If the secular songs can get a million views within a few days.... This song that brings heaven down is long overdue and should clock a million views now.
Ni nyimbo ambazo husikia kutoka ndani kwamba namwadhimisha Mungu,Mfalme wa Wafalme ,Alfa na Omega ooooh niseme nn kwake ?Nampenda Mungu aliekupa haya mafuta ya kumwabudu kupitia kumwinua na ndiko Moyo wa Mungu hufurahi. mno.barikiwa Upendo Nkone
Amazing song since my teenagehood ..every Sunday service we could feed our God with this amazing and powerful song ....in deed you're support to be praised high and High because you're wonderful and amazing God 🙏❤️🙏🙏🙏❤️🙏❤️🙏🙏❤️💖🙏🙏❤️💖💕 I
Mungu wetu tunakusifu Mungu wetu twa kuinua Yale uyatendayo Ni makuu muno Fadhili zako za milele Haufananishwi na chochote Ndiwe uliye mwanzo Tena ni mwisho Unastahili yesu kuabudiwa Unastahili yesu kuinuliwa Unastahili yesu kushujudiwa Aaa-aaaa aaa-aaa Unastahili Nikiziangalia bingu Ni kazi ya mikono yako Vinavyo onekana Na visivyo onekanaa
Mungu akubariki sana Upendo Nkone uimbaji wako uko unique sana Kila nikiwa kwenye maombi siachi kusikiliza nyimbo zako hua zinaniweka uweponi mwa MUNGU sana be blessed my mom
This song is truly anointed by the Holy Spirit. It carries the presence of God live live. Mum thanks for allowing yourself to be God's vessel. Ubarikiwe.
Katika waimbaji na watumishi wa Mungu wanaomba katika roho na kweli ni Huyu Mama Hakika Mungu amekupa kipawa cha kushusha uwepo Mungu Wa Mbingu Na Nchi akutumie kwa viwango Vingne
2022, we still here. I used to listen to this song when I was young and I hated it so much bcz it was slow. Now am the 1 who loves it after understanding the meaning of it. God is Good!