Тёмный

Ustadh Iddy Shaaban ( Uncle Iddy ) - Quran Tajweed- # Yaumul Ally Badawy ( Masange Day 2019 ) 14 

MASJID MTORO ONLINE TV
Подписаться 429 тыс.
Просмотров 56 тыс.
50% 1

Usomaji Wa Quran Tukufu Kwa Njia Ya Tajweed Katika Maafali Ya Ally Badawy Day ( Masange Day 2019 ) Chini Ya Uongozi Wa Dr. Ramadhani Sungu. Hii ni Maafali Ya 14 Ikifanyika Katika Kata Ya Masange Wilaya ya Kondoa Mkoa Wa Dodoma. Ni Mkusanyiko Wa Wanafunzi Waliosoma kwa DR. SUNGU Na Baadhi Kidogo Ambao Sio Wanafunzi Kutoka Tanzania Na Nje Ya Tanzania Wakijumuika Kuadhimisha Maafali Hayo.
Pia Huhudhuriwa Na Viongozi Mbalimbali Wakiserikali Na Wakidini Lengo Ni Kujifunza Kile Kinachofanyima Kwa DR. SUNGU MUNGU Mbariki Sheikh Letu DR RAMADHANI M. SUNGU Umpe Umri Mrefu Wenye Afya Tele Tuweze Kupata Matunda Zaidi Kupitia Yeye. ( ALLAHUMMA AAMIYN)

Опубликовано:

 

22 сен 2024

Поделиться:

Ссылка:

Скачать:

Готовим ссылку...

Добавить в:

Мой плейлист
Посмотреть позже
Комментарии : 39   
@nasoroomari3733
@nasoroomari3733 2 года назад
MashaAlaah mungu akuongeze zaidi ostadhi
@husseinbashe5138
@husseinbashe5138 3 года назад
Allah amjaalie Umri mrefu na Afya njema
@allymaulidi191
@allymaulidi191 4 года назад
Subuhanallah mungu akuongezee uwezo nabumzi zaidi yahapo inshaallah
@bashirushaban2740
@bashirushaban2740 2 года назад
Mashallah
@hawaahassan4152
@hawaahassan4152 5 лет назад
Masha Allah napend san kuskiliz mtu akisoma ivi
@aleyabepary1576
@aleyabepary1576 2 года назад
Mashallah beautiful Eidi Shaban I love you ❤️❤️❤️❤️❤️🇧🇩
@bayportsikonge6380
@bayportsikonge6380 4 года назад
Mashaallah
@sophianyangalio3796
@sophianyangalio3796 3 года назад
MashaAllah Allah azidi kuwalinda masheikh wetu
@إلىاللهمرجعناجميعا
Asnt shkh iddi
@husnaissa7190
@husnaissa7190 4 года назад
Nataman tena mwaka huu insha allah
@mdrafiq1153
@mdrafiq1153 3 года назад
MashaAllah subhanaallah
@rashidinkingojikazeniwanan4864
@rashidinkingojikazeniwanan4864 3 года назад
Naam mtume Muhammad aswaliwe san
@zuenaahmad3995
@zuenaahmad3995 4 года назад
maashasllah.tupevyombo.hivo
@Qirrat1
@Qirrat1 5 лет назад
masha Allah
@ramadhanihamisi4576
@ramadhanihamisi4576 4 года назад
Allah akuhifadhi shekh shaaban iddy
@suleimanngare6707
@suleimanngare6707 3 года назад
Masha Allah 🇰🇪🇰🇪🇹🇿👌🤝
@husnaissa7190
@husnaissa7190 4 года назад
Masha Allah kaka yetu
@bangsamorobrothers7322
@bangsamorobrothers7322 5 лет назад
Maa shaa allah👼 hes like Shiekh Abdulnasser Harak 😇 Barakallaho feekom
@busnaoman9981
@busnaoman9981 4 года назад
💞kondoa 💝 love you 🌹🌻 kondoa 💝 love you ❤️♥️💓💕💞💌💌💌💌
@indiaislamictips1587
@indiaislamictips1587 3 года назад
Masha Allah
@mukalazikasimu1769
@mukalazikasimu1769 4 года назад
Mansha allah tabaraka rahman
@jumasima6757
@jumasima6757 4 года назад
Manshallah uko vzr sana
@bellbell9294
@bellbell9294 5 лет назад
Maashaallah baba yangu shukraan
@mnegaamina6085
@mnegaamina6085 4 года назад
Nimewasikia ndugu zangu kaka yupo vizuri
@mustaphaathuman9623
@mustaphaathuman9623 3 года назад
SO nice
@mohamedially597
@mohamedially597 4 года назад
Mashaallaaah
@mwanneamani2306
@mwanneamani2306 4 года назад
💞💞💞💞
@Qirrat1
@Qirrat1 5 лет назад
Sheik Qari Rajai Ayoub Qiraat video???
@Qirrat1
@Qirrat1 5 лет назад
qari Iddy subhani fantastic also
@hafidhokombo5787
@hafidhokombo5787 4 года назад
@@mtoroonlinetv mashallah
@hafidhokombo5787
@hafidhokombo5787 4 года назад
Mashallah
@khalfanalrawahi3082
@khalfanalrawahi3082 3 года назад
Tajwid halisomwi hivi, bali Tajwid inazingatia kila herufi kuipa haki yake inayostahiki. NA kuzingatia mada zote NA kuzipa haki yake. Makosa mengi ya huyu msomaji anazivuta herufi ambazo hazistahiki kuvutwa. Pili : Allah katuamrisha ktk kitabu chake inaposomwa qur, an nyamazeni. Lakini inaonekana watu wanapiga makelele, hii ni Kwenda kinyume NA mafundisho ya Allah.
@nurukitogo6105
@nurukitogo6105 4 года назад
Kaswida
@nurukitogo6105
@nurukitogo6105 4 года назад
Qaswida
@ГулмахмадЮсупов
@ГулмахмадЮсупов 4 года назад
Mashallah
@saumuseif9189
@saumuseif9189 3 года назад
Mashaallah
@loveahmed7892
@loveahmed7892 4 года назад
Mashaa Allaah mashaa Allaah
@mdrafiq5663
@mdrafiq5663 4 года назад
Mashaallah
@seshambiomari1370
@seshambiomari1370 4 года назад
Mashaallah
Далее
БЕЛКА РОЖАЕТ#cat
00:19
Просмотров 674 тыс.
Shekh Omar  Abdalla Mvuoni_ Quran Tajweed 2019
11:11
Просмотров 11 тыс.
Ustadh Iddy Shaaban - Suratul Ah zab.
17:51
Просмотров 34 тыс.
MSOMAJI WA KIMATAIFA :Uncle Iddy
22:34
Просмотров 326 тыс.