesu mimi nipungue...🙏🙏🙏
@priscillambae7261
@priscillambae7261 Год назад
Humble me oh Lord, search me and mould me as you increase your holy presence in my life 🙏🙏
@kelvinmuriithi2463
@kelvinmuriithi2463 11 месяцев назад
🙏🙏🙏
@danielotieno4396
@danielotieno4396 7 месяцев назад
🙏
@RespikiusJames
@RespikiusJames 27 дней назад
uongeze sana Yesu wangu katika maisha yangu
@StellaMsagai
@StellaMsagai 2 месяца назад
Mungu ongezeka kwenye maisha yang familia yang biashara yangu ikawe yakimataifa wanaonicheka nakunidhihak kuwa nmeshndwa Mungu naomb ukaongeze kwa zaid mimi nipungue Mungu wang niondolee aibu fedhea ninayoipata kwa sasa Amen
@AmAm-xt1og
@AmAm-xt1og 3 месяца назад
Oooh yesu mimi nipubgue wewe uongezeke ,nipe roho ya kunyenyejea
@emilianakabunda7881
@emilianakabunda7881 3 месяца назад
Mimi nipungue Jehova,,,ninamchungu mengi katika moyoo wangu,,dhambi ni nyingi baba yangu naomba uongezeke katika moyo na nafsi yangu ww ni Kila kitu kwangu na familia yangu,,, MWENYEZ UKAPATE KUONGEZEKA KATIKA MWAKA WANGU WA MASOMO 2023/2024 NA 2024/2025 FROM B to B+ and A ukaongezeke mwenyez mungu nakuhitaji sana mwenyew siwezii🙏
@totaliceAkheshiah45
@totaliceAkheshiah45 8 месяцев назад
Oh God l come to u please godfogive ma sins and remember me my family my husband ad ma marriage, sacha we uongezeke mm ni funguo in Jesus name l Pray ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@reginahkinyua8929
@reginahkinyua8929 8 месяцев назад
Feeling so down this morning,I totally decrease,take control over my life, increase God
@gloriamaganga9012
@gloriamaganga9012 Месяц назад
Mimi nipungue wewe Yesu uongezeke maishani mwangu
@Itsmbithe
@Itsmbithe Год назад
Lord increase in my family as I decrease in all..I want to to lead my family..may be siblings know you amen and amen
@IsaacKagiri-cn7lg
@IsaacKagiri-cn7lg 4 месяца назад
Mm nipungue ww uinuliwe maishani mwangu baba
@utubemine5789
@utubemine5789 2 месяца назад
Mungu Wangu napungua uinuliwe mm Na familia yangu twainama uinuliwe
@SylviaMutiso-o9s
@SylviaMutiso-o9s 2 месяца назад
May God hear us all as He is uplifted higher and higher
@oumajamba8832
@oumajamba8832 4 месяца назад
Mimi Nipungue Wewe Uongezeke... Wonderful song
@SarahMatongo-i6m
@SarahMatongo-i6m 8 месяцев назад
Amen baba , ongezeka wewe na mimi nipungue kwenye kila ukuaji wangu pamoja na mwanangu kweny kila łopato cha kila mmoja ninaemfahamu
@enockkariuki5768
@enockkariuki5768 Год назад
John 3 vs 30 ...m Soli Deo Gloria
@agnesmwende9170
@agnesmwende9170 5 месяцев назад
And in everything and for everything I thank you God
@hanidamlwale1227
@hanidamlwale1227 Год назад
Ameen Yesu nakuhitaji uongezeke kwenye maisha yangu 🙏🏼🙏
@johnkibera6147
@johnkibera6147 6 месяцев назад
Amen wewe uongezeke YESU mimi nipungue
@grace-v5p
@grace-v5p Месяц назад
Somtimes unapitia kwenye mengi kiasi ya kuamba moyo wako unabatilishwa ..Mungu nisaidie utakaponiinua nione watu wako wote ni sawa niwatendee mema kwa kadiri atakavyonijalia
@ericmunene3827
@ericmunene3827 Год назад
Uongezekee sana yesu ....katika my life,A good job for me God give me A right Man wenye atani support si wa kunipigia kila Saa in times of troubles ...and torwards my future marriage i cry to u God coz you're above all .
@ericmunene3827
@ericmunene3827 Год назад
For God open for me doors to give me a job for saltiness me a family and my future life
@ZawadiZachary
@ZawadiZachary Месяц назад
Ongezeka kwangu mwokozi,, ondoa kibur namajivuno,, uniinue ktk huduma bwana,,,
@essyjerry9482
@essyjerry9482 2 месяца назад
Mungu ongezeka kwa maisha yangu...na familia yangu
@christinemalufeyo7331
@christinemalufeyo7331 Год назад
Wow I can't understand the words but I feel the holy spirit
@wanjirumartha7235
@wanjirumartha7235 Год назад
It means... I must decrease as Jesus increases
@christinabaraka136
@christinabaraka136 Год назад
Amen be blessed🙏🙏
@CatherineAuma-x6y
@CatherineAuma-x6y 4 месяца назад
Ooh Jehova uongezeke Katika familia yangu,katika biashara yangu,ooh nani kama wewe Mungu wangu
@MugambiJoyceakawamugambi
@MugambiJoyceakawamugambi 6 месяцев назад
The songs has blown my heart coz of the joy....I have been sick from Jan up to march but i am healed.....during that period i have been listening to the song throughout.......He's a faithful God 🙏
@FaustinaLugome
@FaustinaLugome 5 месяцев назад
Mungu niongezee baraka nmalize chuo npate cha kufanya
@gracekitaa1167
@gracekitaa1167 7 месяцев назад
Uongezeke kwa maisha yangu yesu,amen
@frashiahmwangi5680
@frashiahmwangi5680 Год назад
A song that brings me closer to the presence of God.Uongeze Yesu milele na milele maishani mwangu.
@carolindawamz8599
@carolindawamz8599 Год назад
Increase ooh Lord am nothing without you 🙏 Adonai have your way
@nasraallymadede2107
@nasraallymadede2107 Год назад
Acha mungu aongezeke kwenye uchumi Wang japo shetan anataka nifarakane na mme Wang naamin kila jaribu nalo pita Lina mema mungu kaniandalia
@catherinenjau4160
@catherinenjau4160 2 месяца назад
Mungu uongezeke katikati ndoa yangu. Rudisha mume wangu nyumbani. Mimi nipungue wewe uongezeke.
@GloriaExaud
@GloriaExaud Год назад
Mimi nipungue Kila eneo la maisha yangu, wewe uongezeke, uinuliwe , utukuzwe, uabudiwe siku zote za maisha yangu Bwana Yesu.
@jeniiii766
@jeniiii766 3 месяца назад
🙏🙏🙏🙏🙏 mimi nipungue wewe uongezek mfalume wa ulimwengu
@ChristineWanza-f6b
@ChristineWanza-f6b Месяц назад
Mungu ongezeka kwa familia yangu uponye mtoto wangu umuodolee magojwa yote kwa jina la yesu shetani huwezi pata nafasi umeshidwa zaidi na zaidi
@wanjirukinyua254
@wanjirukinyua254 Год назад
Lord may you increase in my life,in my children's life,in our faith, in our health, in our hearts, in every part of our life,increase increase ooh Lord,as we decrease coz you're above all 🙏
@irene3836
@irene3836 Год назад
Amen
@maureenndunge-pw8bj
@maureenndunge-pw8bj Год назад
My lord increase in my life and my family
@HellenSimiyu-mc2lo
@HellenSimiyu-mc2lo 8 месяцев назад
Mimi nipunguwe wewe uongezeke ...yesuuu😊
@GrethaRobert
@GrethaRobert 10 месяцев назад
Acha bwan yesu aongezeke ndan ya maisha yang , mahusiano yang pia biashara yang make bib wew mim siwez we bwan nd unayesitail kuongezeka💞💞
@TinaChriss-m6u
@TinaChriss-m6u Год назад
Kweli kabisa mimi nipungue Mungu wangu uongezeke, wimbo mzuri sana unainua sana na kunipa unyenyekevu
@sheizzmusavi1998
@sheizzmusavi1998 Год назад
Uongezeke hata Zaidi baba.Yangu🙏🙏💙💙....wacha ni.pungue lakini wewe Yesu uongezeke zaidi na zaidi...
@MercyOpemi
@MercyOpemi Месяц назад
Am single mother almost 12yrs mungu wangu uongezeke katika maisha yangu uniunganishe na mbavu yangu
@janetwaweru4077
@janetwaweru4077 5 месяцев назад
Mimi ni pungue wewe mungu wangu uongezeke maishani mwangu
@glorysangei5387
@glorysangei5387 Год назад
Mimi nipungue wewe uongezeke Yesu wangu wewe uongezeke.
@beatriceraymondkashaga7255
@beatriceraymondkashaga7255 Год назад
Mimi nipungue wewe ongezeke
@MwanaidiSaguti
@MwanaidiSaguti 4 месяца назад
Uongezeke yesu kwenye familia yetu
@JanetKambua
@JanetKambua Год назад
Wacha mungu uongezeke kwenye maisha yangu na ndoa yangu🙏🙏
@SenzoJengo
@SenzoJengo 4 месяца назад
Uongezeke yesu ubarikiwe mtumishi
@JanetMoturi-xw7dq
@JanetMoturi-xw7dq 9 месяцев назад
Naomba mungu uongezeke katika nyumbani mwangu
@Thelesia
@Thelesia 5 месяцев назад
Uongozeke Sana bwana katika maisha yetu ukatutangulie mbele yetu kwenye familia zetu biashara yetu miangaiko yetu uondoe kiburi katikati yetu🙏
@tumainielmaruwa3148
@tumainielmaruwa3148 5 месяцев назад
Mimi nipungue ila Wewe uwongezeke. 😭😭😭🙏🙏🙏
@SharoneErima
@SharoneErima 2 месяца назад
Mungu uongezeke katika maisha yangu, katika ndoa yangu, familia yangu na nizidi kukujua zaidi 🙏
@PaulinOkoth
@PaulinOkoth 3 месяца назад
Uongezke Jehova napitia mangumu😢😢 nifingulie Jehova..nitakushkuru
@reginaassey2780
@reginaassey2780 Год назад
Mimi nipungue daima wewe uongezeke yesu.
@pablojames1587
@pablojames1587 Год назад
Mungu ongezeka kwenye maisha yangu unipe mchumba sahihii
@daisyulaya8920
@daisyulaya8920 Год назад
🙏wewe uongezeke siku zote,kila mahali
@Janemacharia-qs1ge
@Janemacharia-qs1ge Год назад
Am blessed,kuna mtu naombea roho ya mungu ifanye anyenyekee......lord he must decrease and you increase in him,i will come later with a testimony❤
@doriskimathi2144
@doriskimathi2144 7 месяцев назад
I decrease as You increase Almighty Father. Sifa na utukufu kwako Yahwe Mungu usiyeshidwa.
@mwingachepela566
@mwingachepela566 Год назад
Mimi nipungue katika maisha yangu yote wewe Mungu uongezeke Zaidi
@JudyOtieno-ru5zt
@JudyOtieno-ru5zt Год назад
I humble before your throne Lord that you may be glorified and lifted up
@JacklinewidoAguti
@JacklinewidoAguti 8 месяцев назад
Amen
@aronenna646
@aronenna646 Год назад
Uongezeke kwamwanangu chuleni na afiya njema👋👋👋
@catherinekovaga7033
@catherinekovaga7033 Год назад
Nabarikiwa sana na huu wimbo,nabubujika tu. Asante Mungu
@carolinehawa217
@carolinehawa217 Год назад
Increase Jesus as I reduce
@abialusekelo-nr8kf
@abialusekelo-nr8kf Год назад
Ongezeka Yesu ongezeka Yesu kwenye kila kitu changu naomba ongezeka Yesu mm nipungue nimekubali kupungua tena kwa unyenyekevu ili wewe tuu uongezeke Yesu 🙏🙏
@JacklineMussa-x6r
@JacklineMussa-x6r 7 месяцев назад
Najishusha mimi Yesu ongezeka
@OrpahOuma
@OrpahOuma 7 месяцев назад
I don't know why am crying this way😭😭😭... Wewe uongezeke Mung wangu
@VumiliaMwakamisa
@VumiliaMwakamisa Год назад
Uongezeke Tanzania Yesu
@siselabrian5208
@siselabrian5208 3 дня назад
Uplift my soul, Jesus
@PoulineKaimenyiKaimenyi
@PoulineKaimenyiKaimenyi 2 месяца назад
Naomba kupungua yesu uongozeke
@SalomeCostaka
@SalomeCostaka 9 месяцев назад
Yesu Mimi nipungue wewe uongezeke
Далее
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Просмотров 28 млн
HAUFANANISHWI OFFICIAL   BOAZ DUNKEN WITH LYRICS
15:00
SIRI YA MACHOZI BY MERCY KEN OFFICIAL
7:54
Просмотров 8 млн
THE BEST OF REHEMA SIMFUKWE | PRAISE AND WORSHIP SONGS
1:06:16
Niseme Nini (Baba Ninakushukuru) LYRICS - Dr. Ipyana
15:42