ALLAH Akujaalie Umri Mlefu Othuman Maalim Haki Unanipendeza Kila Ninapokusikiza Nakesha Na Headphone Kusikiliza Mawaidha Yako ALLAH Atujaalie Mwisho Mwema Tukakutane Peponi INSHA'ALLAH
MashaAllah Allah akuhefadhi Sheikh wetu you are so blessed so knowledgeable so into deen MashaAllah! Allah akuweke akubariki leo mpaka kesho mbele yake Allahuma Ameen yaa rabb ❤❤
Mashaalah wallah nakupenda Sana Othman maalimu ❤❤mola atujaalie tukakutane peponi pmj na kipenzi chetu mtume wetu Muhamadu,,mola akuhifadhi na akulinde na shar na husda za watu 🤲 YAA RAHMAN 🤲
Assalam alekum ndugu ntapenda kupata number ya Ustadh Maalim nilikuwa naye tuko n'a mezi sita hivi nikapoteza number naomba kama upo nayo waalaykum msalam