Тёмный

Usongo - Easy Man - Official audio 

Eazy ManTz
Подписаться 15 тыс.
Просмотров 63 тыс.
50% 1

#swahilimusic #singelikiler #Enjoy swahili music kutoka kwa EASY MAN burudani halisi na midundo maridhawa ya kiafrica

Опубликовано:

 

4 окт 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 62   
@walivyojuma7095
@walivyojuma7095 4 года назад
Katika waimbaji wa sengeri uyu jamaa anajua zaidi ya wengine uyu jamaa yuko vizr
@kibwanambegu9572
@kibwanambegu9572 4 года назад
Hyu anaimba singer radha, sio wengine wanapiga kelel
@sirkipingu6721
@sirkipingu6721 5 лет назад
Aisee we jamaa!wewe ndo umeupatia huu mziki na unastaili kupewa respect kuliko waimbaji wengine wa huu mziki,,,kwanza unauckiliza ata ukiwa na wazee wako,hauna maneno ya ajabu wala matuc matuc,,,,safi sana Easy man nakupromc inshaallah mungu anifanyie wepes nikija bongo nitakuletea kazawadi ambacho kitakusaidia kwenye mambo yako ya mziki
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 4 года назад
Sahih kabisa
@goodlucktemu3149
@goodlucktemu3149 5 лет назад
Mkali wa singeli tz na nje ya afica, gusa like kama unakubali
@vitusmajaliwa8113
@vitusmajaliwa8113 5 лет назад
Nakubal easy
@officialdauditz718
@officialdauditz718 5 лет назад
Umeuchezea vzuri mnanda wako uliokua ndani safi sana dua zako mama
@dadyshunaydah5802
@dadyshunaydah5802 5 лет назад
The only singeli killer kiumbe pekee anaefanya MAPENZI na beat 💓 za singeli na zikamtii🗣🗣🗣🗣👥👥👤👤🚶🚶🚶🎶🎵🎼🎶🎤🎵🎷🎸🎹🎙🎚🎺📯📣📢🔊🔉🔈🔇🔔
@AminaMohamed-y9h
@AminaMohamed-y9h 10 месяцев назад
Kweli mziki hauna mwenyewe, muhimu dua zako mama
@saidikanjele8731
@saidikanjele8731 Год назад
Nakukubar tena sana lete mpya ya 2o23
@tengatvtanzania4729
@tengatvtanzania4729 5 лет назад
Nomaaaaaa sana kitaa usongo
@faustinejohn8788
@faustinejohn8788 3 года назад
Mwaya unajua sana mwamba
@monicamussa7655
@monicamussa7655 5 лет назад
Nakubali song hii daaa mnanda uko poa
@shakirajafari4940
@shakirajafari4940 5 лет назад
Nakukubaligi sana myaka mia wakimbize
@dengeboymkaliwaotz6642
@dengeboymkaliwaotz6642 5 лет назад
Nakubari baba kanyag
@rosemarykaroli9572
@rosemarykaroli9572 4 года назад
Safi sana brother unaimba vzl Sana hongera na jitahid mana wako wanaoimba huu mzik ila wanaimba matus so pambana utatombowa tu
@muhidiningamba2572
@muhidiningamba2572 5 лет назад
Nakubaliiiiiii dam yanguuuuuuuu
@salimujuma8346
@salimujuma8346 4 года назад
Noma sanaaaa nakubali
@nellymbwana3305
@nellymbwana3305 5 лет назад
Nakubaliiiiii Usongooooo Top
@mercyndosi9059
@mercyndosi9059 5 лет назад
♌ Kali sana
@hamadrashid6677
@hamadrashid6677 5 лет назад
Easy kusikilizwa hard kupotezwa
@mustafathabit5438
@mustafathabit5438 5 лет назад
Wewe levo yako mond na kiba xawa eaxy man
@saudaramadhan9032
@saudaramadhan9032 4 года назад
Hakika upo juu kaka unaweza
@hinjujj6927
@hinjujj6927 5 лет назад
Moto mwingine! Dua zako mama
@allyathuman643
@allyathuman643 4 года назад
Kiukweli we sifa pekee hazikutoshi inabidi si mashabiki wako tukuombee mungu akufanyie wepesi maana unafanya kazi nzur
@aishaally2728
@aishaally2728 5 лет назад
hii Ngoma konki sana wa uswaz 💪
@SophiaMaliwa-hl4gp
@SophiaMaliwa-hl4gp 4 месяца назад
Unajuwa kk mungu akubariki sana
@hidayaathuman3092
@hidayaathuman3092 5 лет назад
nakukubali Sana kaka
@husnachocolate5531
@husnachocolate5531 5 лет назад
Mamaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥
@sephissa3004
@sephissa3004 5 лет назад
Senge linajua sana
@elizabetharon6334
@elizabetharon6334 5 лет назад
Heee hahaaa,,
@elizabetharon6334
@elizabetharon6334 5 лет назад
Ungekua karibu ningekuchapa makofi sio kwa kujua huku
@omarympwato1975
@omarympwato1975 4 года назад
Nakukubali sana
@elizabetharon6334
@elizabetharon6334 5 лет назад
Hv ulikuwaga wapiiii jamaniii kha
@omaryjuma9119
@omaryjuma9119 5 лет назад
Nomaaaaa
@saleheramadhani9399
@saleheramadhani9399 5 лет назад
Ww unajua sana
@shaculabdul8242
@shaculabdul8242 5 лет назад
Umeua blood :::FIRE
@sosterntulian491
@sosterntulian491 5 лет назад
Kaliii
@aminapeter6998
@aminapeter6998 4 года назад
easy man 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌😭
@simulizizamwanaupwa2644
@simulizizamwanaupwa2644 2 года назад
Katika singeli Mimi huwa nakusikiliza wewe
@mussasellemani8373
@mussasellemani8373 5 лет назад
Achana nao komaa kaka hakuna kama ww
@mussarucas4553
@mussarucas4553 2 года назад
🥰🥰🥰
@piuskamalissa8196
@piuskamalissa8196 5 лет назад
Am in Kenya +254 love that guy
@gritg5152
@gritg5152 2 года назад
Nice
@luggybob1965
@luggybob1965 3 года назад
Hili jinga linajua hadi linaboa, kila siku natafuta video ya usongo vipi?
@martinmwakila6992
@martinmwakila6992 4 года назад
Akili nyingi
@Hassan-ot1mc
@Hassan-ot1mc 5 лет назад
Aminikwamba
@mpalazotz7753
@mpalazotz7753 5 лет назад
Brod nakichupa iv sun naachia naomba support kwa chaner hii
@kimeratv7002
@kimeratv7002 5 лет назад
Usongo like back
@saudamazonge5951
@saudamazonge5951 4 года назад
Majd Lilah nakubali kakA yang ishall
@suleimanshabani5620
@suleimanshabani5620 4 года назад
Easy man singeli killer maji hayapinpwi kwa fimbo
@nickgeoffrey1795
@nickgeoffrey1795 5 лет назад
We msenge mpk nimekua shabiki wa singeli kwasababu yako
@eazymantz8464
@eazymantz8464 5 лет назад
Hahahaha
@tizomamba7049
@tizomamba7049 4 года назад
Akitoka mfalme msaga sumu anafuatia huyu yaani huyu makamu wa rais wa singeli
@baimarrajahbuayan6237
@baimarrajahbuayan6237 4 года назад
Saf
@aliomer1549
@aliomer1549 5 лет назад
Yes
@tourewao4820
@tourewao4820 5 лет назад
kumbe maji ayapimwi kwa fimbo
@ibrahimkatundu7518
@ibrahimkatundu7518 5 лет назад
Nakubal usongo iko bomba sana
@estercosta3503
@estercosta3503 5 лет назад
Easy man hatali hakuna Kama wewe
@زواديالسواحلية
@زواديالسواحلية 4 года назад
👌👌👌😘😘❤❤
@زواديالسواحلية
@زواديالسواحلية 4 года назад
😍😍😍😍
@Mrpsychologist-ky7ec
@Mrpsychologist-ky7ec 5 месяцев назад
Kk unajua kk
Далее
Easy Man - Madikodiko (official Video)
4:04
Просмотров 162 тыс.
Easy man - Moyo
3:50
Просмотров 10 тыс.
Sawa Usinifoke - Easy Man (Official Music Video)
3:55
Dulla Makabila - Waongo (Official Audio)
5:06
Просмотров 259 тыс.
Mfalme Ninja - Sio mwizi ( Official video)
4:01
Просмотров 93 тыс.
Anatoka na Nani
4:41
Просмотров 747
Ruby Ft Mc Sudi - Kwi kwi singeli
3:50
Просмотров 44 тыс.
Waleo - Easy man (Official audio)
4:17
Просмотров 18 тыс.
D Voice - Kuachana Shingapi (Official Music Video)
3:22
Msaga sumu - Kofia (New Singeli song)
4:03
Просмотров 17 тыс.
Easy Man - Ndombolo (Official Video)
4:06
Просмотров 199 тыс.