This message is not for everyone rather for those who want to make it to heaven. The Lord removed all these things long time ago from my life. Everything you have said hata Viatu nilitupa, pete za ya bei sana ya harusi nilitoa. Mimi naishi huku ujerumani ni Mwalimu hata na nina funga kitambaa nikienda hata kazi. Yesu anasema ukimpenda basi shika amri zake. Mimi nampenda na nitazidi kutii sana. Asante kwa ujumbe.
Asante kwa ushuhudu huu mzuri, nimependa sana kwa kweli YESU kiristo ni pendo anatupenda wanadamu. nimevua Heleni, nimezitupa jalalani na sasa nafumua nywele zangu ndefu sasa hivi naenda kuzinyoa ziwe za kawaida kwa kuzichana, nashukuru sana MUNGU akutumie kwa viwango vya juu sana na uishi maisha marefu.
Siku hizi huwezi kutofautisha walokole na watu wa kimataifa kwa mapambo. Hata wadada walokole waibanji wa nyimbo za injili na wahubiri, wanajipamba sababa na watu wa kimataifa. Hili ni jambo la kuhuzunisha saaana. Mungu aturehemu na atuzaidie.
God bless you so much,napeda hizi shuhuda sana zimenijenga sana pamoja na kanisa ninalo liogoza,naitwa mchungaji Stephen Mwanza niko kenya,nawaomba mtafute huyu dada anaitwa nyisake chaula niwa huko Tz mbeya,alitebezwa pia mbinguni na kuzimu,Mungu a alikiba station hii ya promover imejenga wengi kupitia mahushuhuda
Someone said that she entered in heaven but I doubted because she was wearing earrings and had pleated her hair, even though she used to cover her hair but she had the attachments.
Nabii wa uongo: someni maandiko vizuri mjueni Bwana na kazi ya msalaba. Shuhuda za uongo. Kwanza uwepo wa Mungu ukikushukia huondoa hofu. Jiulize tena huyo uliyekutana nae ni nani. Utashangaa kuwakuta hao watu mbinguni. Halafu uchanga wa kiroho unawasumbua.
Hivi nyie Mbona mnadanganywa kirajisi hivyo? Nani aliyeenda Mbinguni sahizi kama ni kuweni makini na Hawa manabii wa uongo, msipende kuamini Kila roho kirahisi zichunguzeni hakuna mwanadamu yeyote aliyeenda Mbinguni Kwa Kwa Sasa wote wapo makaburini wanasubiri Yesu atakapokuja na Ile parapanda itakapolia waiokufa katika kristo watafufuliwa kwanza Kisha wataungana na walio hai kumlaki bwana Yesu hewani tatizo hamsomi Maandiko ndio sababu mnapotoshwa kama waliokufa katika kristo wanaenda Mbinguni Sasa Yesu atakuja kumchikua nani? Wakati Kila anaekufa anatenda Mbinguni Kwa sababu kitakacho mleta Yesu Duniani ni kuwachukua watakatifu Sasa kama Kila anaekufa anatenda Mbinguni Yesu anakuja kuchukuwa Nini? Lazima muwe mnajiuliza maswali, huo ni unabii wa uongo na mtakuja kugundua mlidanganywa baada ya kuchelewa hao wanataka kupata watu wengi Kwa uraghai wa unabii haya yangu macho
Ufunuo wa Yohana 1:7 Tazama, yuaja na mawingu; na kila jicho litamwona, na hao waliomchoma; na kabila zote za dunia wataomboleza kwa ajili yake. Naam. Amina. Ufunuo wa Yohana 1:8 Mimi ni Alfa na Omega, mwanzo na mwisho, asema Bwana Mungu, aliyeko na aliyekuwako na atakayekuja, Mwenyezi.
Neno la Mungu ni kweli na ni amina,so kwa wanaotaka kuiona mbingu huu ujumbe ni wako ila km uko kwa matakwa yako wala hili neno lisikusumbue kbs, fanya vile moyo wako uonavyo inakupa kuwa ksribu zaidi na Yesu kristo
Tunaokolewa kwa neema tu .Mungu aangalii mapambo ya nje.Mungu anaangalia matendo ya rohoni.maana hata mafarisayo walijiona kuwa wao ni bora kuliko wengine.Mungu atusaidie sana tuwe na matendo ya rohoni
Kusema ukweli watu wa.mungu tuwache kutharau shuhuda tafadhali tuko nyakati za mwisho do maana mungu ameaza kufichua Mambo,,c ata aston alipata chapa ya tbjoshua huko?bcareful ooooo
Tumejaa ubishi na wakati tunaona matujio yalivyo KUWA MENGI na MUNGU ATUSAIDIE SS na WATOTO wetu Hali ya dunia Ni mbaya Ila watu wakipinga ushuhuda huu WENGINE wanasaidiwa na ujumbe huu ubishi wetu NDO tatizo
Imeandikwa jaribuni mambo yote lishikeni lililo jema 1Wathesalonike 5:21, hata hivyo huwezi kujaribu kila jambo kama hauko na Roho mtakatifu kila unachoskia unakipima katika roho.
Mbona ulizaliwa uchi na sasa unavaa nguo huoni kama unamkosoa Mungu? Nani alikwambia uvae nguo ...? Na nani alikwambia usivae wigi.... Naona kama mnajichosha weee na mahubiri yenu yakupoteza Muda badala kutubu DHAMBI
Habari ya uzima. Samahani Mimi nilikuwa naomba msaada kujua jinsi ya kuvalisha watoto ikiwa SULUALI hazitakiwi. Nina mtoto Binti wa miaka minne nipo mbeya, kidogo Hali ya hewa ni baridi. Naomba kuelekezwa jinsi ya kuwasitiri manake baridi ni Kali sana nifanyaje.
When we die, we do not go to heaven. 1 Thessalonians 4:15 says that Jesus will descend with a shout and the dead will rise from their sleep ( meaning death) then will be caught up in the air. Let me ask you, if the righteous have already gone to heaven, is there a reason for judgment? Where in the Bible do we get a verse that says that people go to heaven or hell after death?
If God wanted you with earings he would have made an allowance in the ears for that or even better you'd be born wearing them. If God wanted you with plaited hair it would come naturally. Anything you do besides God's original creation is a sin a defiling God's temple and God sees it as idolatry. That's why some of you are busy defending your idolatry. You are so focused on self you can't even see the truth when it's starring you at the face. Repent and turn away from all this.
Mnachanganya Sana waumini, mtu kusuka nywele kunaleta shida gani? Anamkwaza Nani? Dhambi Ni kwenda kinyume na amri za Mungu hizo zingine Ni porojo tu!!! Huyo bwana uliyemwona tuna walakini nae!!! Yesu kristo mwana wa Mungu aliye hai hatendi kazi kwa mifumo ya tamaduni za wanadamu.
Neno la Mungu kupitia waraka wa mtumish wake 1 pet 3:3 Kujipamba kwenu, kusiwe kujipamba kwa nje, yaani, kusuka nywele; na kujitia dhahabu, na kuvalia mavazi;
Kweli nani atauona ufalme wa Mungu kweli. No. 2. Huyu dada alikuwa karibu na Mungu sana mbona Mungu kwa huruma zake hangemshauri akiwa hai duniani na vile alimtumikia Mungu hadi kuatarisha maisha yake ya ndoa kusudi asimkasirishe mungu
Tatizo tulilo nalo wanadamu Mungu anatuma watumishi wake waje watuonye kuhusu vitu hivyo ila mioyo yetu ni migumu kuamini na pia tukisikiliza shuhuda kama hizi hatuna muda wa kumuuliza Mungu kama ni kweli huo ushuhuda. Tungekuwa tunamuuliza naamini angekuwa anatuonya,kinacho tuponza ni ile hali ya kuchukulia kila kitu uongo🙏
Usimnyoshee mwenzako kidole.....Hakuna aliye mtakatifu. Mbona hamuo yeshwi Hali ya maisha ya waru kadri wanaishi ndiyo watubu? Mwaonyeshwa maisha wa wafu mbona? Mungu hapendezwi na kifo cha mwenye dhambi. Mbona asubiri Hadi MTU akafa ndiyo awaonyeshe maono??
Kuna wimbi kubwa sana sshv kwa watumishi wa MUNGU kupotosha maandiko. ni heli uwe unaonya wewe km wewe tu kuwa hikj kitu si kizuri fanya hiv au vile. usitumie maandiko ambayo hayasapoti unachokimaanisha ww, si wote unaowahubiria hawana ufahamu wa kufafanua neno la MUNGU.hilo andiko(1pet 3:3) unalolitaja limezungumzia na mavazi mbona ww umevaa nguo hapo, utembee uchi basi, hiyo ni kuonyesha kuwa munalinukuu Vibaya Hilo andko mpendwa
Eee MUNGU wetu tusaidie wanao kizazi hiki ninani atakae okoka makanisa yoote sasa hivi mapambo kama yooote mecap kama zoote ninani atakae okoka MUNGU saidia watu wako maaana mhmh sijui hauwezi kumwambia mtu kwamba suruali ni zambi au mapambo ni zambi waka kakuelewa fanya kitu MUMGU wetu utusaidie wewe usiye taka mtu afe na zambi unapenda kila mtu aifikilie toba MUNGU atu saidie kwakweli.
The Lord Jesus Christ has consistently and constantly been warning born again women against women trousers 👖, miniskirts, artificial hairs, braided hairstyles, skin bleaching, earrings, makeup 💄👄, and earrings (all these are jezebel properties, against God's will). Mungu amewaonya wanawake wakristo kuhusu hizi styles na mipambo ya kidunia, lakini wadada wengi, wamekaidi onyo ya Mungu kwa sababu ya kupenda Dunia hili na mapenzi(tamaa) yake kuliko kutenda mapenzi ya Mungu aishie milele.
@@lydiarono2613 Dada acha kujipotosha mwenyewe Bibilia imesema USISUKE NYWELE haija Sema USISUKE BANDIA ila ya kwako ushuke noo Hausuki Angalia maandiko Dada maana WAKRISTO wote tutahukumiwa kupitia maandiko sikauli ya mtumishi wako maana mtumishi aeza Sema zako suka lakini jee bibilia yako Ina Sema nn
Hilo eneo la mapambo kwa kina dada lina mapana yake ktk kuliwakilisha kunatakiwa kuwe na "kiasi"maana utapofundisha tu juu juu unaweza jikuta baada ya kuwasaidia unawapoteza msaada wa ROHO MTAKATIFU unahitajika mno mnoo
Bado wanawake wengi sana huwa wanapinga sana haya maandiko. Lkn kitakachowakuta siku ya mwisho ni balaa tupu. Acheni. Ukiambiwa acha unaacha afu unakoma kabisaaaaaa!!