Dar es salaam. Waziri wa Habari Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) katika hotuba ya bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa mwaka wa fedha 2024/25 bungeni jijini Dodoma ametoa rai kwa wazazi na watanzania kwa ujumla, wasiwaache wototo walelewe na mitandao kwani tunaharibu kizazi chetu.
11 июн 2024