Mungu akutie nguvu Jamal. Umemaliza story kwa ujumbe mujarabu. Upendo wa kweli uko ktk kutoa na si kupokea. Jitoe kupenda, upendo wako ndio utafanya upendwe. Mungu akubariki sana Jamal.
Mapenzi ya kweli hayahusiani na kitu, pesa au mali. Mapenzi ya kweli ni uvumilivu wa shida na raha za watu waliokubaliana kuishi pamoja maisha yote. Makubaliano hayo hayajali rangi, kabila, dini au jinsia. Kwa ufupi definition ya mapenzi ni ngumu zaidi kuliko watu wanavyofahamu. Mfano mzuri wa mapenzi na aina yake unajulikana kisayansi duniani kote, ni kama ule wa bata mzinga “Gees” au ule wa penguins 🐧.
Am 17 but I start dating seen I was 12 and iam still together with the same girl and jamaal u r really inspiring me I appreciate you bro am from south Sudan and luv Ya'll
Mapenzi hayatabiliki yani dah nashindwa kuelewa lakin vyote ulivyosema ni kweli hasa kwenye suala kwamba mwanamke anaumia zaid ya mwanaume aisee Asante professor
Bongo Ndio Nchi Pekee Ukimtongoza Mwanamke Hapohapo Nywele Zinafumuka, Anaanza Kusikia Njaa, Kodi Yake Inaishia, Mama Ake Anaumwa, Luku Inaisha! Daah Kwa Khali Hii Mtabaki Na Utam Wenu Wallah
“Love yourself first and everything else falls into line. You really have to love yourself to get anything done in this world.”...JAMAL APRIL ON TOP🍹🍾✊🏼🔥
Kutokana na realization yangu Upendo wa kweli hauna Mipaka huhitaji chochote kujieleleza ni Hali ya kukubali Ana na kitu au hali yoyote kwa namna ilivyo bila kujali lkn mpenzi inahusiana na hisia,
Nina mpenzi wangu ambaye mpaka sasa tuna miaka 6 lakini ananipenda sana na mpaka huwa najiuliza maswali mengi sana ni jambo gani haswa linalomfanya anipende mno mwishowe nikaja kugundua kwamba nilikuwa namuchia awe huru kudeka kwangu na pia nimekuja kugundua kuwa anaponiona huwa anajisikia furaha sana, apo ndipo nilipoamini kuwa mapenzi sio pesa tuu wala uchawi
Yesterday nilitaka kujiua kisa mpenz wangu😭😭just imagine the way nilikuwa namuamin akin kumbe nachezewa hisia 😭mm n kijana ninayependaa kupitilizaa weng wanasema n tatzo akin hapana thats is true love ndo ninavoamin akin ni kweli kitu ukikipendaa kweli n hard kukiachaa 😭😭😭thanks jamal go be blessed always we love you brother
Naelewa vile unajihisi ,, maana pia nimepitia hayo ,, nilikuwa na wakati mgumu Sana ,,nilichukua takribani miezi mitatu kumsahau ,nilililia ,usingiz sipati,yaani nashinda chumb ani ata kuoga nikaichukia🤣🤣🤣 mpaka sasa Nina vidonda vya tumbo vikivyosababishwa na mawazo ,, mpaka nilijua kufanya maombi ili Mungu anasahaulishe huyo mtu ,ukweli Mungu alisikia kilio changu ndani ya miezi mitatu nilikuwa nimeshasahau ,, mwili ukarud vizuri,,
Mapenzi yanazungumzwa na wengi Sana ila utekelezaji ni mgumu Sana hii iko na maana kubwa Sana kwetu juu ya upendo wa kwel kwa wenza wetu kile kilichoongelewa na pro humu ni ukwel kwa asilimia 100% asanteh Sana kwa kutufungua bongo zetu jamar🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Hakuna anaejua wala kuelezea mapenzi ni nini kwani kila mtu atayatafsiri vile anavyoona au kusikia lakini moyo ukimpenda mtu umempenda tu bila sababu anaweza mkeo au mmeo asiwe mzuri ama tajiri lakini moyo wako ukampenda tu, hayo ndo mapenzi ya kweli.... Mshirikie yule moyo wako unaempenda kwani kupendwa kweli ni bahati haiji mara Mbili...
Ukiona mwanamke ama mwanamume akitoa machozi jua kuwa ameumia sana sababu ya kuwa na penzi la kweli kwa mwenziwe,,penzi lina nguvu sana wadau likes sije ata kama nimechelewa
I love yr storey of the meaning of the word calls. LOVE! LOVE IS A WORD OF HAVE HIGH VALUES IF FELLOWS KNOWS THE MEANING OF LOVE! IT IS NOT ONLY TO LOVE A PERSON OR THINGS THE WAY FOXES THINK IT HAS BIG MEANING N VALUES N RESPECT N CARES ALSO. CAN LOVE A PERSON BY HIS MONEY HIS POSITIONS EDUCATION HE IS HANDSOME OR BEAUTIFUL BUT THAT IS NOT PURE N TRUE LOVE. LOVE IS FROM THE DEEP FAITHFUL HEART TO BE IN REAL TRUE LOVE NO MATTER THE PERSON IS! ITS NOT A JOCKS TODAY U LOVE TOMORROW U HATE THAT IS NOT PURE N TRUE LOVE JUST A PERSON LOVE A PERSON ONLY FOR HIS/ HER BENEFITS N THATS IT. TRUE LOVE NEVER GOES AWAY NEVER DIE NEVER QUITE WILL REMAIN IN THE 2 DEEP HEARTS FOREVER N EVER
Ukiona mtu analia kuhusu mapenzi usi mcheke jua mwenzio anachapwa viboko kwenye Moyo wake. Wangapi tumekutana na hili hiii .. LIKE & COMMENT L-O-V-E ♥️👈👉💔
Love is blind as they said That's why it gets contradicting while trying to understand everything about it Love is illusional if not imaginary (mapenzi ni kitu cha kufikirika tu) I am love ❤️💕