Тёмный

#uraiapacha 

KUTOKA UGHAIBUNI
Подписаться 25 тыс.
Просмотров 4,8 тыс.
50% 1

Опубликовано:

 

25 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 38   
@emmanueldeus8756
@emmanueldeus8756 7 месяцев назад
Nawapata sana,kutoka Morogoro-Ilonga
@williammbelle7676
@williammbelle7676 8 месяцев назад
Mtangazaji unachambua sana kaka.
@JumaKimanga
@JumaKimanga 9 месяцев назад
All the way from Boston Massachusetts United State of America keep Swahili on the map 🗺️🗾
@abduyussuf8345
@abduyussuf8345 8 месяцев назад
🇺🇸 Massachusetts mwanangu nipe mchongo
@user-cheedycheedy
@user-cheedycheedy 8 месяцев назад
Nawatapa vzr from dar bugurun
@Ligobatov
@Ligobatov 7 месяцев назад
Kazi nzuri buddy though I got point for correction “Very intested❌ ni Very interesting ✅” no offense! Thank you🙏🏾
@FaxrilBekir
@FaxrilBekir 9 месяцев назад
Sana wana
@Mpakauseme
@Mpakauseme 9 месяцев назад
Si nchi nzuri hiyo
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 9 месяцев назад
Hata huku uk🇬🇧 unaandika cheti hospital au huko officen lakini vizuri hospital unamaliza yote
@AmbweneMwakisulu-vv1yl
@AmbweneMwakisulu-vv1yl 9 месяцев назад
Pamoja
@allytensa993
@allytensa993 9 месяцев назад
🚀🙌🏿
@ElikanaKiheka-fl4wu
@ElikanaKiheka-fl4wu 9 месяцев назад
Niko Buswelu, mwanza
@BLB67
@BLB67 9 месяцев назад
Tupo pamoja na ww kaka mwanzo mwisho. Tumefurahi mambo yanaenda Sasa.
@givenmsomba3948
@givenmsomba3948 9 месяцев назад
Hiyo sistimu tanzania haiwezaekani ila.nchi zote ambazo bado kuna ichifu ndowanaweza kila chifu anakuwa natarifa zawatu wake hata uzaliwe wapi kwenye kitabu unaandikwa kwaiyo sisi haiwezakani ila hawa wanweza kwasababu yamfumo wa uchifu
@AbdalaRamadhani-cn3qx
@AbdalaRamadhani-cn3qx 9 месяцев назад
Natokia temeke
@kijaziwakijayo6833
@kijaziwakijayo6833 9 месяцев назад
Ndugu mtangazaji unafafanua Sana! Mwache jamaa atiririke mwenyewe...unamtoa kwenye mstari unasababisha umwamishe kwenye point mara kwa mara, mchizi anaongea swahili poa inaeleweka so unafafanua nini wewe muulize maswali tu
@omarysaid8725
@omarysaid8725 9 месяцев назад
South sio nchi ya kuishi kabisa
@babazungu3180
@babazungu3180 8 месяцев назад
Kama umeowa hamna swala hili ila kama hujaowa lazma ulipe
@babazungu3180
@babazungu3180 8 месяцев назад
😂😂😂 Cheti unapata hapo hapo hospital
@babazungu3180
@babazungu3180 8 месяцев назад
Cheti rand 20
@babazungu3180
@babazungu3180 8 месяцев назад
Cheti unapewa hata kama huna kibali ila ktk details za cheti baba anakuwa hayupo
@allysudi4429
@allysudi4429 8 месяцев назад
Punguza mambo mengi presenter muache muuni atililike
@mussabakari2160
@mussabakari2160 9 месяцев назад
Mtoto wa South anatumia sir name ya mama kwa sababu kuna pesa ya mandera akitumia jina la baba hapati kitu na mama kama umemuoa basi atatumia sir name yako
@ambokileasheengai1140
@ambokileasheengai1140 9 месяцев назад
Kama nyumbani nini ?data zote ziko kwenye kitambulisho cha uraia au Nida,,ukishakuwa nayo zinakuw3ako Details zote
@kutokaughaibuni
@kutokaughaibuni 9 месяцев назад
Unaangalia kipindi, Tokea pande zipi??
@Movieslover0940
@Movieslover0940 9 месяцев назад
Sinza dar
@njeyaboxtv
@njeyaboxtv 9 месяцев назад
Aweee sinza stand Upppp kuna ma home boys wako kibao wa sinza kiwanja interviews zinakuja washtue wana
@adaboychibu1659
@adaboychibu1659 9 месяцев назад
Jamaa anaeleweka usimchanganye mwache atueleweshe punguza maswali hacha mihemko ndugu mtangaji
@AmbweneMwakisulu-vv1yl
@AmbweneMwakisulu-vv1yl 9 месяцев назад
Toka kolwezi DRC
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 9 месяцев назад
Uk🇬🇧
@omarysaid8725
@omarysaid8725 9 месяцев назад
Kiukweli south Africa sio nchi ya kuishi maana watu wanaoishi huko wenyewe maisha magumu tu maana kuna mtu namfahamu mimi yuko south africa hakuna alicho kifanya mpaka leo hana maendeleo kabisa
@Jurbeg
@Jurbeg 9 месяцев назад
Halafu mbona tz mnauwana kilasiku halusha mbeya shinyanga au hilo ulioni ila South tuu waweza kufa mda wowote acheni yakuambiwa teembeni bhana
@FatimaAli-of4gh
@FatimaAli-of4gh 9 месяцев назад
Na ndugu zangu wameenda walichokipata wengine wamekuwa miteja wengine wauzaji bora huyo muuzaji kajenga kwao waliobakia wamekuwa madhoba madenda yqnawatoka hatari sana
@babazungu3180
@babazungu3180 8 месяцев назад
Upeo wako mdogo sana wewe unahis kila anae safir huwa anafanikiwa tu
@Jurbeg
@Jurbeg 8 месяцев назад
@@babazungu3180 mwambie huyo ushamba mwingi sio kosa lake mimi niko jurbg South nafanya biashala halali naishi DSM chamazi sina maisha ya kuchoka
@omarysaid8725
@omarysaid8725 9 месяцев назад
Kingine usalama ni mdogo kufa ni kitu cha kawaida wapo watanzania na wageni wengine wengi tu wamekufa na makwao hawajuai
@Jurbeg
@Jurbeg 9 месяцев назад
Naomba nikuulize swali umewahi fika South au maneno yakuambiwa najee matumizi yahao rafiki zako yalikuwaje stalehe au napia wameuwawa kwajili yanini naomba unijibu
@BasilSimon-fw8sy
@BasilSimon-fw8sy 9 месяцев назад
Link ya group la whatsapp
Далее
Munda, Huchenjeri hwaMambo Mutasa
57:20
Просмотров 9 тыс.
SADI AELEZEA SAFARI YAKE YA CANADA
4:18
Просмотров 6 тыс.
Maisha ya ugaibuni sehemu ya 1  kingo
55:52
Просмотров 7 тыс.